Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Kwa mtu mgeni na Ritz anaweza kukaa kitako na kujiandaa kumsoma hasa akianza kwa neno "ngoja nidadavue"

Lakini atapigwa butwa aina ya udadavuzi huo!

Lakini kwa tunaomjua wala hatutegemei mapya, Ritz ni yule yule jana leo na hata milele!

Yupo kama jiwe la moabi
 
ha haa haa Crackpot as a Choc-ice.

Don't worry wangu I also happen to own German Shepherds. Some act like human. Wanasema ukijiheshimu utaheshimiwa, Deliver this to your ..... keeper.
 

Mohamed Said,

Masikini ya Mungu Yericko hajitambui anataka kupimana ubavu na wewe, tafiti za kisasa zimethibitisha moyo nao una uerevu lakini bahati mbaya ndugu yetu moyo nao umekufa.

Ngoja niongee na Shigongo ampe jambo kijinafasi kwenye gazeti la KIU au UWAZI aweke makala zake za ugaidi..

Cc.. THE BIG SHOW,
 
Last edited by a moderator:
Don't worry wangu I also happen to own German Shepherds. Some act like human. Wanasema ukijiheshimu utaheshimiwa, Deliver this to your ..... keeper.

Sound like Guardian, wewe unajiheshimu? Kejeli na dhiaka unazomtolea Mohamed Said, na wewe unaitaji kuheshimiwa...ha haa haaa wewe ndiyo unatakiwa ujiheshimu.
 
Wickama,
Jiulize kiwango cha "intelligence" yangu kwanza kabla hujaandika.

Mzee MS; Hewaa. All my messages to you have always began with Mzee MS. Surely,for some reason. Am I right?. But, strangely, some two or three posts back, You belittled my intelligence by insulting me while interjerking in a coded "response" to Gombesugu's communication with me. You surely recall what you wrote against what you trully meant. You assumed I could not read through the code (the mississippi whatever...). Well, I read the code. So I responded to hurt you. You must bear witness that before this incident, I have never posted a material which is demeaning to you. This time though Mzee MS you crossed the line. Remedy is for all of us to remain respectful towards each.

Then, I must tell you one thing, I hate sniffer dogs, though I keep German Shepherds myself. Just don't encourage any GSDs on me if you keep some here in JF. Write me even if directly if you must. This is an open forum and all are supposed to enjoy its postings. Not to be forced into sectarian/religious camps fearing retribution from some sniffer dogs. You have heard me. I know you were hurt and NOW I say to you IAM sorry. Lets pass over this and enjoy mnakasha.
 
Sound like Guardian, wewe unajiheshimu? Kejeli na dhiaka unazomtolea Mohamed Said, na wewe unaitaji kuheshimiwa...ha haa haaa wewe ndiyo unatakiwa ujiheshimu.

Ritz; Iam dealing na issues za Mzee MS. I don't recall kuwa Ritz na MS mna-share username and password. Therefore you cant be his mouth piece. Let him sort out his issues na mimi. Would you like a movie?
 

Gombesugu; I read through the Mississipi code. And, please note Iam not zombish as you once insulted me. Good dayBut, Your consoling words in the posting are due and timely. Congrats.
 

Wickama,
Ndugu yangu.

Ikiwa kwa namna yoyote ile umehisi nimekutukana hiyo haikuwa nia yangu.
Unisamehe sana tena sana.

Hapana haja ya kurejea nilisema nini kuhusu Mississippi na wewe ulijibu nini.

Hizi ndizo ''hazards'' za barza hupita watu kwa nia njema kabisa wakasigana
katika lugha.

Niwie radhi sana sahib yangu.
Mimi nafuga dobberman.

Hahahahahahahahahahahaha!

Niwie radhi umeniandikia Kizungu nadhani ukiamini mimi nakijua vyema.
Hapana sikimudu ndiyo maana nimekujibu Kiswahili najua hutojali.
 
Yeriko nyerere. Wew ni mtoto nyerere? Au una undugu na nyerere

Mbona kichwa chako kigumu sana. Hawa jamaa wanakuelewesha jambo. But. Una kataa ukweli na unaendelea. Kudaganya na kukashifu watu tuu

Kubali kuwa. Waisilamu ndio wakipigania uhuru wa nchi hii. Na wakristo mlidaganywa na Maajent wa ukolonibMnawaitaga Wamisionari kuw msipinge serikali ya wazungu. Kwa. Kupewa Mkate Wa uzimaa. Huku Mkiogopa kutengwa kanisani
 
Ritz; Iam dealing na issues za Mzee MS. I don't recall kuwa Ritz na MS mna-share username and password. Therefore you cant be his mouth piece. Let him sort out his issues na mimi. Would you like a movie?

Put a riddle to a fool a clever person will solve it...
 

Mohamed Said,

Inakubidi sasa ujifunze kiingereza na mimi nakuandikia.

It's the great time to be a Muslim the life in this world is a prison for a beliver and paradise for a non-beliver.

Cc.. gombesugu,
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said,

Inakubidi sasa ujifunze kiingereza na mimi nakuandikia.

It's the great time to be a Muslim the life in this world is a prison for a beliver and paradise for a non-beliver.

Cc.. gombesugu,

Shariff,
Umri huu nianze kisomo cha ngumbaro.

Kweli nitakiweza Kimombo mie yes yes
Mzungu kala mafenesi!

Lakini si unawajua jamaa zangu hapa barzani
watanicheka.

Haya bwana nitajitahidi hivyo hivyo In Sha Allah.
 


Julius Kambarage alikuwa Smart,well organised..!
@Yericko ni kanjanja,hawez kuwa offspring wa Julius,ila sasa yeye alidhani kwa kudandia nasaba hiyo na kukimbia nayo kujitangaza kwenye mitandao ya jamii kama hii basi atajijengea heshima,amesahau ya kwamba heshima hujengwa,
Heshima siku zote sio kitu cha kurith,Human status is not an inherited character,
Kinachomkumba kwa sasa ni aibu na bila shaka analia na kusaga meno kwa uchakubimbi wake wa kudandia dandia nasaba zisizomuhusu...
 
Shariff,
Umri huu nianze kisomo cha ngumbaro.

Kweli nitakiweza Kimombo mie yes yes
Mzungu kala mafenesi!

Lakini si unawajua jamaa zangu hapa barzani
watanicheka.

Haya bwana nitajitahidi hivyo hivyo In Sha Allah.


Ha ha ha...!!
 
Ritz
Hizo bayana zako zimenipa mstuko mkubwa sana wa moyo,nadhani Mag3 lazima atakimbia kama kawaida yake..
Ngoja nipumue kwanza kisha nitarudi tena,hatari sana hii kwa kweli...
 
Last edited by a moderator:
Mag3,
Umeandika maneno mingi sana lakini mimi tadadavua kiduchu hizo bayana zako.
Ha ha haa Ritz, huo uwezo wa kudadavua utakuwa umeutoa wapi?
Kusema kweli ni heri hata ungekaa kimya, huoni gombesugu kakaa kimya bado anatafakari? kwa hili jibu lako nina wasi wasi na kiwango chako cha uelewa...no wonder wewe ni katika wale wale wanaomeza ngano za Mohamed Said bila kutafuna. Tatizo lako lingine ni kuwa unaamini Muislaam asiyekubaliana na mwalimu wako Mohamed Said, kauasi Uislaam na kila anayepinga vitendo vya CCM lazima atakuwa ni Chadema.

Hapana Ritz, hii si vita kati ya Waislaam na Wakristo, ni kati ya wanafunzi watiifu wa Mohamed Said wanaofyonza tu kila kitu bila kuhoji na GT wa JF ambao wanaochambua pumba na mchele katika simulizi zake. Nakutahadharisha kuwa kwenye hiyo listi niliyotoa wapo Waislaam na si haba, wapo wana CCM na si haba na vile vile wapo wana Chadema na si haba...nilichotaka kuonesha ni wajibu wa kila mzalendo mwenye mapenzi kwa taifa hii, kuwakemea wachochezi kama Mohamed Said bila kujali tofauti za kiitikadi, kidini wala kikabila.
Ritz said:
Kwanza tambua Uislam na Uarabu ni vitu viwili tofauti hapa hakuna mtu anayetetea ushenzi wa waarabu, hebu Wanajamvi tusome hapo chini kuhusu habari za utumwa Mag3, anatuambia utumwa wa mwanzo ulikuwa karne ya tisa.
Ritz unazidi kudhihirisha ulivyo na uelewa finyu...tofauti na dai lako utumwa umekuwepo toka dunia iundwe lakini biashara ya utumwa, ya binadamu kusafirishwa nje ya jamii zao na kuuzwa kama bidhaa yoyote ile katika kusaka utajiri, mwanzilishi wake ni Mwarabu. Kama unakiri kuwa Uislam na Uarabu ni vitu viwili tofauti, hapo tupo pamoja ila kwa hapa tafadhali sana ujue siongelei dini, naongelea jamii ya Kiarabu...na hapa sijaongelea mateka wa kiume kuhasiwa na kugeuzwa "beasts of burden and pleasure" na mateka wa kike kufugwa kama "tools of production and pleasure".

Bado nasubiri majibu kwa maswali yangu manne.
 
Last edited by a moderator:

Mzee MS; Wewe ndiye una vitabu vya KIINGEREZA (lugha) sio KIZUNGU (race). I hope huyo Doberman umemkata mkia kama wenzake. Yameisha. Asante Bigshow kwa busara zako.
 
Wickama,
Mie mtu wa kizamani na lugha yangu sawia.
Kiingereza ndiyo Kizungu chenyewe.

Kizungu ni lugha ya mfumo kristu,

Sijui unapingaje mfumo huo ilihali wewe ni muumini wa kizungu?

Nilitegemea wewe usimame kwa lugha za wazee wako wa kizulu,wanubi na wamanyema!

Basi simama kwa lugha imara ya mtanganyika/afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…