Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Sikiliza ninakupuuza sana ndio maana sijibu hoja zako. Hili nalijibu kwasababu pamoja na kutoa hoja hovyo Mohamed anaonekana kukbaliana na wewe.
Mohamed na Ami, kuhusu suala la Jumbe hakuna mahali nimemuuliza Mohamed. Swali langu lilimlenga Mdondoaji baada ya kuweka hoja kuwa ''Jumbe alisema kama nchi haina dini mbona tuna ushirikiano na Vatican''?
Ami wewe sikujibu kwasababu sina sababu ya kukujibu. Watu wengi walinishauri nipuuze baadhi yenu na ndivyo nifanyavyo. Mohamed, kuna msemo mmoja katika kabila fulani usemao '' Ukioga na watoto mtoni hutakati'' Fikiria
Sio kunipuuza bali huwa unashindwa kujibu kwa kukosa hoja.Vyenginevyo unaogopa kunijibu kukwepa aibu.
Nilijua zamani utakapoibuka basi utakuja na dai la kunipuuza.Hata Mwanakijiji alisema hivyo lakini kwa vile nilikuwa niko nyuma yake nikamkamata ndipo akaufyata.
Tofauti na mitaani hapa mimi niko na wewe na wengine kama wewe.Sina shida nyengine yoyote kwako ila kukuonesha jinsi ambavyo unashindwa kutetea hoja zako na huku ukijaribu kumtukana Mohammed kwa sababu za kijinga ilimradi tu kutetea mfumokristo.
Kadri unavyojitia kunipuuza wasomaji watakujua ujinga wako.
Hivi uliponukuu andiko ukasema ni kutoka kitabu cha Mohammed na ulipojibiwa kuwa si hivyo halafu ukakaa kimya bila kuomba samahani hapa umenipuuza mimi au umejifedhehesha?.
Pale uliposhikilia kuhusu jarida la Africa Events halafu jibu ukapewa na ukakaa kimya ulikuwa umenipuuza mimi au uliishiwa na maneno kujitetea?.
Wanajamvi hapa ndipo kila siku tunasema wakati mwingine watu wanajadili kitu bila kujua wanajadili nini. Mohamed anafahamu wazi kuwa hana definition ya maana kuhusu ndeno mfumokristo na ile aliyokuwa nayo akiitoa haiwiani hata kidogo na madai yake. Amejitahidi kukwepa hoja hiyo muhimu akijua kuwa jibu lake linaweza kumaliza mjadala kabla haujaanza. Ametuwekea mfumo unavyofanya kazi ingawa hatujui mfumo ni nini.Mohamed Said;6019051]Nguruvi,Nikitoa maana haitakuwa na tija si kwako wala kwa watazamaji.Mimi Insha Allah nakuwekea hapa vipi mfumokristo unavyofanya kazi.
Ni mwinyi huyo huyo alikuwa sehemu ya serikali ya Nyerere ambayo muslims walikuwa agitated na against.The Reign of Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995
But after years of Muslims being reduced to third class citizens the Tanzania polity had drastically changed, the country was confounded with religious animosity.Pressure had begun building up since Nyerere was in power and Muslims had begun agitating against the government. President Ali Hassan Mwinyi found himself facing a religious problem which he did not bargain for.
Mohamed hakueleza Mwinyi aliwezaje kuwa rais katika serikali iliyokuwa dominated na Christians.Under such a politicalclimate President Mwinyi could not augur well with a Christian dominated cabinet and the civil service as the bureaucrats in these institutions deep intheir hearts resented a Muslim head of state
Hapa tunaona CCM ilivyomdhulumu Mwinyi na Waislam. Ni CCM hiyo hiyo ambayo leo unatueleza ulipita na wenzako misikitini mkinong'onezana waichague. Mohamed, position yako katika CCM ni ipi?Joining in this anti-Mwinyi anti Muslim campaign was the newly established free press controlled by the Christian lobby. In a daring and dramatic encroachment of the Church into politics, the Tanzania Press Club hosted Reverend Christopher Mtikila, secretary of Full Salvation Church.
In that press luncheon of the Tanzania Press Club Mtikila attacked Mwinyi's government as being corrupt echoing Nyerere's speech of February that year. [1] Mtikila was not a new name in this anti-Mwinyi campaign.
Mo ameshau kuwa Mtikila alifungwa kwa kosa la kumkashifu Nyerere tena akiwa Marehemu. Leo anatuaminisha kuwa ni Mtikila huo kwa kupitia Nyerere ndiye alikuwa anatumika. Vipi CCM ikamtosa na kumfungulia mashtaka hadi kwenda Jela.Nani alikuwa chaguo la Nyerere? Kwa sasa tunafahamu kuwa Salim Ahmed ndiye alikuwa chaguo. Je, Salim naye ni sehemu ya Christian Lobby?But why was Nyerere quite while this was happening? Nyerere never liked Mwinyi simply because he was not his preferred choice for presidency.
Mo usiache vitu hewani, ulitakiwa ufunguke na kueleza who Nyerere's choice.Kwanini ndani ya Christian dominated gov Nyerere alishindwa? Na endapo alishindwa kum-sideline Mwinyi je aliwezaje ku-impose nomination ya Joseph Warioba.When he failed to sideline Mwinyi from the presidency post he imposed JosephWarioba on Mwinyi as Prime Minister. While handing over power to Mwinyi, hes ubmitted a proposal to for the new cabinet in which an unknown and new face in the cabinet with no CCM credentials whatsoever, Joseph Sinde Warioba from Nyerere's home area was chosen as First Vice President and Prime Minister.
Umesema Warioba hakujulikana ndani ya chama. Wakati akichaguliwa alikuwa na wadhifa upi ndani ya ''functionaries'' za CCM.
Hivi aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali alikuwa nani na aliyewahi kuwa waziri wa sheria alikuwa nani kama si Sinde!
Umesema alimchagua kwasababu wanatoka hometown moja, je ndivyo mwiny alivyofanya kwa Diria au Amina
.Kabla ya uteuzi wa Mwinyi, Mohamed alipaswa kuwaeleza wasomaji Prof Malima alikuwa na nyadhifa gani wakati wa Nyerere.But what angered Nyerere most was that amidst all the interference and Nyerere's influence,President Mwinyi appointed Prof. Malima as his closest advisor and topa ssistant and confidant in government affairs by making him Minister of State in the President's Office responsible for Cabinet Affairs and InternationalCo-operation
Tungalie sehemu ya pili....
Na kwa mantiki hiyo si Kikwete!
[/QUOTE]Wanajamvi hapa ndipo kila siku tunasema wakati mwingine watu wanajadili kitu bila kujua wanajadili nini. Mohamed anafahamu wazi kuwa hana definition ya maana kuhusu ndeno mfumokristo na ile aliyokuwa nayo akiitoa haiwiani hata kidogo na madai yake. Amejitahidi kukwepa hoja hiyo muhimu akijua kuwa jibu lake linaweza kumaliza mjadala kabla haujaanza. Ametuwekea mfumo unavyofanya kazi ingawa hatujui mfumo ni nini.
Kwa taarifa ya wasomaji muasisi wa neno mfumokristo ni Mohamed. Neno hilo kwavile halina definition limetumika na watu na kupoteza maana nzima hata pale ambapo kuna hoja ya maana. Jokakuu amenikumbusha kauli yangu miaka miwili niliyoandika hapa kuwa tatizo siyo hoja ni watu wanaoibeba hoja. Tumeona mwenzetu Mdondoaji akijenga hoja na kumnukuu Rais Jumbe wakati huo, tumemuuliza ufafanuzi wa kauli ile kuhusu ''serikali kama haina dini kwanini inamshirikiano na Vatican'' ameshindwa kuitete. Haya ndio matokeo ya kubeba kitu kizima kabla ya kukiangalia upside down.
Pamoja na kukwepa hoja ya definition ya Mohamed Said, hebu tuangalie kule alikokimbilia akidhani ataweza kutuondoa katika hoja. Hata hivyo wanajamvi waelewe kuwa Mohamed hana definition ya mfumokristo ana maelezo.
Kwa maneno mengine Mohamed anajua gari linavyokwenda lakini hawezi kueleza gari ni kitu gani.
Tuendelee hapa.Ni mwinyi huyo huyo alikuwa sehemu ya serikali ya Nyerere ambayo muslims walikuwa agitated na against. Mo anasema waislam walikuwa raia wa daraja la tatu. Hakueleza daraja la kwanza na la pili akina nani. Hii imewekwa kwanza kujenga hasira kwa msomaji kabla hajalishwa habari inayokusudiwa. Mohamed hakueleza Mwinyi aliwezaje kuwa rais katika serikali iliyokuwa dominated na Chritians. Je alitokea msituni au aliingia madarakani kwa njia za deomkrasi ndani ya mfumo ule ule wa Christian dominated government.
Lakini anapopotosha zaidi ni pale anaposema uwezo wa mwinyi ulififishwa na baraza la mawaziri lililokuwa limetawaliwa na Christians.
Sote tunajua kuwa baraza la mawaziri linachaguliwa na Rais na Rais huyo huo ana uwezo wa kumuondoa waziri asiyekubaliana naye.
Ilikuwaje yeye akaishi katika mazingira hayo magumu akiwa na uwezo wote kama Rais?Na je aliwezaje kumuondoa naibu waziri mkuu Mrema katika hali kama anayoisema?Hapa tunaona CCM ilivyomdhulumu Mwinyi na Waislam. Ni CCM hiyo hiyo ambayo leo unatueleza ulipita na wenzako misikitini mkinong'onezana waichague. Mohamed, position yako katika CCM ni ipi?
Mo ameshau kuwa Mtikila alifungwa kwa kosa la kumkashifu Nyerere tena akiwa Marehemu. Leo anatuaminisha kuwa ni Mtikila huo kwa kupitia Nyerere ndiye alikuwa anatumika. Vipi CCM ikamtosa na kumfungulia mashtaka hadi kwenda Jela.Nani alikuwa chaguo la Nyerere? Kwa sasa tunafahamu kuwa Salim Ahmed ndiye alikuwa chaguo. Je, Salim naye ni sehemu ya Christian Lobby? Mo usiache vitu hewani, ulitakiwa ufunguke na kueleza who Nyerere's choice.Kwanini ndani ya Christian dominated gov Nyerere alishindwa? Na endapo alishindwa kum-sideline Mwinyi je aliwezaje ku-impose nomination ya Joseph Warioba.
Umesema Warioba hakujulikana ndani ya chama. Wakati akichaguliwa alikuwa na wadhifa upi ndani ya ''functionaries'' za CCM.
Hivi aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali alikuwa nani na aliyewahi kuwa waziri wa sheria alikuwa nani kama si Sinde!
Umesema alimchagua kwasababu wanatoka hometown moja, je ndivyo mwiny alivyofanya kwa Diria au AminaKabla ya uteuzi wa Mwinyi, Mohamed alipaswa kuwaeleza wasomaji Prof Malima alikuwa na nyadhifa gani wakati wa Nyerere.
Tungalie sehemu ya pili....
[1]Business Times, 22 June, 1990.
[2]In October,1989 the Chairman of the Sudan People's Liberation Movement (SPLM) Colonel John Garang visited Tanzania. Garang received a very warm reception from the University Community which is predominant Christian. The academic staff as well as students went out of their way to potray Garang as a "true son of Africa", and a crusader against Muslim hegemony in Sudan. And Garang cherished every moment of it. The ten percent Muslims at Dar es Salaam University did not even dare pose a single question to Garang much as it was evident that Garang was fighting an anti-Muslim war in the name of war of liberation. It was not a wonder that Garang was receiving military assistance and moral support from Christian controlled governments Tanzania being one of them. Garang really felt at home. Garang himself a Marxist Christian was speaking in a Marxist School and among fellow Christians. Probably in response to this visit by Garang, theg overnment of Al Bashir sent its official delegation to try and explain to the people of Tanzania its own point of view to the conflict. The Sudan government delegation was coldly received at the University. Protocol was flouted shamelessly. While Garang was accorded all the honours fit for a head of state, the Vice Chancellor himself receiving him, the Sudanese government delegatio nwas received by one of the academic staff in the Department of Political Science. The Vice Chancellor was conspicuously absent. Garang spoke in the famous Nkrumah Hall, the venue for all visiting dignitaries. The Sudanese government delegation was ushered hurriedly into a lecture theatre. The University administration knows who can speak in the lecture theatre and who cannot speak in Nkrumah Hall. The University community made sure that the Sudan government delegation understands that it had walked into an alien territory,where Islam in whatever form was not tolerated. Hostility through rhetoric in the question posed to the delegation was evident from every angle. But the speakers were not intimidated they were cool and composed taking everything in their stride. The audience seemed only interested in painting the delegation as descendants of Arab slave traders presenting an anti- Christian regime. Islam was taken to be synonymous to Arabism by the born-again Christians in thea udience who posed questions, while the Marxists thought the conflict in Sudan could be solved through class struggle and advised the delegation that the problem could be understood better through class analysis. It was clear that the audience was either ignorant of the background to the conflict or was so much taken by anti-Muslim sentiments portrayed by international press that it lost allobjectivity, untypical trait of academicians.
[3]This was the time that Mwinyi confided to Prof. Malima that there were people within the office of the president who had duplicates keys to his drawers and were stealing documents. Mwinyi, Prof. Malima confided to my informant looked scared and while he was reporting this to Prof. Malima, Mwinyi was speaking in very low tones, whispering as if fearing his office was bugged.Prof. Malima advised President Mwinyi to transfer that entire staff and bring in new people who would have allegiance to him. At this time Prof. Malima started to receive hate mails which he turned over to the Intelligence for investigation but nothing came out of those investigations.
Soma vizuri ndugu yangu, naona kama umechanganyikiwa kidogo. Nimeandika mara 2 kuwa swali la Jumbe si lako ni la Mdondoaji. Wewe umedandia tu hoja za kitoto za Ami.Nguruvi,
Sina ujuzi wala makamo ya kumjibia kitu Mzee Jumbe.
Kwenye definition nshamaliza, huna. Nipo katika bandiko lako nimejibu hoja zako. Hii ni njia yako ya kukwepa hoja tushaizoeaNguruvi,
Unasubiri ''defination'' sawa wako watakaokupa.Tusubiri ''defination'' kwa wanajamvi kisha tutaendelea Insha Allah.
Kwanini apeleke Marekani na sio Saudia au Somalia?
Wanajamvi hapa ndipo kila siku tunasema wakati mwingine watu wanajadili kitu bila kujua wanajadili nini. Mohamed anafahamu wazi kuwa hana definition ya maana kuhusu ndeno mfumokristo na ile aliyokuwa nayo akiitoa haiwiani hata kidogo na madai yake. Amejitahidi kukwepa hoja hiyo muhimu akijua kuwa jibu lake linaweza kumaliza mjadala kabla haujaanza. Ametuwekea mfumo unavyofanya kazi ingawa hatujui mfumo ni nini.
Kwa taarifa ya wasomaji muasisi wa neno mfumokristo ni Mohamed. Neno hilo kwavile halina definition limetumika na watu na kupoteza maana nzima hata pale ambapo kuna hoja ya maana. Jokakuu amenikumbusha kauli yangu miaka miwili niliyoandika hapa kuwa tatizo siyo hoja ni watu wanaoibeba hoja. Tumeona mwenzetu Mdondoaji akijenga hoja na kumnukuu Rais Jumbe wakati huo, tumemuuliza ufafanuzi wa kauli ile kuhusu ''serikali kama haina dini kwanini inamshirikiano na Vatican'' ameshindwa kuitete. Haya ndio matokeo ya kubeba kitu kizima kabla ya kukiangalia upside down.
Pamoja na kukwepa hoja ya definition ya Mohamed Said, hebu tuangalie kule alikokimbilia akidhani ataweza kutuondoa katika hoja. Hata hivyo wanajamvi waelewe kuwa Mohamed hana definition ya mfumokristo ana maelezo.
Kwa maneno mengine Mohamed anajua gari linavyokwenda lakini hawezi kueleza gari ni kitu gani.
Tuendelee hapa.Ni mwinyi huyo huyo alikuwa sehemu ya serikali ya Nyerere ambayo muslims walikuwa agitated na against.
Mo anasema waislam walikuwa raia wa daraja la tatu. Hakueleza daraja la kwanza na la pili akina nani.
Hii imewekwa kwanza kujenga hasira kwa msomaji kabla hajalishwa habari inayokusudiwa. Mohamed hakueleza Mwinyi aliwezaje kuwa rais katika serikali iliyokuwa dominated na Christians.
Je alitokea msituni au aliingia madarakani kwa njia za deomkrasi ndani ya mfumo ule ule wa Christian dominated government.
Lakini anapopotosha zaidi ni pale anaposema uwezo wa mwinyi ulififishwa na baraza la mawaziri lililokuwa limetawaliwa na Christians.
Sote tunajua kuwa baraza la mawaziri linachaguliwa na Rais na Rais huyo huo ana uwezo wa kumuondoa waziri asiyekubaliana naye.
Ilikuwaje yeye akaishi katika mazingira hayo magumu akiwa na uwezo wote kama Rais?Na je aliwezaje kumuondoa naibu waziri mkuu Mrema katika hali kama anayoisema?Soon opposition to Mwinyi's rulewithin his cabinet and ruling party, CCM surfaced into the open.
Hapa tunaona CCM ilivyomdhulumu Mwinyi na Waislam. Ni CCM hiyo hiyo ambayo leo unatueleza ulipita na wenzako misikitini mkinong'onezana waichague. Mohamed, position yako katika CCM ni ipi?
Mo ameshau kuwa Mtikila alifungwa kwa kosa la kumkashifu Nyerere tena akiwa Marehemu. Leo anatuaminisha kuwa ni Mtikila huo kwa kupitia Nyerere ndiye alikuwa anatumika. Vipi CCM ikamtosa na kumfungulia mashtaka hadi kwenda Jela.Nani alikuwa chaguo la Nyerere? Kwa sasa tunafahamu kuwa Salim Ahmed ndiye alikuwa chaguo. Je, Salim naye ni sehemu ya Christian Lobby?
Mo usiache vitu hewani, ulitakiwa ufunguke na kueleza who Nyerere's choice.Kwanini ndani ya Christian dominated gov Nyerere alishindwa? Na endapo alishindwa kum-sideline Mwinyi je aliwezaje ku-impose nomination ya Joseph Warioba.
Umesema Warioba hakujulikana ndani ya chama. Wakati akichaguliwa alikuwa na wadhifa upi ndani ya ''functionaries'' za CCM.
Hivi aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali alikuwa nani na aliyewahi kuwa waziri wa sheria alikuwa nani kama si Sinde!
Umesema alimchagua kwasababu wanatoka hometown moja, je ndivyo mwiny alivyofanya kwa Diria au Amina
.[/COLOR][/FONT]Kabla ya uteuzi wa Mwinyi, Mohamed alipaswa kuwaeleza wasomaji Prof Malima alikuwa na nyadhifa gani wakati wa Nyerere.
Tungalie sehemu ya pili....
Mdondoaji,
..tuanzishe mahusiano ya kidiplomasia na OIC. sioni tatizo hapo.
..pia sikubaliani na hoja kwamba mahusiano yetu na Vatican yanatufanya tuwe nchi ya Kikatoliki.
..mimi nadhani watetezi wa hoja ya OIC kwa upande wa ndugu zetu Waislamu are not good enough.
..kuna madai mengi sana ya haki ya Waislamu lakini tatizo yanabebwa na watu wasio na weledi wa kujenga hoja, matokeo yake wanatoa kauli za kizushi-zushi, na kuharibu hoja nzima.
cc: Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Ritz, Mohamed Said
Napenda huu munakasha Mohamed Said anatoa darsa wanajibu cha kushangaza Mohamed Said haulizi mtu kitu chochote kuhusu historia.
Tuendelee...
wewe nawe kwa kukurupuka kama unausingizi kanawe miguu ulale.
Hapa MS ndio mtuhumiwa wa uchochezi kupitia NGANO na HISTOHISIA zake.. Kwahyo anatakiwa a'prove maandishi yake.
Si kweli. Umeficha ukweli hapa. John Garang alikuwa mwanafunzi wa UDSM. Alirejea kama Alumni wa UDSM ambaye wakati huo alikuwa katika conflict na alishakuwa mwanasiasa.ohamed Said;6019051][1]Business Times, 22 June, 1990.
[2]In October,1989 the Chairman of the Sudan People's Liberation Movement (SPLM) Colonel John Garang visited Tanzania.
Garang received a very warm reception from the University Community which is predominant Christian.
Ukienda chuo kikuu leo wapo wanaomuona Ahmadinajade shujaa, wapo wanaomuona Ghadafi shujaa na wapo wanaopingana na hoja hiyo. Hiyo ndio maana ya kuwa na intellectual discourse na different opinion.The academic staff as well as students went out of their way to potray Garang as a "true son of Africa", and a crusader against Muslim hegemony in Sudan. And Garang cherished every moment of it.
Umepataje ten percent. Takwimu zako za Christian vs Muslims ambazo pia zinaonyesha Christians vs non muslims zinaonyesha uwiano wa 20:80. Vipi umefikia 10%.The ten percent Muslims at Dar es Salaam University did not even dare pose a single question to Garang much as it was evident that Garang was fighting an anti-Muslim war in the name of war of liberation.
Mohamed, Yaser Arafat nao wanapata msaada wa serikali ya Tanzania kwa kutumia kigezo gani. Unakumbuka serikali ya Nyerere ilivunja uhusiano na Israel kwa sababu ya Palestina.It was not a wonder that Garang was receiving military assistance and moral support from Christian controlled governments Tanzania being one of them. Garang really felt at home. Garang himself a Marxist Christian was speaking in a Marxist School and among fellow Christians.
Untypical trait of journalist and researcher the least to say!Probably in response to this visit by Garang, theg overnment of Al Bashir sent its official delegation to try and explain to the people of Tanzania its own point of view to the conflict. The Sudan government delegation was coldly received at the University. Protocol was flouted shamelessly.While Garang was accorded all the honours fit for a head of state, the Vice Chancellor himself receiving him, the Sudanese government delegatio nwas received by one of the academic staff in the Department of Political Science. The Vice Chancellor was conspicuously absent. Garang spoke in the famous Nkrumah Hall, the venue for all visiting dignitaries. The Sudanese government delegation was ushered hurriedly into a lecture theatre. The University administration knows who can speak in the lecture theatre and who cannot speak in Nkrumah Hall. The University community made sure that the Sudan government delegation understands that it had walked into an alien territory,where Islam in whatever form was not tolerated. Hostility through rhetoric in the question posed to the delegation was evident from every angle. But the speakers were not intimidated they were cool and composed taking everything in their stride. The audience seemed only interested in painting the delegation as descendants of Arab slave traders presenting an anti- Christian regime. Islam was taken to be synonymous to Arabism by the born-again Christians in thea udience who posed questions, while the Marxists thought the conflict in Sudan could be solved through class struggle and advised the delegation that the problem could be understood better through class analysis. It was clear that the audience was either ignorant of the background to the conflict or was so much taken by anti-Muslim sentiments portrayed by international press that it lost allobjectivity, untypical trait of academicians.
Soma vizuri ndugu yangu, naona kama umechanganyikiwa kidogo. Nimeandika mara 2 kuwa swali la Jumbe si lako ni la Mdondoaji. Wewe umedandia tu hoja za kitoto za Ami.
Mzee Said niliposema ''ukioga na watoto mtoni hutakati'' nilikuwa na maana kuwa wao watavuruga maji kwa michezo yao ya kitoto na wewe mtu mzima utatoka ukiwa na matope kama unavyotoka sasa.
M Si kweli. Umeficha ukweli hapa. John Garang alikuwa mwanafunzi wa UDSM. Alirejea kama Alumni wa UDSM ambaye wakati huo alikuwa katika conflict na alishakuwa mwanasiasa.
Ni sawa na wewe Mohamed ''mtafiti na Mwanadishi'' utakaporejea St Joseph Catholic school Dar es Salaam, shule ina kila sababu ya kukupokea kama ALUMNI wao. Kwahiyo si suala la Christians kuwa wengi. Ni suala la weledi. Mwaka jana wanasheria wakuu wa serikali za Uganda, Kenya na Tanzania walikuwa Alumni wa UDSM faculty of Law. Hivi leo Museven akirudi UDSM atakuwa anarudi kama Mkristo au Alumni! OMG! Yarabi!
Wole Soyinka alipokuja UDSM hivi karibuni, mimi nilikwenda kumsililiza. Alikuwa na wenyeji wake akina Shivji. Ukumbi wa Nkrumah ulijaa si kwasababu Wole ni mkristo bali tunu ya kile alichopaswa kukieleza. Lazima ukubali kuwa katika maeneo ya UDSM ile ni sehemu ya Academic na hivyo mtu yoyote husikilizwa bila kujali ana itikadi gani kisiasa au kiimani. Ndivyo ambavyo Chuo kikuu kimoja cha Marekani kilikubali kumkarabisha Ahmadinajade licha ya kwamba serikali haikupendelea. Chuo kikuu ni academic arena siyo mahali pa kueneza unfounded allegation, mahali pa kuangalia nani kavaa msala mkubwa mkubwa nani ana msuli ay tarabushi inayong'ara. You ought to know this Mohamed! No excuse1 you ought to know this Mzee. Ukienda chuo kikuu leo wapo wanaomuona Ahmadinajade shujaa, wapo wanaomuona Ghadafi shujaa na wapo wanaopingana na hoja hiyo. Hiyo ndio maana ya kuwa na intellectual discourse na different opinion.
Kwa wale wa zamani UDSM ilikuwa ''centre for academic intelligence'' katika Afirika. Wote unaowasikia akina Olive Tambo, Tabo Mbeki, Yaser Arafat, Kahama n.k walikuwa hawaishi kutembelea UDSM kupata different opinion. Si kila mtu alikubaliana nao lakini hata kwa kutokubaliana hiyo ni sehemu ya academics na ndivyo chuo kinavyopaswa kuwa.
Hebu tembelea pale Kennedy institution uone jinsi watu wanavyocharurana kwa hoja. Utadhani si Waamerika.
Chuo kikuu ni sehemu ya fikra chem chem na huliangalia jambo kutoka angle zote. Si sehemu watu wanakaa katika mkeka kusikia hadithi bila kuhoji au wanapohoji maandishi na mitazamo kwa njia tofauti wanakuwa wamekufuru achilia mbali kuwa wajinga.
Umepataje ten percent. Takwimu zako za Christian vs Muslims ambazo pia zinaonyesha Christians vs non muslims zinaonyesha uwiano wa 20:80. Vipi umefikia 10%.
Lakini muhimu hapa ni kuwa kama hawakuwa na maswali je walipaswa kuuliza tu kwasababu ni waislam. Na pia ulitumika utaratibu gani wa ku-sideline waislam ambao unaweza kutueleza zaidi ya 10 %. Ni vema ueleze ili watu wajue hii ''systemic discrimination'' ilifanyika vipi. Vinginevyo hoja yako haina mashiko na wala haisimami yenyewe bila neno muslims au Christians. Ni hoja mfu.Mohamed, Yaser Arafat nao wanapata msaada wa serikali ya Tanzania kwa kutumia kigezo gani. Unakumbuka serikali ya Nyerere ilivunja uhusiano na Israel kwa sababu ya Palestina.
Tanzania inaunga mkono POLISARIO na ilismama kidete hadi China ikapewa hadhi UN sasa huko nako unasemaje?
Kambi za wakimbizi wa Msumbiji zilikuwa hapa Tanzania. Mreno ni mkatoliki kweli kweli sasa kwanini serikali ya Christian ilipiga vita wakristo wa ureno.
Kambi za akina ANC, PAC zilikuwepo hapa. Wote akina Mbeki, Khama n.k waliungwa mkono na Tanzania kupambana na mifumo ya utawala ambao ni wa kikristo pengine zaidi ya waislam. Hoja kwamba Garang alipewa mapokezi kwasababu ni mkristo is too low.
Unafahamu kuwa Henry Kissinger kutoka mfumo wa kikristo kwa maana yako aliwahi kupingwa na wanafunzi wa chuo kikuu.
Mzee Said hoja za namna hii next time ukifanya review ya vitabu na paper zako ziondoe maana hazina mashiko wala fikraUntypical trait of journalist and researcher the least to say!
Kwenye definition nshamaliza, huna. Nipo katika bandiko lako nimejibu hoja zako. Hii ni njia yako ya kukwepa hojaNguruvi,
Unasubiri ''defination'' sawa wako watakaokupa.
Tusubiri ''defination'' kwa wanajamvi kisha tutaendelea Insha Allah.