Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

kaka, Ami, naomba unisaidie, hapo kwenye rangi nyekundu una maana gani?
 
Wamasai hawatembei na magovi, je nao ni waislam na wastaarabu?
 
Wewe ndiye unayetakiwa kuisoma hoja yangu na ukishindwa kuilewa omba msaada kwa wenzako wakueleze huyu jamaa ana maana gani? Reasoning yangu iko wazi kabisa. Haina chenga hata kidogo.
Hakuna hoja uliyoiweka zaidi ya ushabiki wako tu.
 

sawa Bwana. Khomeini ana utata mwingi ndio maana nikakuuliza
 

Mundungus Fletcher;

Usiume ume neno na kuwa na kigugumizi juu ya vita vya Wamarekani dhidi ya Uislamu. Hembu jiulize, kwanini hawaivamii Korea ya Kaskazini au Zimbabwe? unafikiri nchi hizi zingekuwa za Kiislamu zingebaki hivi mpaka leo bila ya kuvamiwa?
 
Reactions: Ami

Nanren,

Mimi naona tumalize moja twende jingine. Hilo la Misri kama utaliundia mada yake nitakusaidia sana kwani naijua vilivyo Misri na nimekaa hapo kwa takriban miaka 4. hivyo nawajua ndani nje nje ndani na makabila yao.Huyo mwandishi ame generalize ni sawa na kusema Tanzania wanakata viungo vya albino wakti mambo hayo anafanyika sehemu zisizo na ustaharabu na utamaduni wa kiislam.

Lakin hapo hoja ilikuwa tunaizungumzia Tanzania na mimi nimebainisha hivi " warabu wanasema hivi " Ujinga usio na khasara ni bora sana Kuliko Ilmu isiyo na Faida".

Unajuwa katika sehemu zilizofata na kutamalaki mila na desturi za Uislam ndizo sehemu zilizostaharabika sana hakuna mauaji ya vikongwe, watu kutembea na magovi, kukeketa, kuchuna ngozi na kunyofoa viungo vya albino na hata mateso kwa akina mama. Kwani Utamaduni wa kiislam unahimiza sana Utu na kuthamini hilo. "

Je mambo hayo sehemu wanazokaa au zilizotamalaki uislam kama Mtwara, lindi, Pwani, Tanga, Znz na kwingineko yapo? Jiulize kwanini.

 
Wamasai hawatembei na magovi, je nao ni waislam na wastaarabu?

Huu mnakasha una kila mitaa na kona. Gwalihenzi na Barubaru mtanipasua mbavu. Jamani, Tarime kwetu pia hawatembei na mikono ya sweta na hawachuni ngozi. Ila tunakeketa kama Misri. Infact naomba kuambiwa kwanini kwa wanawake jina ni kukeketa. Lakini wallah Barubaru, wewe bwana unanichekesha sana. Unasema ulienda Mbinga, mimi mimekaa Kitanda village Mbinga pamoja na Litembo. Sikubahatika kujua huyu mwenzangu anatembea ana mkono wa sweta, au kakeketwa, wewe bahati hii uliipataje Sheikh? Hapa sina mbavu.
 

MM;

Tanzania haifanyi sensa kwa kuzingatia dini au kabila za watu, wewe hizi takwimu za makabila umetoa wapi?
 
Ritz

Soma ngano yangu nyingine ukurasa wa nyuma hapo nimeliwekea,

Inahusu "Uchumi wa dunia chini ya fikra za kigaidi"

Vita dhidi ya Ugaidi

Yericko Nyerere
 

Ritz,

Salaams. Wallahi,sometimes trying to keep people from getting on my last nerve,is like trying not get wet ,standing outside in a dam hurricane.

I think what most people in here fail to realize is that,History is supposed to confront people. We may not agree on everything but through positive exchanges and dialogue we share and experience of something otherworldly. Ofcourse,this may provoke emotions that we are not comfortable with.

Nafurahi Al Akhiy Barubaru,kabainisha kiduchu uhusiano na mahaba ya dhati kwa nduguye marehemu Bw. Julius Rweikiza.

Hata nami katika mojawapo ya bayana zangu za awali nilijaribu kutoa mifano kadhaa ya family friends zetu wengi mno hapo nyumbani hasa wenye imani ya Kikristo,baadhi nilisoma nao mimi binafsi na wengi wao walikua ni wanataaluma wenzao Wazazi wangu. Na jinsi gani tulivyoishi nao kwa hishma na mahaba ya dhati mpaka kesho.

Tatizo tulonalo,ni kuwa baadhi ya jamaa hapa jamvini wana dhana ya kufikiri ati sisi Wakristo na Ukristo ndo tumekuja kuwajua na kujifunzia hapa. Pia wanajaribu kwa kila hila na juhudi iso kiasi yakuwa sisi tuna chuki,udini na hatuna uzalendo.

Kwa ufupi,mpaka sasa binafsi sijaona yakini ya shutuma/mada hii kuthibitishwa asilani. Marejeo ya topics ni mengi mno,tunakwenda nje ya mada/mnakasha bila ya maudhui yenye maana na kebehi ndo zimeshamiri.

Kuna wale nao wanaodai ati Historian/Scholar mahiri Sheikh Mohammed Said,alipoandika vitabu/kitabu chake ati hakutumia methodology mwanana na pia hana scientific methods/evidences kuthibitisha mengi alotujuza.

Infact,what we call "science" is actually just indoctrination into yet another completely made up account of history and physical processes.

Nami nakufuatilia bayana zako kwa utuvu japo naona nyingine hakuna majibu yake!ahaha!!

Ahsanta.
 
MM;

Tanzania haifanyi sensa kwa kuzingatia dini au kabila za watu, wewe hizi takwimu za makabila umetoa wapi?

Kadogoo,

Salaam. Pia nakushtakia yakuwa dasturi ya Mwanakijiji si nzuri, kila mara akiulizwa maswali ya kina,yeye huficha yale mengine muhimu na hufanya selection yake ya kiajabu na kujibu kwa ujanjaujanja. Lakini bado namuheshimu mno kwa michango yake hapa jamvini.

Majibu yake mimi nilicheka na kunyamaza tu kimya kwa ustaarabu. Hebu jaribu kuona,jibu na takwimu kama zile angetoa Sheikh Mohammed Said,ni vipi wale manyangumi wa hoja wangevamia kwa kishindo,matusi na fedhuli kadhaa!?

Jana nilijizuia kucheka pasi kiasi,pale Mwanakijiji alipotujuza kuwa alikua ni mpiga ngoma na zumari za "Daku kula" kule kwao Tanga!ahahaa!

Nashangaa hayo tungesema sisi tungeambiwa ati tuna drama nyingi!ahaha!!

Tuendelee na mnakasha.

Ahsanta.
 
Ritz
Unanchekesha (Courtesy of Faizafoxy)!
Yaani hujawahi kusikia kabisa? Wewe upo tu na Chadema, Nyerere na Mfumo kristo basi...

Soma hizi links hapa:
Iraqi Kurdish cleric says female circumcision recommended by Islam
Indonesia's Top Muslim Clerics Back Female Circumcision, Call It A "Human Right"... | Weasel Zippers
FEMALE GENITAL MUTILATION FEMALE (CIRCUMCISION) IN AFRICA, MIDDLE EAST AND FAR EAST
EGYPT: Hosni Mubarak banned Female Genital Mutilation, but now the Muslim Brotherhood is trying to make it mandatory | BARE NAKED ISLAM
https://groups.google.com/forum/#!topic/uk.politics.misc/mO4qCRu57gU
INDONESIA - ISLAM Indonesian Ulema in favour of female circumcision: a "human right" - Asia News
http://sheikyermami.com/2007/05/31/female-genital-mutilation-is-part-of-the-sunna-of-the-prophet/
Female Circumcision in Kurdistan | Arab Reporters for Investigative Journalism (ARIJ)
Mengine unaweza ukatafuta mwenyewe. Just have an open mind. Don't enter into a state of denial. Seek Ye the truth and the truth shall set ye free!
 
Last edited by a moderator:

Mimi siumi maneno, mimi nasema nachoamini.

Kwa hiyo wewe Unachotaka kuniambia Wamarekani wanawavamia hizi nchi simply kwasababu ni waislamu?????
 

Si umi maneno kama hivi..

Wewe Kadogoo ni mbaguzi wa kidini, you are a radical, extrimist... wewe huwakilishi uislamu..

wewe hata upewe ushaidi kutoka mbinguni, wewe huto amini kwasababu umeshajiaminisha hivyo, na kwasababu unaangalia kila jambo kidini, au kwa dini yako.

Kiasi hata mtoto wako akija siku kutoka shule (Mfano, inawezekana kakua) kagombana na mwenziwe na amepigwa na ukaenda shule ukagundua huyo mtoto anaitwa Michael au John basi utasema mwanao kapigwa kwasababu ni Muislam.

So wewe ni Mbaguzi wa kidini na ni mdini na hakuna ntakalo kuambia utakubali kwasababu you are in denial.

hata hapa napokwambia am sure unaamini kuwa mimi nakupinga kwasababu wewe ni Muislam na mimi ni Mkristo.
 
maswali yako hukufikiria sana nani wa kumuuliza. Unapaswa kumuuliza Mohammed Said kwanini hakuandika historia kama ilivyotukia au kwanini alipowaangalia wazee aliamua kuwabagua - kati ya wale Waislamu na Wakristu. Sasa unaniuliza miye nijibu historia ni lazima ukubali kwanza mapungufu ya histohisia ya Mohammed Said.
Hayo mengine ni katika kunogesha mjadala na kwenda down memory lane. Usikwazike sana na vitu vidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…