Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Una dini lakini adui yako mkubwa ni Uislam...unajua wewe ni mtu muhimu sana kwenye huu munakasha michango yako inawavuta Waislam kumjua adui yao.
Uislam wa aina ya Mohamed Said, Sheikh Ponda, Ilunga, na wengine wa aina hiyo hao ni maadui wakubwa wa UTAIFA wetu. Wewe Ritz, zomba, hamko hivo. Naamini michango yenu imetusaidia kufika hapa tulipofika.
 
Nani asiejua ya kwamba umedharaulika na kushuka hadhi yako kwa sababu ya mihemko yako mikali ya kidini?
Pia tabia ya kuchochea chochea ndan ya chadema ya kwamba Zitto ni Muislam kwahiyo aangaliwe kwa jicho la tatu sasa ishavuja,watu wanakuangalia kwa hali ya wasi wasi sana,nyaraka zako wanazo,
hakuna siri dunia hii..
Soma tena upumbavu wako huu na kisha jitathimini uone kama unastahili kuwa kwenye hili jukwaa la "Great Thinker" we kibwengo!
 
Uislam wa aina ya Mohamed Said, Sheikh Ponda, Ilunga, na wengine wa aina hiyo hao ni maadui wakubwa wa UTAIFA wetu. Wewe Ritz, zomba, hamko hivo. Naamini michango yenu imetusaidia kufika hapa tulipofika.

Ukiona adui yako analisifia jambo lako basi achana nalo.

Lakini ukiona adui yako analiponda jambo lako basi shikamana nalo mpaka mwisho.

WildCard,

Mohamed Said ni mtu muhimu sana katika jamii yetu ya kiislam huo ndiyo ukweli kafanya kazi kubwa sana sisi hatuna cha kumlipa zaidi ya Dua kwa ALLAH.
 
Last edited by a moderator:
Mara ya mwisho kuangalia matokeo ya Mitihani ilikuwa lini? Sijui unaposema watoto wenu hawafaurishwi una ushahidi gani

Mwaka 2011 matokeo ya kidato cha nne kwa baaadhi ya shule zenye watoto wengi wa Kiislamu na wa Kikristu

St. Mary Mbeya

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 317 FLD = 277(watoto wa Kikristu na Kiislamu wamefeli vibaya)

P3621 POPE JOHN PAUL II CENTRE

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 13 FLD = 30

S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0(chungulia uone majina ya mabinti wa Kiislamu wakifaulu na kupitishwa na NECTA kama ugomvi...)

TAQWA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 8 DIV-II = 24 DIV-III = 58 DIV-IV = 167 FLD = 4

Naomba nikutajie wale wenye division 1 kutoka hii shule; ni muhimu kwangu kwani mdogo wangu (mkristu) alisoma hapa na hakufaulu (sijui ni kwa sababu ya dini yake???)

Evelyn Turab
Neema Danny
Revina Respiqus
Cathbert Shija
Deusdedit Daud
Festo Mathias
Leonard Sheka Justin
Mustapher Amani

Sasa hapo unaweza ukabaki na maswali mengine mengi tu...

Sasa hawa watoto wa Kiislamu wenye kufaulu katika shule mbalimbali hata zile za Wakristu; wanapita vipi kwenye NECTA hiyo hiyo? Je ni wakati gani baraza la mitihani litapata baraka ya kuweza kufelisha watoto wa Kiislamu na Wakristu bila kuonekana inaangalia dini? Je wanaruusiwa kuangalia matokeo tu?

Kama ni kuruka ruka kukwepa kujibu hoja basi wewe ni zaidi ya chura.
Hapo juu kati ya waliopata DIV 1 unayeamini kuwa ni muislamu basi ni huyo wa mwisho.Kamati iliyoundwa na ikatoa ripoti serikali ikakataa kuiweka hadharani na kuitekeleza imeona madudu makubwa kiasi kwamba kupata jina moja la muislamu kwenye shule ya kikristu basi haitoi majibu ya madudu hayo.
Mfano watoto wa kiislamu waliofanya mtihani wa maarifa ya kiislamu kwenye shule za kikristu walifaulu zaidi kuliko wale waliofanya mtihani huo kwenye seminari za kiislamu.Aliyepata Math 43 kwenye shule za kikristu iliitwa B lakini aliyepata 45 kwenye shule za kiislamu iliitwa F.
Sasa huyo Mustapher kupata DIV 1 ilikuwa ni juhudi tu ya kupandisha daraja hiyo shule ya kikristu.Hivyo ulichoona kwa hiyo shule aliyosoma nduguyo ni kidogo sana na hakina mashiko kuliko kilichopatikana na tume.
 
Ritz,
Wazee wetu hawakunyanyaswa na Nyerere kama walivyofanyiwa wazee wake Mohamed. Yeye kaandika kitabu kusimulia manyanyaso ya wazee wake. Labda Nyerere angewanyanyasa wazee wetu na sisi tungeandika. Lakini kumbuka usemi "avumaye baharini na wengine wamo." Mohamed anataka kutuaminisha kuwa wazee wake walikuwa "vital" katika harakati za uhuru akisahau kuwa na wengine wamo.

Jasusi,

Katika wazee wako hapo Musoma mnae mtu kama Kleist
na mwanae Abdulwahid.

Watu wanaoweza kukupa historia yao ya harakati kuanzia
Wajerumani walipotia mguu Tanganyika hadi walipoingia
Waingereza?

Hapo Musoma mna Askofu aliyekuwa ndani ya TAA kisha
TANU kama Mufti Sheikh Hassan bin Amir.

Hapo Musoma mnao mfano wa Sheikh Mohamed Yusuf
Badi na mwanafunzi wake Yusuf Chembera wa Lindi
waloasisi TANU na kupambana na fitna za Kanisa Katoliki
lilokuwa linawatisha Wakristo wasijiunge na harakati za
kudai uhuru?

Sitaki nionekane nasimanga lakini ngoja nikuambie neno
langu la mwisho...

Hatungeweza sisi kuona historia hii ya wazee wetu inatupwa
nasi tukakaa kimya.

Hivi unajua kuwa siku ya Nyerere Day ndiyo Waislam nasi
huwaadhimisha mashujaa wetu?

Najua fika.
Hukuwa unajua.

Huu ndiyo ukweli.
Hivi ndivyo mambo yalivyo.
 
Ukiona adui yako analisifia jambo lako basi achana nalo.

Lakini ukiona adui yako analiponda jambo lako basi shikamana nalo mpaka mwisho.

WildCard,

Mohamed Said ni mtu muhimu sana katika jamii yetu ya kiislam huo ndiyo ukweli kafanya kazi kubwa sana sisi hatuna cha kumlipa zaidi ya Dua kwa ALLAH.

Ritz,

Amin Amin Amin kwa sote.
 
MM,

Ikiwa usemayo kweli sasa si usubiri nikamatwe nishtakiwe?

Ushahidi upo anaenipa mapesa anajulikana tena mfanyakazi
shirika la uma, sheria ya ugaidi ipo...

Hizo propaganda zimepitwa na wakati sana kuwa Sheikh Hassan
bin Amir kakamatwa anataka kupindua serikali ya Nyerere...

Sasa leo wewe unazirudisha hizo wakati wake umepita.

Hakuna mwenye uwezo leo wa kuwatia hofu Waislam.

Sasa sisi tunasubiri mazungumzo vipi tutajikwamua katika
tatizo hili.

Kitabu cha Njozi na changu kimebadili fikra za wengi.

Ikiwa wewe bado uko kule Muislam hawezi kudai haki
yake hadi ahongwe na "mkono kutoka nje" baki huko
huko.
Wewe badala ya kulialia hapa, mtake Mwanakijiji alete ushahidi dhidi ya tuhuma dhidi yako!
 
Hapo huna mke una hawara mke ni yule ambaye sheria zilizowekwa na mungu zinamtambua,hapo unaposea hutambui swali la dini ni pumzi ndio zinazokupa kiburi subiri zitakapo katika
Sasa mbona unaleta mambo ya miskitini hapa jamvini? Swala hapa ni kuchambua histohisia ya mzee wako bingwa wa uchochezi Mohamed Saidi. Hizi habari za pumzi kukatika wapelekee jamaa zako muskitini, wewe vipi!
 
WC,

Umekosea shabaha yako kulenga.
Hayo ni matokeo ya dhulma.

Waislam tumebanwa katika elimu.
Wanetu hawapiti NECTA.

Sheikh Hassan bin Amir heshima na
hadhi yake iko juu sana kwa Waislam.

Hayo uloeleza hapo juu ndiyo tunayosubiri
Insha Allah tuzungumze na serikali wakati
ukifika.
Mohamed Saidi, wanenu watafaulu vipi mitihani ya NECTA wakati wanaacha shule na kwenda kuolewa? Usipate shida sana, njoo huku Lindi na Mtwara, shule nyingi mwaka huu hazina wanafunzi wa kidato cha tatu kwa kuwa mtihani wa kidato cha pili ambao hauendeshwi na NECTA umewashinda. Mohamedi, binadamu tumezaliwa na mshipa wa aibu, lakini wewe mshipa huo huna ndio maana unaweza kuja na uongo kama huu bila aibu! Napata shida sana kuamini kama kweli wewe ni mcha Mungu, kwani kama ingekuwa unamuogopa Mungu usingetumia uislam kusema uwongo!
 
Kwenye ukirsto haumo lakini ni mtetezi mkubwa wa Kanisa na mfumo kirsto. Naona unajichanganya si wewe ndiyo uliyekuwa unanipa darsa la Ukatoliki nilivyokuambia Nyerere alikuwa analelewa na Padri.
Kwani mtu kuufahamu ukristo ni lazima awe muumini wa dini hiyo! kwani nyie mnaokesha mukiutetea uislam hapa ni waislam wa kweli?
 
Sasa mbona unaleta mambo ya miskitini hapa jamvini? Swala hapa ni kuchambua histohisia ya mzee wako bingwa wa uchochezi Mohamed Saidi. Hizi habari za pumzi kukatika wapelekee jamaa zako muskitini, wewe vipi!

Hivi wewe mbulula kwann unanifuatilia sana si ulisha sema mimi sio saizi yako sasa mbona povu linakutoka tuliza mshono mtoto
 
Hivi wewe mbulula kwann unanifuatilia sana si ulisha sema mimi sio saizi yako sasa mbona povu linakutoka tuliza mshono mtoto
Nakwambia hivi, mambo ya muskitini na vitisho vyako vya kila siku vya pumzi kukatika wapelekee waumini wenzako, sisi hapa ni kumkoma nyani kwenda mbele juu ya HISTOHISIA ya mzee wako bingwa wa uchochezi Mohamedi Saidi, kwanini huelewi?
 
WC,

Umekosea shabaha yako kulenga.
Hayo ni matokeo ya dhulma.

Waislam tumebanwa katika elimu.
Wanetu hawapiti NECTA.

Sheikh Hassan bin Amir heshima na
hadhi yake iko juu sana kwa Waislam.

Hayo uloeleza hapo juu ndiyo tunayosubiri
Insha Allah tuzungumze na serikali wakati
ukifika.
WEWE mbona umepita ST JOSEPH
 
Moja ya athari
kubwa zilizojaa katika maandiko yako ni kama hivi hapa, unataka
kutulisha ngano kuwa mzee Kitundu alikuwa na manung'uniko/chuki/kihoro
dhidi ya Nyerere.

Japokuwa haukubahatika kuongea nae yale mliyokusudia lakini tayari wewe
ulishambebea akili na unakihalalisha alichotaka kukwambia baada ya kumpa
paper zako.

Hii ni hatari sana kama unajiita mtafiti wa historia kisha unapita njia
hizo nakuja na majibu mbele ya kadamnasi hivi.

Najivunia kukiita kitabu chako ni ngano, najivunia kuona mamia wameujua
ukweli na lengo lako kupitia uzi huu,

Tumia nawe fursa hii kujitakasa na kuwahubiria yaliyomema waislamu
wenzio ambao kwa hakika wanakuamini kuliko hata mungu wao.

Mkuu mnakasha umekushinda naona umeamua kuvuka mipaka
 
Kama ni kuruka ruka kukwepa kujibu hoja basi wewe ni zaidi ya chura.
Hapo juu kati ya waliopata DIV 1 unayeamini kuwa ni muislamu basi ni huyo wa mwisho.Kamati iliyoundwa na ikatoa ripoti serikali ikakataa kuiweka hadharani na kuitekeleza imeona madudu makubwa kiasi kwamba kupata jina moja la muislamu kwenye shule ya kikristu basi haitoi majibu ya madudu hayo.
Mfano watoto wa kiislamu waliofanya mtihani wa maarifa ya kiislamu kwenye shule za kikristu walifaulu zaidi kuliko wale waliofanya mtihani huo kwenye seminari za kiislamu.Aliyepata Math 43 kwenye shule za kikristu iliitwa B lakini aliyepata 45 kwenye shule za kiislamu iliitwa F.
Sasa huyo Mustapher kupata DIV 1 ilikuwa ni juhudi tu ya kupandisha daraja hiyo shule ya kikristu.Hivyo ulichoona kwa hiyo shule aliyosoma nduguyo ni kidogo sana na hakina mashiko kuliko kilichopatikana na tume.
Ona ulivyodanganywa na ukadanganyika, haya tuwekee hiyo taarifa hapa!
 
Hayo ndio baadhi ya mapungufu ya wazi ya DINI yenu. Kwani mimi mbwa au ng'ombe? Hamtaki tu Quran isailiwe vizuri ili muondokane na mapungufu mengi yaliyoko mle. Yamewadumaza sana. Mnakubali Mtume( S.A.W) alikuwa mwanadamu kama sisi lakini mapungufu yake ni taboo kuyataja!

Mapenzi hayana DINI, KABILA wala RANGI.

Samahani kwa kukujuza kuwa, kwa kuwasoma mafundisho yenu kwa uchache wake nimeweza kuelewa kuwa wewe ni kondoo unaechungwa na mchungaji wa kondoo (si yangu haya, ni yenu wenyewe), sina uhakika cheo cha mbwa na ng'ombe kina tofauti ipi na kondoo. Ngoja nikipitie tena kitabu cha George Orwel "The animal farm", labda ntapata ufumbuzi.

Umesema kweli kabisa "mapenzi hayana dini" na ndiyo maana nikakwambia huyo mkeo hayupo katika Uislaam usijidanganye wala asijidanganye, yeye kafata mapenzi hakufata dini, Uislaam ni dini, hapo sasa!
 
Back
Top Bottom