Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ha ha haa kumbe kuna watoto rasmi na watoto ambao sio rasmi dah JF kuna mambo haya Yericko kazi kwako wewe ni rasmi au sio rasmi! usiseme nimekutukana hii ni kwa mujibu wa vyanzo vya WildCard na kuhusu Andrew Nyerere kumzungumzia mzee Mohamed Said hata neno moja , hakuna kitu kibaya kama kuchonganisha familia za watu ni bora hizi munazoziita ngano za mzee MS kuliko kusema mimi ni mtoto wa fulani na kumbe sio haya ni matusi makubwa na kwasisi watoto wa madrasa tutaamini mzee alitembea nje ya ndoa na hili jambo sio zuri.
 
Naona unampangia mtu mzima cha kusema hili akufuhishe wewe, jamaa anajiepusha na huu mjadala ni hekima kwake na familia yao. wana utaratibu maswala ya Mzee wao kuna msemaji wao Mzee Butiku.
Basi akae kimya tu badala ya kuhangaika na Yericko ambae kwa maoni yangu amesaidia sana kukiumbua kitabu cha Mohamed ambacho wengi tulikisoma na kukaa kimya tu.
 

Naomba acha uongo..ili tusiendelee bishana na waislam wenzio wakakwazika..sioni ubingwa unaoutaka hapa..Quran ina mistari iliyoshuka ktk matukio husika....na hivyo kuifany amara nyingi iwe na mistari inayogongana...kuna kuua mtu anayeacha dini, na nyingine inasema dini ni hiari, nyingine inasema dini kuwa si hiari.sitaki kukupa mistari for the sake of hisia za wenzio.

Shida yako kubwa si nia yako bali ni logic uliyokuzwa nayo haitoshi kukusaidia wewe kuweza analyse vitu....Waislma hawana mipata ya kitaifa km unavyodhani..ndio maana wana mamluki kibao wanazunguka duniani....Wao wanamjua Khalifa ambaye wanataka atawale dunia..Osama ni mmojawapo wa believer hiyo notion...Bahati mbaya huoni hata kati yenu hata uzalendo wa nchi hauwezi wazuia desires za dini.
Pole sana hujapata concept km kawaida yako..Nimekuambia "Fatwa " Ni km extention ya Sheria....ndio maana ipo open...N inajadilika ktk wanazuoni...ila sidhani km mambo ya msingi ya quran wanaweza hat thubutu yafuta achilia mbali kusema hadharani nia hiyo.
Uongo mtakatifu si sehemu ya imani yangu..kwa hiyo sipendi kuruka ruka ktk mistari inayotofautiana kutokana na malengo yangu.Ndio mnakifanya hap ana sehemu nyingi duniani.Wakati tamaa zenu zinataka timiza kitu fulani basi nyie mnachagua mstari mnaoupenda na kukomaa nao.Nadhani nimekupa Fatwa moja uliyoitaka.
Naona umejijibu....kuwa Yesu alipinga....nadhani Yesu aliyajua mafundhisho ya wayahaudi kuliko hata walimu wengi "Rabbi" wa kipindi chake.Ndio maana alipoelezea kutimiliza Torati...wengine walipata "kichaa kuwa kakufuru"..Ndipo akasema wanafanya mapokeo ya wazee wao ,ya binadamu...Wayahudi walipotoka kila mara na walirudishwa ktk mstari na manabii wao.

Sipo kutetea wayahudi..ila nakupa tuu Logic ..hata ktk mafundhisho kuna mengi yanalaumiwa wayahudi kwa kubadili sana mambo kwa kalamu zao.So usijiisahau sana huko...haitakusaidia hapa wala popote..Ni km mimi nikuletee historia ya wapagani wa Mecca walivyokuwa wakiishi na majinn ,kutoa kafara mabinti...pale al kaabah..

By the way naona umeskip tena "Issue ya Evolution na kujiingiza line kwa waislam"
 
Hivi kweli ulihitaji kumfahamu Mshume Kiyate aliyepeleka maharage na mchicha nyumbani kwa Mwalimu kule Magomeni?


Thanks Wilcard,

KAMA HUYU YERICKO SI MTOTO RASMI,KWANIN ABABEBA MIKOBA YAKE NA KUJA NAYO JF KUJIVERIFY??

HUONI KWAMBA ANATULETEA USUMBUFU MKUBWA KIAS HIKI??
 
Heshima kwako mkubwa asante kwa ufafanuzi tunamsubiri bwana mkubwa aje alete ngano zake,huyu jamaa jinsi asivyo kuwa na soni anaweza bishana na Butiku tunasubiri majibu mkuu.
 

Nakushukuru sana mkuu,

Nimefurahi kusikia hivyo, hii ni heshima kwangu na jf pia kwakuwa imefungua ukurasa mpya wa historia wazee wetu wanaukombozi iliyokua inaharibiwa na baadhi ya Watanzania wenzetu wasiolitakia mema taifa letu na historia yake!

Nitafurahi sana kuongea na ikiwezeka kuonana na Mzee wangu Mh Joseph Butiku!
 
Andrew,
Jina hili Nyerere( kwa kweli ni Nyerre) sio la ukoo au familia yenu tu kule Mara.
 

Acha mikwara wewe kama Mods wanafanya kazi zao kwa maagizo yako watupige ban tu wala hakuna tatizo hakuna kitu kigumu kama kusimamia haki.

Wewe umemtukana THE BIG SHOW, kuwa shoga mtoto si riziki, mods wameifuta hiyo post kimya kimya.

Haya maandiko kuhusu Nyerere baba yako umeyaandika mwenyewe toka mwanzo wa mnakasha ndiyo maana hata Mohamed Said, anakuita mtoto wa Nyerere kama ulivyojitambulisha humu ukumbini na ushahidi upo.

Hivi Mods wapo kwa ajili yetu tu humu wewe kutakana hakuna tatizo?
 
Last edited by a moderator:

Acha mikwara wewe kama Mods wanafanya kazi zao kwa maagizo yako watupige ban tu wala hakuna tatizo hakuna kitu kigumu kama kusimamia haki.

Wewe umemtukana THE BIG SHOW, kuwa shoga mtoto si riziki, mods wameifuta hiyo post kimya kimya.

Haya maandiko kuhusu Nyerere baba yako umeyaandika mwenyewe toka mwanzo wa mnakasha ndiyo maana hata Mohamed Said, anakuita mtoto wa Nyerere kama ulivyojitambulisha humu ukumbini na ushahidi upo.

Hivi Mods wapo kwa ajili yetu tu humu wewe kutakana hakuna tatizo?
 
Last edited by a moderator:
Thanks Wilcard,

KAMA HUYU YERICKO SI MTOTO RASMI,KWANIN ABABEBA MIKOBA YAKE NA KUJA NAYO JF KUJIVERIFY??

HUONI KWAMBA ANATULETEA USUMBUFU MKUBWA KIAS HIKI??
Mimi nawaomba msumbuliwe na hoja zake sio jina lake. Tangu anaanza thread hii hakuna mahala Yericko amesema Mwalimu ni babayake mzazi.

Mohamed Said hana undugu wa damu na akina Sykes. Kwenye msiba wa juzi wa Ally yeye alijitwika jukumu kubwa zaidi ya wanafamilia wenyewe
 
Mkuu WildCard kwa kiasi fulani hata mimi nimeshangazwa na tabia ya ubinafsi ya Andrew Nyerere kumshambulia Yericko Nyerere Kwake yeye Andrew matusi,kashfa ,uongo,uzushi dhidi ya Mwl J K Nyerere si masuala ya msingi/muhimu.

 
Last edited by a moderator:


Shukrani sana Brother,ni ukweli usio na shaka kwamba huyu jamaa hana lolote lile,

MWALIMU NYERERE FOUNDATION HAPO KUNA MZEE WANGU,NADHAN UTAKUWA UNAMFAHAM,

YEYE YUPO BEGA KWA BEGA NA MZEE BUTIKU KATIKA MANAGEMENT YA HIYO FOUNDATION TOKEA KUANZISHWA KWAKE,
ANAITWA GALLUS ABEID,

HUYO NI MMAKONDE,NA MTU WA NYERERE WA MDA MREFU SANA,ASHAWAHI KUWA MKUU WA MKOA WA KILAMANJARO ENZI HIZO,

Nishawahi kumuuliza kuhusu hili pia kaniambia hiki kitu hakipo,na namba zake za simu ninazo na tunafanya mawasiliano mara kwa mara,

Sisi tunashukuru kwa uwepo wako hapa,
Nasisi hatupo hapa kumkejeli mwalimu nyerere ama kumdhihaki,nadhan hata wewe umeliona hilo,
Huyo Bwana mdogo alidhan anaweza kujipatia umaarufu kirahis rahis kupitia familia yenu kumbe sasa kaishia kujidhalilisha tuh,
Shukrani sana....
 
Naaaaam naaaam mkuuu!

Umelifungua baraza kimang'amuzi ya nera!

Sasa hawa maamuma tunaweza kwenda nao hatua kwa hatua na kuwasomesha vema!

Ritz, GombeSugu na wenzio ninaomba jitulizeni hapa tuwape elimu na sio ilm yenu!

Hawa watoto wa "binamu nyama ya hamu" wanayo shida ktk ubongo na Fikra....wamehami ktk matusi na shari wakidhani wanatisha watu waogope..nimewashauri wajitahidi kuondoka ktk unazi wa dini zao...ili wawe rational..Ni huo udini ndio uliwapelekea kuleta "uchochezi,dhihaka na mengine" naona wao dhihaka hata kidogo hawataki .Kumbe mkuki kwa nguruwe mtamu....

Hawajaui kazi yetu ilikuwa kuthibitisha walichokisema,kiandika ktk machapisho na kukiamini ni uongo na uzushi...wao watete..sasa wameshindwa..wameahamia ktk matusi na kujifanya victims...
 
Basi akae kimya tu badala ya kuhangaika na Yericko ambae kwa maoni yangu amesaidia sana kukiumbua kitabu cha Mohamed ambacho wengi tulikisoma na kukaa kimya tu.

WildCard,

Ungekuwa kiongozi ungekuwa dikteta yaani hautaki wengine watoe maoni yao wakae kimya wewe maoni yako ni muhimu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe,unatumia mchina nini? mbona posting zako,zinaji duplicate sana???? omba msaada utasaidiwa-technology ya bei rahisi sio lazima ikutese,ilhali ndugu zako tupo
 
Mkuu WildCard kwa kiasi fulani hata mimi nimeshangazwa na tabia ya ubinafsi ya Andrew Nyerere kumshambulia Yericko Nyerere Kwake yeye Andrew matusi,kashfa ,uongo,uzushi dhidi ya Mwl J K Nyerere si masuala ya msingi/muhimu.

Anamshambuli kivipi??
Yeye anasema hamfaham ukitaka aseme vipi??
Hata kama mtu hamfaham yeye aseme tuh anamfaham ili afurahishe jamvi??

ANDREW NI MTU MZIMA NA AKILI ZAKE,HAWEZ KUONGEA MAMBO YA KIPUUZ NA KISHABIKI,

NA KUHUS MAANDIKO YA MOH SAID YEYE ANAJUA FIKA HAKUNA MAHALA AMBAPO NYERERE AMEKASHIFIWA WALA KUKEJELIWA,

KILICHOELEZWA NI UHALISIA TUH,FACE IT..!
 

Mkuu

Unadhani kuwa hawa hawajui wanachokifanya hapa? Wanajua fika!

Mwanzo walininukuu nilipomaanisha kwamba wanaukombozi wote ni wazazi wangu kama Mohamed Said asemavyo kwa wazee wake!

Tena nilisema hivi

"mimi Mwalimu Nyerere kama mzazi wangu ninakufahamisha..."

Sasa nukuu hiyo nimewapa ufafanuzi zaidi ya mara miamoja hapa kuwa namaanisha wanaukombozi wote ni wazazi wangu, lakini wao wamegeuza agenda yao kuu kutuondoa kwenye mjadala huu!

Wewe waache waendelee lakini sisi tupo kwenye ukweli husika
 
Indeed,mzanaki atasema nyerrrre. Nayo Mwalimu aliwahi kuelezea maana yake,kwamba ni yule mdudu,caterpillar anayekula mazao.
 

Sikujua kweli wewe ni big show na si mtu mwenye grey matter....bato tupo well alive..nyie ndio mmekufa...kabisa.Kwa vile si tabi ayenu kuambiana mapungufu..Hata mashuleni mpo tayari kupitisha junks halafu kesho zije waongoza...ndio mnaishia kuwa na akina Ritz, MS na wengine ....Naona sasa mmeshafikia mahali mna walimu junks, mna mwanachama Junks.Mmesishia kuwa club ya "Zeroes ".

Tunawasikiliza na kuwasoma ktk show yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…