Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

THE BIG SHOW ndio huyu mchizi uliye mjibu...

Maneno ya Kitoto mtu mzima kumwambia mtu mzima mwenzake yanatia shaka sana,

Hiyo yote ni ishara ya kutojiamini,waza na endelea kuwaza mnayowazia,najua kwa jins akili zako zilivyo fupi huwez kujua na hutoweza kujua uhalisia wangu,nafurahi sana kwa jins unavyoweweseka na kivuli cha mtu mwingine hadi kufikia hatua ya kukilandanisha na mimi,

Hapa tunachofanya ni kuwatoa maana na kuonesha jins msivyoweza kutumia akili katika kung'amua mambo...

Bado utazid sana kuweweseka,ila all in all sisi tunajiskia faraja kwa jamii kubwa kuzid kuufam ukweli huu unaosemwa na Mohamed Said..
 
Last edited by a moderator:
Asante sana Jasus kwa taarifa hii kwani kunawatu hapa wanatumia uislam wa Fundikira kama blanketi kufunika swala hilo. Nyerere mara nyingi alilizungumza jambo hilo alipokuwa anaonesha kukelwa na rushwa. Hakuwa anataja jina ila cheo. Sijui Mohamed anasemaje maana sijamsikia akigusia hilo ila kutaja sifa za kumbukumbu za majina ya vizazi!
 
Umeenda haraka sana, na unamihemko sana,

Jitulize na soma mada hii kuanzia mwanzo kusha utaelewa mantiki ya mjadala huu.
 



Unajua kitu kilichopo ni baadhi ya watu humu kutaka kusafiria nyota za wenzao,wengine wanahisi kwa kujibishana na Mohamed Said,basi daraja lao litapanda na wataonekana kama ni watu wa maana kwa jamii wanaosoma mjadala huu,kumbe ndivo wanavozid kujidhalilisha na kuwafanya watu wazid kuwapuuza zaid,uzuri ni kwamba hata sekundu moja Mohamed said hajakimbia hapa kuwathibitishia na kuwapa ufafanuzi kwa kila wanachopata nacho shida kukielewa,

Wao hoja yao kuu humu ni uchochezi,tunawauliza wapi uchochez ulipooneshwa?hawana jibu zaid ya kuendelea kuweweseka na kutoa kauli za kifedhuri na kejeli..

Kila mtu atabakia na daraja lake,watu wenye darja kama Mohamed Said waacheni waendelee na madarja yao,hamtaweza kuwafikia,kifikra na upeo wao hata siku moja,mshukuru hii nafasi mnayoipata kuongea nae humu ndani,na mshukuru kupewa uhalsia wa historia kama hii..
 
Last edited by a moderator:

bwana mdogo wa Mzumbe, hasira zote za nini, ila siku zote ukweli unauma...
 
Last edited by a moderator:
Haya yanafaa kwenye mihadhara yenu na sio hapa!

Kwani alieyaleta hapa ni Mohamed Said au nyie mnaodai Uchochezi?


Kwa aliyeanzisha hii thread amempa Mohamed credits nyingi.
Mmelikuza jina lake nakumpa nafasi yakuandika kwenye kitabu chake.
Binafsi nilikua sikijui kitabu chake lakini nitakitafuta.
 
Halafu na nyie Makanisani mkaamasishana lazima Dr Slaa tumchague.

Tuliona kule Sumbuwanga waumini walifukuwa Kanisani kwa kuipigia kura CCM.

Sasa hauoni tatizo hapa kama kuna udini Tanzania au udini kwako upo kwa Mohamed Said tu.

Ritz,
La misikitini lilikuwa la tz nzima.
La makanisani kama lilikuwepo basi liliishia huko sumbawanga, na inawezekana huyo padri ilikuwa kwa mapenzi yake.
Lakini kina illunga waliwezeshwa na ofisi kuu kuzunguka kuomba kura.
 
bwana mdogo wa Mzumbe, hasira zote za nini, ila siku zote ukweli unauma...

Tunajua ukweli unauma sana,,

Na tunajua ni kwa nini nyinyi mnaumia,ni kwa sababu ya ukweli huu unaosemwa unaosemwa.

Polen sana kwa maumivu mnayoyapata kwa ukweli huu unaosemwa na Mohamed Said..
 
Last edited by a moderator:


Kila mtu analifaham hili..

Wamempa Credit nyingi tena za kutosha sana Mohamed Said

Tunawashukuru sana kwa hilo..
 
Tumia akili kidogo, kwani wewe hujui kwamba Mohamed Saidi ni mtu maarufu na hasa kwenye mihadhara? au unadhani mjadala kuhusu Kitabu chake ni mara ya kwanza kuja hapa Jf?Pole sana!
 
kwa hiyo hayo mapovu yote ya nini?

Hatuwez kuwaacha mkiruka ruka kama kuku mliochinjwa kwenye matambiko kisha mkaachwa mkiwa mnaruka ruka kwa maumivu vile na kuja hapa kuuharibu mjadala na hoja zinazotolewa,

Kama mmeishiwa hoja,tulien na msije na viroja vyenu visivo na mbele wala nyuma..
 

kwani we umechangia hoja gani zaidi ya viroja, mi na wewe nani mwenye viroja? Nadhani we ndio mwenye viroja...
 
Tusiichague CCM sawa! wewe unashauri tuchague chama gani mbadala? chenye uadilifu, kisichoegemea udini na ukanda?
Tofauti na ccm, hakuna chama ambacho kishawahi kutawala nchi na kikatawala kwa ukanda au udini kama kipo nifahamishe.
Chochote kitakacho tawala tofauti na ccm, ccm ndo wanao pendelea ukanda. tofautisha maendeleo kama ya kilimanjaro, arusha, bukoba, mwanza na mikoa kama tabora, mtwara, lindi nk.......
Kote huko ni sera za ukanda na udini za ccm.
na kwanini ccm wanatoa mawaziri wengi kanda ya kasikazini? Kwanini isiwe magalibi au kusini.
 
kwani we umechangia hoja gani zaidi ya viroja, mi na wewe nani mwenye viroja? Nadhani we ndio mwenye viroja...

Wewe si ndie unawaambia hao jamaa zako mimi ni THE BIG SHOW?

Na nafurahi sana kusikia ivo,kwan kuna wenzako wengi wana ni PM sana kukejeli kuhus hilo,,

Sasa kama sio ni viroja ni nini??

Hamna hoja..
 
Last edited by a moderator:
mi navvojua wakat wa kufanya mitihan ya mwisho hatuandik majina bali namba za mitihan na ivyo ni vigumu kwa wasahaiishaj kujua kama mtahiniwa ni muislam au mkristo na kama ingelikua ivyo basi mimi na kaka zangu tunsingefaulu kuingia chuo kikuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…