Mohamed, unaposema huna haja ya kujibu maana yake si kuwa huna haja bali huna jibu.
Tunajua kuwa AMNUT walitaka kumuondoa Nyerere madarakani bila sababu ya msingi isipokuwa dini yake.
Hiyo ilikuwa 1958 kabala ya uhuru na kwa maneno yako.
Hili ni kundi dogo kwasababu kundi kubwa lilimuunga mkono. In other words aliungwa mkono na waislam. Period!
Mwaka 1968 kwa kupitia Wapakistan waliotoka Mombasa ambao walijificha chini ya mwamvuli wa EAMWS, walitaka kuigawa nchi. Hawa pamoja na Jamaiatu Issilamiya fil Tanganyika ni masalia ya AMNUT.
Ni masali hayo hayo ndiyo yanaleta taabu hadi sasa.
Masalia haya ya AMNUT yanauaminisha umma kuwa waislam walianza kumchukia Nyerere. Hili kundi linatumia neno Uislam kujumisha kila mtu ili kuleta wingi hata kama tunajua kuwa kuna waislam wema kwa mamilioni waliompenda sana Nyerere.
Kwahiyo si sahihi na ni uongo uliotamalaki pale mtu anaposema waislam walianza!
Narudia, Uislam ni dini na imani. Uislam upo kwa mtu na wala hakuna application form ya kuwa mwislam.
Hizi organization ni vyombo tu vya kurahisisha mawasiliano, in the end atabaki mja na mola wale.
Hakuna taasisi au mtu aliye na haki ya kufanya vetting who is a moslem who is not.
Hivyo mnapo ongea ongeleeni nafsi zenu na si nafsi za watu wengine.
Kwamba kulikuwa na Muslim congress ya kuwakomboa waislam kutokana na madhila ya ukoloni kuna shaka kubwa sana.
Huwezi kujenga chuo kikuu ukiwa huna shule za msingi wala sekondari. Sijui wangesoma akina nani.
Lau kana unataka kusema chuo kikuu cha dini labda lingeweza kugonga akili za watu makini.
Hata hivyo hali ya sasa katika madrasa haishirii kuwa kungekuwepo na tofauti na hali ilivyo.
Miaka dahari imepita na ni 15 tangu utoe kitabu. Huu ni muda ambao ungekuwa unaongelea maendeleo ya chuo kikuu badala ya kuwaelezea watu hadithi.
The time has come to cut off the vicious circle of failure.
Innuendos, fabrication, hatred and escapism will never solve the problem.
The problem which is within Swahilis and not Shia, Bohora or Ismaili must be confronted perfect and squarely by the same Swahili.
naomba ushahidi wa hapo nilipoweka rangi.