Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ritz
Kwenye hii story, ni obvious kwamba ulikuwa umekamilisha vigezo vyote vya kupata "visa" na yule mkristo alikuwa hajakamilisha ndio maana akanyimwa, na wewe ukapewa. Hapa unamlaumu mkristo kwamba alikudharau..., ok, it is fair.
Sasa hebu fikiria wewe ungekuwa ndiyo yeye, na yeye ndio wewe, kwamba wewe Ritz unyimwe "Visa" kwa kutotimiza masharti, ungeiripoti vipi hapa jamvini?
I'll bet my ten years' salary kwamba ungekuja hapa ukilia kwamba UMENYIMWA VISA KWA VILE WEWE NI MUISLAM...
 
Last edited by a moderator:
Nanren,
Hawa watu kulialia kuonewa ni sehemu ya ibada yao kama ilivyo kuchinja wanyama. Hawaonewi pale tu kiongozi mkuu wa dini yao ndie pia kiongozi mkuu wa dola/taifa. Wanataka kila nchi itawaliwe na Ayatollah/Mulla. Ritz ana Ukurya flani unamsaidia kidogo. Halii sana kama akina Mohamed.
 
Last edited by a moderator:
Nanren,
Hawa watu kulialia kuonewa ni sehemu ya ibada yao kama ilivyo kuchinja wanyama. Hawaonewi pale tu kiongozi mkuu wa dini yao ndie pia kiongozi mkuu wa dola/taifa. Wanataka kila nchi itawaliwe na Ayatollah/Mulla. Ritz ana Ukurya flani unamsaidia kidogo. Halii sana kama akina Mohamed.
 
Last edited by a moderator:

Nanren,

Wapi nememlaumu huyo jamaa? Hebu nisome vizuri.

Ninachoelezea hapa ni dharau alizonionyesha kisa nimevaa kanzu kwa akili yake alikuwa anajua kanzu ni tatizo.

Ndivyo mlivyoaminishwa kuwa wote wavaa kanzu na watu wa madrassa ni wajinga hawana wanachokijua hawajasoma.

Regards.

Ritz,
 
Last edited by a moderator:

WildCard,

Katika Uislam ni haram mtu kulialia na kulalamika tofautisha dhulma na kulalamika.

Uislam umekataza kufanya dhulma kwa yeyote hata kama siyo Muislam na umekataza pia kuruhusu kudhulumiwa huku umekaa kimya.

Wala Uislam hauruhusu kusaidiwa kama una uwezo.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Kila kukicha naona Waislam wanafanya dhulma kwa UHAI wa wenzao na watu wengine. Uliona yale juzi ya Boston Marathon bila shaka. Tuache yale ya 9/11, balozi za marekani hapa nchini na kule Kenya, yanayoendelea kule Syria, Iraq, Afghanistan, Pakistan, Libya,....
 
Mohamed,

Umeulizwa wew kama ulishawahi kubaguliwa kwasababu ya uasili wako wa bara, lakini unajibu kwakujiunganisha na udini,

Kulikoni mzee wangu? Kwanin usisimame kama swali lilivyo?

Yericko,
Mie mtu wa pwani.

Kama bara basi tumetokea Belgian Congo 1880s.
 
Unazungumzia Viza ya Msumbiji au UK Viza!? regardless ulipata au hukupata lakini UK Viza haitolewi kienyeji hivyo, unless rekebisa maelezo yako.
 

Wild Card,
Kumbe mzito wa uelewa.

Mtu aliyekuwa na ujasiri wa kusema nilosema
na Nyerere yu hai huyo mtu wa kutokwa machozi?
 
Sasa Boko haram unadai heshima ambayo hustahili! ukiandika mambo ya kijinga unatakawatu wakuite mwerevu?

Kama sistahiki heshima si unipuuze niweke kwenye "shit list" kunawatu wengi ambao ni werevu unaweza kujadiliana nao mimi niache nife na ujinga wangu sawa mkubwa
 

Ndugu yangu zali la mentali mimi naona unahoja lakini kuna mtu anasema hauna hoja ajaribu kupangua basi hii kazi yake kuita watu wajinga "ubondia anautaka lakini anaogopa manundu!"
 
Kama sistahiki heshima si unipuuze niweke kwenye "shit list" kunawatu wengi ambao ni werevu unaweza kujadiliana nao mimi niache nife na ujinga wangu sawa mkubwa
Boko haram, hutakiwi kufa kwa ujinga, unatakiwa kuachana na kufugwa na huyo mzee mchochezi Mohamed Said na ukubali kupokea maarifa mengine zaidi!hapo ujinga utaachana nao na hautakuua! uskubaliane na upuuzi kwamba vijana wa kiislam wanahujumiwa na mizimu ya mfumo kristo na kwa hiyo hawawezi kufanikiwa kwa lolote, huo ni uongo, fursa zipo kwa wote bila kujali imani zao. Adui wa Tanzania ni viongozi wasio wabunifu wala uchungu kwa taifa lao ambao wamekumbatia ufisadi na visingizio visivyo na maana yeyote pamoja na kutumia udini kuficha ufedhuri wao!
 

WildCard,

Labda nisaidie kwenye ili Rev Gene Robinson wa Kanisa la Aglican ni shoga na kiongozi vipi ndiyo Ukiristo unafundisha ivyo?

Adolf Hitler ni Mkiristo alichokuwa anakifanya ndiyo Ukiristo?

Mapadri kufanyia vijana wa kiume ushenzi Ukiristo ndiyo unafundisha ivyo?

Usichanganye tabia za watu na dini.
 
Last edited by a moderator:
Ritz,
Watu wenu wanasema ni DINI yao inawatuma kufanya haya. Kama Sheikh Ponda anavyofanya kwa kutumia maandiko ya Mzee Mohamed. Hebu hii ya Boston juzi:

"Dzhokhar Tsarnaev indicated his older brother, Tamerlan, was the driving force behind the attacks and wanted to defend Islam from attack, the source said."
 

Zali la mentali; Angalua lugha yako imeanza kuwa katika KAWAIDA. Ulinitia woga ndugu yangu, sio kwa hoja bali ule ushari. Mimi sina tatizo na threads zako na wala siogopi maswali yako na wala sipo hapa kumtetea Nyerere. Na pia nimeshasema bayana kabisa kuwa tume ya kina Waryoba ikitoa fursa ya kuupigia kura Muungano, mimi nitawatema Zenj. Waishi wanavyotaka. Hapa ni hoja na majibu. Sijui nitasema sijui. Ili kukujibu, inabidi nikukumbushe tena kuwa Maana ya MDINI sio mtu anayefuatilia dini yake. Ni mtu anayetoa au kunyima haki/fursa stahiki kwa mwingine kwa kigezo cha dini yake kufanana au kutofautiana na mlengwa. Hapa wewe weka ushahidi;

1. Kuwa Nyerere alikuwa mdini kwa kigezo hicho. Kwa maana nyingine itasaidia kama utaonyesha japo kim-kataba cha JKN na hao mabosi wa kanisa kuwa "nyie tulieni, hawa waislamu watanikoma"

2. Kuwa mauti yake ya taratibu (ulisema huko awali), na kufa kwa kupumua kwa mashine (pia ulisema) ni laana. Weka ushahidi, hata kutoka hata vitabu vya dini yoyote kuwa mkiona mtu anaugua hafi haraka mjue ni laana. Fanya hivyo pia kwa kufa huku unatumia mashine ya oksijen. Zali, kuwa mwangalifu sana hapa usijitege ukaambiwa umejitoa katika dini yako. Wapo mitume walikufa taratibu kwa maradhi chonde usijeonekana unawakosea adabu.

3. Okello anaarifu kuwa siku hiyo (ya Mapinduzi) waliuwawa WAARABU 13,000. Wewe unasema waliuwawa waislamu 20,000. Wacha idadi. Mimi pia sipendi watu kuuwawa. Toa ushahidi kuwa Okello alilenga kuwaua Waislamu na sio waarabu kama anavyoripoti mwenyewe. Kabla hujajibu swali hili jikinge angalau na data za population ya zenj wakati ule ili ujue idadi ya wazenj wote. Nitakupa Tip; chunguza kilichomzuia kuwaua waswahili kiholela huku pia wao ni waislamu

4. Katika kitabu chake, Okello anajuta kutumaini angalau msaada toka kwa Nyerere na anasema alimwona sio wa kuamika kama Kenyatta. Anasema ingekuwa anaweza basi bora angeunganisha zenj na kenya. Wewe unasema Nyerere ndiye aliyekuwa tajiri yake. Tafadhali sherehesha hoja hizi zisikinzane kisha tuendelee.

5. Maelezo yako yaliyotangulia yameonyesha kamanda mkuu wa polisi zenj akiwasiliana na Kenya na kuahidi kila kitu kiko sawa, hapa inatoa picha kama vile Kenya ndio iliyokuwa na sauti, sio JKN.

Hebu anzia na haya

Wasalaam
 
Unazungumzia Viza ya Msumbiji au UK Viza!? regardless ulipata au hukupata lakini UK Viza haitolewi kienyeji hivyo, unless rekebisa maelezo yako.

gombesugu, Kadogoo, THE BIG SHOW, Ami, Boko haram,

Hebu angalieni huyu kauzu anaamini Ritz, hawezi kupata Viza ya Uingereza anasema Uingereza hawatoi Viza kienyeji hanijui simjui lakini hataki kuamini kama nimefika Uingereza sababu mie ni Muislam.

Nakufahamisha tu mie nimeanza kusafiri kabla wewe haujatoka kwenu Bukoba.

Mimi nafanya kazi na haya makampuni ya Uingereza BEKO, HINARI, DIESEL, H &M, POLICE, POLO, hawa wote wananitumia mialiko ya kwenda Uingereza kununua bidhaa zao.

Kampuni yangu inatoa Viza ya nchi yeyote.
 
Last edited by a moderator:
Naenda kupumzika. Tutaonana siku nyingine. Kazi ya kuchimba chumvi ni ngumu kweli kweli si mchezo!!!!!! Ila tutaendelea kuwekana sawa mpaka kieleweke!!!!!!!!!!!!

Zali; Kuna maswali nikuwekea, yajibu kisha uende mgodini. No jazba please. Nataka point moja baada ya nyingine.
 

WilrdCard,

Mbona hujibu kuhusu hao watu niliokutajia?

Sheikh Ponda kafanyaje?
 
Mbona una "over react" bila sababu? mbona Matola hakuuzungumzia uislam wako! sasa unawataja hawa jamaa zako ili wamuadhibu Matola au ili wautete uislam wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…