Haya maswali yako yote yanajibiwa na jibu moja tu.
Wanaopitisha waajiri serikalini ni Wakirsto wametokana na mfumo kirsto unategemea nini ukitaka uthibitisho angalia "Ratio" kati ya Waislam na Wakirsto katika wizara zote serikali pamoja na taasisi za umma.
Hivi kumbe serikali inaajiri kulingana na dini ya mtu...
Wakiwa waislam wengi sehemu tuite "mfumo mohamad" wakiwa wakristu wengi "mfumo kristu" wakiwa wapagani wengi "mfumo pagan" wakiwa wahindu wengi "mfumo hindu" wakiwa wachaga....wakiwa wamakonde....
Hivi Dubai nako kuna mfumo gani??
Nakukumbusha utoe solution kama uliemjibu alivyoomba...