Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mojawapo ya aya ninazozipenda kwenye Qurani ni hii:

2_111.png


Yaani;

111. Na walisema: Hataingia Peponi ila aliyekuwa Yahudi au Mkristo. Hayo ni matamanio yao. Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli.

Sasa utaona kuwa hata Qurani haikubali madai bila ushahidi! Walikuwa watu wanasema wakati wa Mtume kuwa hatoingia mtu peponi isipokuwa awe Myahudi au Mkristo, sasa Mtume anaambiwa waambie "lete ushahidi wenu kama nyinyi wasema kweli".

Mzee Said kama huna ushahidi usitoe madai; ila ukitoa madai 'bring your proof'!

Siku za nyuma nilishawahi kukupa darsa kuhusu kunukuu aya za Qur'an ili usipotoshe umma. Leo narudia somo ingawa ni tofauti kidogo na lileeeee, nna uhakika unalikumbuka.

Ukinukuu aya za Qur'an uwe makini kuweka sura na aya, hapa wewe umeweka namba ya aya tu (111), kumbuka, kwa hii ulitakiwa uandike Qur'an 2:111 ikimaanisha ni sura ya pili na aya ya 111. Kumbuka, zipo sura zaidi ya moja zenye aya ya 111.
 
Kijana, ungekaa pembeni kidogo kwani hakuna unachochangia cha maana...msaidie mentor wako kujibu maswali aliyoulizwa. Wakati nasubiri majibu kwa maswali yangu sita ya mwanzo, nimeongezea na la saba...maswali yenyewe ni haya;

  1. Abdulwahid Sykes aliingia kwenye uongozi wa AA mwaka gani kwa mara ya kwanza na kwa wadhifa gani?
  2. Je mwaka 1946, Mwalimu Nyerere alipohudhuria mkutano wa AA Dar es Salaam kama katibu wa tawi la Tabora, Abdulwahid alikuwa na nafasi gani ndani ya AA?
  3. Je, Abdulwahid Sykes alihudhuria huo mkutano uliofanyika mwaka 1946 Dar es Salaam na kwa wadhifa upi ndani ya AA?
  4. Je, Abdulwahid Sykes kama alihudhuria, kwa nini idaiwe ni mwaka saba baadaye, 1953, ndio kakutana na Nyerere kwa mara ya kwanza?
  5. Je, kama mwaka 1946, Abdulwahid Sykes hakuwa na sifa wala wadhifa wa kuhudhuria huo mkutano wa AA, nani kati yake na kaka yake Mwalimu Nyerere alitangulia kwenye siasa?
  6. Je si kweli kuwa Dr. Kyaruzi, aliyefahamiana na Mwalimu Nyerere toka Makerere, ndiye aliongoza mapinduzi ndani ya AA mwaka 1950 na yeye kuchaguliwa Raisi wa kwanza wa TAA?
  7. Mkutano wa kwanza wa kuizindua AA mwaka 1929, ulifanyika nyumbani kwa nani na chini ya uongozi wa nani?
Uzuri moja wa ukweli ni kuwa uongo hauthubutu kukaa nao chumba kimoja...ukweli ukidhihirika uongo huoooo...hutokomea huko huko gizani kuliko maskani yake ya siku zote hata kama uliweza kudumu kwa miaka 15.

Nikupishe wapi tena wakati ili ni jukwaa huru.

Hata wewe hakuna unachoandika cha maana zaidi ya matusi humu JF na ukubwa wako wote.

Hayo maswali yako hayana tija yoyote hatupo kwenye chumba cha mtihani kama una mchango andika watu wachambue.
 
qur'an haitafsiriwi kuchagua kile ukipendacho kisha ukakiegemeza hapo.

Usiingie huko.
Humu si pahala pake.

Mengi ya ukumbusho wa historia nimeweka.
Huna jambo katika hayo yote?

asikushughulishe kabisa,ndugu we endelea tuh kutoa darsa kwa wale wenye nidham na utayari wa kulizingatia,huyo mzee mwanakijiji keshashuka heshima yake mda mreefu sana,tena kwa kupitia mjadala huu ndio kajiweka wazi wazi ufinyu wake wa mawazo,badala ya kuijadili hoja kwa facts za uhakika ameingia kwenye kazi ya uchambuzi wa qur'an ataiwezea wapi??
Ni mtu wa ajabu na mdini wa hali ya juu,hawez kutoa hoja zinazojitegemea katika hiki kinachozungumzwa hapa bila kuonesha kasumba zake za chuki wazi wazi,
tuliokwisha mtambua tunampuuza tuh.
 
katika mijadala ambayo mwaka huu ina tija kwa mstakabali wa historia ya nchi yetu ni huu! BIG UP kwa wote waliotoa/wanaotoa michango yenye kuelimisha na kuiweka vyema historia ya nchi yetu! Ile historia niliyokuwa naisoma primary na secondary ilikuwa inaniboa sana, tena ya secondary ndio kabisaaa mwalimu wetu wa kike alikuwa na mimba basi weee.. darasani ni full kisirani... nilikariri nifaulu mtihani tu... sema bahati nzuri nilipata feki nikapiga msonge fresh!!! ila hii imenivutia na nimeelewa vyema zaidi! BIG UP GUYS!
 
Ahsante ndugu yangu.

Naona mnakasha unafika ukingoni labda kama
italetwa hotuba ya sauti ya Nyerere.

Nimejifunza mengi humu ndani.
Alhamdulilah.
 
Qur'an haitafsiriwi kuchagua kile ukipendacho kisha ukakiegemeza hapo.

Usiingie huko.
Humu si pahala pake.

Mengi ya ukumbusho wa historia nimeweka.
Huna jambo katika hayo yote?

Mbona sijajaribu kutafsiri Qurani miye wala siana uwezo huo wala utaalamu. Nimekutolea mfano kuwa unapodai kitu uwe tayari kuleta ushahidi na kuwa hata Qurani inafuata kanuni hiyo kwa Wakristu na Wayahudi. Kwamba wanapodai kuwa hatoingia mtu peponi isipokuwa awe Myahudi au Mkristu basi watakiwe walete ushahidi wao! Hii ni kanuni ya kawaida kwenye mantiki siyo kwenye Qurani tu.

Sasa leo unapotoa madai unataka watu waamini lakini ili waamini au wakubali madai yako ni jukumu lako kuweka ushahidi wa madai hayo. Kama hutaki watu waamini basi usitoe madai. Kama hutaki watu waamini maandishi yako usiendeleekuandika na kutoa madai mbalimbali kwani kila unapotoa madai ni jukumu lako kuweka uthibitisho wake. Uthibitisho hauwezi kuwa "kama hamtaki kuamini hilo lwenu"!
 
katika mijadala ambayo mwaka huu ina tija kwa mstakabali wa historia ya nchi yetu ni huu! BIG UP kwa wote waliotoa/wanaotoa michango yenye kuelimisha na kuiweka vyema historia ya nchi yetu! Ile historia niliyokuwa naisoma primary na secondary ilikuwa inaniboa sana, tena ya secondary ndio kabisaaa mwalimu wetu wa kike alikuwa na mimba basi weee.. darasani ni full kisirani... nilikariri nifaulu mtihani tu... sema bahati nzuri nilipata feki nikapiga msonge fresh!!! ila hii imenivutia na nimeelewa vyema zaidi! BIG UP GUYS!
Asante sana mkuu, karibu sana
 
ni kweli usemayo

nimepitia maandishi yake humu ni

mkereketwa mno wa udini.
Mjadala huu umesaidia sana,
ameshindwa kuficha hisia zake za ukereketwa wa dini
Ni kama chui aliyejivika ngozi ya kondoo
kujifanya mkosoaji wa mambo ya 'ki' inchi
kumbe kuna jambo la udini linalomsukuma kufanya hivyo

asikushughulishe kabisa,ndugu we endelea tuh kutoa darsa kwa wale wenye nidham na utayari wa kulizingatia,huyo mzee mwanakijiji keshashuka heshima yake mda mreefu sana,tena kwa kupitia mjadala huu ndio kajiweka wazi wazi ufinyu wake wa mawazo,badala ya kuijadili hoja kwa facts za uhakika ameingia kwenye kazi ya uchambuzi wa qur'an ataiwezea wapi??
Ni mtu wa ajabu na mdini wa hali ya juu,hawez kutoa hoja zinazojitegemea katika hiki kinachozungumzwa hapa bila kuonesha kasumba zake za chuki wazi wazi,
tuliokwisha mtambua tunampuuza tuh.
 
Mbona sijajaribu kutafsiri Qurani miye wala siana uwezo huo wala utaalamu. Nimekutolea mfano kuwa unapodai kitu uwe tayari kuleta ushahidi na kuwa hata Qurani inafuata kanuni hiyo kwa Wakristu na Wayahudi. Kwamba wanapodai kuwa hatoingia mtu peponi isipokuwa awe Myahudi au Mkristu basi watakiwe walete ushahidi wao! Hii ni kanuni ya kawaida kwenye mantiki siyo kwenye Qurani tu.

Sasa leo unapotoa madai unataka watu waamini lakini ili waamini au wakubali madai yako ni jukumu lako kuweka ushahidi wa madai hayo. Kama hutaki watu waamini basi usitoe madai. Kama hutaki watu waamini maandishi yako usiendeleekuandika na kutoa madai mbalimbali kwani kila unapotoa madai ni jukumu lako kuweka uthibitisho wake. Uthibitisho hauwezi kuwa "kama hamtaki kuamini hilo lwenu"!

Mkuu hilo lipo hata katika tafiti za kisayansi tu, mfano unaposema jua huchomoza magharibi na kuzama mashariki, ni lazima uje na uthibitishio kutushawishi sisi tuaminio kuwa jua huchomoza mashariki na kuzama magharibi.


Hivyo Mohamed Said ameshindwa kutetea kile alichokiandika yeye mwenyewe
 
Ahsante ndugu yangu.

Naona mnakasha unafika ukingoni labda kama
italetwa hotuba ya sauti ya Nyerere.

Nimejifunza mengi humu ndani.
Alhamdulilah.
Na wewe utuletee hotuba Nyerere aliyosema hamjui Abdul Sykes.
Jokakuu kaweka kipande cha hotuba, tuambie kama ni kweli au si kweli kwanza.
Halafu lete ushahidi wa madai yako. Hatupo hapa kusoma majina ya watu tupo hapa kufanya mnakasha wenye substance siyo uzandiki, uzushi na uongo.

Mnakasha haujafikia mwisho. Kuna maswali yangu ''yasiyo na maana'' hujajibu. Maswali ya Mag3. Mwanakijiji na wengine kwa uchache wa kuwataja.

Usikimbie maana uongo na uzushi sasa umefikia hatima!

Jibu maswali na hoja hatuhitaji kusikia ngano za Tatu Said, Mwanameka Mohamed n.k.
tetea hoja tena kwa mantiki na akili, acha kukata vipande vya kitabu chako ambacho ni uzushi huku ukitufanya tuamini ni reference. Huwezi kuweka uongo na uzushi halafu ukaufanyia reference!

Tupo hapa hatuondoki ili kuitendea jamii haki.Kuisadia jamii iliyopotoshwa na kudhibiti uzushi.

Mohamed Said Abdallah Salum Muyukwa Mwekapopo Samtungo, jibu hoja na maswali. Tetea hoja zako kwa ushahidi.
 
Rashid Heri Baghdelleh.
Angalia ''spelling'' yako unakosea.

Baghdelleh alikuwa rafiki ya baba yangu akija hata nyumbani kwetu.

Mara ya mwisho kaja nyumbani baba hayupo akaacha salamu.
Ndiyo mara yangu ya mwisho kumtia machoni akiwa hai.

Illipigwa simu nyumbani kumuarifu baba yangu kuwa Rashid Heri Baghdelleh
amepata ajali ya gari Arusha na kufariki.

Kwa nini nasema haya hapa ukumbini ni kutaka kuwajuvya kuwa watu hawa
mimi kwa hakika ni wazee wangu.

Tuendelee...

Mwaka 1964 Baghdelleh alikuwa ndiyo Mkuu wa Mkoa Tabora.
Huo ndiyo mwaka babu yangu kafungwa jela Uyui kwa ''kutaka kupindua serikali.''

Baba yangu anamuuliza Baghdelleh ''Vipi Rashid ni kweli mzee alikuwa na mipango
na wanajeshi kuangusha serikali?''

Baghdelleh anatingisha kichwa anamwambia baba, ''Sikiza Said mzee atatoka hakuna
kitu kama hicho wewe nakuomba vuta subra tu...''

Lakini uongo huu ulienezwa sana na baadhi ya watu waliuamini hadi leo.

Ndiyo babu yangu sasa baada ya kutoka kifungoni akawa anawaita baadhi ya watu ''waongo.''

Waongo kwa kuwa walimsingizia alikuwa anaandaa jeshi kupindua serikali ya Nyerere wakati
haikuwa kweli.

Alhamdulilah najua mengi sana katika historia ya nchi hii.
.
Nimesoma darasa moja na mwanae aitwae Rashidi, na nilipewa kazi fulani fulani na bintie aitwae Jasmine akiwa ile NGO ya pale mahali na nikaja kukutana tena na Jasmine akiwa South Africa.

Kadri ninavyokusoma baada ya kisa cha kutiwa gerezani babu yako, ndia sasa naanza kuelewa mzizi wa chuki zako kwa Nyerere!, kumbe alifunga babu!.

Kiukweli japo babuyo alipotoka aliwaita watu waongo, Nyerere alikuwa ni mtu wa "intuition", amini usiamini banu yako was planing something evil!, Intuition ya Nyerere ikamshutukia akashughulikiwa ipasavyo!. Na wewe unaweza kujikuta bila mwenyewe kujijua, badala ya kumrith baba ile ya "like father like son", kumbe umemrithi babu with some evil iside you!. Ndio maana siku zote nimekuwa nikuita "a man with a mission" ila sikuwahi kumalizia ni mission gani but now I'm definetely sure, "it is some evil mission!". Umeandika kitabu with ill intention of evil inside you na wanaokisoma kitabu chako, wakisha maliza kukikosoma, "they are not the same again" " the evil inside the writing inahamia kwa hao wasomaji wako" ili mpate kundi kubwa la kutosha, kwa matumaini kuwa siku ya siku itafika, sio tuu uta kamilisha "the evil mission ya babu", bali pia utalipiza kisasi kwa kufungwa kwa babu!. Na dhani kwa kazi nzuri uliofanya hiyo siku haiko mbali!, tutashuhudia matokea ya kazi yako "nzuri". Hongera!, na kwa vile mnaamini ni jihad, hivyo mtapokelewa peponi moja kwa moja!, endeleeni, wish you all the best!. Muenzi Babu!.

Kwa wale wengine mnaomlaumu Maalim Mohamed Said, naombeni mhurumie, sio kosa lake! hii ni due to "deep rooted neurosis with resentments to revange kwa Nyerere aliyomfanyia babu yake".

Pole sana!.
Pasco.
 
mkuu hilo lipo hata katika tafiti za kisayansi tu, mfano unaposema jua huchomoza magharibi na kuzama mashariki, ni lazima uje na uthibitishio kutushawishi sisi tuaminio kuwa jua huchomoza mashariki na kuzama magharibi.


Hivyo mohamed said ameshindwa kutetea kile alichokiandika yeye mwenyewe

huo mfano wako uko irrelevant sana,ya kusema ya kwamba hata kisayansi tuh jua linapochomoza mashariki na kuzama magharibi yahitajika proof...!,proof ya namna gani sasa kisayansi katika hilo?au labda tujaalie ya kwmba mhusika anaedai ushahid awe kipofu,lakini kwa hilo si kwa kuona tuh ni uthibitisho tosha wa kumfanya mtu akiamini hicho kitu?
So,unataka kulandanisha tafiti za kisayansi na tafiti ya kihistoria ya ndugu moh said kweli ii inaingia akilini?
Achana na hulka ya kumpa back-up huyo mzee mwanakijiji,utazid jiaibisha zaid kama alivojiabosha yeye mwenyewe.
Jisimamie.
 
.
Nimesoma darasa moja na mwanae aitwae rashidi, na nilipewa kazi fulani fulani na bintie aitwae jasmine akiwa ile ngo ya pale mahali na nikaja kukutana tena na jasmine akiwa south africa.

Kadri ninavyokusoma baada ya kisa cha kutiwa gerezani babu yako, ndia sasa naanza kuelewa mzizi wa chuki zako kwa nyerere!, kumbe alifunga babu!.

Kiukweli japo babuyo alipotoka aliwaita watu waongo, nyerere alikuwa ni mtu wa "intuition", amini usiamini banu yako was planing something evil!, intuition ya nyerere ikamshutukia akashughulikiwa ipasavyo!. Na wewe unaweza kujikuta bila mwenyewe kujijua, badala ya kumrith baba ile ya "like father like son", kumbe umemrithi babu with some evil iside you!. Ndio maana siku zote nimekuwa nikuita "a man with a mission" ila sikuwahi kumalizia ni mission gani but now i'm definetely sure, "it is some evil mission!". Umeandika kitabu with ill intention of evil inside you na wanaokisoma kitabu chako, wakisha maliza kukikosoma, "they are not the same again" " the evil inside the writing inahamia kwa hao wasomaji wako" ili mpate kundi kubwa la kutosha, kwa matumaini kuwa siku ya siku itafika, sio tuu uta kamilisha "the evil mission ya babu", bali pia utalipiza kisasi kwa kufungwa kwa babu!. Na dhani kwa kazi nzuri uliofanya hiyo siku haiko mbali!, tutashuhudia matokea ya kazi yako "nzuri". Hongera!, na kwa vile mnaamini ni jihad, hivyo mtapokelewa peponi moja kwa moja!, endeleeni, wish you all the best!. Muenzi babu!.

Kwa wale wengine mnaomlaumu maalim mohamed said, naombeni mhurumie, sio kosa lake! Hii ni due to "deep rooted neurosis with resentments to revange kwa nyerere aliyomfanyia babu yake".

Pole sana!.
Pasco.
mmeishiwa,mmeishiwa kabisa.
Mmebakiwa na chuki + kejeli + matusi,,
lakini,haiwasaidii.
 
Jamani Mwl. Nyerere alikuwa na sumu kali, tuache ubishi, maana sumu yake inasumbua na kuathiri jumuia zoote za kiislamu duniani. Tokea kule Far East Indonesia mpaka hapa kati Mali, Sudan, Somalia, Syria to mention but few, koote ni huyu huyu Nyerere na mfumo Kristo wake! Bora hata niwe jiwe kuliko kuwa muislamu.
 
we mchizi tokea mwanzo nikifuatilia maandiko yako ndani ya huu uzi nashindwa kupata point zako... Yaani sikuelewi!

mimi sio m-chizi,pia huwez kunielewa kwa kusoma nachokiandika pasi na kujua mantiki yake,kama hukielewi na kinakusumbua we achana nacho tuh,fanya kitu kingine.
 
Nguruvi3,

Unanisoma nusunusu.

Nimeeleza vizuri sana hapa ukumbini kuwa Abdu alinyamza kimya baada ya kugundua kuwa
Nyerere alitaka historia ya TANU iwe historia yake Nyerere peke yake.

Hii ilikuwa baada kuvurugika ule mradi wa kuandika historia uliokuwa ukishughulikiwa na Abdu
na Dr Klerruu pale New Street.

Abdu alianza historia kwa kumtaja baba yake alivyoasisi African Associationn 1929 na akaendelea
kuandika historia ya African Association inaelekea hadi kufika kwa Nyerere 1952 pale nyumbani kwake
Stanley Street.

Hii haikumfurahisha Nyerere maana alijiona kama vile kapewa kupiga fidla namba mbili wakati yeye alipenda
ndiye awe anaetajika.

Hebu soma haya maneno kutoka ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...'':

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The first serious attempt to record the history of TANU was done by none other than Abdulwahid himself.

When TANU captured state power from the British in 1961 and was in the first phase of consolidating itself as a mass party, it is said that Abdulwahid was asked by Julius Nyerere, then Prime Minister of the country, to record the history of the struggle of the Africans of Tanganyika against the British.

This, in essence, was to be the history of TANU.

To assist him in the research was the late Dr Wilbert Kleruu, recently returned from studies in the United States.

Abdulwahid occupied his former office at the TANU headquarters; the one which he had occupied in the 1950s when he was TAA President. Abdulwahid's personal files, dairies and his late father's papers dating back to the days of the formation of African Association in 1929 were made available to researchers for the first time as primary sources of information.

Abdulwahid's version, analysis, presentation of facts and interpretation of forces at play which led to the rise of nationalism were, however, not acceptable to the TANU leadership. We shall see in the following pages reasons why Abdulwahid's version of history could not be allowed to flourish.

Abdulwahid abandoned the assignment after being convinced that the new leadership in TANU was not really interested in documenting an authenticated history of Tanganyika but was interested in merely creating a personality cult for Nyerere.

Dr Kleruu went ahead with the research and completed the work.

This manuscript remains unpublished, at least in its original form.

The manuscript disappeared from Party archives and was published for the first time in 1971 under a different name after changes had been done by the ‘author' on the original manuscript to prevent detection by the Party.

After the book was published, the Party silently tried to stop the second edition of the book from being published but failed.

The work has now been published several times.

The approach, style and analysis of the subject is not very much different from the book on TANU published in 1981 by the Party ideological college.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Baada ya Abdu kujiondoa katika ubishi wa nani kaasisi TANU akawa anawaeleza rafiki zake mmojawapo akiwa Ahmed Rashad Ali kuwa ''Ikiwa Nyerere alikuwa anataka sifa ya kuwa yeye ndiye muasisi wa TANU mwacheni.'' Na huu ukawa ndiyo msimamo wake hadi anaingia kaburini.

Mimi nilipokuja kusema kwa mara ya kwanza kuwa Abdu ndiye aliyeasisi TANU gazeti la Africa Events (March/April 1988) toleo zima lilikusanywa na kuchomwa moto.
Hii ndiyo tofauti wa ukimya wa Abdu na Nyerere.
Kwanza kabisa Mohamed anasema Nyerere alitaka historia ya TANU iwe yake mwenyewe.
Kumbukeni kuwa mwaka 1952 Mohamed Said alikuwa hajijui(mtoto mchanga) na mwaka 1968 Abudl Sykes akifariki Mohamed alikuwa na miaka 16. Wakati hayo anayosema yakitokea si tu hakuwa na akili ya kuelewa bali uwezo wa kuandika ulikuwa na mashaka sana. Leo amesimama bila haya wala aibu akisema Nyerere alitaka historia iwe yake.

Hakuna mahali amefanya quotation yoyote kuthibitisha hayo wala jaribio la kuhojiana na Abdul au Nyerere.
Hili limetokea baada ya kujifungia chumbani na kutunga ngano kwa kutumia majina ya marehemu!

Anasema kuna jambo la hsitoria halimfurahisha Nyerere1 Hivi Mohamed, maneno hayo ya kumwekea Nyerere umeyatoa wapi kwasababu Nyerere mwaka 1952 alikuwa ana akili na kiongozi wewe hukuwa na uwezo wa kujua kama kajichafua.

Mwaka 1968 hukuwa na uwezo wa kuongea na Abdul Sykes kwasababu hukujua nini kilichokuwa kinaendelea.
Sasa ushahidi wa kusikia maneno hayo ameupata wapi?

Halafu anatuwekea maneno yake mwenyewe kama ushahidi! huu ujinga nani ataukubali.
Hivi kuna mwandishi anayeweza kufanya quotation yake kama sehemu ya utetezi wa hoja yake! kama si ze comedy ni nini hiki.

Jibu hoja, jibu maswali hutataki ushahidi kutoka katika meneno yako, hatutaki majina ya akina Mohsin, farijala, Tatu Said, mwanameka, binti mpogoro n.k. Tunataka utetee hoja zako kwa akili na uadilifu.

Hatutapunzika mpaka jamii itakapotambua jinsi inavyonajisiwa, na imetambua haswa!

Usikimbie baki hapa
 
Hivi ninyi wana-jihad mnafikiri kwa namna hii mtaongeza imani kwa waumini wenzenu au ni kuwahamishia dini nyinginezo? Mkumbuke siku hizi watu wengi wameamka, si wakati wa kucheza na akili za watu kwa kuwajaza pumba. In reality mnapoteza watu wengi sana wanaoukimbia uislamu kwa sababu yenu ninyi ambao hamuishi kulalamika na kuchochea chuki kwa wakristo. Watu wanajiuliza: Why us all over the world? Why we muslims? Kama siyo Shiha kumlaumu Sunni basi Sunni kumlaumu Shiha mpaka vita na kujitoa mhanga! Wote waislam. Utakuta mwarabu muislam anampiga vita muislam mwenziwe in ethnic cleansing (The Sudan), kisa ni mtu nyeusi! Yaani kuwa mweusi ndo chanzo cha matatizo kwa muislamu mwarabu? Sasa wa hapa Bongo nao sababu ni wakristo! Syria kule Sunni wanataka kuung'oa utawala wa ki-Shiha. Yaani hawakosi sababu kabisaa. Nigeria huko, loh! Wanachoma makanisa ya wakristo bila sababu maalumu. Na hilo limetokea mpaka hapa TZ, huko Mbagala na Zanzibar. Kumaliza tatizo waislamu nawashauri muangalie historia yenu kuanzia mbali sana, hata, ashakhum si matusi, muangalie hata mafundisho ya ke Mtume Muhammad SAW. Otherwise, mtamchukia kila mtu kimakosa kabisa. THERE MUST BE SOMETHING VERY WRONG SOMEWHERE IN THE HISTORY, hiyo nawaambia kiupendo kabisa. Nafahamu kuwa kwa hili najihatarishia ban, lakini angalau muone hilo. Haiwezekani dunia nzima ikae iwaangalie ninyi kwa jicho la woga bhana, kwa nini watu wengine wasitamani kuingia uislamu kufuata mafundisho yake mazuri bali waogope na kuikimbia matendo yake? Baada ya kuutokomeza ukomunisti na kwisha kwa Cold War, sasa tishio lililobaki duniani ni Uislamu wa Siasa Kali!
 
Back
Top Bottom