Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Mag3,Wanajamvi, hapa chini nawakumbusha tu kuhusu serikali aliyoiunda Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofuatia mapinduzi yaliyoutimua utawala wa Kisultani visiwani. Baraza la Mawaziri lililoundwa lilikuwa na wafuatao.
- Mwalimu Julius Nyerere (Christian): President
- Abeid Karume (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Vice President and Minister responsible for Zanzibar affairs.
- Rashidi Kawawa (Muslim): 2[SUP]nd [/SUP]Vice President and Minister of Defence and National Service.
- Nsilo Swai (Christian): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
- Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
- Amir H. Jamal (Indian & Hinduist) 3[SUP]rd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the Presidet's Office.
- Aboud Jumbe (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 1[SUP]st[/SUP] Vice President's Office.
- Lawi Sijaona (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
- Bhoke Munanka (Christian): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
- Said Maswanya (Muslim): Minister of Agriculture, forests and Animal Husbandry.
- Jeremiah Kasambala (Christian): Minister of Commerce and Cooperatives.
- George Kahama (Christian): Minister of Transport and Buildings.
- Paul Bomani (Christian): Minister of Finance.
- Oscar Kambona (Christian): Minister of Foreign Affairs.
- Job Lusinde (Christian): Minister of Internal Affairs.
- Tewa Said Tewa (Muslim): Minister of Lands, Settlement and Water.
- Kassim Hanga (Muslim): Minister of Industries and Mines.
- Solomon Eliufoo (Christian): Minister of Education.
- Derel Brycesson (British & Christian): Minister of Health.
- Michael Kamaliza (Christian): Minister of Labour.
- Amri Abeid (Muslim) Minister of development and Culture.
- Austin Shaba (Christian): Minister of Housing and Local Government.
- Hasan Moyo (Muslim): Minister of Law.
- Idris Abdulwakil (Muslim) Minister of Information and Tourism.
Wanajamvi wapendwa wakati huo Mwalimu alipendwa kikweli kweli na Watanzania wote bila kujali dini zao, rangi zao wala kabila zao...sura kwenye hili Baraza la Mawaziri mwaka 1964 ni ushahidi tosha kwamba Watanzania hawakubaguliwa wala kubaguana katika misingi yoyote ile. Mapokezi aliyokuwa anayapata Mwalimu kila alipofanya ziara visiwani hayakuwahi kuwa na mfanowe katika historia ya Zanzibar. Kama alikuwepo Mtanzania mwenye dukuduku lolote ni wale Waislaam wachache walioshindwa kuwashawishi Waislaam wenzao kuwaunga mkono hata kabla ya uhuru walipoanzisha chama cha AMNUT mwaka 1958.
Huu uchochezi tunaoushuhudia hivi leo ulikuja kujitokeza muda mfupi baadaye kutokana na chuki za baadhi ya wazee waliokataliwa katika hila zao za kutwaa madaraka kwa kupitia mgongo wa dini. Njama zilianza kufanyika kutaka kuvuruga umoja wa Watanzania kwa kupandikiza mbegu ya chuki ambayo hadi leo mtoto wa mmoja wa wazee hawa anaiendeleza kama tunavyoshuhudia ndani ya mnakasha huu. Swali la kujiuliza ni hili; hivi hawa Waislaam waliokuwa ndani ya hilo Baraza la Mawaziri kuanzia makamu wawili wa Raisi hadi Waziri wa Sheria walikuwa ni wasaliti kwa wananchi wa Zanzibar na Uislaam?
Je Abeid Karume, Abdulrahman Babu, Kassim Hanga, Amri Abed, Aboud Jumbe, Hasssan Moyo na Idris Abduwakil walikuwa ni wasaliti visiwani Zanzibar? Je Wazanzibari wanayathamini mapinduzi yaliyowaweka hawa madarakani? Je, kwa msingi wa madai ya wachochezi kama Mohamed Said, mapinduzi ya mwaka 1964 yalikuwa haramu? Je Waislam wa bara na visiwani wanawaona hawa kama wasaliti katika Uislaam? Je katika msingi huop huo viongozi wote wa juu wa Jamhuri ya Tanzania ambao wote ni Waislaam, kulingana na uchochezi unaoendelea ni wasaliti katika Uislaam? Je Kikwete, Dr. Bilal, Dr. Shein na Shariff ni wasaliti wa Uislaam?
Mwalimu Julius Nyerere (Christian): President
- Abeid Karume (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Vice President and Minister responsible for Zanzibar affairs.
- Rashidi Kawawa (Muslim): 2[SUP]nd [/SUP]Vice President and Minister of Defence and National Service.
- Nsilo Swai (Christian): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
- Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
- Amir H. Jamal (Indian & Hinduist) 3[SUP]rd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the Presidet's Office.
- Aboud Jumbe (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 1[SUP]st[/SUP] Vice President's Office.
- Lawi Sijaona (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
- Bhoke Munanka (Christian): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
- Said Maswanya (Muslim): Minister of Agriculture, forests and Animal Husbandry.
- Jeremiah Kasambala (Christian): Minister of Commerce and Cooperatives.
- George Kahama (Christian): Minister of Transport and Buildings.
- Paul Bomani (Christian): Minister of Finance.
- Oscar Kambona (Christian): Minister of Foreign Affairs.
- Job Lusinde (Christian): Minister of Internal Affairs.
- Tewa Said Tewa (Muslim): Minister of Lands, Settlement and Water.
- Kassim Hanga (Muslim): Minister of Industries and Mines.
- Solomon Eliufoo (Christian): Minister of Education.
- Derel Brycesson (British & Christian): Minister of Health.
- Michael Kamaliza (Christian): Minister of Labour.
- Amri Abeid (Muslim) Minister of development and Culture.
- Austin Shaba (Christian): Minister of Housing and Local Government.
- Hasan Moyo (Muslim): Minister of Law.
- Idris Abdulwakil (Muslim) Minister of Information and Tourism.
- Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office
Mapovu ya nini mkuu? jaribu kukubali kukosolewa. kwani sio kweli kwamba "std English" huwa wanasema "If i were..." badala ya "If i was..." kama ulivyo andika wewe?You are just another Idiot and You know that...You need to grow up!
Wanajamvi,forgive the rumblings but this piece of shit makes me sick!
Burudika na hiki kipande kutoka kwa Mwalimu Nyerere.Huyo baba sijui ni mkaka huwa ananishangaza sana nisomapo coment zake,yaani ubongo wake umejaa chuki sijapata ona.
-Anawachukia sana watu wa kaskazini.....lakini watu hao ndiyo wamesoma na wameendelea kuliko sisi watu wa pwani.
Kwa ufupi toka nimeanza kumsoma huyu jamaa nimegundua anaugua magonjwa makubwa 3 na yanamtesa sana!
Nayo ni
-Ukristo :- anatamani siku moja akiamka akute ukristo na wakristo wote wawe wamekufa. Kitu ambacho hakiwezekani.
-Watu wa kaskazini na Wamusoma :- anatamani hawa watu wasingezaliwa Tanzania. Kitu ambacho hakitakuja kutokea.
-Chadema:- hakika hiki chama kinamtesa sana huyu baba! Yu radhi apende chama kinachotukandamiza waislaam lakini siyo CDM.
Haya ndiyo magonjwa makubwa ya huyu kaka. Daima nitamweshimu Mohamed Said lakini siyo huyu Mbaba.
"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.
Niliporudi nikakubaliana na wamisionari hapo Pugu (sekondari), nifundishe shuleni kwao. Lakini nikiwa shuleni Chuo Kikuu nilijua. Niliishaamua kwamba maisha yangu yatakuwa ya siasa. Niliamua hivyo: Nitafundisha kwa muda wa miaka mitatu, nione hali inavyokwenda na kuzoeana na wenzangu kabla ya kuanza maisha ya siasa.
Niliporejea nchini hapo Oktoba, nikaenda Butiama. Januari nikarudi Dar es Salaam. Nikaanza kazi. Nikataka kujua habari za African Association. Mzee Mwangosi anakumbuka. Yeye ndiye aliniambia habari za African Association. Aliisha niambia habari hizo tangu nikiwa Makerere Chuo Kikuu nikiwa mwanafunzi.
ni sweet Abdu, kama hukubaliani na wewe tafuta market master wako umsimulie...mjadala wote huu na chuki dhidi ya Nyerere,yote kwa sababu market master aka Rambo alikosa nafasi baada ya uhuru-SASA kama he was less qualified for the gigantic task facing a new born nation-kwanini lawama atupiwe Nyerere???
Inabidi nikuongezee hint, "Kit Cunningham, Soni Tanzania."
Sasa pia unawapata wengi?
"Unguja ni njema atakae na aje!" umeshawahi yasikia hayo?
Jee, umeshawahi msikia Tosiri?
Wickama,
Wala unajihisi mie nilikuwa natoa mfano tu, lakini bahati mbaya ndugu yangu umenishambulia bure.
Jamvi limechafuka vibaya sana,
Yericko & Sons wanalia na kusaga meno,mjadala wameuanzisha wao,vilio wanatoa wao...
Alamsiki,...
Talib Gobesugu, well said.Sheikh Mohammed,
Salaam Al Akhiy. Tunashukuru mno kwa bayana nyingine ilo adimu kama hii.
Wallahi,sisi hatuna cha kukulipa. Insha Allah fadhila zako tapewa na Allah,maana ni yeye pekee mwenye uwezo wa kutimiza Ahdi zake zoote!
I always admire your brutal analytical skills and adept ability to analyse the Political situation in Tanganyika/Tanzania within the intellectual context and the ability to convey your analysis to the World.
I always pray for you. Ahsanta.
Ndugu yangu,
Chuki imekujaa sana mpaka huoni aliyembele yako!
ASP ni chama kikongwe, hakikuzaliwa ghafla bin vuu baada ya mapinduzi!
Mzee Karume ni mmoja wa wanachama wakongwe na watiifu wa chama hicho,
Kumdharirisha kuwa alikuwa maamuma ni kujidharirisha wewe mwenyewe!
Kuanzia mwaka 1963 kurudi nyuma lugha kuu ya mawasiliano chini ya Muingereza ilikuwa ni Kiingereza na chini ya Mjerumani ilikuwa ni Kijerumani,
Mzee Karume amehudumu katika mamlaka ya Bandari Zanzibar kwa ngazi ya afisa wa juu kabisa na kuwa mtu mwenye haiba na ushawishi wa hali ya juu ambae sauti na maandiko yake yalikuwa tunu kwa wanyonge na shubiri kwa Sultan (nduguzo)
Hakuna tofauti ya uongozi wa TAA kabla ya Mwalimu kushika hatamu na ilivyokuwa ASP
Nikweli uliowazi kuwa TAA hakikuwa chama cha siasa kabla ya kushika madaraka kwa Julius Nyerere!
Katiba ya TAA iliyozaa TANU kaiandika Mwalimu Nyerere kwamkono wake,
Sasa jiulize kiongozi wa chama cha siasa kilichoshiriki uchaguzi zaidi ya mara 3 na kushinda lakini kikanyimwa kwa hila na MUMIA alikuwa maamuma kama unavyotaka kuuaminisha umma?
Siku za mbele histoisia itasema JF kulikuwa na gwiji la hoja SWEET Ritzni sweet Abdu, kama hukubaliani na wewe tafuta market master wako umsimulie...
huyu mjukuu wa@Spike Lee tuombe uzima afanikiwe kupata elimu,maana akiishia kwenye ilm tu,atakuwa mtu wa kufyonza tu bila kuuliza maswaliitasema alikuwa anajulikana kama Sharif Al Akhiy Ahali Ritz, lakini walikuwa wanamwita sweet Ritz... lakini nafikiri msimuliaji enzi hizo ambaye nadhani atakuwa mjukuu wa Spike Lee atamtambulisha kama hoja master
sipati picha sijui itakuwaje. tuombe awe na uwezo wa ku reasoning sio kwamba akiambiwa kwa mfano Warioba alitoka machungani akapewa uwaziri mkuu ukubali tu, wamakonde waliamka asubuhi na jioni wakapanda jahazi kutoka Kipumbwi kwenda kuvamia Unguja ukubali tu.Kisa si kasema maalim...huyu mjukuu wa@Spike Lee tuombe uzima afanikiwe kupata elimu,maana akiishia kwenye ilm tu,atakuwa mtu wa kufyonza tu bila kuuliza maswali
simu akupigie nani? mbona unapenda kuji elevate- ONCE u r nobody u always remain soNimepigiwa simu zaidi ya mara kumi familia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanalalamika kuwa wamesoma JF kuwa mzee wao alikuwa Muslim wanakanusha wanasema hajawahi kuwa Muislam.
Mag3,
Waombe msamaha ndiyo uungwana.
Lets assume law of average"s ina apply-huyu mjukuu wa spike lee atakwenda one step better na kuweza kuzichambua hoja kiundani zaidisipati picha sijui itakuwaje. tuombe awe na uwezo wa ku reasoning sio kwamba akiambiwa kwa mfano Warioba alitoka machungani akapewa uwaziri mkuu ukubali tu, wamakonde waliamka asubuhi na jioni wakapanda jahazi kutoka Kipumbwi kwenda kuvamia Unguja ukubali tu.Kisa si kasema maalim...
Sheikh wangu kumbe wewe ni mtu mkubwa sana sheikh, tokea ubalozi wa uingereza wa kupe ile visa na yule jamaa mwingine kukosa hapo kweli al khiy nimekukubali...Nimepigiwa simu zaidi ya mara kumi familia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanalalamika kuwa wamesoma JF kuwa mzee wao alikuwa Muslim wanakanusha wanasema hajawahi kuwa Muislam.
Mag3,
Waombe msamaha ndiyo uungwana.