Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


asante sana nguruvi3 najivunia kukutana na mtu kama wewe humu jf. Kwa facts na hoja mujarabu umeweza kuzisambaratisha histohisia ya wazee wa kariakoo inayolazimishwa kuwa historia ya tanganyika.

Hakika mzee MS nashindwa kumtofautisha na Sheikh ILUNGA
 

Jokakuu,

Ile makala ya TANU mimi ndiye mwandishi ''In Praise of Ancestors'' (AE March/April 1988).

Ile yakina Twala sikuandika mimi.
Mhariri wa AE alikuwa Mohamed Mlamali Adam na yeye akifanya Barua Kutoka London.

Mimi nilifanya Barua Kutoka Glasgow katika miaka hiyo hiyo lakini wakinirekodi Bush
House London.

Hizo barua unaweza kuwauliza BBC Idhaa ya Kiswahili.
Nakuwekea kizawadi kidogo hapa chini:

''...One day Nabwa told me how Abdulaziz Twala met his death.

I was stunned.
I told Nabwa that Twala and Jaha Ubwa were friends of my father.

In our sitting room on the wall there was a photograph of my
father and Twala posing together.

When my father got information that his friend Twala had been
killed he removed the photo from the wall and I never saw that
photo again.

And from that day for whatever reason if he had tomention Twala
or Jaha Ubwa even among his friends my father whispered.

I was very young at that time to understand the fear which the
atrocities in Zanzibar had instilled into many people including
my father to the extent that he thought unwise even to retain
whatever memories he had of his late friends and be scared stiff
to even mention Twala’s name or that of Jaha Ubwa in public.

The day Nabwa related to me the story of Kassim Hanga and the
barbaricway he was killed, he brought back memories of the man as
I knew him in 1960s.

I told Nabwa that as a young boy of about 12 years of age I knew Hanga from a
distance because he used to come to the neighbourhood where we lived to play
‘bao.’

At that time Hanga was minister in the Union Government. I can’t even count
the times I saw Hanga at Gogo junction with Mchikichi Street sitting on
a mat playing the traditional game of ‘bao’ with very common people.

I told Nabwa I was there among the crowd at Mnazi Mmoja Grounds in front of
ArnautogloHall when Hanga was taken from Ukonga Prison and brought to a public
rally in which Nyerere jeered, ridiculed and humbled him publicly.

Hanga headbowed and his bespectacled face full of beard sat there in the scorching
sun silently wallowing in his humiliation. That was the last time Hanga was seen
in public...''

(Excerpts kutoka Obituary :''The Weeping and Whipping Pen of Ali Mohamed Nabwa
1936 -2007'' niliyoandika baada ya kifo cha Ali Nabwa na ikachapwa na The East African)
 
Last edited by a moderator:

Mohamed Said,

Mcheza hawi kiwete ngoma yataka matao.
 

Nguruvi,

Uislam umekataza dhulma.
Muislam Allah kamkataza kudhulumu na pia kukubali kudhulumiwa.

Hakika nikitaja Tanganyika nimetoa mwaliko.
Sadkta.

Lakini kaa ukijua historia ya uhuru wa Tanganyika haikamiliki
kama hukuwataja wazee wangu.

Ninaposoma faharasha (index) ya kitabu changu hufarajika sana.
Nakwenda jina moja baada ya jingine, moja baada ya jingine.

Reginald Mhango alisema hawezi kuchapa kumbukumbu ya miaka 20
ya Abdu Sykes hadi amepata ruksa kutoka Dodoma na sababu aliyotoa
ni kuwa kumbukumbu ile inagusa historia ya Tanganyika.

Tukamwambia hiyo ndiyo historia yenyewe na hayo yote yaloaandikwa
hakusingiziwa kayafanya na akipenda anaweza kuuliza ngazi ya juu kabisa.

Asubuhi Daily News na Uhuru zimechapa kumbukumbu.
 
Mzee Mohamed Said umekwama kwa hoja mpaka ukaamua kujikomba kwa Jasusi kiasi hiki! aibu! haya tunasubiri kuona kama kweli mkuu Jasusi atakubali kufugika kama walivyofugwa vijakazi wako wanaojaza kurasa humu kwa maneno ya kinafiki kila siku!
Gwalihenzi,
Ngoja hapa nimtetee Mohamed kidogo. Nilivyomwelewa mimi ni kwamba kuna wakati we belonged in the same circles. Nikisema leo naenda kumtembelea Wendo, au Bubi, nitakuwa natembelea watu ambao Mohamed anawafahamu. Mohamed yuko nyuma yangu ki-umri kidogo, lakini vijana niliozurura nao enzi zetu pale Aga Khan na St. Joseph (sasa hivi mnatuita wazee) ni vijana ambao Mohamed anawafahamu. Nikimtaja Othman Othman Chande, Mohamed Chande, Ebby Sykes, Abram Sykes, nataja circles za watu ambao Mohamed amekua nao tangu utotoni. That is how I understood him.
 
Wanaukumbi.

Ni kipi kilichofanya Denis Phombeah kukorofishana na Nyerere mpaka akakimbilia Uingereza akafia huko.
 
Tangu mjadala huu uanze bado hujatuonyesha dhulma hiyo ipo wapi kwa uislamu na muislamu wa Tanzania.

Kinachotajwa ni propaganda na uchochezi wa wewe na wenzio tu.
 
Wanaukumbi.

Nani anaweza kutupa historia ya hichi chama United Tanganyika Party (UTP)
 

Unganisha na miezi 18 ya kujifunga mkanda baada ya vita vya Kagera!
 
Wanaukumbi.

Ni kipi kilichofanya Denis Phombeah kukorofishana na Nyerere mpaka akakimbilia Uingereza akafia huko.

huyo nae ni kwani muislamu wa kariakoo alidhulumiwa kwenye historia ya uhuru???
 

Mwenye kutokuelewa ni wewe. Malkia ni Mkuu wa Uingereza. The post is ceremonial. Malkia ni Mkuu wa Kanisa la Uingereza. The post is ceremonial. The difference is the same. Sihitaji maneno marefu kama wewe kusisitizia point kuwa Malkini ndiye mkuu wa Kanisa la Uingereza.

She is Supreme Governor of the Church of England and, in some of her realms, carries the title of Defender of the Faith as part of her full title.
Sasa misumari iko wapi ndugu yangu?
 
Hotuba hiyo yamaandishi unaikubali ama unaipinga?

Yericko,usijitoe ufaham,swali gani sasa hili??

tumekuambia basi tukutumie kias gani cha hata tigo pesa kwenye line yako hii 0715 865544??
ili uende TBC chap chap ukaichukue kama ulivyoahid kimya...!!

Sasa swali hilo unauliza ipi mantik yake?
 
Last edited by a moderator:
Swali ni kuwa, je, hujasema kuwa Nyerere alisema hamfaham Abdul Sykes. Hilo ndilo swali la muhimu.

Bandikeni Basi ile AUDIO speech tumalize ubishi,dana dana za nini??

Mara mwacheza Football mara mwacheza Netball..
 
Son...
Huna cha kuzungumza kwa ile ''excerpt'' niliyokuwekea ya Sheikh Kassim?

sheikh Kassim akipiga sana kelele baada ya sala za ijumaa dhidi ya serikali-sisi na upeo wetu mdogo wakati huo tulikuwa tunashangaa sana-but what i found out later ni kwamba serikali ikimdharau sheikh kassim na kudissmiss kelele zake as "rantings of a mad man". Fact is in his later years he was insane kwa laana ya matendo yake kwa vijana
 
Swali ni kuwa, je, hujasema kuwa Nyerere alisema hamfaham Abdul Sykes. Hilo ndilo swali la muhimu.

Ndiyo ni kweli Nyerere alisema yeye hakumbuki Abdulwahid alikuwa na cheo gani katika TAA wakati yeye anajiunga.

Gazeti la serikali Daily News siku ya pili yake lilisahisha hotuba ya Nyerere na kusema kuwa Nyerere alipojiunga na TAA Abdulwahid Skyes alikuwa katibu.

Ukweli hasa ni kuwa Abdulwahid alikuwa rais wa TAA.

Mkanda wa sauti ya hotuba hiyo unapatikana maktaba ya Radio Tanzania sasa hivi TBC.

Yericko mtoto wa Nyerere alikwenda TBC akasema wanauza lakini mpaka leo ajasema kiasi gani.

Son of Alaska,

Naye alituambia kuwa ndani ya masaa 24 ataiweka hiyo hotuba leo unakwenda mwezi wa nne hakuna hotuba wala asemi chochote tena.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…