Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed, unaposema huna haja ya kujibu maana yake si kuwa huna haja bali huna jibu.

Tunajua kuwa AMNUT walitaka kumuondoa Nyerere madarakani bila sababu ya msingi isipokuwa dini yake.
Hiyo ilikuwa 1958 kabala ya uhuru na kwa maneno yako.
Hili ni kundi dogo kwasababu kundi kubwa lilimuunga mkono. In other words aliungwa mkono na waislam. Period!

Mwaka 1968 kwa kupitia Wapakistan waliotoka Mombasa ambao walijificha chini ya mwamvuli wa EAMWS, walitaka kuigawa nchi. Hawa pamoja na Jamaiatu Issilamiya fil Tanganyika ni masalia ya AMNUT.
Ni masali hayo hayo ndiyo yanaleta taabu hadi sasa.

Masalia haya ya AMNUT yanauaminisha umma kuwa waislam walianza kumchukia Nyerere. Hili kundi linatumia neno Uislam kujumisha kila mtu ili kuleta wingi hata kama tunajua kuwa kuna waislam wema kwa mamilioni waliompenda sana Nyerere.
Kwahiyo si sahihi na ni uongo uliotamalaki pale mtu anaposema waislam walianza!

Narudia, Uislam ni dini na imani. Uislam upo kwa mtu na wala hakuna application form ya kuwa mwislam.
Hizi organization ni vyombo tu vya kurahisisha mawasiliano, in the end atabaki mja na mola wale.
Hakuna taasisi au mtu aliye na haki ya kufanya vetting who is a moslem who is not.
Hivyo mnapo ongea ongeleeni nafsi zenu na si nafsi za watu wengine.

Kwamba kulikuwa na Muslim congress ya kuwakomboa waislam kutokana na madhila ya ukoloni kuna shaka kubwa sana.
Huwezi kujenga chuo kikuu ukiwa huna shule za msingi wala sekondari. Sijui wangesoma akina nani.

Lau kana unataka kusema chuo kikuu cha dini labda lingeweza kugonga akili za watu makini.
Hata hivyo hali ya sasa katika madrasa haishirii kuwa kungekuwepo na tofauti na hali ilivyo.

Miaka dahari imepita na ni 15 tangu utoe kitabu. Huu ni muda ambao ungekuwa unaongelea maendeleo ya chuo kikuu badala ya kuwaelezea watu hadithi.

The time has come to cut off the vicious circle of failure.
Innuendos, fabrication, hatred and escapism will never solve the problem.

The problem which is within Swahilis and not Shia, Bohora or Ismaili must be confronted perfect and squarely by the same Swahili.

naomba ushahidi wa hapo nilipoweka rangi.
 
Kenyata kajenga nchi ya kikabila??
Una uhakika??

Sasa nyerere kajenga nchi ya namna gani kwa haya yanayotokea sasa??

Basi nyerere kajenga Nchi ya UDINI BASI...!!
Baadhi yenu tunaojadiliana humu mna upeo "mkubwa" wa uelewa wa mambo. Haufahamu kinachohangaisha SIASA za jirani zetu Kenya?
 
Unataka ushahidi upi ndugu?

Ahsante ndugu, kwa mfano anaposema " Mwaka 1968 kwa kupitia Wapakistan waliotoka Mombasa ambao walijificha chini ya mwamvuli wa EAMWS, walitaka kuigawa nchi. Hawa pamoja na Jamaiatu Issilamiya fil Tanganyika ni masalia ya AMNUT". alishuhudia mwenyewe au amesoma sehemu.
 
Umempa Jibu zuri sana huyo mpumbavu.,

Kama anakiri hayo yote sasa povu linalomtoka ni la nini??

Mazuzu sana hao jamaa..
Unaona unavyoshindwa kutafakari mambo kwa kukosa busara? ukila ban utaanza kulalamika kuwa umeonewa. Sasa hapa zuzu ni nani kama sio wewe mwenyewe unayeshindwa kuona ukweli kwa kuwa unafikiri kwa kutumia tumbo badala ya ubongo!Nashangaa sana unapojinasibu kuwa wewe ni zao la Mzumbe! hustahili hata kidogo naona Mzumbe ulihudhuria wala hukusoma. Na wala siamini kama kweli mama yako unayemsifia hapa kuwa alikufunza maadili ndio haya uliyofunzwa kuyaandika hapa. Wala madrasa naamini hawafundishi maneno ya kifedhuri kama haya unayoyaandika hapa. Ni amini tu kuwa wewe huna tofauti yoyote na wahuni wengine wowote!
 
MM,

Nishaeleza kuwa si lazima Nyerere awe hata kakisikia kitabu changu.
Sidhani kama baada ya kusema hivyo kuna haja tena ya kufatanafatana.
Hapana mzee Mohamed, kufuatana lazima kuwepo kwa sababu ni wewe ambaye umekuwa ukijisifu kuwa maandiko yako yalikuwepo hata kabla Nyerere hajafa na wala hakuthubutu kuyapinga. Ni wajibu wako sasa kutuhakikishia kwamba Nyerere aliyasoma na kuyaafiki. Mbona unachomoa kiaina hapa?
 
Hatujashindwa, usiokote mpira ungali haujavuka mstari wa goli.

Mimi binafsi ninauwezo wa kuandika kitabu cha kufifisha kitabu chako kwa mda wa siku 14 tu tangu nikitoe, lakini sioni haja hiyo ya kuwavuruga watanzania wakati uwezo wa mimi kukukanya wewe hapahapa jukwaani upo.

Historia ya uhuru tayari ipo, na haijaandikwa maramoja tu, vitabu vingi vimeeleza kwa mapana yake, masimulizi mengi yamejipembua vyakutosha hivyo kuidanganya jamii huko unakofanya hakusaidii taifa bali kulihatarisha tu,

Kuwadhihaki wazee wetu waliotuletea uhuru na kuchochea chuki miongoni mwa jamii za kitanzania hakufai na kukemewe na kila mmoja hasa hizi chuki za kidini.

'Eti mimi mwenyewe nina uwezo huo wa kuandika kitabu na kufifisha kitabu chako kwa siku 14 tokea nikitoe"

Thubutuu..!

uwezo huo uutoe wapi?unajitutumua bure tuh huna uwezo hata wa kuandika page walau moja na watu wakashughulika nayo,sembuse kitabu??

Wewe kaa ukipayuka chukii chukii,wakati wenzako wanakushushia nondo kila unapokaa na kusimama,

Nakupa heko kwa kuanzisha mjadala huu tuh,kwan umesaidia watu wengi kuijua historia hii,zaid ya hapo wewe ni mtupu tu kichwani,huna unalolijua..
 
Baadhi yenu tunaojadiliana humu mna upeo "mkubwa" wa uelewa wa mambo. Haufahamu kinachohangaisha SIASA za jirani zetu Kenya?

Ukanjanja huo..

Sasa hayo kayasababisha KENYATA??

Hivi unafuatilia lakini siasa za kimataifa au umekalia tuh kuchokoza mambo usiyoyajua??

Nimekuuliza kwa hiyo kinachotokea hapa TZ kwa sasa ni zao la SIASA ZA JULIUS?

umebaki unazubaa zubaa bila kutoa hoja kama umeangusha sindano kariakoo huku unahangaika kuitafuta ukiwa umeinamisha kichwa chini na wapita njia wanakusukuma sukuma na kukupa bughdha..

Huijeelewi ndugu,nondo mnazopewa zimewalevya kbs..
 
Dah! Nimekukubali kwa ufuatiliaji wa hoja!
 
Jasusi;Ha ha haa unajifanya hujui kikwete kasoma wapi mbona jibu ni rahisi kawaulize wale walio sema Kikwete ni chaguo la mungu ndio utajua elimu yake kaipata wapi, madrasa hazifundishi ufisadi
Upo sahihi bwana mdogo, ila naambiwa madrasa zinafundisha lugha adhimu kama hii hapa chini:
Umempa Jibu zuri sana huyo mpumbavu.,

Kama anakiri hayo yote sasa povu linalomtoka ni la nini??

Mazuzu sana hao jamaa..
 
Mohamed, unaposema huna haja ya kujibu maana yake si kuwa huna haja bali huna jibu.

Tunajua kuwa AMNUT walitaka kumuondoa Nyerere madarakani bila sababu ya msingi isipokuwa dini yake.
Hiyo ilikuwa 1958 kabala ya uhuru na kwa maneno yako.
Hili ni kundi dogo kwasababu kundi kubwa lilimuunga mkono. In other words aliungwa mkono na waislam. Period!

Mwaka 1968 kwa kupitia Wapakistan waliotoka Mombasa ambao walijificha chini ya mwamvuli wa EAMWS, walitaka kuigawa nchi. Hawa pamoja na Jamaiatu Issilamiya fil Tanganyika ni masalia ya AMNUT.
Ni masali hayo hayo ndiyo yanaleta taabu hadi sasa.

Masalia haya ya AMNUT yanauaminisha umma kuwa waislam walianza kumchukia Nyerere. Hili kundi linatumia neno Uislam kujumisha kila mtu ili kuleta wingi hata kama tunajua kuwa kuna waislam wema kwa mamilioni waliompenda sana Nyerere.
Kwahiyo si sahihi na ni uongo uliotamalaki pale mtu anaposema waislam walianza!

Narudia, Uislam ni dini na imani. Uislam upo kwa mtu na wala hakuna application form ya kuwa mwislam.
Hizi organization ni vyombo tu vya kurahisisha mawasiliano, in the end atabaki mja na mola wale.
Hakuna taasisi au mtu aliye na haki ya kufanya vetting who is a moslem who is not.
Hivyo mnapo ongea ongeleeni nafsi zenu na si nafsi za watu wengine.

Kwamba kulikuwa na Muslim congress ya kuwakomboa waislam kutokana na madhila ya ukoloni kuna shaka kubwa sana.
Huwezi kujenga chuo kikuu ukiwa huna shule za msingi wala sekondari. Sijui wangesoma akina nani.

Lau kana unataka kusema chuo kikuu cha dini labda lingeweza kugonga akili za watu makini.
Hata hivyo hali ya sasa katika madrasa haishirii kuwa kungekuwepo na tofauti na hali ilivyo.

Miaka dahari imepita na ni 15 tangu utoe kitabu. Huu ni muda ambao ungekuwa unaongelea maendeleo ya chuo kikuu badala ya kuwaelezea watu hadithi.

The time has come to cut off the vicious circle of failure.
Innuendos, fabrication, hatred and escapism will never solve the problem.

The problem which is within Swahilis and not Shia, Bohora or Ismaili must be confronted perfect and squarely by the same Swahili.
Mkuu wangu Nguruvi3, sina cha kukupa kama ishara ya shukurani kwa uchambuzi wako murua kama huu. Nakutakia kila la kheri kwa kuukata mzizi wa fitina. Kwa watu wenye busara na hekima zao watauona ukweli huu, kwa vijana waliojazwa chuki na fitna watakutukana lakini hwatafanikiwa kuubadirisha ukweli huu.
 
Nimekosoma.
 
Hapana mzee Mohamed, kufuatana lazima kuwepo kwa sababu ni wewe ambaye umekuwa ukijisifu kuwa maandiko yako yalikuwepo hata kabla Nyerere hajafa na wala hakuthubutu kuyapinga. Ni wajibu wako sasa kutuhakikishia kwamba Nyerere aliyasoma na kuyaafiki. Mbona unachomoa kiaina hapa?

G,

Nimeulizwa kama Nyerere kakisoma kitabu
changu.

Nikajibu alipewa mkononi.

Nikaulizwa Nyerere kapewa kitabu na nani.
Nikajibu na mtu sote akitufahamu.

Kejeli zikashuka.

Mimi kuondoa ngoma juani nikaona sina haja
ya kubisha na mtu.

Ndipo nikasema kwangu mimi kuwa Nyerere
kanisoma au vinginevyo si muhimu.

Juu ya hili Mwanakijiji akaendelea kunikejeli.
Ndipo nikamuuliza mbona tunafatanafatana?
 
Ahsante ndugu, kwa mfano anaposema " Mwaka 1968 kwa kupitia Wapakistan waliotoka Mombasa ambao walijificha chini ya mwamvuli wa EAMWS, walitaka kuigawa nchi. Hawa pamoja na Jamaiatu Issilamiya fil Tanganyika ni masalia ya AMNUT". alishuhudia mwenyewe au amesoma sehemu.
Mkuu watu wengi wanaojadili historia hapa kwaundani ni kuwa walikuwepo enzi za uhuru,

Na wengi wameisoma katika machapisho mbalimbali ya historia ya uhuru, ni tofauti na kusimuliwa vibarazani.
 
Mkuu wangu Nguruvi3, sina cha kukupa kama ishara ya shukurani kwa uchambuzi wako murua kama huu. Nakutakia kila la kheri kwa kuukata mzizi wa fitina. Kwa watu wenye busara na hekima zao watauona ukweli huu, kwa vijana waliojazwa chuki na fitna watakutukana lakini hwatafanikiwa kuubadirisha ukweli huu.

Gwalihenzi,

Wewe na mwenzako Gwalihenzi mmekuwa watu wa kupongezana tu.

Nakushaurini someni kitabu changu kabla hamjaja jamvini au mna haraka
ya kula hizi kashata za njugu na haluwa?

Sasa natoa amri kwa Zomba na Ritz kama mzee wa barza kuwa hakuna mtu
kupewa kahawa hadi awe amedurusu kwanza.

Kama hamjui kudurusu Dullah atakufahamisheni.

Soma hapo CHINI mipango ya EAMWS:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]The First Muslim Congress, 1962

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]After independence had been achieved in 1961 Muslims looked forward to the future with confidence. In 1962 a pan-territorial congress of all Muslim organisations was called in Dar es Salaam to discuss the future role of Islam in then free Tanganyika.

The following organisations attended: the East African Muslim Welfare Society, Daawat Islamiyya, Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika and the Muslim Education Union.

The congress agreed among other things of importance to establish a department of education under the auspices of the EAMWS. Muslims did not wait for the independence government to start fulfilling its pre-independence promise of redressing educational disparity between them and Christians.

Muslim initiated their own plans to complement government efforts. Plans were put on drawing board to build schools throughout Tanganyika and eventually build the first Islamic University in East Africa.

The congress elected Tewa Said Tewa a cabinet Minister, a veteran politician of the TAA and TANU founder member as Chairman of Territorial Council of the EAMWS.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]This was to be the beginning of antagonism between Muslims and the now Christian dominated government.

Politics of tolerance and conformity practiced during the struggle for independence now started to give way to politics of antagonism and witch-hunting as Muslim started to initiate plans to change the colonial status quo.

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The Second Muslim Congress, 1963

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] When the Second Muslim Congress was convened in Dar es Salaam later that year these serious issues were put forward for discussion. The Congress established beyond any reasonable doubt that there was a silent purge going on in TANU against Muslims and that there was national anti-Muslims campaign against leaders of the EAMWS. President Nyerere was invited to the closing ceremony and the congress registered its regrets to him. Nyerere talked at length on the Muslim problem and somehow managed to cool down the situation. But there was no doubt in the minds of the EAMWS leadership that there was an organised Church resistance against Islam and Muslims, using the Christian leadership in the Party and government to subvert Islam.

The Christian leadership in state institutions was now using state power against Islam so as to have the Church not only in control of the government but in control of TANU as well.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Proposal for an Islamic University,

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]In April, 1964 a strong delegation of the EAMWS consisting of Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Said Omar Abdallah, Tewa Said Tewa, EAMWS secretary Abdul-Aziz Khaki and a TANU elder, Mzee Mwinyijuma Mwinyikambi; Makisi Mbwana, Issa Mtambo, Omar Muhaji and Saleh Masasi left for a tour of Islamic countries to solicit financial support for the proposed Islamic University and to establish relations with the Muslim word. The government of the United Arab Republic of Egypt responded positively to the proposed Islamic University.

An agreement was signed in Cairo between Tewa Said Tewa on behalf of the EAMWS and Vice-President Sharbasy on behalf of the Egyptian government. The government of Egypt promised to build an Islamic University for the Muslim of Tanganyika to be owned and managed by the EAMWS.[1] Capital expenditure of the project was estimated at 55 million pounds sterling to be contributed by the United Arabic Republic of Egypt. From Egypt the delegation visited Jordan, Lebanon, Kuwait and Iraq.

This was a significant step in the history of Islam in Tanganyika. For almost a hundred years Tanganyika was open only to European countries and their various missionary organisations. For the first time in 1964, after almost a hundred years of colonialism, the country was opened up for contacts with the Muslim world.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]The EAMWS delegation returned back in May and Tewa held a press conference in which he announced the construction of the Islamic University.

Soon after the delegation had returned from the Islamic countries, President Nyerere made a cabinet reshuffle. Tewa Said Tewa, Chairman of Territorial Council of the EAMWS, was dropped from the government and appointed Ambassador to the People's Republic of China; Tewa left for China to take up his new post in January 1965.

It was believed Tewa's appointment to Peking was not unconnected with his efforts to mobilise Muslims and to unite them under one strong organisation.

By then a primary school education project approved by the Muslim Congress of 1962 were progressing well with schools being built in Ilala, Kigogo and Kurasini in Dar es Salaam; and Ruvu and Maneromango. The Maneromango primary school had a special significance because that was the first Muslim school ever built in Uzaramo. A secondary school project was also under way in Dar es Salaam, Kinondoni and Moshi, Kibohehe. The EAMWS had also concluded an agreement with the government of United Arab Republic of Egypt for thirty-five scholarships each year to enable Muslim students to study in Egypt. All in all, the EAMWS was very much alive and very active.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] Constitution, Rules and Regulation of theEAMWS (Chama cha Kustawisha Uislam Katika Afrika ya Mashariki)Dar es Salaam Printers Ltd., Reprint, 1960.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
'Eti mimi mwenyewe nina uwezo huo wa kuandika kitabu na kufifisha kitabu chako kwa siku 14 tokea nikitoe"

Thubutuu..!

uwezo huo uutoe wapi?unajitutumua bure tuh huna uwezo hata wa kuandika page walau moja na watu wakashughulika nayo,sembuse kitabu??

Wewe kaa ukipayuka chukii chukii,wakati wenzako wanakushushia nondo kila unapokaa na kusimama,

Nakupa heko kwa kuanzisha mjadala huu tuh,kwan umesaidia watu wengi kuijua historia hii,zaid ya hapo wewe ni mtupu tu kichwani,huna unalolijua..

Kama nulivyofanikiwa kukuweka katika uzi huu ndivyo nitakavyo kuweka katika andishi la kitabu ikiwa nitataka iwe hivyo.

Sioni sababu ya kushindwa, ikiwa tangu tarehe 12/1/2013 nimefanikiwa kukupa makazi yakudumu katika uzi huu kwa masaa 24/7, nitashindwaje kwa andishi la kitabu?

Faida unayoipata hapa ni robo tu ya kitakachu kuwamo kwenye andishi la kitabu hicho.
 
Mkuu watu wengi wanaojadili historia hapa kwaundani ni kuwa walikuwepo enzi za uhuru,

Na wengi wameisoma katika machapisho mbalimbali ya historia ya uhuru, ni tofauti na kusimuliwa vibarazani.

Mkuu vibarazani huwezi kupata historia ya uhuru? Chukua mfano baba yako nyerere yupo barazani anapata upepo huku anapata chai au chochote kile (sitaki niseme kahawa)!, akakueleza mambo ya uhuru hutaamini kwa kuwa yupo barazani?
 
Back
Top Bottom