Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mohamed, kadri unavyoongea ndivyo unavyowatoa mashaka wale waliokuwa nayo.
Nyerere alitoa nishani hizo kwa akina nani katika kundi la wazee wako na kumsahau Abdul?
Je, Mwinyi aliyemfuata Nyerere alitoa ngapi na kwa akina nani na kwavipi alimsahau Sweet abdul.
Endapo hutakuwa na jibu basi nitakuomba urudi nyuma post# 10828 umpongeze yule muungwana aliyesema kuhusu jaribio dhaifu.
Mzee ms,Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani.Tatizo lako kubwa ni mdini sana, laiti usingekuwa mdini una mengi ya kujifunza kutoka kwako.Kingine kama we ndo unaetoa hili darsa, basi usikwepe maswali.ili sie tusojua tupate ilim. Jibu kila kitu kwasababu upo hapa kueleza yale yaliyofichwa.
Lile tulishalimaza nilikuwa naweka sawa tu kuhusu kauli yako kuwa nauliza tu.Hilo lisikutie wasi wasi.
Tuendelee na hili la mfumokristo, je, kwa ufupi sana nini definition halisi. Tumekuwa tunasikia tu mfumokristo kila mtu akija na lake, sasa wewe maalim mtoa darsa unaweza kutupa maana tu kwa uchache ili wakati mnakasha unaendelea basi tujue tunaongelea nini.
Ze...
Zipo DVD zangu zinauzwa nazungumzia haya.
Zitafute.
Sina darsa lolote.
Ndiyo huyo huyo mkuu,west wanamrefer kama Saladin.Jmushi,
Ni Salahuddin.
Mwanakijiji siku zote na kwambia unachuki sana na uislamu lakini nakusikitikia sana hivi Uganda ni mwanachama wa OIC nayo ni nchi ya kiislamu msumbiji,uingereza ziko nchi nyingi zimejiunga na jumuiya ya OIC likini sio nchi za kiislamu ila hizi propaganda sijui zitakufikisha wapi mkuu hebu jaribu kuwa fear.Mdondoaji; soma mada yangu kuhusu OIC niliyoandika mwaka 2007; mimi sina tatizo na Tanzania kuwa na Ushirikiano wa kibalozi na OIC as a matter of fact labda nilikuwa mtu wa kwanza kutaka hilo lifanyike kwa kanuni hiyo hiyo ya kuwa tuna ushirikiano na Holy See. Tatizo ni kuwa kwenye kauli yako umechanganya mambo; "kujiunga" kuwa mwanachama wa OIC siyo sawasawa na kuwa na uhusiano wa kibalozi. Nakuhakikishia hutakutana na mtu yeyote anayeelewa mambo ambayo anaweza kupinga Tanzania isiwe na uhusiano wa kibalozi na OIC; none. At least not among those I know.
Hili la kuwa na uhusianow a kibalozi lilikuwa ni jambo rahisi sana na lilipaswa kufanywa tangu zamani. Tatizo ni kuwa wapo wanaotaka Tanzania iwe mwanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu. Tanzania siyo Mwanachama wa Holy See au wa Vatican City State! Sasa kwanini unalinganisha maembe na samaki? Kama unataka Tanzania iwe na uhusiano wa kibalozi na OIC jiunge kwenye treni wengine tulishaitisha hilo miaka mingi imepita sasa!
Tanzania haijajiunga na Vatican au Holy See kwanini ijiunge na OIC? Unataka Tanzania iwe na uhusiano wa kIbalozi na OIC kama ilivyo kwa taasisi nyingine za kimataifa au unataka Tanzania iwe mwanachama wa Nchi za Kiislamu? Well, angalau umesema unataka uhusiano wa kibalozi (a position that I had taken many years back) lakini wengine hawataki uhusiano wa Kibalozi; wanataka Tanzania iwe nchi ya Kiislamu kwa kujiunga na OIC (kuna masharti ya uanachama mwanachama anatakiwa kuyakubali na baadhi ya masharti ya OIC ni ya kidini).
Tukubaliane tutilie mkazo Tanzania iwe na uhusiano wa kibalozi na OIC kama ilivyo na Holy See (I just noticed the two words rhymes)!?
Karibu upande huu; lakini siyo kujiunga kwani kama
Unasemaje ndugu yangu? Maana ninachoona unachotaka hasa ni equity kuwa kama Tanzania ina uhusiano wa kibalozi na Vatican kwanini isiwe na uhusiano wa kibalozi na OIC. Hili halina shida; lakini humo humo umechanganya na kujiunga; hiyo siyo equity.
Mzee ms,Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani.Tatizo lako kubwa ni mdini sana, laiti usingekuwa mdini una mengi ya kujifunza kutoka kwako.Kingine kama we ndo unaetoa hili darsa, basi usikwepe maswali.ili sie tusojua tupate ilim. Jibu kila kitu kwasababu upo hapa kueleza yale yaliyofichwa.
Mdondoaji,
Umenikweza bure.
Mie sijafikia makamu hayo yenu ingawa natamani.
Lakini jua limeshakuchwa Maghrib sasa kwangu mimi.
Mwanakijiji siku zote na kwambia unachuki sana na uislamu lakini nakusikitikia sana hivi Uganda ni mwanachama wa OIC nayo ni nchi ya kiislamu msumbiji,uingereza ziko nchi nyingi zimejiunga na jumuiya ya OIC likini sio nchi za kiislamu ila hizi propaganda sijui zitakufikisha wapi mkuu hebu jaribu kuwa fear.
Mgashi,
Kwangu mimi dini ndiyo muongozo.
Dini ndiyo inayonifunza nisidhulumu wala nisikubali kudhulumiwa.
Dini ndiyo inayonifunza kuwa mtu mwema kwa binadamu wenzangu
na mengi mengine yenye tija kwa jamii.
Ukiniondolea dini nitakuwa kinyume cha hayo yote Allah apishie mbali.
Mgashi,
Kwangu mimi dini ndiyo muongozo.
Dini ndiyo inayonifunza nisidhulumu wala nisikubali kudhulumiwa.
Dini ndiyo inayonifunza kuwa mtu mwema kwa binadamu wenzangu
na mengi mengine yenye tija kwa jamii.
Ukiniondolea dini nitakuwa kinyume cha hayo yote Allah apishie mbali.
Kwanini apeleke Marekani na sio Saudia au Somalia?Ulivyoandika sheikh chukua papers zako nenda chuo cha marekani ziunganishe upate a research problem halafu zipresent watakupa PhD huna haja ya kufanya research nyengine.
Ulivyoandika sheikh chukua papers zako nenda chuo cha marekani ziunganishe upate a research problem halafu zipresent watakupa PhD huna haja ya kufanya research nyengine.
Ulivyoandika sheikh chukua papers zako nenda chuo cha marekani ziunganishe upate a research problem halafu zipresent watakupa PhD huna haja ya kufanya research nyengine.
Sikiliza ninakupuuza sana ndio maana sijibu hoja zako. Hili nalijibu kwasababu pamoja na kutoa hoja hovyo Mohamed anaonekana kukbaliana na wewe.Tatizo jengine la Nguruvi na wenzake,ni kulazimisha jibu hata Mohammed akisema jambo fulani halimhusu au hana ujuzi nalo kuliko wengine.
Inakuwaje unamlazimisha Mohammed akupe majibu yanayomhusu zaidi Jumbe na Ilunga?.
Hata kama atakuwa na majibu kulingana na uzoefu wake lakini hakuna mantiki kulazimika kujibu kuhusu watu wengine ambao wako hai na wewe una uwezo wa kuwafikia na kuwauliza kupata undani halafu ukaja nao hapa jamvini na sisi tukafaidika.
Usikwepe swali, ilikuwaje Mwinyi asimpe nishani Abdul?Nguruvi,
Hujui ihsani kati ya Abdu na Nyerere.Hili ndilo tatizo lako.
Usikwepe swali, ilikuwaje Mwinyi asimpe nishani Abdul?
Katika wazee waliopigania Uhuru wangapi walipewa nishani na kumuacha Sweet Abdul.
Haya ya hisani na nini hata wewe huyajui. Abdul akifariki wewe una miaka 16. Nyerere akikanyaga Dar utungo wa mimba iliyokuzaa haujatokea! Turudi kwenye hoja
Na kwa mantiki hiyo si Kikwete!Nguruvi,
Inaelekea wewe ni mgeni katika historia ya TANU.
Huifahamu na hutaki kuuliza ukaelezwa.
Ndipo nilipokuambia kuwa hujui ihisani kati ya Abdu na Nyerere.
Wa kumpa nishani Abdu si Mwinyi.
Sikiliza ninakupuuza sana ndio maana sijibu hoja zako. Hili nalijibu kwasababu pamoja na kutoa hoja hovyo Mohamed anaonekana kukbaliana na wewe.
Mohamed na Ami, kuhusu suala la Jumbe hakuna mahali nimemuuliza Mohamed. Swali langu lilimlenga Mdondoaji baada ya kuweka hoja kuwa ''Jumbe alisema kama nchi haina dini mbona tuna ushirikiano na Vatican''?
Ami wewe sikujibu kwasababu sina sababu ya kukujibu. Watu wengi walinishauri nipuuze baadhi yenu na ndivyo nifanyavyo. Mohamed, kuna msemo mmoja katika kabila fulani usemao '' Ukioga na watoto mtoni hutakati'' Fikiria