Wewe unaweza kuona ni maswali ya maana kumbe ya kipuuzi, moja ya tabia ya Mohamed Said, ni kuyapuuza maswali ya kipuuzi na hakuna adhabu kubwa kama kumpuuza muuliza maswali ya kipuuzi, haya kayafanya mara nyingi.
Mzee MS; Baada ya salaam. At least wewe msimamo wako sasa unajulikana. We count ONE OUT We have moved forward.
Hint ya kwanza: Nsilo Swai
Katika kuelimika na historia ya nchi yetu, maswali uloulizwa yana maana sana. Tafadhali yajibu.Prishaz,
Nimekusikia sitojibu maswali yasomaana.
Wanajamvi,
Nadhani mwenye akili na macho ameona uhalali na uhalisia wa madai yangu yaliyobeba kichwa cha uzi huu yasemayo,
"Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar"
Mohame amelidhihirishia jukwaa hili kuwa yeye ni waaina gani katika Tanzania,
Nadhani kwahilo limepita, tumejiridhiya kuwa madai ya Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar ni halisi,
Naomba tusonge mbele kuendelea kuuweka wazi Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar ili dunia ione na kuelewa huyu mzandiki alivyo!
Wickama,
Seaton na Abdu walikuwa marafiki.
Siku zile mambo ya siasa yalikuwa mambo ya hatari.
Angalia inner circle ya TAA ni watu walioshibana.
Yuko Abdu na mdogo wake Ally, rafiki yao Dossa na
baba zao walikuwa marafiki Kleist na Aziz Ally na mzee
wao Rupia.
Seaton asingeingia TAA kama si Abdu kumvuta ukichukulia
kuwa asili yake ni Bermuda.
Angalia hata Nyerere nani kamfikisha kwa Abdu ni Mwapachu.
Mzunguko ule ule.
Outsider ilikuwa tabu kupenya.
Saa njoo Kariakoo Market.
Mzunguko ni ule ule.
Attas, Mshume nk.
Njoo wazee wa mjini.
Tambaza, Singizi, Mwinyimvua, Tosiri na nduguye Mafongo nk.
Hawa watu wakiaminiana sana.
Wickama,
Umepatia kuhusu viewers nami huchukulia
viewer mmoja mtu mmoja hata kama ni yule
yule karejea.
Nia ni kuonyesha wingi wa wanaopita.
sharif ritz ni kweli uyasemayo kwa maana ukisoma kitabu cha sheihk harith basi utajua mpango mzima wa mapinduzi nani alieandaa na kwa malengo gani
Ha ha ha ha zomba umenikumbusha Mzee Mohamed aliwahi kusema hakuna MManyema Mkristo na mimi naongeza sijawahi kumwona MMachame Mkatoliki ndiyo leo naanza kusikia.Wamachame utawakuta waIslamu na waLutheran huo ndiyo mtawanyiko madhahebu ya dini mkoa wa Kiimanjaro waMarangu Lutheran na Catholic ukienda Kibosho Catholic na Islam ukisogea Rombo utawakuwata wacatholic kwa wingi sana sijawahi kukutana na mrombo mlutheri labda ikitokea sababu nyingine kama ndoa na nk.
Nakala Jasusi
ha haa ha, Yericko Nyerere, na wewe kuna viporo vyako vinasubiri majibu, Wanaukumbi wanataka kujua ni kweli Nyerere ni baba yako mzazi?
Wanasubiri majina ya wale waasi waliopewa msamaha na Nyerere wengine kupewa vyeo na wengi kupelekwa kuwa mabalozi.
Wanajamvi,
Nadhani mwenye akili na macho ameona uhalali na uhalisia wa madai yangu yaliyobeba kichwa cha uzi huu yasemayo,
"Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar"
Mohame amelidhihirishia jukwaa hili kuwa yeye ni waaina gani katika Tanzania,
Nadhani kwahilo limepita, tumejiridhiya kuwa madai ya Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar ni halisi,
Naomba tusonge mbele kuendelea kuuweka wazi Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar ili dunia ione na kuelewa huyu mzandiki alivyo!
JF siyo sehemu ya porojo unapokuja na habari zako za mitaa ukiulizwa maswali sijui kama utajibu hebu jibu haya.
1) Hivi unajua kwa nini Nyerere alikuwa hawataki kabisa Lowassa na Malecela wapate nafasi ya kugombea urais wa Tanzania?
2) Hivi unajua kwa nini Nyerere alifanya juu chini Mkapa awe rais wa Tanzania, mpaka akajitolea kufanya kampeni Tanzania nzima?
3) Hivi unajua kwa nini Mtikila walikuwa hawapatani na Nyerere?
4) Hivi unajua kwa nini sasa hivi Lowassa anazunguka Makanisani kugawa pesa?
Mzee MS; Shukran kwa maneno mazuri juu ya viewers. Pia nahisi umefanya vizuri kukaa pembeni na maswali yaliyokuja. Nadhani wakati umefika kwa vijana wako machachari kujibu huku na wewe unatafuna kashata na kusikiliza the Beatles (Sergent Pepper???). Tutajuaje wameiva?Stay well.
Mzee MS; Baada ya Salaam. Hili la wao kufanya kazi na kuaminiana sio tatizo. Sisi ndio tunaandika volumes za kuwa separate. Tatizo ni kuwa We read your personnal emotions too heavily too frequently in what was supposed to be simply a scholarly and balanced objective work.
By Mohamed Said
Umeingiza mambo mengi sana.
Kuna Zanzibar, elimu ya Waislam, matokeo mabaya ya shule za Kiislam, kuchinja.
Itakuwa tabu kufanya mjadala uliokuwa hauna mwelekeo ulionyooka.
[B]Lakini kwa mukhtasari ukitaka historia ya Zanzibar na maendeleo yake itabidi tuanza kwa kuvamiwa kwa Zanzibar na jeshi mamluki la Wamakonde kutoka Kipumbwi wakifadhiliwa na utawala wa Nyerere.[/B]
Kuanzia hapa tutaingia katika tatizo la Muungano na kwa nini leo Wazanzibari wanadai nchi yao ........
Huyo ni Ritz; Refa wa Tarime !!!!!!! Anakula speed na mtu. hahahahaha. Haya bwana. Ngoja nimtembelee mtu hapa SUA nina shida nae.