Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Hivi kumbe serikali inaajiri kulingana na dini ya mtu...

Wakiwa waislam wengi sehemu tuite "mfumo mohamad" wakiwa wakristu wengi "mfumo kristu" wakiwa wapagani wengi "mfumo pagan" wakiwa wahindu wengi "mfumo hindu" wakiwa wachaga....wakiwa wamakonde....

Hivi Dubai nako kuna mfumo gani??

Nakukumbusha utoe solution kama uliemjibu alivyoomba...
 

Maswali ya kipuuzi yanajibiwa na majibu ya kipuuzi, hayo uliandika ndiyo majibu yako muruwa.
 
Hata mimi nikisema Mzee Mwanakijiji ana wivu binafsi na historia ya Mohammed Said na mafanikio yake,na kwamba Mzee huyu ametumwa aifanyie husda kwa kuzusha hili na lile hata kama hana ushahidi.Mtu anaweza akataka nipate barua kutoka kwa aliyemtuma au nilete mahojiano na Mzee mwenyewe.
Kwa mwenye akili na mwenye kufuatilia kauli zake na kupindisha ukweli hana haja ya vitu hivyo.Mwenendo wake tu unatosha kuwa ndio ushahidi wenyewe.
 
Hao Wakristo wasiomtukuza Nyerere hawakubaliani naye si kwa sababu ya Ukristo au Ukatoliki wake bali kwa kutofautiana kwa hoja, falsafa, na misimamo yake.
Wafuasi wengi na MS mwenyewe, mnatofautiana na Nyerere kwa sababu alikuwa Mkristo na Mkatoliki.
Wapi imeandikwa?.Tofauti ni juu ya uadui wake kwa wapigania uhuru waasisi na baadae kwa raia zake.
Imetokea tu kwamba uadui mara nyingi ulikwa kwa waislamu na huku yeye akiwa ni mkristo hivyo kwa waislamu inakuwa rahisi na ndio mantiki kuamini kuwa alikuwa ana chuki na uislamu ama peke yake au kwa kushirikiana na kanisa lake.
Akitokea mwanahistoria akatoa ushahidi kuhusisha uadui wake kutokana na dini yake basi hakuna haja ya maswali zaidi kuhusiana na sababu za uadui huo.
 
Hapa naona kama umewachafulia hali ya hewa wanamfumo.
Rudia hoja za Kitwana Kondo bungeni.Kwamba uraiani waislamu ni wengi kwa mfano Dar es salaam.Ukiingia shule za mzingi wao ni zaidi ya 70% lakini idadi yao inashuka kila ukipanda juu.Jee watoto wa kiislamu wamezaliwa mataahira?.
Seminari za kiislamu unakusudia ziko kwenye hali duni.Hili litaepukika vipi wakati hatuna misaada mingine wala ruzuku kutoka serikalini kama hizo za wakristo.
Hao akina Swai Muhimbili tunakwenda hatuna budi na tunawaogopa.Muulize muhadhiri fulani wa mihadhara ya kiislamu ana ushahidi wa kutosha.Huko utawapataje akina Pazi wakati wanabanwa tangu msingi mpaka kwa Ndalichako.
Unapozungumza angalia mantiki ya hoja zako.
 
Unaweza kujua vipi hiyo ratio? mbona unaomba kitu kisichowezekana? Hivi kweli unaweza kupata ratio hiyo? how? jaribu kupendekeza njia ya mtu kufanya...
Huna lolote.
Hizo ratio mbona zipo na hata kwenye uzi zipo.Unachotaka kabisa hakieleweki.
 
Huko usiogope unapogusiwa.
Hoja uliyotaka kuleta ni kuwa waislamu hawana mwamko wa elimu.Iweje wawe waislamu wa Tanzania pekee?.Inaonekana kuna mfumo unaowakwaza.
Unajuwa watu wa mwanzo waliochangia ujenzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam?.Kwanini waislamu walikuwa wengi kuliko wakristo?.Na kwanini waislamu ndio watu wa mwanzo kutaka kujenga chuo kikuu Tanzania pale Chang'ombe?.
Ukirudi kwenye historia mbona waislamu ndio wavumbuzi wakubwa wakati wakristo wakiwa gizani?.
 

Mag,

Unaniuliza kuhusu mbinu.

Mbinu ni hii.

Unajua Waislam Allah ametuamuru kitu ambacho dini nyingine
zote hazina.

Kitu hiki kinaitwa "sijda."
Yaani kusujudu wakati tukiswali.

Tunapokuwa na dhiki kubwa wakati tukiswali tunapokwenda sijda
tunapokuwa nyuso zetu ziko chini pale ndipo binadamu anakuwa
karibu sana na Allah.

Katika hali kama hii Waislam humshtakia Allah matatizo yetu.
Ndiyo maana juu ya kuwa tunahujumiwa Uislam haujatetereka.

Mfano wa karibu sana ndiyo huu.

Humu tuko Waislam wachache sana tunapambana na nyinyi tena
kwenye uwanja wenu na tunakushindeni.

Hii ni ahadi ya Allah kuwa sisi tutashinda.
 

Ami,

Huyo jamaa kaja na hoja za kitoto sana anataka kutuaminisha kuwa vijana wa Kigoma, Mtwara, Pwani,Uislam wao ndiyo unawafanya wasipende shule.

Vipi vijana wa Dubai, India, Brunei, Singapore, Indonesia, Iran, Misri, nao Uislam wao ndiyo unawafanya wasipende shule.
 
Last edited by a moderator:

fahamu bakwata kipo kisiasa zaidi kuliko kidini wewe fatilia kesi ya ponda na unafiki wao
 

tatizo la mfumo kristo tz ni msingi ulio asisiwa hapo mwanzo hata kama viongozi wa juu ni waislam ni vigumu kuundoa kwani msingi wake ni mkubwa na unalindwa kwa kila hali
 
Maswali ya kipuuzi yanajibiwa na majibu ya kipuuzi, hayo uliandika ndiyo majibu yako muruwa.

Toa solution ya kutokomeza mfumo kristu, acha jazba....au unataka wakristu wakupendekezee kisha urudi kulia lia ni mfumo kristu pia.
 

Kama umeona hiyo ndio proper solution, unatakiwa uanze na waislam wenzako ili wote kwa pamoja muweze kufanya "sijda" . Ili huyo Allah mwenye nguvu na mamlaka kuliko viumbe vyote aweze kuwaokoa na dhuluma hii ya makafiri.

Shida ni kwamba unaanza na wakristu kabla ya Allah na waislam wenzako.
 
Sawa umesema vizuri but labda nikuulize kujiita state na kutambulika kama state ni vitu sawa? Vatican inadai kuwa inajiita kuwa state but kimataifa haitambuliki kama state. Labda nikurudishe kwenye vifungu vya sheria a state in accordance to the international law and un charter states as follows:-

According to the Montevideo Convention on the Rights and Duties of States: "The state as a person of international law should possess the following qualifications: a) a permanent population; b) a defined territory; c) government; and d) capacity to enter into relations with the other states."34 These four factual criteria for determining statehood are founded upon principles that have been accepted by a host of international law scholars and are consistent with the foreign laws of some nations.

Sasa tutizame in international is vatican city a state? or a church soma hapa law scholars wanasemaje: The Holy See does not satisfy this definition of Montevideo. Almost by definition, it does not possess a defined territory Because the Holy See is the supreme organ of government for Catholics worldwide, it cannot be said to have a "permanent population." Finally, the Holy See is itself the government of both the Roman Catholic Church and the Vatican City It cannot therefore be regarded as an entity that possesses a government.

Tukirudi kwenye madai yako ya kuifananisha Vatican City na Iran hapo ndio unadhihirisha ulivyo mtupu kichwani katika maswala ya international law. Labda nikuulize Vatican City wana rais??? Vatican City wana serikali kamili? Iran wana rais, wana serikali kamili. Vatican inaongozwa na Holy See ambapo kiongozi mkuu ni Papa. Giuseppe Portello hana serikali na wala sio mwakilishi wa Vatican City. Yeye ni msimamizi wa Vatican City Operations na tunaweza kumfananisha na Katibu Mkuu Kiongozi. Labda nikuulize hebu tupatie Serikali ya Vatican ni ipi? Rais wa Vatican nani? Na je kama papa ni rais mbona alipotaka kukamatwa for Human Rights Abuses wakatoliki mlipinga? Mlipinga kwa vigezo vipi? Vatican can declare itself as a state kama walivyofanya waasi wa madhehebu ya kibudha kule Malaysia, Kamel Rug na kwengineko but KWENYE MACHO YA KIMATAIFA VATICAN SIO NCHI NILETEE VIGEZO VYA KISHERIA OTHERWISE NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK MWANAKIJIJI
 

Too much inferiority complex. Hii mbinu ya kuweka tone ya kutia hisia ni ya kizamani sana, lakini:

Naomba ushtakie matatizo ya mrundikano wa Vijana wasio na ajira.

Shtakia matatizo ya Wagonjwa wanaokufa kwenye hospitali za umma kwa sababu hawana pesa
za kumhonga nesi au Daktari (humo wamo wa kila kabila na rangi).

Shtakia matatizo ya rushwa katika nchi hii na uingiaji wa mikataba mibovu (Waathirika across the board)

Shtakia matatizo ya wananchi wanonyang'anywa ardhi yao na kupisha mwekezaji bila
kulipwa au kulipwa senti kidogo (mumo wa kila Imani wamo).

Shtakia viongozi wa Ofisi kuu wanaosema hawajui kwa nini nchi hii maskini ilhali wameomba
ridhaa wenyewe..........!

Shtaki, shtaki , shtaki...........Matatizo ni mengi unayajua katika nchi hii, na Allah kaumba wote.
 
Toa solution ya kutokomeza mfumo kristu, acha jazba....au unataka wakristu wakupendekezee kisha urudi kulia lia ni mfumo kristu pia.

Wala hakuna jazba solution wanatakiwa watoe serikali siyo mimi.
 

P,

Majibu yako yamekwenda sawasawa.
Ungejibu vinginevyo...

Allah audhubillah mindhalika angekuwa
kasema uongo.
 
tatizo la mfumo kristo tz ni msingi ulio asisiwa hapo mwanzo hata kama viongozi wa juu ni waislam ni vigumu kuundoa kwani msingi wake ni mkubwa na unalindwa kwa kila hali

Isalia,

Nakuwekea hapa machache tu jinsi mfumokristo unavyofanya kazi:

When he came into office President Ali Hassan Mwinyi maintained the staff which had diligently served his predecessor.

This staff could not conform to the new order and there were reports of disloyalty, split of allegiance and abuse of trust.

Confidential information found their way out of the President's Office into front pages of the private press. Prof. Malima advised Mwinyi to sack the whole lot because they had broken the government code of secrecy and have therefore proved to be untrustworthy.

The Christian lobby declared war on Prof. Malima and they vowed to smoke out Prof. Malima from the Office of the President.

And to this they were successful when Mwinyi transferred International Affairs to the Ministry of Foreign Affairs to form Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation.

Prof. Malima found himself working out of the President's Office.


Prof. Malima was already getting used to the idea of being unpopular even within his own party and government to the extent that in 1986 an unsuccessful attempt was made to nullify his parliamentary seat in the courts that would automatically disqualify him as cabinet minister.

This conspiracy was staged by member of the Central Committee of the party, in collaboration with a member of the National Executive Committee. In the court Prof. Malima while responding to a question said that he was hated for his academic achievements.


In the second term of President Mwinyi Muslims were agitating against the government on power distribution between themselves and Christians.

During the duration of the conflict there were psychological gains in Muslim camp. For the first time there were overtures from Muslim bureaucrats in the government who were sympathetic to the Muslim movement.

These overtures came into the fore at this particular time because Muslim bureaucrats in the party and government came to realise that indeed Tanzania was a Christian state in the making and was not at all secular as the state wanted people to believe.

When Zanzibar joined the OIC the Church and Christian bureaucrats in the government came all out to oppose Zanzibar's membership.

Donor countries all of them from the Christian world who supplements fifty percent of Tanzania's development and recurrent budget and investors began to have second thoughts on Tanzania's stability.

They began to point fingers at the division.

Their early warning system was put into full gear.

It is warned the government that, indications were that, Tanzania could be the next flash point in Africa after Rwanda and Burundi.

Donor countries saw Tanzania slowly but steadily moving towards a serious religious conflict.

Were Muslims bracing to rise against an unjust system?

It is in the Muslim disillusionment in the unfulfilled promises of independence, which was the source of that tension.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…