Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #8,381
Mohamed Said tunaomba darsa hapa- labda huyu Fundikira kasingiziwaAsante sana Jasus kwa taarifa hii kwani kunawatu hapa wanatumia uislam wa Fundikira kama blanketi kufunika swala hilo. Nyerere mara nyingi alilizungumza jambo hilo alipokuwa anaonesha kukelwa na rushwa. Hakuwa anataja jina ila cheo. Sijui Mohamed anasemaje maana sijamsikia akigusia hilo ila kutaja sifa za kumbukumbu za majina ya vizazi!
Bora ya mzee MS yuko hai wewe unalamba la mfu ambaye hana fikira yoyote wala hana jipya kwako pole baba povu litakutoka sana ukikasirika sana nenda CHIT CHAT ukapumzishe roho yakoNikikuita mpumbavu itakuwa sahihi kabisa maana hufundishiki! utaogopaje kifo kitu ambacho hakiepukiki? mbona hukuogopa kuzaliwa. Kwa kiwango chako kidogo huwezi kuelewa Atheism!baki na umbumbumbu wako na endelea kulamba buti za mzee Mohamedi maana ndio kitu pekee unachokiweza.
Gwalihenzi, achana nae huyo Boko Haram, atakusababishia ban tu, anakupandisha mori ili umpe za uso kisha ukutane Na rungu la jf,
Twende kwenye hoja za msingi na mzee wao mstaarabu mchochezi Mohamed Said
nenda kajilipue kwa makafiri upate thawabu kwa Allah wewe acha kuandika pumba humu.Haa na wewe upo? ha ha haa mimi siwezi kukujibu mpaka ujibu lile swali ulilo ulizwa na yule ndugu yako Andrew Nyerere mama yako ni nani?au mwambie huyu farao mwenzako unae mtetea
Mkuu mbona unaonekana anajua mambo mengi kuhusu uhusiano wa jamaa zetu hawa Waislaam na Nyerere kabla ya uhuru, hii ndio mara yangu ya kwanza kuona unayahanisha vizuri tu. Kama sikosei M.S anazungumzia mahusiano ya Serikali ya awamu ya kwanza na Waislaam miezi michache baada ya kupata uhuru - ni kitu gani kilitokea mpaka wakafikia hatua ya kufarakana na baadhi ya Waislaam wanzilishi wa chama ambao wewe unasema na hapa nakunukuu "Wazee wa Kitanganyika ambao walipendana kweli na udugu wa kweli na ndugu zao Wakristu; hawa ambao hawakutaka kumdhuru Nyerere - sababu ya Ukatoliki wake - akikaa katikati yao" Mimi sina utaalamu wa kisaikolojia wa kumfikia Sigmund Freud lakini reading between the lines sina uhakika kama unayo yasema hapo juu huko sincere!! Ulikuwa na nia ya kuvuta wasomaji kwanza alafu baadae ndio uzungumzie uliyo kusudia, napata wakati mgumu kukuelewa kwa nini kila mtu anayezungumzia/kutoa mchango kuhusu historia ya kweli kuhusu Taifa letu wewe unamuona anamchukia Mh.Nyerere (R.I.P) nani Mtanzania mwenye akili timamu ambaye anaweza kuwa na ubavu wa kubeza beza mchango wa Kambarage au kumkosea heshima, hata Mohammed hakuna popote alipo mtukana/kumkosea heshima Baba wa Taifa.
Juzi hapa nilizungumzia kuhusu mzee wangu kutoa Landrover, Public Addressing System na kumpatia Kambarage kuhutubia wananchi, mzee wangu alivunja sheria za kikoloni bila woga; nilizungumzia vile vile kukutana kwangu na Mzee wa kikoloni aliyewahi kuwa PC Tanganyika na kitu gani alinieleza - lakini cha ajabu wewe ukaja na maswali ya kushangaza kidogo eti kwani Nyerere aliwachukia wazazi wangu au jamaa zangu!! Yaani unatumia tactics za ku-steer watu wazungumzie mambo ambayo yako biased na hayana ukweli wowote.
Hivi kwa nini baadhi yetu tumepania ku-derail mada!! Kinacho zungumziwa humu ni Historia ya Taifa letu kuanzia miaka ya 1920s mpaka tunapata uhuru sio DINI, kwa nini tunakazania mambo ya DINI tu? Kuna maswali yangu nayatayalisha kumuhuliza ndugu Mohammed Said, nina hakika atayajibu bila ya kuficha kitu kwamanufaa ya Wananchi wote specifically WAKRISTO.
Watu kama nyinyi ndio wenye akili timamu,hao wengine akili zao ni za kushikiwa tuh,,
Safi sana mkuu kwa maneno yako mazuri na yenye hekima
Haswaa, na zaidi kuhusu kesi yake ya rushwa akiwa waziri.
Kwa akili yako unaamini Vasco da Gama ndiyo mtu wa kwanza kuzunguka dunia.
Nimekuja kufyoza elimu lakini nimekutana na mipasho naenda zangu tarudi kesho.
Pole tena kwa kujitwisha zigo la upumbavu katika umri mdogo huo!Bora ya mzee MS yuko hai wewe unalamba la mfu ambaye hana fikira yoyote wala hana jipya kwako pole baba povu litakutoka sana ukikasirika sana nenda CHIT CHAT ukapumzishe roho yako
Spike,
Rudi.
Nakuahidi Insha Allah kukuweka vitu vya
maana vya kumfanya mtu akae kitako na
kufikiri.
Hii ndiyo kawaida wa mnakasha huu.
Mara unakwenda juu mara unashuka.
Angalia nimekuwekea mkutano wa pili
wa Abdu Sykes na Jomo Kenyatta safari
hii Arusha.
Hivi, Nyerere alikuwa anaishi na Mohamed? Kitabu cha Mohamed kimechapishwa 1998. Nyerere amefariki 1999. Uwezekano kwamba Nyerere hakuwa na habari za hicho kitabu ni mkubwa kuliko uwezekano kwamba tetemeko la ardhi litatokea Dar-es-salaam kesho.Nyerere mwenyewe alikuwepo hai wakati Mohamed Said ameandika kitabu hakuwahi kusema uchochezi sababu ni ukweli nyie baada ya miaka kumi na tano ndiyo mnalia lia.
Jazakallahu kheir...
Hivi, Nyerere alikuwa anaishi na Mohamed? Kitabu cha Mohamed kimechapishwa 1998. Nyerere amefariki 1999. Uwezekano kwamba Nyerere hakuwa na habari za hicho kitabu ni mkubwa kuliko uwezekano kwamba tetemeko la ardhi litatokea Dar-es-salaam kesho.
Zomba ban,Ritzi ban !.Hizi ni kama ban za sheikh Faridi na Ponda.
Hebu nikuulize, hivi Kikwete naye alisoma madrasa? Sasa ufisadi kajifunzia wapi?Sawa mkuu elimu yangu ndogo wewe mwenye elimu una nini cha maana? mimi siku fichi nimesoma madrasa sana na ndio kimbilio lenu la kudharau madrasa lakini kwangu madrasa na bora sanaaaa kuliko unavyofikiria wewe ni viongozi wangapi leo hii wamesoma lakini hao hao ndio mafisadi wakutupwa au lusoma sana ndio watu wanafundishwa ufisadi lakini kama kweli unaimani yako ya dini kweli Tanzania isingefika hapa ilipo lakini kwa vile nchi haina dini wacha watu wachote wachape mwendo,uislamu unasema mwizi akatwe mkono,anaezini apigwe fimbo 100 na masuala ya mirathi kitabu chetu kimeeleza yote leo hii ni wanawake wangapi waume zao wamekufa na wamedhulumiwa mtihani mkubwa kwahiyo mkuu usome kwanza uislamu siku force uingie wewe baki huko huko kwenye mambo yako
Jasusi,
Kitabu alipewa mkononi.