Mohamed, nondo hizi! umeziona? haya inshallah tusaidie muungwana.jitahidi umpe haya maswali Mwalimu wako wa darsa Mohamed Said,
- Je, Mwalimu akiwa bado yuko Tabora mwaka 1945, Abdulwahid Sykes alikuwa na wadhifa gani ndani ya AA?
- Je, Mwalimu alipofika mara ya kwanza Dar es Salaam kabla ya safari yake masomoni Uingereza, Abdulwahid Sykes alikuwa na wadhifa gani ndani ya AA?
- Je, kabla ya Abdulwahid kuivamia ofisi ya TAA kwa masumbwi, alikuwa na wadhifa gani ndani ya TAA
Seriously you are mentally ill, please consult an expert before things get worse. You are very fond in gay business against your religious affiliation, yet Mohamed Said the imbecile hails you. I am told your father was a gay before he encountered your sick mother.Kwenye mambo haya unaweza ku argue lakini ikiwa kwenye hoja don't argue with a fool!!!!!!!!!!!
Mimi situmii hiyo bidhaa yako. Nenda Roma kuna mapadri wanataka sana hiyo kitu.
Spelling error!!! sidhani kama ni big deal kabisa.
Ni vema uelewe kuwa mwandishi makini ni yule anyejua kwanini anaandika, na si yule anayenukuu kitu asichokifanyia utafiti. Ukimwita Nyerere kama Nyereree inavumilika kuliko kutaja tarehe ambazo bunge halikukaa na wala balozi hakuwahi kuhutubia.
Mohamed, nondo hizi! umeziona? haya inshallah tusaidie muungwana.
Saafi sana. Nataka watu wa namna hii sio wale wanaokuja humu kutafuta wanaume kama Gwalihenzi!!!!!! Nya zao zimeoza kiasi kwamba wanahangaika kutafuta mabwana kwa nguvu kila kona.
Sasa turejee kwenye hoja zako moja baada ya nyingine. Kama nilivyojieleza hapo awali, mimi sio mtaalamu wa historia. Lakini nina uwezo wa kutumia logic kudadisi masuala ya kihistoria yaliyowekwa mbele yangu na kuona kama historia hiyo ni sawa au la. Na kama ni sawa, basi wahusika wanaojadiliwa kwenye historia husika walikuwa na akili timamu au nati zao zilikuwa zimefyatuka.
Spelling error!!! sidhani kama ni big deal kabisa.
Ni vema uelewe kuwa mwandishi makini ni yule anyejua kwanini anaandika, na si yule anayenukuu kitu asichokifanyia utafiti. Ukimwita Nyerere kama Nyereree inavumilika kuliko kutaja tarehe ambazo bunge halikukaa na wala balozi hakuwahi kuhutubia.
Wanalia na BAKWATA wakati sheria za NCHI hii haziwazuii kuanzisha taasisi nyingine huru ya Kiislam hata kama ni kuirudisha EAMWS! Badala yake wanamtumia Sheikh Ponda kuvamia viwanja vya watu na kujenga msikiti wa mahema na kuuita wa Sheikh Amir!Mzee Mohamed anajua sana "brainwashing"
Mohamed, nondo hizi! umeziona? haya inshallah tusaidie muungwana.
Kuhusu swali lako
Abdulwahid Sykes, kulingana na maelezo ya Mohamed Said, alikuja kujulikana tu baada ya kuvamia ofisi za TAA na kufanya mapinduzi kwa kutumia uwezo wake mkubwa katika masumbwi. Cha ajabu ni kwamba hata baada ya mapinduzi hayo hakuweza kuchaguliwa kuiongoza TAA na badala yake akachaguliwa msomi Dr. Kyaruzi. Hakuna popote ambapo Kleist Sykes na mwanawe Abdulwahid Sykes waliwahi kuchaguliwa kuongoza vyama vya AA, TAA wala TANU kama inavyohadithiwa na Mohamed Said, hapana, huo ni uongo.
Zali la Mentali, jitahidi umpe haya maswali Mwalimu wako wa darsa Mohamed Said,
Ukiweza kupewa majibu ya haya maswali, uwe tayari kukiri kwamba hujui lolote kuhusu mambo yanayojadiliwa humu na ingekuwa heri sana ukae kimya, ubaki mtazamaji tu. Nitakuwa naingia humu kuweka tu mambo sawa nitakapoona kuna uongo na upotoshwaji unafanyika...umbea, mipasho na ngojera za mitaani sitazijibu, wengine hatukulelewa katika mazingira hayo.
- Je, Mwalimu akiwa bado yuko Tabora mwaka 1945, Abdulwahid Sykes alikuwa na wadhifa gani ndani ya AA?
- Je, Mwalimu alipofika mara ya kwanza Dar es Salaam kabla ya safari yake masomoni Uingereza, Abdulwahid Sykes alikuwa na wadhifa gani ndani ya AA?
- Je, kabla ya Abdulwahid kuivamia ofisi ya TAA kwa masumbwi, alikuwa na wadhifa gani ndani ya TAA?
Quote:
By Yericko Nyerere
Mkuu, huyo Ritz ni mfuta viatu wa mkombozi wao Mohamed Said, hawezi kukujibu zaidi yakumpigia makofi Mohamed Said
Haya ni Baadhwi ya matusi na kejeli kutoka kwa ndugu zetu.
Cc. gombesugu,
Mag3,
Wewe hujaajiri Messenger au Buttler hapa jamvini. Kwahiyo kama una salaam kwa Sheikh Mohammed Said,wasiliane nae direct kama mtu mzima mwenzio na mwanajamvi mwenzio. Acha utoto wa kutuma watu salaam na revision za kipuuzi.
Huna ubavu wa kuweka mambo sawa kwenye jamvi hili,ndo maana mko hapa leo takriban miezi mitano kushindana na mtu mmoja mmoja tu Sheikh Mohammed Said.
Baada ya jana kuonyeshwa yale matusi yako kwa Wazee wetu na nikapitia na mengine ulotoa kitambo,kwa hiyo ni kweli nyinyi mmelelewa kwenye mazingara tafauti na sisi.
Ngonjera na umbea unaujua wewe mtu Mzima mnafiki!? Si unajua yakuwa Mwanakijiji alitoa tuhuma nzito hapa jamvini dhidi ya Sheikh Mohammed, kwamba ni Member wa Muslim Bortherhood na ana mipango ya kuleta Sharia Law hapo Tanzania!?
Sasa zile ndio ngonjera na umbea wa mitaani usiokua na mpango. Mbona hukumuuliza alete ushahidi wowote,badala yake ukampa na "LIKE"!?
Acha utoto!!
Ritz,
Nimeona Al Akhiy. Na pia nilipata bakhti ya kupitia mengine toka kwa Mag3,Wallahi naliacha mdomo wazi.
Huyo Yericko,mimi binafsi huwa hanipi tabu maana nimeshamsamehe kitambo.
Huyu Mag3, si ndie aliekuwa anatutajia umri wake mkubwa sana hapa jamvini,halafu anatoa kashfa na matusi kama yale!? Ni kweli Tanzania ina mikanganyiko mingi...
Haina neno tuendelee na mnakasha.
Nadhan hayo yamemtosha,ama kama hajatosheka na anataka mazide basi tutampatia..!
Me naona hapa kwa sasa wanajiskia aibu tuh kuondoka uwanjani,uwanja huuu ni wao,na ni wachezaji na wana timu safi kama barcelona,lakin wamekutana na dhahama ya Moh Said kama ya Bayern Munich,imewavuuruumishia mvua za hoja hapa kama zile 7-0..!,na hapa ni uwanja wa nyumban kwao,hata kuaga na kuondoka wanashindwa,wanaona haya na aibuu,
Historia imefunuliwa na kuachwa TUPU kabisa,
Labda iandikiwe upya..hii ya kivukoni ni blah blah tuuh..
Tunaposema baada ya kurejea masomoni tunamaanisha nikuwa ndani ya siku 30 baada ya kurejea!
Sasa ukihoji kwakuamini kuwa ni baada yakurejea tu kwa maana ya kutua tu uwanja wa ndege paaaa! Basi akauliza "jamanieee nani anakiongoza TAA?"
La hasha sivyo, kwa waswahili na waafrika na hata wazungu, siku chache huanzia siku 1-30!
Swali la msingi ambalo nilitegemea wadau wengi wangeuliza ni hilo la mwisho ambapo unahoji kuwa
"je alipokuwa Makerere Katibu alikuwa nani?"
Nitajibu kupitia hotuba hii nikitembea na mantiki yake stahiki,
Kwamjibu wa hotuba hiyo inaonyesha wazi kuwa Abdul hakufahamika kitafa 1948 hadi 1950,
Hii inamaana siasa zake zilikuwa za Gerezani tu!
Tofauti na wenzake akina Dosa Azizi ambao mwalimu alijuana nao hata kabla ya kwenda UK!
Ukimsoma Klest na wanae kwamaana ya familia ya Sykes nikuwa siasa zao zilikuwa za chinichini sio za majukwaa hivyo kuwafahamu kisiasa ilibidi mpaka ufike makao makuu ya AA ama TAA
Sasa Mwalimu Nyerere ilikuwa ni haki kutomfahamu Abdul kabla na baada yakurudi masomoni,
Yawezekana alimfahamu kwakumsikia tu ama kwa makutano ya maramoja hasa ule mkutano wa kitaifa uliowakutanisha wajumbe wote huku Julius Nyerere akiwakilisha jimbo la Mashariki yaani Tabora!
Nasikitika sana tena sana!
Umenidhihaki sana mimi na familia yangu.
Nimesimama katika uzi huu kama mtanzania niliyezaliwa katika ardhi hii na mwenye asili halisi ya nchi hii!
Kwamujibu wa katiba ya nchi hii ninayo haki yakujadili masuala ya nchi yangu yakiwemo ya kisiasa, uchumi, afya nk!
Nimetumia haki hiyo hiyo kumkanya Mohamed Said na kuihabarisha dunia na watanzania wenzangu kile ninachokifahamu juu ya historia ya nchi hii na historia ya waasisi wa Taifa letu! Na kila mmoja wetu anayo haki yakukieleza kile akijuacho kwenye historia ya Uhuru.
Nakusihi na wewe utembee katika hoja kuu ambayo ndio inayotuweka hapa!
Naona umeamua kurukia maeneo mengine na kukimbia masuali yangu haya hapa:
Mimi sijakuuliza kama Abdul alikuwa anafanya siasa gerezani au kitaifa. Ninachotaka kujua ni kwamba wakati Nyerere akiwa Makerere, katibu wa TAA alikuwa nani?
Na kama unakubali kwamba Nyerere alikuwa na haki ya kutomfahamu Abdul, kwa nini unampinga Mzee Said kwa kusema kwamba Nyerere alidai kutomfahamu Abdul?
Umeshindwa kujibu haya masuali? Mbona unarukia kwenye mada zingine na haya masuali unayakimbia kama kituo cha polisi?
Tunaposema baada ya kurejea masomoni tunamaanisha nikuwa ndani ya siku 30 baada ya kurejea!
Sasa ukihoji kwakuamini kuwa ni baada yakurejea tu kwa maana ya kutua tu uwanja wa ndege paaaa! Basi akauliza "jamanieee nani anakiongoza TAA?"
La hasha sivyo, kwa waswahili na waafrika na hata wazungu, siku chache huanzia siku 1-30!
Alichouliza Mag3 mara tatu kina maana sana ingawa inahitaji akili za ziada na uhuru wa fikra kuona kilicho ndani yake.Nguruvi3,
Punguza ubabaifu wa hoja wewe Mzee. Mwambie na huyo Mag3 wako pia ,tupunguzieni kutufanyia revision kila mnapoona hamna majibu ya maana.
Hakuna nondo zozote hapo,acha kumtisha na kumuumiza kichwa Sheikh Mohammed. Kumbuka Sheikh Mohammed ni Scholar/Historian mwenye kukubalika,na ana wajibu mkubwa wa kufumbua watu macho tangia hapo Tanzania na Ulimwengu mzima. Kwa hiyo hii bahati mliyoipata ya kukutana nae hapa jamvini/JF tuitumie vyema kwa faida ya soote.
Tabia ya kukwepa/kukimbia hoja na kuvurumisha matusi mliianzisha nyinyi. Tafadhalini anzeni kujibu zile The Escapes Routes alizoleta The Big Show na hoja zoote alizoleta Zali la Mentali, na nyinginezo nyingi ambazo mpaka sasa mmekaa kimya. Hatujui ni kwa kutokujua majibu au ni kibri tu cha utu uzima!?
Kama hamtafanza hivyo;hapa mnakasha italazim usimame kwa muda kama unavyoziona dalili. Na Sheikh Mohammed ataenda kuendelea na shughuli zake muhimu za kulielimisha Taifa. Atakuwapo tu kwa muda kuchungulia maendeleo ya hapa jamvini.
Mwambie Jasusi aweke zile nyimbo zake za Eduardo Massengo ili wanajamvi tuburudike,maana kwa sasa hapana issue yoyote ya maana inayoendelea.
Ahsanta.
Alichouliza Mag3 mara tatu kina maana sana ingawa inahitaji akili za ziada na uhuru wa fikra kuona kilicho ndani yake.
Mag3 anasema wakati Nyerere akiwa ndani ya siasa na kiongozi Abdul Sykes alikuwa mtoto wa familia ya Sykes. Kwamba aliishi kwa sifa za familia yake
Maana yake ni kumwambia Mohamed kuwa Abdul Sykes(As much as we respect him) hakumuingiza Nyerere katika siasa na wala si yeye aliyemfundisha Nyerere siasa kama madai ya Mohamed yasemavyo
Hili la kusema Mohamed ni Scholar nadhani ni la mtazamo wa kila mmoja. Neno Scholar lina maana nzito na haliishii kubeba brief case hadi Lagos kwenda kulaghai ulimwengu tena kwa jina la Uislam! Yarabi
Kuhusu hoja za vijana wa Mohamed, kujibu matusi kunahitaji akili ya ziada Gombesugu!
Ndio maana unaona wenye hekima wanakaa kimya ili, from a distance somebody can tell the difference.
Hili la escape route limeshikiwa bango sana. Guess what, the issue is dead on arrival.
Nimelikalia kimya ili kumsitiri kijana wa Mohamed Big show ili meli isizamae na mzigo.
Ninakupa dondoo kuwa escape route ya kwanza inaua hoja nzima.
Naomba tuliache! Nikisimamia ile ya kwanza tu mtu hatakuwa na haja ya kusoma zingine!
Trust me! Nimesitiri big show kama ulivyo msitiri Hamza Aziz na uhalifu.
Nguruvi3,
Nashukuru na napenda unapotoa majibu kwa lugha njema na ya ustaarabu.
Najua mimi na wewe tuna ile Unspoken Rule,tunapoambiana "tustiri kitu fulani" huwa tunasikizana. Kwa hili nakutangulizia shukran zangu za dhati. Nakumbuka ulinisikiza kuanzia lile suala la Alhaj Rukara na WML mpaka yale ya Bwana Hamza Aziz. Nami pia nimeacha/nimepunguza yale "matambara ya enzi ya Mwalimu".
Lakini kuna wakti ni muhimu kuchambua hoja ili tusikizane na kujaribu kuelekezana,kuliko kukaa kimya.
Hiyo "habari ya mkoba wa Ibadan",naona bado imekukaa moyoni...tafadhali nakusihi kuanzia sasa nayo pia uiache. Maana najua inamtafash mno Sheikh Mohammed.
Ahsanta na tuendelee na mnakasha.