Shukran kwa kuiweka hiyo link,mimi nilishawahi kuiona.
Kama nilivyowahi kueleza katika mojawapo ya bayana zangu za awali hapa
jamvini,yakuwa hili suala la
Palestine,Non Alignment Movement na masuala ya
Polisario ni baadhi ya vitu vichache mno nilivyokua nakubaliana na
Nyerere. Japo sina hakika na
motives zake,khususan kutokana na historia yake na vitimbi vyake kwa yale mengine alokua akifanza.
Kwa mfano kushiriki kwake kikamilifu katika
mauaji ya kinyama/massacre ya
Matabeleland. Sio
WaTanzania wengi wanaofahamu yakuwa Nyerere alishiriki kikamilifu katika mauaji yale ya kikatili na kumuunga mkono kupita kiasi
Robert Mugabe dhidi ya
Joshua Nkomo na Wanachi wengine wa Zimbabwe.
Nyerere/Tanzania ilipeleka
Wanajeshi 350 kushiriki katika mauaji yale machafu dhidi ya raia wengi wasio na hatia wakiwemo
wanawake,vikongwe na
watoto.
Tukirejea katika suala la
Palestine;ni aghalab kumkuta
well learned Christian/Catholic hasa anaejua kwa kina masuala ya
Medieval History,
Anthrolopolgy,Contemporary History,Current Affairs,halafu awe anawakubali au kushirikiana na
Israel kwa karibu mno.
Nyerere alikua ni mahiri katika hayo majambo na pia alikua ni
Mkristo/Mkatoliki mtiifu mno.
Mayahudi na
Vatican,hawa ni maadui wa asili. Lakini uadui wao ulikithiri khasa katika ile
Slave Trade. Vatican inafahamu fika yakuwa Mayahudi ndo watu pekee wanaojua siri zao za ndani. Na ndo hao hao Mayahudi wanaowachafua kila siku kwa kutumia kupitia
mainstream media wanazohodhi.
Ndo maana katika ule mkutano wa
JFK na
Nyerere,hao
Wakatoliki wawili walikumbushana pia "wajibu wao" wa kupambana na
Jewish Lobby kwa kila njia.
Tunajua kabisa yakuwa
JFK hakuwa mtu mwenye historia ya
sympathy,empathy au hata mawasiliano mazuri na
Civil Right Movements. Tafauti kabisa na
Bobby Kennedy. Mara nyingi akina
Tom Mboya walikua close na
Senator Richard Nixon kuliko JFK. Lakini utaona ghafla baada ya
Tanganyika kupata uhuru,na maagizo maalum kutoka
Vatican kwenda kwa JFK ndipo utakuta ile connection ya Nyerere pale ilipokolea mno.
Kwa wale wajuba msotaka kusikia,jaribuni kupitia
Barack Obama - The Story,
JFK Biography by Prof. Michael O'Brien na
nyaraka/sources nyingine mbalimbali na mtabainisha mengi.
Nilipitia baadhi ya
Threads hapa
JF,nikakuta malumbano fulani ya kidini na jinsi
"jamaa fulani" anavyojaribu kuonyesha
"mantiki" na kupambanua
"hoja" zake ili kuhalalalisha yakuwa
Tanzania ni bora iwe na mahusiano na
Israel ati ili
Wakristo waokoke na kupata misaada toka kwa "
ndugu zao"! Ilinilazim kucheka.
Kwa kifupi,
Rais ali Hassan Mwinyi alifanza mengi mno mazuri lakini nae katika yale machache ambayo sikubalianai nae ni hili suala la kurejesha uhusiano wetu kwa karibu mno na
Israel. Niliwahi kumuuliza
Bwana Jabir(alikua
Private Secretary/Special Advisor wa Mwinyi) kuhusu habari hii ,akanijibu ati "
ililazim" kufanza hivyo maana walishinikizwa!? Sina hakika maana hakunambia nami sikuona haja ya kumuuliza na nani au kwanini!?
Niliwahi kukutana na baadhi ya jamaa "
Waandamizi" walioongozana na ujumbe wa
Baloz Ali Idd pale
Tel Aviv wakti fulani. Jinsi nilivyowasikia mazungumzo yao nilipatwa na butwaa...ni watu ambao hata nilianza kushuku viwango vyao vya elimu na uelewa wao wa mambo ya
kimataifa. Wifey wangu ni
Austrian Jew na tulikua pamoja. Aliwahi kuniuliza hivi kwanini hawa watu wanafuatana na
Viongozi wakubwa kama hivi,tena kwenye
misafara ya kimataifa kama hii lakini inaelekea kuna vitu hawavijui kabisa!?
Wallahi nilitahayari pasi kiasi!
Kwa kifupi walichachafywa mno na "
vijana waduchu waduchu" kutoka
Israel Ministry of Foreign Affairs,mpaka ikaonekana kuwa hao jamaa ni kuwa walifanza tu ile trip bila hata ya maandalizi ya kutosha au kujua walifata nini pale!? Japo sipo hapo nyumbani kitambo,lakini nahisi
Tanzania tunaeleka pabaya!!?
Ahsanta.