Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

mjadala wote huu na chuki dhidi ya Nyerere,yote kwa sababu market master aka Rambo alikosa nafasi baada ya uhuru-SASA kama he was less qualified for the gigantic task facing a new born nation-kwanini lawama atupiwe Nyerere???
 
Wanajamvi, hapa chini nawakumbusha tu kuhusu serikali aliyoiunda Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliofuatia mapinduzi yaliyoutimua utawala wa Kisultani visiwani. Baraza la Mawaziri lililoundwa lilikuwa na wafuatao.

nyerere+baraza+la+mwaziri.jpg



  1. Mwalimu Julius Nyerere (Christian): President
  2. Abeid Karume (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Vice President and Minister responsible for Zanzibar affairs.
  3. Rashidi Kawawa (Muslim): 2[SUP]nd [/SUP]Vice President and Minister of Defence and National Service.
  4. Nsilo Swai (Christian): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
  5. Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
  6. Amir H. Jamal (Indian & Hinduist) 3[SUP]rd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the Presidet's Office.
  7. Aboud Jumbe (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 1[SUP]st[/SUP] Vice President's Office.
  8. Lawi Sijaona (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
  9. Bhoke Munanka (Christian): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
  10. Said Maswanya (Muslim): Minister of Agriculture, forests and Animal Husbandry.
  11. Jeremiah Kasambala (Christian): Minister of Commerce and Cooperatives.
  12. George Kahama (Christian): Minister of Transport and Buildings.
  13. Paul Bomani (Christian): Minister of Finance.
  14. Oscar Kambona (Christian): Minister of Foreign Affairs.
  15. Job Lusinde (Christian): Minister of Internal Affairs.
  16. Tewa Said Tewa (Muslim): Minister of Lands, Settlement and Water.
  17. Kassim Hanga (Muslim): Minister of Industries and Mines.
  18. Solomon Eliufoo (Christian): Minister of Education.
  19. Derel Brycesson (British & Christian): Minister of Health.
  20. Michael Kamaliza (Christian): Minister of Labour.
  21. Amri Abeid (Muslim) Minister of development and Culture.
  22. Austin Shaba (Christian): Minister of Housing and Local Government.
  23. Hasan Moyo (Muslim): Minister of Law.
  24. Idris Abdulwakil (Muslim) Minister of Information and Tourism.

Wanajamvi wapendwa wakati huo Mwalimu alipendwa kikweli kweli na Watanzania wote bila kujali dini zao, rangi zao wala kabila zao...sura kwenye hili Baraza la Mawaziri mwaka 1964 ni ushahidi tosha kwamba Watanzania hawakubaguliwa wala kubaguana katika misingi yoyote ile. Mapokezi aliyokuwa anayapata Mwalimu kila alipofanya ziara visiwani hayakuwahi kuwa na mfanowe katika historia ya Zanzibar. Kama alikuwepo Mtanzania mwenye dukuduku lolote ni wale Waislaam wachache walioshindwa kuwashawishi Waislaam wenzao kuwaunga mkono hata kabla ya uhuru walipoanzisha chama cha AMNUT mwaka 1958.

Huu uchochezi tunaoushuhudia hivi leo ulikuja kujitokeza muda mfupi baadaye kutokana na chuki za baadhi ya wazee waliokataliwa katika hila zao za kutwaa madaraka kwa kupitia mgongo wa dini. Njama zilianza kufanyika kutaka kuvuruga umoja wa Watanzania kwa kupandikiza mbegu ya chuki ambayo hadi leo mtoto wa mmoja wa wazee hawa anaiendeleza kama tunavyoshuhudia ndani ya mnakasha huu. Swali la kujiuliza ni hili; hivi hawa Waislaam waliokuwa ndani ya hilo Baraza la Mawaziri kuanzia makamu wawili wa Raisi hadi Waziri wa Sheria walikuwa ni wasaliti kwa wananchi wa Zanzibar na Uislaam?

Je Abeid Karume, Abdulrahman Babu, Kassim Hanga, Amri Abed, Aboud Jumbe, Hasssan Moyo na Idris Abduwakil walikuwa ni wasaliti visiwani Zanzibar? Je Wazanzibari wanayathamini mapinduzi yaliyowaweka hawa madarakani? Je, kwa msingi wa madai ya wachochezi kama Mohamed Said, mapinduzi ya mwaka 1964 yalikuwa haramu? Je Waislam wa bara na visiwani wanawaona hawa kama wasaliti katika Uislaam? Je katika msingi huop huo viongozi wote wa juu wa Jamhuri ya Tanzania ambao wote ni Waislaam, kulingana na uchochezi unaoendelea ni wasaliti katika Uislaam? Je Kikwete, Dr. Bilal, Dr. Shein na Shariff ni wasaliti wa Uislaam?
Mag3,

Bora ungekaa kimya kuliko kuweka hii picha na na majina ya Mawaziri pamoja na dini zao ukidhani unafanya la maana kumbe unazidi kumdhalilisha Nyerere alivyokuwa mdini. halafu acha ubaguzi hivi mtu yoyote akichanganya damu hata kama ni Mtanzania sifa ya uafrika inafutika kama ulivyo muandika Abdulrahman Babu (Arab & Muslim).

Mwalimu Julius Nyerere (Christian): President

  1. Abeid Karume (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Vice President and Minister responsible for Zanzibar affairs.
  2. Rashidi Kawawa (Muslim): 2[SUP]nd [/SUP]Vice President and Minister of Defence and National Service.
  3. Nsilo Swai (Christian): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
  4. Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office.
  5. Amir H. Jamal (Indian & Hinduist) 3[SUP]rd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the Presidet's Office.
  6. Aboud Jumbe (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 1[SUP]st[/SUP] Vice President's Office.
  7. Lawi Sijaona (Muslim): 1[SUP]st[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
  8. Bhoke Munanka (Christian): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State in the 2[SUP]nd[/SUP] Vice President's Office.
  9. Said Maswanya (Muslim): Minister of Agriculture, forests and Animal Husbandry.
  10. Jeremiah Kasambala (Christian): Minister of Commerce and Cooperatives.
  11. George Kahama (Christian): Minister of Transport and Buildings.
  12. Paul Bomani (Christian): Minister of Finance.
  13. Oscar Kambona (Christian): Minister of Foreign Affairs.
  14. Job Lusinde (Christian): Minister of Internal Affairs.
  15. Tewa Said Tewa (Muslim): Minister of Lands, Settlement and Water.
  16. Kassim Hanga (Muslim): Minister of Industries and Mines.
  17. Solomon Eliufoo (Christian): Minister of Education.
  18. Derel Brycesson (British & Christian): Minister of Health.
  19. Michael Kamaliza (Christian): Minister of Labour.
  20. Amri Abeid (Muslim) Minister of development and Culture.
  21. Austin Shaba (Christian): Minister of Housing and Local Government.
  22. Hasan Moyo (Muslim): Minister of Law.
  23. Idris Abdulwakil (Muslim) Minister of Information and Tourism.
  1. Wanaukumbi tumeona hili baraza la mawaziri ambalo linasifiwa na kugongewa LIKE za kumwaga, tukumbuke ni muungano wa nchi mbili Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, Waislam kutoka bara ni wawili tu.
  1. Abdulrahman Babu (Arab & Muslim): 2[SUP]nd[/SUP] Minister of State for Economic Planning in the President's Office
  1. Mag3,
  2. Huyu kwenye picha chini Salim Ahmed Salim, alishawahi kuwa kiongozi Organisation of African Unity, OAU; utamuitaje (Arab & Muslim)?
Salim-Salim-Ahmed.jpg

Mag3,

Huyu chini ni mtoto wa Ngombare Mwiru mama yake ni mzungu vipi naye utamuitaje?

IMG-20110805-00306.jpg

Mag3,

Chini huyu kwenye picha ni Jaji Mkuu na yeye utamuitaje?

JAJI+MKUU+MOHAMED+CHANDE+OTHMAN+.jpg
 
You are just another Idiot and You know that...You need to grow up!

Wanajamvi,forgive the rumblings but this piece of shit makes me sick!
Mapovu ya nini mkuu? jaribu kukubali kukosolewa. kwani sio kweli kwamba "std English" huwa wanasema "If i were..." badala ya "If i was..." kama ulivyo andika wewe?
 
Huyo baba sijui ni mkaka huwa ananishangaza sana nisomapo coment zake,yaani ubongo wake umejaa chuki sijapata ona.

-Anawachukia sana watu wa kaskazini.....lakini watu hao ndiyo wamesoma na wameendelea kuliko sisi watu wa pwani.

Kwa ufupi toka nimeanza kumsoma huyu jamaa nimegundua anaugua magonjwa makubwa 3 na yanamtesa sana!

Nayo ni

-Ukristo :- anatamani siku moja akiamka akute ukristo na wakristo wote wawe wamekufa. Kitu ambacho hakiwezekani.
-Watu wa kaskazini na Wamusoma :- anatamani hawa watu wasingezaliwa Tanzania. Kitu ambacho hakitakuja kutokea.
-Chadema:- hakika hiki chama kinamtesa sana huyu baba! Yu radhi apende chama kinachotukandamiza waislaam lakini siyo CDM.

Haya ndiyo magonjwa makubwa ya huyu kaka. Daima nitamweshimu Mohamed Said lakini siyo huyu Mbaba.
Burudika na hiki kipande kutoka kwa Mwalimu Nyerere.


‘"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.

Niliporudi nikakubaliana na wamisionari hapo Pugu (sekondari), nifundishe shuleni kwao. Lakini nikiwa shuleni – Chuo Kikuu – nilijua. Niliishaamua kwamba maisha yangu yatakuwa ya siasa. Niliamua hivyo: Nitafundisha kwa muda wa miaka mitatu, nione hali inavyokwenda na kuzoeana na wenzangu kabla ya kuanza maisha ya siasa.

Niliporejea nchini hapo Oktoba, nikaenda Butiama. Januari nikarudi Dar es Salaam. Nikaanza kazi. Nikataka kujua habari za African Association. Mzee Mwangosi anakumbuka. Yeye ndiye aliniambia habari za African Association. Aliisha niambia habari hizo tangu nikiwa Makerere – Chuo Kikuu – nikiwa mwanafunzi.
 
mjadala wote huu na chuki dhidi ya Nyerere,yote kwa sababu market master aka Rambo alikosa nafasi baada ya uhuru-SASA kama he was less qualified for the gigantic task facing a new born nation-kwanini lawama atupiwe Nyerere???
ni sweet Abdu, kama hukubaliani na wewe tafuta market master wako umsimulie...
 
Inabidi nikuongezee hint, "Kit Cunningham, Soni Tanzania."

Sasa pia unawapata wengi?

"Unguja ni njema atakae na aje!" umeshawahi yasikia hayo?

Jee, umeshawahi msikia Tosiri?

Zomba ni ghali kukusaidia kuwa specific na maswali yako. kwa mfano kuna Tosiri wengi pia (zabibu, vitabu, aborigines australia nk) utakuwa UNA ASSUME KUPITA KIASI KAMA UNADHANI TUNAANDIKIANA TEXT ZA SIMU HAPA. Kuwa specific na shida yako. Kama unataka kumtukana mtu (mimi yaani) unatakiwa ushushe vitu vya uhakika sio kuwatafuta wakina tosiri. mimi siwajui mods waliko. Kwa sababu hakuna matusi mapya duniani wala hainisumbui. sana sana nitaangalia kama unajua kutukana. Shusha vitu mwanangu.
 
Jamvi limechafuka vibaya sana,

Yericko & Sons wanalia na kusaga meno,mjadala wameuanzisha wao,vilio wanatoa wao...

Alamsiki,...
 
Wickama,

Wala unajihisi mie nilikuwa natoa mfano tu, lakini bahati mbaya ndugu yangu umenishambulia bure.

Haya bwana tuko pamoja na refa wa tarime waliosomea SUA hahahahahah. Good day. Shukran. Vizuri kucheka pia, na LIKE nimekupa bwana!!!!
 
Last edited by a moderator:
Jamvi limechafuka vibaya sana,

Yericko & Sons wanalia na kusaga meno,mjadala wameuanzisha wao,vilio wanatoa wao...

Alamsiki,...

BigShow; Seriously vipi Kadogoo? is he ok? simuoni na iam a bit concerned. We are all like a family you know?
 
Sheikh Mohammed,

Salaam Al Akhiy. Tunashukuru mno kwa bayana nyingine ilo adimu kama hii.

Wallahi,sisi hatuna cha kukulipa. Insha Allah fadhila zako tapewa na Allah,maana ni yeye pekee mwenye uwezo wa kutimiza Ahdi zake zoote!

I always admire your brutal analytical skills and adept ability to analyse the Political situation in Tanganyika/Tanzania within the intellectual context and the ability to convey your analysis to the World.
I always pray for you. Ahsanta.
Talib Gobesugu, well said.
Mohamed Said should use his brutal analytical skills and adept ability to analyse the political landscape before, during and after Mapinduzi in Zanzibar to convey his analysis to 207K the likes of pain killer and mbagalans

Pain killer and Mbalagans are anxious to hear from this ''great scholar''

Please advise him to respond to the following concerns
1. Nani aliandaa mapinduzi na nani alimuomba mwenzake msaada ni TANU au ASP
2. Je, mapinduzi ni halali au ni haram?
3. Viongozi waliofanya kazi na Nyerere kutoka zanzibar ni wasalaiti wa Uislam na vibaraka au ni wana mapinduzi?
4. Je, wznz wanasherehekea mapinduzi kwa akili au ni uzmbukuku hasa tukijua yalilenga kuua Uislam kwa kupitia Nyerere

The same Gombesugu came back swinging defending mzee on technical ground.
Mohamed has miserably fail to respond to Yericko's question regarding the cabinet picture as presented by Mag3

Hizi mbinu za ku-divert attention from the core issue zinajulikana.
Hatuna sababu za kwenda kwingine kama hajaweza kusema neno kuhusu maswali hayo.
Akishindwa kutoa neno hiyo ni uchochezi wa hali ya juu, fitna na farki.

Wazanzibar wanaumia sana wanaposikia ndugu zao wamekufa kwa ajili yao halafu wanadhalilishwa kiasi hicho.
Hiyo paper ya Mtikila so far ina matundu mengi sana. Hatutaingia huoko tupo hapa namba 1-4.

207K na hasa wznz wanasubiri hoja zitolewe ufanunuzi.

Mtu aulize 1+1= ngapi, halafu umjibu eti nenda kwenye vitabu vingi vimetoa majibu!!!!al-akyi please
 
Ndugu yangu,

Chuki imekujaa sana mpaka huoni aliyembele yako!

ASP ni chama kikongwe, hakikuzaliwa ghafla bin vuu baada ya mapinduzi!

Mzee Karume ni mmoja wa wanachama wakongwe na watiifu wa chama hicho,

Kumdharirisha kuwa alikuwa maamuma ni kujidharirisha wewe mwenyewe!

Kuanzia mwaka 1963 kurudi nyuma lugha kuu ya mawasiliano chini ya Muingereza ilikuwa ni Kiingereza na chini ya Mjerumani ilikuwa ni Kijerumani,

Mzee Karume amehudumu katika mamlaka ya Bandari Zanzibar kwa ngazi ya afisa wa juu kabisa na kuwa mtu mwenye haiba na ushawishi wa hali ya juu ambae sauti na maandiko yake yalikuwa tunu kwa wanyonge na shubiri kwa Sultan (nduguzo)

Hakuna tofauti ya uongozi wa TAA kabla ya Mwalimu kushika hatamu na ilivyokuwa ASP

Nikweli uliowazi kuwa TAA hakikuwa chama cha siasa kabla ya kushika madaraka kwa Julius Nyerere!

Katiba ya TAA iliyozaa TANU kaiandika Mwalimu Nyerere kwamkono wake,

Sasa jiulize kiongozi wa chama cha siasa kilichoshiriki uchaguzi zaidi ya mara 3 na kushinda lakini kikanyimwa kwa hila na MUMIA alikuwa maamuma kama unavyotaka kuuaminisha umma?

Yericko,
Soma hapo chini jinsi TAA inavyochambuliwa na wasomi tofauti pamoja na wanasiasa wenyewe
waliokuwako wakati ule:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] A team of party historians, commissioned by the Party-Chama Cha Mapinduzi (CCM) to research and write an official history of TANU, did not even mention Abdulwahid's name in the entire book.[1] The dominant school of thought in the book is the assertion that before the emergence of Julius Nyerere in April 1953, when he was elected TAA President, the African Association leadership did not articulate any concrete political thought. This premise has denied many patriots a place of honour in the political history of Tanzania and also eroded the status of the Association as a political movement. Local historians and post-independence party bureaucrats do not want to credit the African Association with a political identity. Kambona referred to the African Association as a debating society:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] It is just a little over one year since the inception of the Tanganyika African National Union and during this period it has grown from strength to strength, sometimes in the teeth of great opposition. As you are well aware it superseded the former Tanganyika African Association which was little more than a debating society.[2] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Ulotu has referred to the organisation as a welfare association.[3] Others have referred to the Association as a social organisation: Nyerere (1966),[4] Japhet and Seaton (1966),[5] John Hatch (1976).[6] In other places it is referred to as a semi-protest movement: Kaniki (1974),[7] as a semi-political movement: Nyerere (1953).[8] Julius Nyerere appearing in an oral hearing at the Trusteeship Council at the United Nations, New York, on 7 th March, 1955, shifted his position and referred to the Association as a semi-political movement:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] The Tanganyika African National Union is, in one sense, a new organisation, but in another it is an old organisation. It was taken over from what was formerly called the Tanganyika African Association, which was founded in 1929, largely as a social organisation. The Tanganyika African National Union, which took over from the African Association about ten months ago, is a new organisation in the sense that it is a political organisation, where as the former was semi-political.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] Other scholars have reduced the association to the level of club: Mwenegoha(1976) writes: ‘In 1954, after 25 years of inertia, Nyerere remodelled TAA from a social club into a formidable political organisation called the Tanganyika African National Union'. [9] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Abdulwahid as one of the main actors in the modern history of political parties in colonial Tanganyika referred to the association as a political party (1951).[10] Among writers and scholars who have analysed the African Association, it is only Nyerere and Hatch who have shifted their positions.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Nyerere, writing to Edward Twining the Governor of Tanganyika on 10 th August, 1953, referred to TAA as a political party.[11] Nyerere has for a very long time maintained this view which has appeared in all his subsequent writings and speeches on the African Association.[12] But recently he qualified his earlier statements on the subject referring to the association as a ‘political party without a political constitution'. Hatch (1976) refers to the association in one place as a social organisation [13] and as ‘a serious political party' in another. [14] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] John Kabudi has referred to the Association as a ‘private civil organisation of a nationalistic character.'[15] It is worth noting that even the pioneers of the organisation are not referred to as politicians. Kaniki, for lack of an appropriate word with which to refer to the pioneers, gave them quotation marks:[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Nyerere, hitherto almost unknown to the majority of ‘politicians' in Tanganyika, was then schoolmaster at St. Francis' Secondary School, Pugu, near Dar es Salaam, and he had been elected Territorial President the previous year. [16] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Iliffe (1968)[17] indicated that the written history of TANU was incomplete and went further in his analysis of the association perceiving its direction and membership as being political.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Kandoro and Japhet, [18] the two TANU founder members who came to prominence while Abdulwahid was TAA president in 1952 were the only pioneers who worked closely with him during the Meru Land Case. Kirilo's visit to Dar es Salaam and the engagement of Seaton to represent Meru Citizens' Union in the conflict was very much facilitated by the intervention of Abdulwahid and the TAA leadership. It was Abdulwahid who helped Kirilo obtain a passport in Dar es Salaam after he was denied one in Arusha. Kirilo and Seaton, as well as Kandoro, have written their colonial experience, but no where in the two works is Abdulwahid mentioned, even in passing. The two try to link the Meru Land Case with Nyerere although prior to 1954 Nyerere had not yet made any impact on the politics of Tanganyika. In fact when the Meru Land Case went before the Trusteeship Council of the United Nations in New York, Nyerere was at Edinburgh University in Scotland studying for a master's degree.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] An exception to this omission of Abdulwahid is Judith Listowel (1965)[19] who, although only in passing, mentioned Abdulwahid in her book as one of the leading TANU pioneers.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Of late there has been interest in Tanzania's political history and Abdulwahid's name has been coming up every now and then in journals,[20] newspapers, [21] international magazines,[22] and books.[23] These publications vary in their perception of Abdulwahid. There are some which shed light on the centrality of Abdulwahid in the founding of the Party and in initiating Julius Nyerere into politics. In these publications Abdulwahid appears as a revolutionary. Tandon called Abdulwahid and other patriots like Chege Kibachia, Makhan Singh, Fred Kubai, James Kivu, I.K. Musazi, Erika Fiah and Gama Pinto as ‘veteran leaders of the struggle of the peoples of East Africa... whom our recent historians have forgotten'. [24] There are also those who have dismissed him as being ‘petty bourgeois'. [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Professor Shivji has accused Abdulwahid of cooptation, classifying him as a petty bourgeois who did not belong to the working class. In his analysis of the relationship between Abdulwahid and the pre-independence dockworkers movement Shivji concluded that: [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] ...the government intrigued to foist a petty-bourgeois leadership on the union. Around February 1948 Abdul Sykes, son of a well-known African businessman, was asked by the government to become secretary of the dockworkers' union. Abdul Sykes did not come from among the dockers nor even from the working class. [25][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[1] Kivukoni Ideological College, Historia ya Chama Cha TANU 1954-1977,Dar es Salaam, 1981.
[2] Oscar Kambona to Baldwin Rogers, 18 th October, 1955 Party Archives, Fabian Colonial
Bureau File No.202.

[3] Ulotu A. Ulotu, Historia ya TANU, (1971) p. 11.
[4] Julius Nyerere, Freedom and Unity, Dar es Salaam, 1966, p. 38.
[5] Kirilo Japhet and Earle Seaton, The Meru Land Case, Nairobi, 1966, p.16.
[6] John Hatch, Two African Statesmen, London 1976, p.17.
[7] M.H.Y. Kaniki, TANU, ‘The Party of Independence and National Consolidation' in G. Ruhumbika
(ed) Towards Ujamaa, Twenty Years of TANU Leadership, Nairobi, 1974, pp.1-2.


[8] Julius K. Nyerere, Tanganyika African Association, to Governor Edward Twining, 10 th August,
1953. Sykes' Papers.


[9] H.A.K. Mwenegoha, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Nairobi, 1976, p. 5.
[10] Secretary Tanganyika African Association to Chairman and members of the African Association
7 th January, 1951. Sykes' Papers.


[11] Ibid.

[12] Nyerere, op. cit. p. 38.
[13] Hatch, op. cit. p.17.
[14] Ibid. p. 91
[15] John Kabudi, ‘The Party System and Socialism in Tanzania' (1986 Seminar Paper).
[16] Kaniki, op. cit. Also see Uamuzi wa Busara, Idara ya Habari ya Chama, p. 2.
[17] John Iliffe, ‘The Role of the African Association in the Formation and Realization of Territorial
Consciousness in Tanzania'. Mimeo. University of East Africa Social Sciences Conference, 1968, p. 24.

[18] S.A. Kandoro, Mwito wa Uhuru, Dar es Salaam, 1981.
[19] Judith Listowel, The Making of Tanganyika, London, 1965.
[20] Yash Tandon, ‘In Defence of Democracy' Inaugural Lecture Series No. 14, Dar es Salaam, 1979,
pp. 47-48.


[21] Daily Nation, 16 th April, 1986.
[22] New African, London, June, 1985; Africa Events,London, March/April, 1988, September, 1988.
[23] John Cartwright, Political Leadership in Africa,New York, 1983, p. 164. Also I.G. Shivji, Law State
and The Working Class in Tanzania
, London and Dar es Salaam, 1986, p.174.


[24] Yash Tandon, op. cit. pp. 47-48.
[25] I.G. Shivji, Law, State and the Working Class in Tanzania, London and Dar es Salaam1986, pp. 174.

Yericko,
Hilo la kuwa Nyerere ndiye aliyeandika katiba ya TANU si kweli hili nimelieleza huko nyuma kuwaTAA walinakili
katiba ya Convetion Peoples Party (CPP) ya Kwame Nkrumah wa Ghana.

Lakini ikiwa unafurahi kuamini kuwa Nyerere aliandika katiba ya TANU hapana neno endelea kuamini hivyo.
 
Siku za mbele histoisia itasema JF kulikuwa na gwiji la hoja SWEET Ritz
itasema alikuwa anajulikana kama Sharif Al Akhiy Ahali Ritz, lakini walikuwa wanamwita sweet Ritz... lakini nafikiri msimuliaji enzi hizo ambaye nadhani atakuwa mjukuu wa Spike Lee atamtambulisha kama hoja master
 
Last edited by a moderator:
itasema alikuwa anajulikana kama Sharif Al Akhiy Ahali Ritz, lakini walikuwa wanamwita sweet Ritz... lakini nafikiri msimuliaji enzi hizo ambaye nadhani atakuwa mjukuu wa Spike Lee atamtambulisha kama hoja master
huyu mjukuu wa@Spike Lee tuombe uzima afanikiwe kupata elimu,maana akiishia kwenye ilm tu,atakuwa mtu wa kufyonza tu bila kuuliza maswali
 
Nimepigiwa simu zaidi ya mara kumi familia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanalalamika kuwa wamesoma JF kuwa mzee wao alikuwa Muslim wanakanusha wanasema hajawahi kuwa Muislam.

Mag3,

Waombe msamaha ndiyo uungwana.
 
Last edited by a moderator:
huyu mjukuu wa@Spike Lee tuombe uzima afanikiwe kupata elimu,maana akiishia kwenye ilm tu,atakuwa mtu wa kufyonza tu bila kuuliza maswali
sipati picha sijui itakuwaje. tuombe awe na uwezo wa ku reasoning sio kwamba akiambiwa kwa mfano Warioba alitoka machungani akapewa uwaziri mkuu ukubali tu, wamakonde waliamka asubuhi na jioni wakapanda jahazi kutoka Kipumbwi kwenda kuvamia Unguja ukubali tu.Kisa si kasema maalim...
 
Nimepigiwa simu zaidi ya mara kumi familia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanalalamika kuwa wamesoma JF kuwa mzee wao alikuwa Muslim wanakanusha wanasema hajawahi kuwa Muislam.

Mag3,

Waombe msamaha ndiyo uungwana.
simu akupigie nani? mbona unapenda kuji elevate- ONCE u r nobody u always remain so
 
sipati picha sijui itakuwaje. tuombe awe na uwezo wa ku reasoning sio kwamba akiambiwa kwa mfano Warioba alitoka machungani akapewa uwaziri mkuu ukubali tu, wamakonde waliamka asubuhi na jioni wakapanda jahazi kutoka Kipumbwi kwenda kuvamia Unguja ukubali tu.Kisa si kasema maalim...
Lets assume law of average"s ina apply-huyu mjukuu wa spike lee atakwenda one step better na kuweza kuzichambua hoja kiundani zaidi
 
Nimepigiwa simu zaidi ya mara kumi familia ya Mzee Lawi Nangwanda Sijaona wanalalamika kuwa wamesoma JF kuwa mzee wao alikuwa Muslim wanakanusha wanasema hajawahi kuwa Muislam.

Mag3,

Waombe msamaha ndiyo uungwana.
Sheikh wangu kumbe wewe ni mtu mkubwa sana sheikh, tokea ubalozi wa uingereza wa kupe ile visa na yule jamaa mwingine kukosa hapo kweli al khiy nimekukubali...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom