Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe unaweza kuona ni maswali ya maana kumbe ya kipuuzi, moja ya tabia ya Mohamed Said, ni kuyapuuza maswali ya kipuuzi na hakuna adhabu kubwa kama kumpuuza muuliza maswali ya kipuuzi, haya kayafanya mara nyingi.

sharif ritz ni kweli uyasemayo kwa maana ukisoma kitabu cha sheihk harith basi utajua mpango mzima wa mapinduzi nani alieandaa na kwa malengo gani
 
Ha ha ha ha zomba umenikumbusha Mzee Mohamed aliwahi kusema hakuna MManyema Mkristo na mimi naongeza sijawahi kumwona MMachame Mkatoliki ndiyo leo naanza kusikia.Wamachame utawakuta waIslamu na waLutheran huo ndiyo mtawanyiko madhahebu ya dini mkoa wa Kiimanjaro waMarangu Lutheran na Catholic ukienda Kibosho Catholic na Islam ukisogea Rombo utawakuwata wacatholic kwa wingi sana sijawahi kukutana na mrombo mlutheri labda ikitokea sababu nyingine kama ndoa na nk.

Nakala Jasusi

Hint ya kwanza: Nsilo Swai

Last edited by a moderator:
Wanajamvi,

Nadhani mwenye akili na macho ameona uhalali na uhalisia wa madai yangu yaliyobeba kichwa cha uzi huu yasemayo,

"Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar"

Mohame amelidhihirishia jukwaa hili kuwa yeye ni waaina gani katika Tanzania,

Nadhani kwahilo limepita, tumejiridhiya kuwa madai ya Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar ni halisi,

Naomba tusonge mbele kuendelea kuuweka wazi Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar ili dunia ione na kuelewa huyu mzandiki alivyo!
 
Yericko Nyerere,

Kila umuonapo mtu kafanikiwa kuliko wewe basi huwa anafanya jambo ambalo wewe huna uwezo wa kulifanya.

Kitabu cha Mohamed Said, ni kitabu kinachovutia sana kilichojaa tafiti na ni chepesi kueleweka mwandishi wake yupo wazi sana mkweli, aliyepanga hoja zake kwa weledi mkubwa na ametumia lugha nzuri.

Kitabu cha Mohamed Said, ni kitabu kilichopangiliwa kwa taaluma ya hali ya juu kimejaa ukweli mtupu ni kitabu ambacho ukikisoma lazima zibadilishe fikra zako.

Watu wameshindwa kuandika kitabu hili kukipinga ni ngumu kukipinga yule anajaribu kukipinga mwisho wa siku anaishia kutukana...ha haa ha.
 
Last edited by a moderator:
Wickama,
Seaton na Abdu walikuwa marafiki.

Siku zile mambo ya siasa yalikuwa mambo ya hatari.
Angalia inner circle ya TAA ni watu walioshibana.

Yuko Abdu na mdogo wake Ally, rafiki yao Dossa na
baba zao walikuwa marafiki Kleist na Aziz Ally na mzee
wao Rupia.

Seaton asingeingia TAA kama si Abdu kumvuta ukichukulia
kuwa asili yake ni Bermuda.

Angalia hata Nyerere nani kamfikisha kwa Abdu ni Mwapachu.
Mzunguko ule ule.

Outsider ilikuwa tabu kupenya.

Saa njoo Kariakoo Market.
Mzunguko ni ule ule.

Attas, Mshume nk.

Njoo wazee wa mjini.
Tambaza, Singizi, Mwinyimvua, Tosiri na nduguye Mafongo nk.

Hawa watu wakiaminiana sana.

Mzee MS; Baada ya Salaam. Hili la wao kufanya kazi na kuaminiana sio tatizo. Sisi ndio tunaandika volumes za kuwa separate. Tatizo ni kuwa We read your personnal emotions too heavily too frequently in what was supposed to be simply a scholarly and balanced objective work.
 
sharif ritz ni kweli uyasemayo kwa maana ukisoma kitabu cha sheihk harith basi utajua mpango mzima wa mapinduzi nani alieandaa na kwa malengo gani

Daruweshi HASANALIS,

Ndiyo maana tunasema hayo maswali ya kipuuzi.
 
Last edited by a moderator:
Wickama,
Umepatia kuhusu viewers nami huchukulia
viewer mmoja mtu mmoja hata kama ni yule
yule karejea.

Nia ni kuonyesha wingi wa wanaopita.

Mzee MS; Shukran kwa maneno mazuri juu ya viewers. Pia nahisi umefanya vizuri kukaa pembeni na maswali yaliyokuja. Nadhani wakati umefika kwa vijana wako machachari kujibu huku na wewe unatafuna kashata na kusikiliza the Beatles (Sergent Pepper???). Tutajuaje wameiva?Stay well.
 
sharif ritz ni kweli uyasemayo kwa maana ukisoma kitabu cha sheihk harith basi utajua mpango mzima wa mapinduzi nani alieandaa na kwa malengo gani

Hasanalis; Baada ya salaam. Hakuna shaka kuwa TANU walishiriki heavily kusaidia haya mapinduzi. HAKUNA shaka. Tunachouliza na hakijibiwi, ni kwamba, jee ASP walilazimishwa kupokea misaada ya silaha na askari kufundishwa kwa ajili ya mapinduzi haya au ndio waliotangulia kuomba msaada? Swali ni jepesi, wala sio la kipuuzi kwa sababu ndilo linabeba dhamana ya matukio yaliyofuata.
 
Ha ha ha ha zomba umenikumbusha Mzee Mohamed aliwahi kusema hakuna MManyema Mkristo na mimi naongeza sijawahi kumwona MMachame Mkatoliki ndiyo leo naanza kusikia.Wamachame utawakuta waIslamu na waLutheran huo ndiyo mtawanyiko madhahebu ya dini mkoa wa Kiimanjaro waMarangu Lutheran na Catholic ukienda Kibosho Catholic na Islam ukisogea Rombo utawakuwata wacatholic kwa wingi sana sijawahi kukutana na mrombo mlutheri labda ikitokea sababu nyingine kama ndoa na nk.

Nakala Jasusi

Huyo ali soma Soni kwa Kit Cunningham.
 
ha haa ha, Yericko Nyerere, na wewe kuna viporo vyako vinasubiri majibu, Wanaukumbi wanataka kujua ni kweli Nyerere ni baba yako mzazi?

Wanasubiri majina ya wale waasi waliopewa msamaha na Nyerere wengine kupewa vyeo na wengi kupelekwa kuwa mabalozi.

Huyo ni Ritz; Refa wa Tarime !!!!!!! Anakula speed na mtu. hahahahaha. Haya bwana. Ngoja nimtembelee mtu hapa SUA nina shida nae.
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi,

Nadhani mwenye akili na macho ameona uhalali na uhalisia wa madai yangu yaliyobeba kichwa cha uzi huu yasemayo,

"Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar"

Mohame amelidhihirishia jukwaa hili kuwa yeye ni waaina gani katika Tanzania,

Nadhani kwahilo limepita, tumejiridhiya kuwa madai ya Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar ni halisi,

Naomba tusonge mbele kuendelea kuuweka wazi Uchochezi wa Mohamedi Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar ili dunia ione na kuelewa huyu mzandiki alivyo!

Hapana kwa upande wangu cjauona uchochezi wa MS ila nilichogundua kupindishwa kwa makusudi historia ya uhuru tanganyika na z'bar kwa kuhusishwa nyerere na karume kwa kila kitu kumbe sio hivyo ila hapa nipata kujua yale yaliofichwa. Ahsante maalim MS kwa darsa lako.
 
JF siyo sehemu ya porojo unapokuja na habari zako za mitaa ukiulizwa maswali sijui kama utajibu hebu jibu haya.

1) Hivi unajua kwa nini Nyerere alikuwa hawataki kabisa Lowassa na Malecela wapate nafasi ya kugombea urais wa Tanzania?

2) Hivi unajua kwa nini Nyerere alifanya juu chini Mkapa awe rais wa Tanzania, mpaka akajitolea kufanya kampeni Tanzania nzima?

3) Hivi unajua kwa nini Mtikila walikuwa hawapatani na Nyerere?

4) Hivi unajua kwa nini sasa hivi Lowassa anazunguka Makanisani kugawa pesa?

tatizo kijana uelewa wako wa mambo ni mdogo mno kama sio sifuri, hoja zako siku zote hazina mtiririko wala consistency tatizo jingine ni kuwa umelewa udini. Mnamuabisha mwalimu wenu sometimes. Yaani hayo uliyoandika hapo juu yanahusiana vp na kilichokuwa kinajadiliwa? Huu si ulevi huu tena wa mnazi hahahahaha!!!!!!
 
Mzee MS; Shukran kwa maneno mazuri juu ya viewers. Pia nahisi umefanya vizuri kukaa pembeni na maswali yaliyokuja. Nadhani wakati umefika kwa vijana wako machachari kujibu huku na wewe unatafuna kashata na kusikiliza the Beatles (Sergent Pepper???). Tutajuaje wameiva?Stay well.

Wickama,
Umejuaje kama mie ni mpenzi wa Beatles?

Ngoja nikupe kitu.

Udogoni nikipiga guitar na band na kuna nyimbo moja ya Beatles ''Things We Say Today''
nikiipiga huku nikitumia lyrics za Kiswahili...''Umenitoroka nyumbani kwangu...''

Hizi lyrics aliandika Cuthbert Sabuni wa Flaming Stars moja ya band za vijana katika 1960s
hapa Dar.

Iko siku niko na mwenyeji wangu tunapita Dakota Appartments pembeni mwa Central Park,
New York.

Sasa jamaa ananieleza kuwa hiyo nyumba akiishi John Lenon na jana yake kabla hajapigwa
risasi yeye alimtembelea pale lakini John alikuwa kalala kwa hiyo akazungumza na mkewe Yoko...

Nakipunguza kisa.

Sasa mimi nikamwimbia nyimbo nzima ya Beatles ''...how could I dance with another when I saw her
standing there...''

Jamaa kapigwa na butwaa maana hakutegemea haya.
Jamaa leftist ajabu na ndiyo maana akaelewana na Lennon.

Kufika kwake New Jersey yeye na mkewe wakanambia kuwa kesho kuna maandamano makubwa na
mimi wananialika maana hii serikali ya kishenzi lazima tuiangushe.

Waamerika hao tena walimu wa chuo kikuu Ivy League.

Nina picha nimepiga Central Park nimesimama Strawberry Hill hapo ndipo ilipo kumbukumbu ya Lennon.

Wickama,
Sikuwezi.

Mara unaniudhi mara unanifurahisha.
Hahahahahahahahahahahahahahha!

Ahsante sana.
 
Mzee MS; Baada ya Salaam. Hili la wao kufanya kazi na kuaminiana sio tatizo. Sisi ndio tunaandika volumes za kuwa separate. Tatizo ni kuwa We read your personnal emotions too heavily too frequently in what was supposed to be simply a scholarly and balanced objective work.

Wickama,
Siwezi kulikataa hilo.

Unajua hawa ni wazee wangu sasa kama unamwandika baba yako, shangazi au shoga
wa mama yako ni tabu kujiweka pembeni na ''values.''

Hilo usemalo huenda likawa na ukweli.
Ila nashukuru kuwa nimekupeni mengi yaliyofifilishwa kwa makusudi.
 
Wanaukumbi;
Haya yalikuwa baadhi ya majibizano kati ya Yericko (post #1 ) na mzee wetu MS. Maswali yote ya ZENJ tuliyomwuliza yalikuwa yana-focus hapo nilipo-bold

Code:
By Mohamed Said 
Umeingiza mambo mengi sana.
 Kuna Zanzibar, elimu ya Waislam, matokeo mabaya ya shule za Kiislam, kuchinja.

 Itakuwa tabu kufanya mjadala uliokuwa hauna mwelekeo ulionyooka.

 [B]Lakini kwa mukhtasari ukitaka historia ya Zanzibar na maendeleo yake itabidi tuanza kwa kuvamiwa kwa Zanzibar na jeshi mamluki la Wamakonde kutoka Kipumbwi wakifadhiliwa na utawala wa Nyerere.[/B]
 
Kuanzia hapa tutaingia katika tatizo la Muungano na kwa nini leo Wazanzibari wanadai nchi yao ........

Kwa MAONI yangu; kwa vile Mwenyewe kasema hatajibu (Majibu kwa Prishaz) maswali haya. Na kumbe maswali haya ndiyo msingi wa kujua jee ufadhili wa Kipumbwi ulilazimishiwa wazenj(ASP) au wao ndio waliyouomba (kutoka TANU) ili Kujadili huo uvamizi aliomwahidi Yericko na dhamana ya usalama wa raia, natoa rai kuwa mada hii (ya zenj) tuachie hapa. Ikianzishwa tena kwa namna yoyote ile ili kudhalilisha kundi lolote basi tutayarudia haya maswali tuliyonyimwa majibu leo mpaka kujua nani kaomba msaada.

Mwenye kusoma na kupima hatakosa pa kushika

cc; Prishaz, Mr Iron, Painkiller, Nguruvi, Jasusi, Ritz, Kadogoo, Yericko,Mag3, Nanren,Sheik Farid,Jokakuu,Son of Alaska, Spike Lee, BigShow, Gwalihenzi
 
Huyo ni Ritz; Refa wa Tarime !!!!!!! Anakula speed na mtu. hahahahaha. Haya bwana. Ngoja nimtembelee mtu hapa SUA nina shida nae.

Wickama,

Kama ni kweli unakwenda kutembelea SUA;nafikiri uliwahi kusema yakuwa ulisomea Pedology....tafadhali mpe salaam zangu nyingi jamaa yangu Dr. Balthazar Msanya.

Mwambie jamaa yako wa Vienna mliokua woote Jarumani early 1990's,nina hakika atacheka saaana!

Tafadhali pia niombee kwa Nguruvi3,ajibu yale maswali ya uchochezi wa amani hapo nchini na labda pia ugaidi niliyomwekea jana dhidi ya wenzenu Yericko n Mwanakijiji!?

Sisi kwa ustaarabu wetu,hatupendi kujaza server kwa kurudia maswali yayokwayayo...kwahiyo Nguruvi3 na Wanajamvi khasa wale wafuatiliao huu mnakasha kwa karibu wanajua madai/shutuma zetu!

Ahsanta sana.
 
Back
Top Bottom