Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ondoa hofu mkuu,

Mda ukifika taarifa ya pamoja kati ya mimi na Ubalozi wa USA itatolewa na umma na dunia watajua kila kitu!

Yericko,
Naona shida kukuita muongo.

Hivi unajua itifaki za ubalozi?
Mbona unataka kujifedhehesha bure bila sababu?

Watazamaji wa uzi "Uchochezi wa Mohamed Said..." wanaongezeka
kila uchao jihadhari wasikutie katika list...ya vikaragosi.
 
Yericko,
Kibri kimefunika hata hiyo elimu kiduchu ulokuwanayo.

Ndiyo maana umefikishwa mahali umetukanisha hadi wazazi wako.

Punguza ujuvi utajifunza mengi katika maisha ya awali ya baba yako
kutoka kwangu.

Hivi kiburi na kebihi unazojivika wewe huoni ila nikisema mimi kwakujiamini kwako ni ghubu?

Hahaa jibu maswali niliyokuuliza juu ya kisa cha Shariff Attass

Acha ujanjaujanja wakuwepa maswali ndugu!
 

Wewe kweli akili zako ni za kitoto. Nani aliyetaka Sharif aingie kwenye historia ya Uhuru? Sharif ametumika tu kama subject wa kuonyesha jinsi Nyerere alivyokuwa mnafiki kwa kujifanya amewasahau watu ambao alikaa nao wakati wa shida na mara baada ya mambo yake kumnyookea akajifanya hawajui.
 
Hivi kiburi na kebihi unazojivika wewe huoni ila nikisema mimi kwakujiamini kwako ni ghubu?

Hahaa jibu maswali niliyokuuliza juu ya kisa cha Shariff Attass

Acha ujanjaujanja wakuwepa maswali ndugu!

Yericko,
Nikujibu kitu gani na wewe hutaki kujua?

Kwa hali ya kawaida na uungwana ungependa kujuana
na marafiki wa baba yako kwa ajili ya hisani zilizopita.

Wewe unawakebehi baba zako.
 
Yericko,
Naona shida kukuita muongo.

Hivi unajua itifaki za ubalozi?
Mbona unataka kujifedhehesha bure bila sababu?

Watazamaji wa uzi "Uchochezi wa Mohamed Said..." wanaongezeka
kila uchao jihadhari wasikutie katika list...ya vikaragosi.

Mohamed Said,

Hofu yako ni nini?

Ikiwa ni uongo ama ukweli kwanini usiwe na subira ndugu yangu?

Juu ya suala hili la Kitabu kiitwacho "Vita dhidi ya Ugaid" sio kila jambo nitalizungumza hapa, mengine yapo chini ya mdhamini wa mradi huo!

Pole sana ndugu naoina hili linakuuma sana na unajitahidi kwakila njia kulififisha!

Mda ukifika kila kitu kitakuwa peupe!
 
Yericko,
Nikujibu kitu gani na wewe hutaki kujua?

Kwa hali ya kawaida na uungwana ungependa kujuana
na marafiki wa baba yako kwa ajili ya hisani zilizopita.

Wewe unawakebehi baba zako.

Hapana!

Sijawakebehi, nimehoji uhalali wa kisa hicho na umenilazimisha nihoji kwakutumia mantiki ya hadithi yako!

Sasa kama kuhoji kisa ni kukebehi basi hatuna haja yakuganda hapa mzee wangu!
 
Hapana!

Sijawakebehi, nimehoji uhalali wa kisa hicho na umenilazimisha nihoji kwakutumia mantiki ya hadithi yako!

Sasa kama kuhoji kisa ni kukebehi basi hatuna haja yakuganda hapa mzee wangu!

Yericko,
Kama itakavyokuwa naamini yapo wanajamvi wamejifunza katika "hadithi."
 

"Vita dhidi ya Ugaid" Ugaid maana yake nini? Hicho kitabu hata ukikigawa bure sichukui.

Sasa wewe si unadai umekutana na mashushu wa Marekani kwa ajili ya kazi yako nzuri kuhusu kitabu chako cha Ugaid, wasikilize CIA wanazungumza nini hapa kuhusu Al qaida http://beforeitsnews.com/politics/20...in.info%2Fd3HB
 

Yericko,
Husemi kweli.

Mimi nimechapa kitabu Uingereza hicho cha Abdu Sykes.
Nayajua vizuri mambo haya.

Hayo uloleta jamvini...
Hayendi hivyo.

Balozi hazifanyi kazi za kuchapa vitabu.
 
Nimekuja ukumbini kufyonza Ilm siyo kufyonza matusi, Mzee Mohamed Said tunakuomba chonde chonde usiondoke ukumbini endelea kutudarasisha kuhusu historia yetu tanganyika.

Spike,
Karibu.

In Sha Allah tutakuwa sote.
Darsa inaendelea.
 
Yericko,
Kama itakavyokuwa naamini yapo wanajamvi wamejifunza katika "hadithi."

Naaaam! naaaam!

Ndugu yangu Mohamed Said,

Kama kuna mtu atasema kuwa amejifunza historia ya uhuru wa Tanganyika kupitia Ngano zako juu ya akina Shariff Attas, Mshume Kiyate na wengine waliokuwa wakicheka na Mwalimu Nyerere huyo ni MPUMBAVU na kamwe hata erevuka!

Tunapozungumzia historia ya nchi huwa tunasimamia yale yenye mafaa kwa taifa tu,

Hivi leo uzungumze historia ya Uhuru wa China halafu halafu ukaanza kumuchambua/kumuelezea Wen Fang Lee swahiba wa Mao Tse Tong,

Kisa cha kumzungumzia Wen Fang Lee nikuwa alimuazima kalamu Mao Tse Tong walipokuwa chuoni, hivyo walikuwa maswahiba wakubwa!

Je mwandishi huyu wa historia atakuwa amefuzu viwango vyakuandika historia ya nchi au atakuwa mbabaisha na mchochezi???

Mohamed Said tunapozungumzia nchi tunamaana ya hadhi na masanifu ya hadidu zake zitamalaki vizazi na vizazi!

Hakuna duniani pote ambapo wanamapinduzi hawakufanya upuuzi wa kitoto ama wakikubwa,

Kama visa hivyo havikuathiri harakati za ukombozi yanini kuvifanya viwe vya kitaifa ilihali ni vyakipuuzi (vyakiuungwana wa kiafrika)

Sio kila upuuzi uliofanywa na wanaukombozi basi nilazima uandikwe,

Utakuwa unajipunja mwenyewe hadhi ya kuwa mwandishi wa kimataifa hasa izingatiwa unaangazia kuitwa mwandishi wa historia ya Uhuru wetu!
 
Yericko,
Husemi kweli.

Mimi nimechapa kitabu Uingereza hicho cha Abdu Sykes.
Nayajua vizuri mambo haya.

Hayo uloleta jamvini...
Hayendi hivyo.

Balozi hazifanyi kazi za kuchapa vitabu.

Mohamed Said,

Mimi nakuona ni mtu mzima na umepevuka haswaaa!

Lakini kwanini katika hili la kitabu hiki akili unaiweka kando na kuweka hisia?

Ubalozi tangu lini wawe na kiwanda chakuchapa vitabu pale?

Hivi ukiambiwa TBL ni mdhamini wa Simba na Yanga, je unajua kazi yake maalumu?

Mimi naamini unajua fika logic ya hili ila unataka kupotosha kwa maksudi tu kama kawaidi yako!
 

Ngoja tujikumbushe mchango wa ndugu yetu wimbi la mbele.

gombesugu, Zali la Mentali,
 
Last edited by a moderator:

shukran MS nipo hapa tangu mwanzo wa mnakasha huu kuchota ilm ni vizuri na ni kheri kutuletea huo mkasa kujifunza popote tu
 
Nimekuja ukumbini kufyonza Ilm siyo kufyonza matusi, Mzee Mohamed Said tunakuomba chonde chonde usiondoke ukumbini endelea kutudarasisha kuhusu historia yetu tanganyika.
Nafurahi sana umerudi.
 


Mkuu changamoto kama hiyo uliyoileta kuna watu hawaikubali kwani hawataki kusikia negative side za Nyerere.Wanasahau alikuwa binadamu na kuna mazuri na mabaya aliyotenda.Tumpeni credit kwa mazuri yake na kwa mabaya tuyajadili ili iwe fundisho kwa vizazi vyetu.

Hivi wanajamvi kuna yeyote mwenye kuujua mkasa uliomfika Chifu Kidaha Makwaia mpaka Nyerere mara tu baada ya uhuru akamzuia Tunduru kwa muda mrefu.Naomba atujuze maana kwenye record za Waingereza inaonyesha Chifu Kidaha alifanikiwa kumweka karibu Nyerere na Gavana wa Tanganyika kabla ya uhuru.

ahsante
 

Mtu yeyote anayemuona Nyerere kaleta Uhuru wakati katunyang'anya uhuru wetu Watanganyika na Wazanzibari tulioupigania kwa damu yetu kwa kuwaruhusu wakoloni waendelee kutonyonya chini ya ukoloni mambo leo huyo ni MPUMBAVU.
 

Wanajamvi wapya hizi ndiyo hoja za ndugu zetu.

cc.. gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…