Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ondoa hofu mkuu,

Mda ukifika taarifa ya pamoja kati ya mimi na Ubalozi wa USA itatolewa na umma na dunia watajua kila kitu!

Yericko,
Naona shida kukuita muongo.

Hivi unajua itifaki za ubalozi?
Mbona unataka kujifedhehesha bure bila sababu?

Watazamaji wa uzi "Uchochezi wa Mohamed Said..." wanaongezeka
kila uchao jihadhari wasikutie katika list...ya vikaragosi.
 
Yericko,
Kibri kimefunika hata hiyo elimu kiduchu ulokuwanayo.

Ndiyo maana umefikishwa mahali umetukanisha hadi wazazi wako.

Punguza ujuvi utajifunza mengi katika maisha ya awali ya baba yako
kutoka kwangu.

Hivi kiburi na kebihi unazojivika wewe huoni ila nikisema mimi kwakujiamini kwako ni ghubu?

Hahaa jibu maswali niliyokuuliza juu ya kisa cha Shariff Attass

Acha ujanjaujanja wakuwepa maswali ndugu!
 
Ndugu

Katika michango yako ya mwanzo kwenye uzi huu nilikutazama na kukutafasiri kama mmoja wa wanazuoni na mbobevu wa fikra za nera!

Lakini kwa aina ya ujumbe unaochangia kadiri mjadala huu unavyosonga ndivyo unavyonipa picha ya watu wa aina ya "ndio mzee"

Sitaraji na siamini kamwe kwa msomi na anaesimamia elimu yake ataunga mkono hadithi ya Atass kuwa ni sehemu ya historia ya uhuru wa nchi hii!

Kwanza nikujuze kinyume na Mohame kuwa huyo aitwae Sharif Atass hakuwa na "URAFIKI" na Mwalimu Nyerere kiasi cha eti mwalimu aishi miaka yote akimuweka akilini!

Hivi haikuingii akilini kuwa Mwalimu angemuweka akilini Sharif kwa lipi?

Kwakupiga ngano wote pale Kariakoo?

Jiulize Sharif Atass ni nani kwa Nyerere mpaka kiwe kisa chakusimuliwa na kiwe sehemu ya historia ya uhuru?

Ndugu yangu jisimamie kama ulivyoingia mwanzoni usibebwe na hisia!

Mjadala huu ni mzito kwakuwa ili uuelewe inakubidi hisia zako za kidini uziweke kando jambo ambalo wachangiaji wengi limewashinda na wewe ukiwemo!

Wewe kweli akili zako ni za kitoto. Nani aliyetaka Sharif aingie kwenye historia ya Uhuru? Sharif ametumika tu kama subject wa kuonyesha jinsi Nyerere alivyokuwa mnafiki kwa kujifanya amewasahau watu ambao alikaa nao wakati wa shida na mara baada ya mambo yake kumnyookea akajifanya hawajui.
 
Hivi kiburi na kebihi unazojivika wewe huoni ila nikisema mimi kwakujiamini kwako ni ghubu?

Hahaa jibu maswali niliyokuuliza juu ya kisa cha Shariff Attass

Acha ujanjaujanja wakuwepa maswali ndugu!

Yericko,
Nikujibu kitu gani na wewe hutaki kujua?

Kwa hali ya kawaida na uungwana ungependa kujuana
na marafiki wa baba yako kwa ajili ya hisani zilizopita.

Wewe unawakebehi baba zako.
 
Yericko,
Naona shida kukuita muongo.

Hivi unajua itifaki za ubalozi?
Mbona unataka kujifedhehesha bure bila sababu?

Watazamaji wa uzi "Uchochezi wa Mohamed Said..." wanaongezeka
kila uchao jihadhari wasikutie katika list...ya vikaragosi.

Mohamed Said,

Hofu yako ni nini?

Ikiwa ni uongo ama ukweli kwanini usiwe na subira ndugu yangu?

Juu ya suala hili la Kitabu kiitwacho "Vita dhidi ya Ugaid" sio kila jambo nitalizungumza hapa, mengine yapo chini ya mdhamini wa mradi huo!

Pole sana ndugu naoina hili linakuuma sana na unajitahidi kwakila njia kulififisha!

Mda ukifika kila kitu kitakuwa peupe!
 
Yericko,
Nikujibu kitu gani na wewe hutaki kujua?

Kwa hali ya kawaida na uungwana ungependa kujuana
na marafiki wa baba yako kwa ajili ya hisani zilizopita.

Wewe unawakebehi baba zako.

Hapana!

Sijawakebehi, nimehoji uhalali wa kisa hicho na umenilazimisha nihoji kwakutumia mantiki ya hadithi yako!

Sasa kama kuhoji kisa ni kukebehi basi hatuna haja yakuganda hapa mzee wangu!
 
Hapana!

Sijawakebehi, nimehoji uhalali wa kisa hicho na umenilazimisha nihoji kwakutumia mantiki ya hadithi yako!

Sasa kama kuhoji kisa ni kukebehi basi hatuna haja yakuganda hapa mzee wangu!

Yericko,
Kama itakavyokuwa naamini yapo wanajamvi wamejifunza katika "hadithi."
 
Mohamed Said,

Hofu yako ni nini?

Ikiwa ni uongo ama ukweli kwanini usiwe na subira ndugu yangu?

Juu ya suala hili la Kitabu kiitwacho "Vita dhidi ya Ugaid" sio kila jambo nitalizungumza hapa, mengine yapo chini ya mdhamini wa mradi huo!

Pole sana ndugu naoina hili linakuuma sana na unajitahidi kwakila njia kulififisha!

Mda ukifika kila kitu kitakuwa peupe!

"Vita dhidi ya Ugaid" Ugaid maana yake nini? Hicho kitabu hata ukikigawa bure sichukui.

Sasa wewe si unadai umekutana na mashushu wa Marekani kwa ajili ya kazi yako nzuri kuhusu kitabu chako cha Ugaid, wasikilize CIA wanazungumza nini hapa kuhusu Al qaida http://beforeitsnews.com/politics/20...in.info%2Fd3HB
 
Mohamed Said,

Hofu yako ni nini?

Ikiwa ni uongo ama ukweli kwanini usiwe na subira ndugu yangu?

Juu ya suala hili la Kitabu kiitwacho "Vita dhidi ya Ugaid" sio kila jambo nitalizungumza hapa, mengine yapo chini ya mdhamini wa mradi huo!

Pole sana ndugu naoina hili linakuuma sana na unajitahidi kwakila njia kulififisha!

Mda ukifika kila kitu kitakuwa peupe!

Yericko,
Husemi kweli.

Mimi nimechapa kitabu Uingereza hicho cha Abdu Sykes.
Nayajua vizuri mambo haya.

Hayo uloleta jamvini...
Hayendi hivyo.

Balozi hazifanyi kazi za kuchapa vitabu.
 
Nimekuja ukumbini kufyonza Ilm siyo kufyonza matusi, Mzee Mohamed Said tunakuomba chonde chonde usiondoke ukumbini endelea kutudarasisha kuhusu historia yetu tanganyika.

Spike,
Karibu.

In Sha Allah tutakuwa sote.
Darsa inaendelea.
 
Yericko,
Kama itakavyokuwa naamini yapo wanajamvi wamejifunza katika "hadithi."

Naaaam! naaaam!

Ndugu yangu Mohamed Said,

Kama kuna mtu atasema kuwa amejifunza historia ya uhuru wa Tanganyika kupitia Ngano zako juu ya akina Shariff Attas, Mshume Kiyate na wengine waliokuwa wakicheka na Mwalimu Nyerere huyo ni MPUMBAVU na kamwe hata erevuka!

Tunapozungumzia historia ya nchi huwa tunasimamia yale yenye mafaa kwa taifa tu,

Hivi leo uzungumze historia ya Uhuru wa China halafu halafu ukaanza kumuchambua/kumuelezea Wen Fang Lee swahiba wa Mao Tse Tong,

Kisa cha kumzungumzia Wen Fang Lee nikuwa alimuazima kalamu Mao Tse Tong walipokuwa chuoni, hivyo walikuwa maswahiba wakubwa!

Je mwandishi huyu wa historia atakuwa amefuzu viwango vyakuandika historia ya nchi au atakuwa mbabaisha na mchochezi???

Mohamed Said tunapozungumzia nchi tunamaana ya hadhi na masanifu ya hadidu zake zitamalaki vizazi na vizazi!

Hakuna duniani pote ambapo wanamapinduzi hawakufanya upuuzi wa kitoto ama wakikubwa,

Kama visa hivyo havikuathiri harakati za ukombozi yanini kuvifanya viwe vya kitaifa ilihali ni vyakipuuzi (vyakiuungwana wa kiafrika)

Sio kila upuuzi uliofanywa na wanaukombozi basi nilazima uandikwe,

Utakuwa unajipunja mwenyewe hadhi ya kuwa mwandishi wa kimataifa hasa izingatiwa unaangazia kuitwa mwandishi wa historia ya Uhuru wetu!
 
Yericko,
Husemi kweli.

Mimi nimechapa kitabu Uingereza hicho cha Abdu Sykes.
Nayajua vizuri mambo haya.

Hayo uloleta jamvini...
Hayendi hivyo.

Balozi hazifanyi kazi za kuchapa vitabu.

Mohamed Said,

Mimi nakuona ni mtu mzima na umepevuka haswaaa!

Lakini kwanini katika hili la kitabu hiki akili unaiweka kando na kuweka hisia?

Ubalozi tangu lini wawe na kiwanda chakuchapa vitabu pale?

Hivi ukiambiwa TBL ni mdhamini wa Simba na Yanga, je unajua kazi yake maalumu?

Mimi naamini unajua fika logic ya hili ila unataka kupotosha kwa maksudi tu kama kawaidi yako!
 

Issue hapa inatokana na Dhana ya Serikali kutokuwa na Dini au Serikali ya Kisekula Dhana hiyo ni maarufu Tanzania. Mara nyingi katika masuala yahusuyo dini, viongozi wa serikali husikika wakisema «serikali haina dini, ila wananchi wake wana dini zao ». Hoja ya usekula wa serikali ni ya kihistoria. Ilijengwa kiasi cha miaka miambili iliyopita ikitaka serikali ijiepushe na shughuli za kidini hususan katika masuala ya elimu, mafundisho ya maadili na na ibada.Japokuwa Tanzania imekuwa ikidai kwamba serikali yake ni ya kisekula, hali halisi haioneshi hivyo. Pamoja na madai hayo, serikali ya Tanzania imewahi kuingia katika msuguano na Waislamu na baadhi ya wasiokuwa waislamu pale Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ilipotaka kuanzisha somo la dini au maadili ya nchi. Kadhia hii ni maarufu kwa jina la dini mseto. serikali ya kisekula haiwezi ikaja na mipango ya kusomesha dini kwa jina lolote lile liwe la maadili au vyovyote vile.

Mifano mingine inayotia wasiwasi usekula wa serikali ya Tanzania ni hii ifuatayo:

1. Wimbo wa Taifa  unaomba mungu aibariki nchi

2. Dua ya Bungeni  ina muomba mungu

3. Kuapishwa kwa wanaochukua nafasi za uongozi.
Japo wanaoapa huapa kwa dini zao, aneapishasi kiongozi wa dini husika bali wa serikali au wabunge.

Utaratibu huo hauendani na madai kuwa nchi au serikali ya Tanzania haina dini, bali wananchi wake ndiyo wenye dini. Swali ni je, tunapomtaja Mungu katika wimbo wa taifa au katika dua ya bungeni, na kadhalika, tunamkusudia mungu yupi? Mungu wa Waislamu? Wa Wakristo? Wa dini za asili? Je, kuna mungu wa kitaifa? Mungu huyo wa kitaifa ni yupi na ni wa dini gani?Je, katika hali hiyo, ni kweli serikali haina dini? Katika mazingira ya Waislamu kuandamwa na kukandamizwa na mila ya Mfumokristo, mfumo ambao unajidhihirisha zaidi katika vitendo vya kibaguzi vinavyofanyiwa Waislamu na sehemu kubwa ya watendaji serikalini na katika taasisi mbalimbali, kwa nini mwananchi Muislamu asiamini kuwa serikali hii si ya kisekula bali ni ya kidini; na dini yenyewe ni Mfumokristo.

According to TRA / HAZINA....

attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php



Mbinu zinazotumiwa na Mfumokristo katika Kujihakikishia Fursa Tanzania


Mfumokristo ni hali ambayo Wakristo wa Tanzania wamehodhi madaraka ya ngazi zote muhimu katika serikali na katika vyombo vya maamuzi, na kuzitumia nafasi hizo kuwaendeleza Wakristo na Ukristo na kuwabagua Waislamu na dini yao.

1. Kuendeleza mfumo wa kibaguzi katika elimu kama ulivyoachwa na wakoloni.
Wakoloni wa kijerumani ndio walioanzisha mfumo wa kuwabagua Waislamu katika elimu baada ya kushinikizwa na makanisa. Ushahidi wa mashinikizo hayo unaweza kupatikana katika rejea zifuatazo: Cameroon and Dodd 1970:56, Kurtz1972:19, Smith 1963:16. Hatimaye kutokana na mashinikizo hayo serikali ilikubali kufaya yafuatayo:-

i. Kuwafukuza kazi Waislamu waliokuwa serikalini na kuwaingiza Wakristo (Tazama Cameroon and Dodd1970: 25, 56, pia Roland 1970:205)

ii. Kuzipa shule za wamisheni msaada wa kifedha kutoka kodi za wananchi huku wakizibagua zile za Waislamu (Tazama Roland: 1970: 205,na Cameroon and Dodd 1970:50)

iii. Kuweka mpango mkakati wa kuwabagua na kuwahujumu Waislamu na Uislamu wao. Tazama Roland 1970:205, Kurtz 1972:29. Cameroon and Dodd 1970:114.





iv. Kujenga hoja kwamba Waislamu kwa asili yao si watu wa kuendelea na kuwa ni wavivu. Tazama E.B Castle 1966:37 ambaye anasema,  Islam hinders progressive attitude to change in society and a community that accepts Islam is less likely to advance in social welfare and education, yaani Uislamu ni kikwazo cha fikra za maendeleo na mabadiliko katika jamii, na kwamba jamii ikiukubali Uislamu haiwezi kamwe kupiga hatua za katika ustawi wa na elimu. Pia Abel Ishumi 1980:208 anasema, From the beginning Muslims were opposed to western type formal education, Kwamba Waislamu walipinga elimu. Pia Abel Ishumi 1981:43, Muslims believe highly in fatalism Kwamba Waislamu wanabweteka na kuamini kwao kuwa mambo yameshakadiriwa.






2. Kuhujumu taasisi za Waislamu na kuweka viongozi mamluki.

Baada ya uhuru Serikali ya Tanzania imekuwa na muelekeo wa kuziandama taasisi zinazoonekana kuwa na mipango madhubuti ya kuwakomboa Waislamu kuondokana na ujinga na umaskini. Rejea Bergan 1981:26 na Sivalon 1992:3 kuhusu kuvunjwa kwa EAMWS na kuanzishwa kwa BAKWATA. Pia soma Anuur na. 13 la Agosti 1992 juu ya taarifa ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ya kuitaka Serikali kuifuta EAMWS. Pia tazama Njozi 2000:31. Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania kuhusu kadhia ya kuvamiwa kwa Msikiti wa Mwembechai na hatimaye kuuliwa kwa Waislamu.



3. Kuhodhi mfumo wote wa elimu nchini.


Tangu kuondoka kwa Mkoloni Wakristo wamekuwa kama mabaki ya wakoloni na ukoloni. Ukiondoa shule za msingi na sekondari za Kata, huko katika shule za sekondari za Serikali, vyuo vya kati na vyuo vikuu wanafunzi na wafanyakazi ni Wakristo kwa zaidi ya asilimia 80. Siku hizi katika shule za Kata wanafunzi Waislamu wameanza kuonekana. Katika taasisi za elimu mfano T.I.E, TEA, NECTA, Bodi ya Mikopo, I.A.E na vyuo vyote nchini, uongozi umekuwa ni mali ya Wakristo.



Huko mwanzo walidai kwamba hamna Muislamu mwenye elimu ya kutosha kuongoza. Kwa siku za hivi karibuni madai yao kwa wale Waislamu wachache waliofanikiwa kupata elimu ni kuwa hawafai kwa vile wana, udini.



Aidha katika Wizara ya Elimu (MOEVT) tangu Wizara hiyo kuundwa uongozi umekuwa mali ya Wakristo kwa zaidi ya asilimia 90. Nafasi kama ya Kamishina wa Elimu haijawahi hata kuwa na Kaimu Muislamu na wala haitarajiwi chini ya Mfumochristo. Nafasi zawakurugenzi nazo zimemilikiwa na Wakristo. Mfumokristo umejikita barabara.


Uongozi wa Shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu nao umemilikiwa vilivyo. Nafasi za Maafisa elimu Wilaya na Mikoa na wakaguzi wakuu wa elimu wa Kanda kwa zaidi ya asilimia 85 zinaendelea kuwa miliki ya hawa Wakristo.



Mfumokristo ni hali ambayo Wakristo wa Tanzania wamehodhi madaraka ya ngazi zote muhimu katika serikali na katika vyombo vya maamuzi, na kuzitumia nafasi hizo kuwaendeleza Wakristo na Ukristo na kuwabagua Waislamu na dini yao.


1. Kuendeleza mfumo wa kibaguzi katika elimu kama ulivyoachwa na wakoloni. Wakoloni wa kijerumani ndio walioanzisha mfumo wa kuwabagua Waislamu katika elimu baada ya kushinikizwa na makanisa. Ushahidi wa mashinikizo hayo unaweza kupatikana katika rejea zifuatazo: Cameroon and Dodd 1970:56, Kurtz1972:19, Smith 1963:16. Hatimaye kutokana na mashinikizo hayo serikali ilikubali kufaya yafuatayo:-


i. Kuwafukuza kazi Waislamu waliokuwa serikalini na kuwaingiza Wakristo (Tazama Cameroon and Dodd1970: 25, 56, pia Roland 1970:205)


ii. Kuzipa shule za wamisheni msaada wa kifedha kutoka kodi za wananchi huku wakizibagua zile za Waislamu (Tazama Roland: 1970: 205,na Cameroon and Dodd 1970:50)


iii. Kuweka mpango mkakati wa kuwabagua na kuwahujumu Waislamu na Uislamu wao. Tazama Roland 1970:205, Kurtz 1972:29. Cameroon and Dodd 1970:114


iv. Kujenga hoja kwamba Waislamu kwa asili yao si watu wa kuendelea na kuwa ni wavivu. Tazama E.B Castle 1966:37 ambaye anasema,  Islam hinders progressive attitude to change in society and a community that accepts Islam is less likely to advance in social welfare and education, Yaani Uislamu ni kikwazo cha fikra za maendeleo na mabadiliko katika jamii, na kwamba jamii ikiukubali Uislamu haiwezi kamwe kupiga hatua za katika ustawi wa na elimu. Pia Abel Ishumi 1980:208 anasema, From the beginning Muslims were opposed to western type formal education, Kwamba Waislamu walipinga elimu. Pia Abel Ishumi 1981:43, Muslims believe highly in fatalism Kwamba Waislamu wanabweteka na kuamini kwao kuwa mambo yameshakadiriwa.


2. Kuhujumu taasisi za Waislamu na kuweka viongozi mamluki. Baada ya uhuru Serikali ya Tanzania imekuwa na muelekeo wa kuziandama taasisi zinazoonekana kuwa na mipango madhubuti ya kuwakomboa Waislamu kuondokana na ujinga na umaskini. Rejea Bergan 1981:26 na Sivalon 1992:3 kuhusu kuvunjwa kwa EAMWS na kuanzishwa kwa BAKWATA. Pia soma Anuur na. 13 la Agosti 1992 juu ya taarifa ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ya kuitaka Serikali kuifuta EAMWS. Pia tazama Njozi 2000:31. Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania kuhusu kadhia ya kuvamiwa kwa Msikiti wa Mwembechai na hatimaye kuuliwa kwa Waislamu.

3. Kuhodhi mfumo wote wa elimu nchini. Tangu kuondoka kwa Mkoloni Wakristo wamekuwa kama mabaki ya wakoloni na ukoloni. Ukiondoa shule za msingi na sekondari za Kata, huko katika shule za sekondari za Serikali, vyuo vya kati na vyuo vikuu wanafunzi na wafanyakazi ni Wakristo kwa zaidi ya asilimia 80. Siku hizi katika shule za Kata wanafunzi Waislamu wameanza kuonekana. Katika taasisi za elimu mfano T.I.E, TEA, NECTA, Bodi ya Mikopo, I.A.E na vyuo vyote nchini, uongozi umekuwa ni mali ya Wakristo. Huko mwanzo walidai kwamba hamna Muislamu mwenye elimu ya kutosha kuongoza. Kwa siku za hivi karibuni madai yao kwa wale Waislamu wachache waliofanikiwa kupata elimu ni kuwa hawafai kwa vile wana, udini. Aidha katika Wizara ya Elimu (MOEVT) tangu Wizara hiyo kuundwa uongozi umekuwa mali ya Wakristo kwa zaidi ya asilimia 90. Nafasi kama ya Kamishina wa Elimu haijawahi hata kuwa na Kaimu Muislamu na wala haitarajiwi chini ya Mfumochristo. Nafasi za wakurugenzi nazo zimemilikiwa na Wakristo. Mfumokristo umejikita barabara. Uongozi wa Shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu nao umemilikiwa vilivyo. Nafasi za Maafisa elimu Wilaya na Mikoa na wakaguzi wakuu wa elimu wa Kanda kwa zaidi ya asilimia 85 zinaendelea kuwa miliki ya hawa Wakristo.

4. Kukataa kutunga sera za kuondoa upendeleo wa Wakristo katika elimu na kuendeleza ulaghai dhidi ya wananchi wasiokuwa Wakristo. Mara baada ya uhuru ilielezwa na viongozi wetu akiwemo Mwl. Nyerere kuwa serikali itachukua hatua kuondoa mpango ulioasisiwa na Wakoloni wa kuwabagua Waislamu. (tazama A. Jumbe 1994:123, Court 1976 na Nyerere in Hansard Desemba 10, 1962). Badala yake hatua zilizochukuliwa hazikulenga kuondoa tatizo la ubaguzi wa kidini katika elimu nchini na kuwaondoa pia katika ajira na madaraka.Mfano wa hatua hizo ni pamoja na:

i. Kufuta ada shule za msingi na sekondari miaka ya 1960/70.

ii. Kuweka kikomo cha elimu ya msingi kuwa miaka 7 bila kusita.

iii. Kuondoa mitihani ya darasa la 4 na 5. iv. Kuanzishwa kwa mpango wa UPE.

v. Kujenga shule za msingi za bweni kwa watoto wa wafugaji na wavuvi wanaoishi kwa kuhamahama

vi. Kutaifisha shule za binafsi zilizokuwa chini ya mashirika ya dini na watu binafsi. Mpango huu haukuhusisha seminari za Wakristo.

vii. Kupeleka wanafunzi sekondari kwa kigezo cha KUCHAGULIWA badala ya KUFAULU kulikoendana na kuyafanya matokeo ya mtihani wa darasa la saba kuwa ni siri.

viii. Kuanzishwa utaratibu wa quota system ambapo kila mkoa ulipangiwa idadi ya wanafunzi watakaochaguliwa kwenda sekondari.

ix. Kuweka utaratibu mgumu wa kuanzisha na kuendesha shule binafsi chini ya sheria ya elimu ya mwaka 1978, hivyo watu wote kulazimika kusoma katika shule chache za sekondari za Serikali

x. Kuanzishwa kwa shule maalum za vipaji katika miaka ya tisini mfano: Kibaha, Kilakala, Ilboru, n.k.

xi. Kutoa upendeleo maalum (Affirmative Action) kwa watoto wa kike kuingia sekondari na vyuo. Aidha kuwepo pia kwa mipango ya kuwasomesha watoto wa kike kutoka familia maskini.

xii. Ujenzi wa Shule za Sekondari za Kata. Sera hizi zote pamoja na nyinginezo hazikusaidia kuondoa uwiano mbaya au ubaguzi wa elimu kwa Waislamu. Tuangalie mfano michache ifuatayo: Ni ukweli usiopingika kwamba UPE awamu ya kwanza iliyosukumwa na UNESCO na awamu ya pili iliyosukumwa na Malengo ya Milenia (MDGs) na Mpango wa Elimu kwa wote (EFA) zimesaidia kuwahakikishia watoto wengi wa Kiislamu elimu hiyo ya msingi. Lakini sera hii ilikuja katika kipindi ambacho elimu ya msingi haikuwezi tena kumpatia mtu ajira katika sekta rasmi na hata ile ya binafsi.

Ikumbukwe kwamba katika kipindi hicho cha miaka ya 60 hadi 2000 nafasi za masomo ya sekondari ziliendelea kuwa haba. Wakati wote huu watoto wa Kikristo ndiyo walioendelea kufaidika na elimu ya sekondari. Masomo hayo ya sekondari hatimaye yaliwapatia fursa za kuingia vyuo vikuu na hivyo kuwa katika nafasi za kuajiriwa serikalini, kuteuliwa katika vyeo na nyadhifa mbalimbali huku Waislamu waliowaacha shule za msingi wakiambulia ajira za usafi na utarishi.

Naam, Mfumokristo umefanikiwa kuwafanya Wakristo kuwa warithi wa wazungu wakoloni na kuwaacha Waislamu katika hadhi lie ile waliokuwa nayo wakati wa ukoloni. Aidha kutaifishwa kwa shule hakujasaidia Waislamu kupata elimu ya sekondari kama inavyodaiwa kuwa Nyerere alitaifisha shule ili Waislamu wasome.

Kama tulivyoona awali kuwa tangu wakati wa Mjerumani serikali ya kikoloni ilikuwa ikitoa pesa kusaidia ujenzi na uendeshaji wa shule za Wakristo ni dhahiri kuwa shule hizi zilikuwa zimeshalemazwa na pesa za serikali kwa kipindi cha miaka 55, tangu mwaka 1914 hadi mwaka 1969 zilipotaifishwa. Tazama maandiko ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maskofu Katoliki (TEC) Fr Robinson, D.W 1965:14 kwamba, The Church is now totally dependent on State aid for the administration of these schools. If this aid were withdrawn the church will be forced to close its schools

Yaani, Kwa sasa Kanisa limekuwa tegemezi kabisa kwa serikali katika kutoa pesa za kuendesha shule zake na ikiwa serikali itasita kutoa fedha kwa shule hizi basi Kanisa litalazimika kuzifunga. Ni dhahiri basi kwamba hatua aliyochukua Julius Nyerere ilikuwa na malengo makuu ya kuziokoa shule za Kanisa kufungwa kwa sababu ingekuwa jambo la kiroja kwa serikali ya Tanzania kuendelea kutoa pesa za kuendesha shule za Kanisa kwa wakati ule, na pili kuhakikisha kwamba malengo ya shule zile ya kuwasomesha Wakristo yanaendelea kutekelezwa kwa kutumia pesa za umma.

Kimsingi kilichobadilika ni jina la mmiliki tu uongozi na malengo ya shule yalibaki vile vile. Ndiyo maana hakuna mtu yoyote aliyethubutu au atakayethubutu kudai eti kwamba ukienda katika shule zilizotaifishwa mfano, Pugu, Minaki, Tambaza, Zanaki, Jangwani, Kibasila, Ilboru, Weruweru, Tosamaganga, Msalato, Umbwe, Ndanda n.k, utakuta idadi ya kuridhisha ya wanafunzi Waislamu wanaosoma huko. Lakini hata katika shule za sekondari chache mpya ambazo serikali ilijenga au kujengewa mwishoni mwa miaka ya 70, kama vile: Kibiti, Ruvu, Karatu, Bagamoyo n.k , kote walimu, wafanyakazi na wanafunzi ni Wakristo kwa zaidi ya asilimia 80.

Watoto wachache wa Kiislamu wanaosoma huko huonekana kama wakimbizi wanaosaidiwa katika nchi ya ughaibuni. Kuhusu kuingia sekondari kwa kigezo cha kuchaguliwa na mpango wa quota system, watendaji Wakristo waliojazana katika mfumo wa elimu nchini wamekuwa wakihakikisha kwamba Waislamu hawasomi kutokana mbinu zifuatazo:-

i. Kufanya matokeo ya darasa la saba kuwa ni siri hivyo kuweza kuibadili nafasi walizoshinda Waislamu na kuwapa wengine. Tazama ushahidi mzito uliotolewa na Njozi mwaka 2000; katika kitabu cha Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania uk. wa 62 -70. Hapa vijana wa Kiislamu waliofaulu darasa la saba walinyimwa nafasi kuingia sekondari na wale waliofaulu kidato cha nne walinyimwa kuingia kidato cha tano. Kazi hii ya kuwakwamisha vijana wa Kiislamu ilifanywa vyema na mawakala wa Mfumokristo waliojazana katika mfumo wote wa elimu nchini.

ii. Kuhamisha wanafunzi Wakristo kutoka maeneo yenye ushindani mkubwa kwenda Mikoa iliyokuwa na alama ndogo za kuchaguliwa kama Pwani, Dar, Lindi, Mtwara na Tanga ambayo pia ni maeneo ya Waislamu . Tazama Malekela 1983 in Access to secondary education in Sub- Sahara Africa

iii. Huko nyuma kabla ya wanafunzi kupangiwa shule za sekondari namba zao za mtihani ziliambatanishwa na majina ili kujua nani Mkristo apendelewe na nani siyo awachwe iv. Kuhakikisha kwamba viongozi na watendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) wote ni Wakristo. Aidha kwa asilimia kubwa kabisa watungaji wa mitihani na wasahihishaji pia ni dini hiyo hiyo. Tazama kitabu cha Miaka Thelathini ya NECTA, 2004 au www.necta.ca.tz



Ngoja tujikumbushe mchango wa ndugu yetu wimbi la mbele.

gombesugu, Zali la Mentali,
 
Last edited by a moderator:
Isalia,
Shariff Attas hakuwa na wadhifa wowote katika TAA wala TANU ukitoa kuwa alikuwa mwanachama
na mmoja wa wanachama wa mwanzo katika TANU.

Yeye alikuwa dalali wa Soko la Kariakoo ambako Abdu Sykes ndiye alikuwa Market Master.
Hii ilikuwa 1950s kipindi cha mapinduzi katika TAA na wakati Abdu yuko katika pilika ya kuasisi TANU.

Lakini umuhimu wa Shariff Attas kwanza ni kuwa alikuwa mmoja wa wanamji na kubwa zaidi soko zima
lile likiendeshwa na watu maalum katika kila biashara.

Kwa ajili hii palikuwa na fedha za kutosha kuingizwa katika harakati.
Sasa hapa ndipo unapomkuta Mshume Kiyate dalali wa samaki.

Mshume alihodhi biashara hii na alitajirika kiasi kuwa aliweza peke yake kujitolea kumuhudumia Nyerere kila
kitu hadi uhuru ulipopatikana.

Hata Nyerere alipomwambia Mzee Mshume kuwa sasa apumzike yeye atahudumiwa na serikali Mzee Mshume
alimgomea Nyerere akamwambia, "Mimi nataka wewe na wanao mle chakula changu na hicho cha serikali wape
wageni wako."

Yapo mengi ya hawa wapigania uhuru waliosahaulika.
In Sha Allah tutaambizana kila nafasi ikipatikana.

Unajua ile dua ya akina Jumbe Tambaza walomfanyia Nyerere yeye hakuwa wa kwanza katika viongozi wa TANU
kufanyiwa.

Ile dua wa kwanza kufanyiwa alikuwa Abdu Sykes.
Sijui kama wanajamvi wangependa kusikia mkasa huu.

shukran MS nipo hapa tangu mwanzo wa mnakasha huu kuchota ilm ni vizuri na ni kheri kutuletea huo mkasa kujifunza popote tu
 
Nimekuja ukumbini kufyonza Ilm siyo kufyonza matusi, Mzee Mohamed Said tunakuomba chonde chonde usiondoke ukumbini endelea kutudarasisha kuhusu historia yetu tanganyika.
Nafurahi sana umerudi.
 
Hivi huyu Nyerere aliyeuza uhuru wetu kwa kugeuzwa kibaraka wa Wamarekani, Waingereza na Kanisa Katoliki ndiye mnayemsifia kiasi hiki bila haya? Huyu ambaye aliendeleza ukoloni wa Watanganyika na baadaye Wazanzibari kwa kuruhusu wakoloni waendelee kutunyonya baada ya wao kushindwa kuendelea kufanya hivyo kutokana na mapambano ya Watanganyika na Wazanzibari dhidi ya wakoloni?

Upande wa Kanisa Katoliki nan chi za magharibi kumtumia Nyerere kuendeleza Mfumo Kristo nimeshauelezea. Sasa angalieni jinsi Nyerere alivyokuwa anatumiwa kama Condom na mataifa ya magharibi kwa ajili ya kutunyang’anya uhuru wetu uliopatikana kwa jasho kwa kufuatilia makala hii Justifying the role of imperialism in Africa - World Socialist Web Site

Huyu Nyerere HAFAI hata kupewa kumbukumbu kwa kuupa jina mtaa ulioko Manzese kwa Mfuga Mbwa.


Mkuu changamoto kama hiyo uliyoileta kuna watu hawaikubali kwani hawataki kusikia negative side za Nyerere.Wanasahau alikuwa binadamu na kuna mazuri na mabaya aliyotenda.Tumpeni credit kwa mazuri yake na kwa mabaya tuyajadili ili iwe fundisho kwa vizazi vyetu.

Hivi wanajamvi kuna yeyote mwenye kuujua mkasa uliomfika Chifu Kidaha Makwaia mpaka Nyerere mara tu baada ya uhuru akamzuia Tunduru kwa muda mrefu.Naomba atujuze maana kwenye record za Waingereza inaonyesha Chifu Kidaha alifanikiwa kumweka karibu Nyerere na Gavana wa Tanganyika kabla ya uhuru.

ahsante
 
Naaaam! naaaam!

Ndugu yangu Mohamed Said,

Kama kuna mtu atasema kuwa amejifunza historia ya uhuru wa Tanganyika kupitia Ngano zako juu ya akina Shariff Attas, Mshume Kiyate na wengine waliokuwa wakicheka na Mwalimu Nyerere huyo ni MPUMBAVU na kamwe hata erevuka!

Tunapozungumzia historia ya nchi huwa tunasimamia yale yenye mafaa kwa taifa tu,

Hivi leo uzungumze historia ya Uhuru wa China halafu halafu ukaanza kumuchambua/kumuelezea Wen Fang Lee swahiba wa Mao Tse Tong,

Kisa cha kumzungumzia Wen Fang Lee nikuwa alimuazima kalamu Mao Tse Tong walipokuwa chuoni, hivyo walikuwa maswahiba wakubwa!

Je mwandishi huyu wa historia atakuwa amefuzu viwango vyakuandika historia ya nchi au atakuwa mbabaisha na mchochezi???

Mohamed Said tunapozungumzia nchi tunamaana ya hadhi na masanifu ya hadidu zake zitamalaki vizazi na vizazi!

Hakuna duniani pote ambapo wanamapinduzi hawakufanya upuuzi wa kitoto ama wakikubwa,

Kama visa hivyo havikuathiri harakati za ukombozi yanini kuvifanya viwe vya kitaifa ilihali ni vyakipuuzi (vyakiuungwana wa kiafrika)

Sio kila upuuzi uliofanywa na wanaukombozi basi nilazima uandikwe,

Utakuwa unajipunja mwenyewe hadhi ya kuwa mwandishi wa kimataifa hasa izingatiwa unaangazia kuitwa mwandishi wa historia ya Uhuru wetu!

Mtu yeyote anayemuona Nyerere kaleta Uhuru wakati katunyang'anya uhuru wetu Watanganyika na Wazanzibari tulioupigania kwa damu yetu kwa kuwaruhusu wakoloni waendelee kutonyonya chini ya ukoloni mambo leo huyo ni MPUMBAVU.
 
Madrasa ndio iliyokufanya wewe uwe unafikiri kinyumenyume. Mwenzenu MziziMkavu keshavutiwa na namna Wakatoliki wanavyowafundisha watoto wao Biblia kwa picha na Upendo badala ya mikwaju ya masab'uri mnayowakong'ota watoto wakishindwa kukariri kiarabu.

Shehe Sharif yeye aliweza kwa uwezo wa majini lakini sasa ameokoka anaitwa Michael Sewando na ana akili nzuri sasa baada ya kuacha uchawi. Jina la Bwana limihidiwe, ipo siku hata Shehe Yahya ataokoka naye ataacha uchawi. Hapo Wapemba hali zitakuwa mbaya kwani maduka ya ubani na mayai viza yatakosa wateja

Wanajamvi wapya hizi ndiyo hoja za ndugu zetu.

cc.. gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom