Sheikh Nambokola; Ndoa za watu binafsi sio katika bilateral relations za nchi!!!!!! Hayo mengine Mwenyewe Joka mtajuana. Shukran
Mkuu Wickama,
Huo ni mfano nilouweka hapo kuonesha kwamba hata kama vipi bado tutakua tunamaingiliano ya hali ya juu.
Ndugu yangu labda ni speed ya Internet connectivity yako. Hiyo link ya kwanza ina picha zinabadilikabadilika, ya pili ina report ya page 12 ya tatu ina report ya pg 17, hizi report zote ni PDF. Tulia kidogo jaribu wakati Speed ni nzuri.
Mkuu Wickama,
Internet yangu iko fine kabisa hizo page nimeziweka kwenye laptop yangu kama unataka nitaziweka hapa ninavyo quote ndivyo ilivyo
na hayo maradhi lazima yatokomezwe, la sivyo yale ya Burundi na Rwanda au korea yatatufikia.Zumbe; Uko sawa kabisa ndugu yangu. Kuna maradhi mapya ya kudhani kuwa mikoani kulikuwa na magodoro tuu. Vichwa vyote vilikuwa kwenye familia moja. Ndio historia inayopigiwa debe hapa. Uko sawa kabisa. Hela ambazo hawa WAJANJA walizokuwa wanachota toka WANACHAMA wa mikoani (wanaita Matawi) wala hazisemwi. Ukiangalia kama Dar walipigana hata kajivita na wakoloni HAMNA, kama Dar hata wali-harass wauza watumwa HAMNA, au labda Dar wali-support vita kama Majimaji, HAMNA. Mkwawa kapigana jamaa wananunua samaki ferry. Leo ndio wanaosema eti wazee wetu mikoani walikuwa bongolala!!!!! Ila jamaa yao mmoja tuuu. Wabasema kua uyaone.
Mkuu Wickama,
Huo ni mfano nilouweka hapo kuonesha kwamba hata kama vipi bado tutakua tunamaingiliano ya hali ya juu.
Najua Sheikh, ilikuwa salamu tuu. Tuko pamoja, hahahahahah. Hutaniwi??????
Sheikh Farid, ahlan wahsalan muungwana.Nguruvi umenisikitisha sana kwa jinsi unavyo wazungumzia wa Znz yani wewe unaposema sasa hivi hakuna tena "cold war" kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba Nyerere na Karume walituunganisha kutokana na "cold war" hayo sio maneno sahihi kwa wa znz kwahiyo wazazibar walitumika kama beleshi ujenzi ukiisha linawekwa stoo na hizo cc uliowataja nikuulize unajua maana ya neno kafir? mkubwa wacha chuki na waznz haya maneno kwamba waznz ni tegemezi angeyazungumza baba yako wa taifa sio wewe nakusikitikia sana tuendelee na mnakasha. ahsante
Yericko Nyerere,Unajifanya mjuvi ilihali hujui kitu,
Unaleta kejeli na matusi mwisho unaomba kupewa darasa?
Nakujuza kuwa mzee wetu Shehe Issa Bin Amir amefariki 26 januari 1953 akiwa na umri wa miaka 107!
Hoja zingine zote naomba uzijibu kwa swali hili,
1) Je Mwalimu Cesil Matola alikuwa na Umri gani 1929 wakati anakuwa rais wa KWANZA wa AA?
2) Ally Ramadhan alikuwa na umri gani wakati anachaguliwa kuwa Muweka hazina wa kwanza wa AA?
3) Klest Sykes alikuwa na umri gani wakati anachaguliwa kuwa katibu mkuu wa AA?
Ukijibu haya naomba jibu na hili:
Je unadhani Shehe Issa Bin Amir alikuwa na umri gani mpaka viongozi wa AA wakamheshimu na kutumia hekima zake?!
Tumia akili unayofundwa kila siku hapa jf
Wanaukumbi nadhani mnajionea wenyewe hapa anatujuza kuwa huyo Sheikh Issa amefariki mwaka 1953 hapa chini baada ya kufa akafufuka...waalahi bayana zako ndiyo zinakutukanisha na mimi siwezi kukaa kimya umekutana na kichwa cha madrassa mnywa Gahawa, haha haa aaa Shariff gombesugu, upo Alhy Baabu soma chini hapa.Nakujuza kuwa mzee wetu Shehe Issa Bin Amir amefariki 26 januari 1953 akiwa na umri wa miaka 107!
Mnamo tarehe 7/7/1954, Vijana (wazee wa kariakoo) wakiongozwa na Julius Kambarage Nyerere, walikubaliana wazo la kuhuisha chama kutoka TAA kwenda TANU, chini ya uratibu wa karibu wa kanisa Katoliki (Askofu Maranta) na Waislamu (Shehe Issa bin Amir)
Ukiwa mbinafsi na mbora mimi kamwe huwezi kuandika historia ya nchi inayohusu makabila zaidi ya 120 na inayohusi imani zaidi ya tano nchini!
Utabaki na kikundi cha wanafiki na wafitini tu ndio wataokuunga mkono!
JokaKuu!Nguruvi3,
..nadhani wa-Znz wanafikiri bado tuko ktk zile zama za utumwa.
..wanafikiri Tanganyika, na wa-Tanganyika ni mali yao.
..nimesoma ile thread ya faida za gesi kusini, na misaada inayotolewa na makampuni ya utafiti wa mafuta kwa wananchi wa kusini.
..hebu tulinganishe mapesa yanayochotwa Tanganyika kwenda Zanzibar, na kile wanachopewa wananchi wa kusini na makampuni ya gesi na mafuta.
..Wananchi wa kusini wanataabika wakati serikali yao inachota mapesa na kuwapelekea wa-Zanzibari. Bilioni 32 alizopewa Dr.Bilali kwa ajili ya maendeleo ya Zanzibar zingepelekwa kusini wananchi wa huko wasingekuwa wanalalamika kwamba serikali yao imewatupa.
cc: THE BIG SHOW, gombesugu, Kadogoo, Jasusi
na hayo maradhi lazima yatokomezwe, la sivyo yale ya Burundi na Rwanda au korea yatatufikia.
Mbona haifunguki? Au imenyofolewa?
Najua Sheikh, ilikuwa salamu tuu. Tuko pamoja, hahahahahah. Hutaniwi??????
Tuko pamoja Mkuu
Zumbe mkuu, kuna watu walipinga ukoloni hadharani. Kuna kitu kinaitwa kodi ya Mbiru, wapare wanakifahamu sana ukisoma historia. Tena kiliwahi kuwa na tamthilia RTD nyakati hizo.Zumbe; Uko sawa kabisa ndugu yangu. Kuna maradhi mapya ya kudhani kuwa mikoani kulikuwa na magodoro tuu. Vichwa vyote vilikuwa kwenye familia moja. Ndio historia inayopigiwa debe hapa. Uko sawa kabisa. Hela ambazo hawa WAJANJA walizokuwa wanachota toka WANACHAMA wa mikoani (wanaita Matawi) wala hazisemwi. Ukiangalia kama Dar walipigana hata kajivita na wakoloni HAMNA, kama Dar hata wali-harass wauza watumwa HAMNA, au labda Dar wali-support vita kama Majimaji, HAMNA. Mkwawa kapigana jamaa wananunua samaki ferry. Leo ndio wanaosema eti wazee wetu mikoani walikuwa bongolala!!!!! Ila jamaa yao mmoja tuuu. Wabasema kua uyaone.
Mkuu Wickama,
Internet yangu iko fine kabisa hizo page nimeziweka kwenye laptop yangu kama unataka nitaziweka hapa ninavyo quote ndivyo ilivyo
shukran
Mbona kwangu inafunguka picha hiyo Nyerere na Ally Sykes mwaka 1958
Mbona kwangu inafunguka picha hiyo Nyerere na Ally Sykes mwaka 1958
Barubaru,
Nina hakika. Anna alikuwa Canada 1974-1977. Nilimtembelea mara kadhaa pale. Madaraka vile vile alisoma Canada lakini sina hakika jina la chuo. Na si kila mtu aliyesomea nje alishindwa kujiunga UDSM. Mimi nimesomea nje wakati kaka zangu wawili walisoma UDSM. Barubaru, wewe ni msomi, tena nasikia una Phd. Sasa kwa watu kama wewe mnategemewa kuwa wabobeaji kwenye utafiti na ukileta habari hapa ziwe za uhakika siyo zile za kijiweni . Na kuhusu tv ya Mwalimu hayo unayosema ungo mkubwa nyumbani kwake ni hadithi nyingine ya kijiweni. TV ya Mwalimu aliyokuwa nayo alinunuliwa na balozi Bomani baada ya ziara yake hapa Marekani 1977. Kuna video nyingi zilirekodiwa na vipindi mbalimbali wakati wa ziara hiyo na Mzee Bomani akasuggest kununua TV hiyo pamoja na video hizo ambazo zilikuwa kwenye American system NTSC. Haikuwa tv ya kuangalia matangazo hata kidogo. Haya, lete stori nyingine ya kijiweni kuhusu Mwalimu nikuweke sawa.
Zumbe mkuu, kuna watu walipinga ukoloni hadharani. Kuna kitu kinaitwa kodi ya Mbiru, wapare wanakifahamu sana ukisoma historia. Tena kiliwahi kuwa na tamthilia RTD nyakati hizo.
Hayo hayasemwi yanasemwa ya familia moja iliyokuja kuikomboaTanganyika.
Wickama, tena hao waliokuja kuikomboa Tanganyika ni hao hao walikuja na Wajerumani wapigane dhidi ya Watanganyika.
Leo tunaambiwa huko bara watu walikuwa wamelala usingizi wa pono, wakitafuna dodo na ng'ongo kama si kugigina vibanda meno na mahiza! Jamani.
Hizo pesa za matawi hazisemwi kwasababu ukizisema si Nyerere alikuwa katibu Tabora!! Sasa hapo utakuwa umeondoa maana nzima ya Nyerere kufundishwa siasa alipokuja Dar na kukutana na wakombozi.
Utakuwa umeondoa maana halisi ya Nyerere kuwa na mchango maana yeye aliletwa na wamishenari kufundisha, tena si mkatoliki?
Kwahiyo naomba msiongelee mambo ya matawi, mtatia maji katika wine! chonde chonde waungwana acheni ngano iumuke wanaomeza wameze.
afanaleki, tena wale wazee ukiwaletea uongo kama huu wa MS walahi watakutemea mate yaliyojaa ugoro mdomoni,Nashukuru Zumbe; Sielewi mtu utakavyowadanganya wale wazee pale stendi Mlalo, au Bumbuli kuwa Nyerere hakuwa lolote katika kuikomboa nchi toka kwa wakoloni. Eti mkombozi wa kweli alikuwa mtu mwingine na huyo ndiye baba halisi wa taifa, ndiye aliyeunda TANU, nk. Labda vizazi vinavyokuja. Lakini kama ni wale wazee wa kisambaa wa kule Kwemakame, hawatakusikiliza. Ushahidi umesheni kuwa waliishi kama watanganyika na kila mtu na dini yake. Familia ni nyingi wazazi ni dini tofauti na watoto, kwa hii EFFORT ya DIVIDE AND MISRULE umefikia wakati wa kila mmoja kuwa mwangalifu sana. Siku zote wadanganyifu huwa wana maneno matamu. Ujinga walionao ni pale wanaposhindwa kujua kuwa zikianza risasi mtaani, hata binti/baba yake yatampata.
Too late Mohamed, hoja iliyokuwepo mbele yetu ni kuwa Nyerere kwa ''udhalimu'' wake alimfukuza Sheikh Amir bila sababu. Ukaenda mbele na kumhusisha na EAMWS pale tulipouliza inawezekanaje Nyerere aamke asubuhi na kumchukia mtu aliyefanya naye kazi miaka mingi. Hakuna maelezo mengine zaidi ya kusema ukataili wa mwalimu dhidi ya wazee wako.Wanajamvi,
Nimgeliweza kueleza mgogoro mzima wa Sheikh Hassan bin Amir na Nyerere
sheikh akiwa sasa anaongoza taasisi iliyoitwa Daawat Islamiyya (Wito kwa
Waislam) yeye akiwa Mwenyekiti na Schneider Abdillah Plantan akiwa katibu.
Lakini kwa kuwa Sheikh Hassan ametukanwa hapa ninajizuia kwa ajili ya kuhifadhi
heshma ya kiongozi wetu ambaye wengi wanamuitikadi kuwa alikuwa walii.
Kimweri alimzuia nyerere na timu yake kupanda milima ya Lushoto akidhani ni mamluki wa wakolini, wake zake kimweri ndo walienda kuondoa mawe bara barani ili nyerere aweze kupita.Nguruvi; Umegusa kitu sikuwahi kukiwaza hivi kama Julius Nyerere baba yake angekuwa kafika hapa nchini kama mamluki wa kijerumani kuja kuwatwanga wakina Kimweri kule Lushoto, kisha na huu Ukatoliki wake!!! Aiseeeeeeee, PANGECHIMBIKA Ndugu yangu