Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mzee ms,
Kweli leo nimekubali wewe umezaliwa kaliaakoo.
Kwa chenga za mwili ni balaaaa!!???????
Inakuwaje kila utakachao andika tukuli tu?
Leo nimekuvulia kofia mzee wangu.
Mohamed kweli unamatatizo ya kufikiri! hivi hapa umeshinda kitu gani? umeshindwa kabisa kutetea upuuzi wako tangu mwanzo mpaka tulipofika hapa! uliishia kujaa hasira na kutoa majibu ya kitoto na kihuni "..eti na nyie andikeni histohisia ya wazee wenu.." umeishia kutoa dua kana kwamba sisi wote ni waislam wenzako, Mohamedi Pole sana, wewe na kundi la wapuuzi wenzako hamtakaa mshinde kwa sababu hamna msingi wowote wa madai yenu na wala hata hamjui mnadai kitu gani. Mohamed Saidi wewe ni bure kabisa, unachoweze wewe ni kusema uongo bila hata aibu! mtu mzima wa umri wako unajivunjia heshima, na wala hujui haya wala soni.
Mzumbe 1957
Gwalihenzi,
Unanionea bure.
nilichofanya ni kuandika yale yalotokea.
Sina uwezo wa kumchochea yeyote.
Nyambala, hakika kukaa kimya ni kutowatendea haki watu wa jamii yetu. Mathalan, kuna watu wataamini kuwa kulikuwa na hujuma EAMWS na zimeendelea hadi Darul Iman. Sababu kubwa itakayowafanya waamini ni ufundi tu wa lugha na wala si mantiki wala ukweli.
Hivi Mzee Saidi unapoongopa unajisikiaje?????????????? Hao Darul Iman wakakatazwa kujenga chuo cha ufundi ila wakaruhusiwa kujenga misikiti njia nzima almost at an interval of 80km ktk Tanzam highway ( Dar - Tunduma) na kile kipande cha Mbeya Malawi?????????? Na raisi wa nchi wakati huo wanakataliwa kujenga chuo alikuwa nani?
Turudi kwenye hilo la chuo, hivi ni nani vile alifisadi miradi ya Darul Iman mpaka wakaamua kusitisha funding????, hii si kwa ajili ya jamvi wape darsa vijana wako wanomeza bila hata kufikiri. Ila ukiongopa hadharani lazima tujitokeze kuweka records straight.
Kuna muda sijisikii kabisa kuchangia lakini uongo unapowekwa mchana kweupe na mtu anayedai kuwa ni nguli wa historia haitakiwi kupuuza. Maana kuna vijana wengi leo wanaziamini hizi hadithi za MS.
Nyambala, hakika kukaa kimya ni kutowatendea haki watu wa jamii yetu. Mathalan, kuna watu wataamini kuwa kulikuwa na hujuma EAMWS na zimeendelea hadi Darul Iman. Sababu kubwa itakayowafanya waamini ni ufundi tu wa lugha na wala si mantiki wala ukweli.
Jambo hilo litawatia hasira kama ambavyo ni rahisi kumkuta mtu akisema waislam wanaonewa.
Ukimuuliza atakwambia ndivyo ilivyo bila jibu.
Ukiona Mohamed anakimbia kimbia kuweka vipande hapa ujue anakimbia maswali. Hajibu anachotaka ni kuweka nukuu zake ili aendelee kupalilia hasira na chuki ndani ya jamii. Ndiyo maana tupo hapa kuweka record straight na kuonyesha upotoshaji.
Keshakimbia maswali yangu, ya Mag3, MM sasa anaelezea asichoulizwa.
Hta hivyo ukimsoma sana utaona jinsi aanavyojichanganya. Hapo juu ameonyesha Nyerere alivyokwenda Mpanda na kuhutubia hadi usiku wa manane bila mtu kuondoa mguu. Huyu ndiye tunaambiwa ana enziwa bila kufanya lolote kwa Watanzania. Huyu ndiye tunaambiwa alipofika Dar alikuwa hajui siasa na alipewa dude TANU likiwa na miguu na mikono tayari!
Naomba wasomaji warudie 9351 ya Mohamed halafu wajiulize ndiye huyu anasema wakristo hawakushiriki Uhuru wa nchi.
Kipande kizima kinapinga hoja zake mwenyewe.
Mohamed kweli unamatatizo ya kufikiri! hivi hapa umeshinda kitu gani? umeshindwa kabisa kutetea upuuzi wako tangu mwanzo mpaka tulipofika hapa! uliishia kujaa hasira na kutoa majibu ya kitoto na kihuni "..eti na nyie andikeni histohisia ya wazee wenu.." umeishia kutoa dua kana kwamba sisi wote ni waislam wenzako, Mohamedi Pole sana, wewe na kundi la wapuuzi wenzako hamtakaa mshinde kwa sababu hamna msingi wowote wa madai yenu na wala hata hamjui mnadai kitu gani. Mohamed Saidi wewe ni bure kabisa, unachoweze wewe ni kusema uongo bila hata aibu! mtu mzima wa umri wako unajivunjia heshima, na wala hujui haya wala soni.
Nyambala, hakika kukaa kimya ni kutowatendea haki watu wa jamii yetu. Mathalan, kuna watu wataamini kuwa kulikuwa na hujuma EAMWS na zimeendelea hadi Darul Iman. Sababu kubwa itakayowafanya waamini ni ufundi tu wa lugha na wala si mantiki wala ukweli.
Jambo hilo litawatia hasira kama ambavyo ni rahisi kumkuta mtu akisema waislam wanaonewa.
Ukimuuliza atakwambia ndivyo ilivyo bila jibu.
Ukiona Mohamed anakimbia kimbia kuweka vipande hapa ujue anakimbia maswali. Hajibu anachotaka ni kuweka nukuu zake ili aendelee kupalilia hasira na chuki ndani ya jamii. Ndiyo maana tupo hapa kuweka record straight na kuonyesha upotoshaji.
Keshakimbia maswali yangu, ya Mag3, MM sasa anaelezea asichoulizwa.
Hta hivyo ukimsoma sana utaona jinsi aanavyojichanganya. Hapo juu ameonyesha Nyerere alivyokwenda Mpanda na kuhutubia hadi usiku wa manane bila mtu kuondoa mguu. Huyu ndiye tunaambiwa ana enziwa bila kufanya lolote kwa Watanzania. Huyu ndiye tunaambiwa alipofika Dar alikuwa hajui siasa na alipewa dude TANU likiwa na miguu na mikono tayari!
Naomba wasomaji warudie 9351 ya Mohamed halafu wajiulize ndiye huyu anasema wakristo hawakushiriki Uhuru wa nchi.
Kipande kizima kinapinga hoja zake mwenyewe.
Kuna watu 90,000 plus and counting wananisikiliza.
Haijapata kutokea katika historia ya JF wenyeji wananambia. .
Ukiona mtu anaporomosha matusi kwa wenzake basi hoja zimemuishia.
Indeed Christian names appear in the dramatis personae of the play.
But no one can deny the truth that they did not occupy centre stage.
Ritz,
Bora kumkwepa.
Unaepusha shari.
Bora nusu shari kuliko shari kamili.
Mohamed, 90K hawakusikilizi wanasoma mnakasha. Wapo wanaoanza, wapo waliosoma na kuelewa au kutoelewa. 90K wanaona jinsi gani unavyoumbuka kwa kusema usichoweza kukitetea na kikubwa wamwjua agenda yako na kundi lako.Nguruvi,Kumbuka jambo moja.
Mimi hapa sizungumzi na Mag3 na wengine.
Kuna watu 90,000 plus and counting wananisikiliza.
Haijapata kutokea katika historia ya JF wenyeji wananambia.
Kwa ajili hii siwezi kusubiri maswali.
Pale ninapokiona kitu na kikanikumbusha kitu basi huamua
kutoa darsa.
Na hutoa kile ambacho kabla ya leo hakuna aliyekuwa anakijua.
Nani alikuwa anamjua Abdullah Said Kassongo, Chief Ngua nk. nk.
Sikimbii maswali najibu yale nilokuwa na majibu yake na yale
ninayoona yana tija.
Tustahamiliane ikiwa siwezi kukidhi haja zenu nyote.
Wenyeji wamekudanganya... angalia mada zilizosomwa na watu wengi zaidi JF zimesomwa na watu wangapi... sidhani hii imefika hata kwenye top 10...
Mohamed, 90K hawakusikilizi wanasoma mnakasha. Wapo wanaoanza, wapo waliosoma na kuelewa au kutoelewa. 90K wanona jinsi gani unavyoumbuka kwa kusema usichoweza kukitetea na kiklubwa wamjeua agenda yako. Hawakusikilizi Mohamed wengi sana wanshukuru maana wanasema ''waliingia chaka lako kichwa kichwa''
Na jinsi unavuokimbia hoja za watu ndivyo unavyowatoa mashaka kabisa.
Ukisema Darul Islam sisi tunaokunoyesha na kiwanja na ulaji uliofanywa na waislam wenyewe. Tunafahamu
Ukisema mfumokristo tunaonyesha umma jinsi mfumo huo usivyokuwepo na ni wa kufikirika.
Ukipindisha historia unainyosha, hapo juu umekiri kuwa Wakristo walishiriki uhuru. Imechukua page 450 kwako kuandika neno hilo.
90K wameona how you have been brought on youe knee by facts not fallacy.
Kurasa 4 nyuma kuna hoja zinatakiwa kujibiwa na Mohamed ikiwemo ile ya mwalim Mpakaistani Maliki kupewa deportation ya 24 hrs. Kwanini alipewa deportaion na je deportation ilikuwa uonevu au halali.
Jibu hoja usikimbie muungwana. Vijana wako wanashindwa kuelewa wasimame wapi ukiwa mleta hoja na mada na mwalim unakimbia kimbia hovyo. 90k wanasubiri ujibu hoja siyo ujichanganye ! ukikimbia hawakuelewi.
Bila Ushabiki, Mohamed Sadiki ana hoja...."kufufua wazee wake walio zikwa katika historia ya taifa letu" wanao mpinga pia wana hoja, kwamba "si kila mtu lazima mchango wake utambuliwe kwenye taifa hili, yani hata aliye wahi kumpa nyerere lift tu atajwe...." kwa aliye lainisha moyo wake akaweka hoja kati JIBU SAHIHI ANALOMohamed, 90K hawakusikilizi wanasoma mnakasha. Wapo wanaoanza, wapo waliosoma na kuelewa au kutoelewa. 90K wanaona jinsi gani unavyoumbuka kwa kusema usichoweza kukitetea na kikubwa wamwjua agenda yako na kundi lako.
In fact wengi walikuwa wanjiuliza tension za kidini chanzo chake ni kipi, wengi hawana shaka kuwa master mind wa akina Ponda, Ilunga ni wewe, na hakika wamefunguka macho kujua kuwa kuikulacho... Hakuna aliyejua kuwa mwandishi na msomi kama wewe unaweza kuwa chachu ya umwagaji damu, wanafuatilia sana na tutaweka wazi kila nukta na mstari wa agenda zako.
Hawakusikilizi Mohamed wengi sana wanshukuru maana wanasema ''waliingia chaka lako kichwa kichwa''
Na jinsi unavokimbia hoja za watu ndivyo unavyowatoa mashaka kabisa.
Ukisema Darul Islam sisi tunaokunoyesha na kiwanja na ulaji uliofanywa na waislam wenyewe. Tunafahamu
Ukisema mfumokristo tunaonyesha umma jinsi mfumo huo usivyokuwepo na ni wa kufikirika.
Ukipindisha historia tunainyosha, hapo juu umekiri kuwa Wakristo walishiriki uhuru.
Imechukua page 450 kwako kuandika neno hilo.
90K wameona how you have been brought on your knee by facts not fallacy.
Kurasa 4 nyuma kuna hoja zinatakiwa kujibiwa na Mohamed ikiwemo ile ya mwalim Mpakistani Maliki kupewa deportation ya 24 hrs. Kwanini alipewa deportation na je deportation ilikuwa uonevu au halali.
Jibu hoja usikimbie muungwana. Vijana wako wanashindwa kuelewa wasimame wapi ukiwa mleta hoja na mada na mwalim unakimbia kimbia hovyo. 90k wanasubiri ujibu hoja siyo ujichanganye ! ukikimbia hawakuelewi.
Yes huyo ndie aliyewageuka wazungu baada yakufika UNO nakuwa upande wa Mwalimu Nyerere
Mohamed, 90K hawakusikilizi wanasoma mnakasha. Wapo wanaoanza, wapo waliosoma na kuelewa au kutoelewa. 90K wanaona jinsi gani unavyoumbuka kwa kusema usichoweza kukitetea na kikubwa wamwjua agenda yako na kundi lako.
In fact wengi walikuwa wanjiuliza tension za kidini chanzo chake ni kipi, wengi hawana shaka kuwa master mind wa akina Ponda, Ilunga ni wewe, na hakika wamefunguka macho kujua kuwa kuikulacho... Hakuna aliyejua kuwa mwandishi na msomi kama wewe unaweza kuwa chachu ya umwagaji damu, wanafuatilia sana na tutaweka wazi kila nukta na mstari wa agenda zako.
Hawakusikilizi Mohamed wengi sana wanshukuru maana wanasema ''waliingia chaka lako kichwa kichwa''
Na jinsi unavokimbia hoja za watu ndivyo unavyowatoa mashaka kabisa.
Ukisema Darul Islam sisi tunaokunoyesha na kiwanja na ulaji uliofanywa na waislam wenyewe. Tunafahamu
Ukisema mfumokristo tunaonyesha umma jinsi mfumo huo usivyokuwepo na ni wa kufikirika.
Ukipindisha historia tunainyosha, hapo juu umekiri kuwa Wakristo walishiriki uhuru.
Imechukua page 450 kwako kuandika neno hilo.
90K wameona how you have been brought on your knee by facts not fallacy.
Kurasa 4 nyuma kuna hoja zinatakiwa kujibiwa na Mohamed ikiwemo ile ya mwalim Mpakistani Maliki kupewa deportation ya 24 hrs. Kwanini alipewa deportation na je deportation ilikuwa uonevu au halali.
Jibu hoja usikimbie muungwana. Vijana wako wanashindwa kuelewa wasimame wapi ukiwa mleta hoja na mada na mwalim unakimbia kimbia hovyo. 90k wanasubiri ujibu hoja siyo ujichanganye ! ukikimbia hawakuelewi.
hujaandika kilichotokea; unaandika unachofikiria kimetokea au kilipaswa kutokea...
Hata kama haijafika Top Ten lakini imebainisha baadhi ya kasuku na watu waliokwenda darasani.Wenyeji wamekudanganya... angalia mada zilizosomwa na watu wengi zaidi JF zimesomwa na watu wangapi... sidhani hii imefika hata kwenye top 10...