Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Maulaga,
Ingawa swali ni la Ritz naomba nami niseme.

Natumia neno ''labda'' ili tuelewane.

Historia niliyoandika mie imependwa sana na wasomaji ndani
na nje ya nchi kwa ajili ya kuja taarifa mpya ambazo wengi
walikuwa hawazijui.

Kitabu changu kimewaleta katiika historia wazalendo ambao
habari zao zilikuwa zimepotezwa kabisa.

Kisha kubwa ni kueleza mchango wa Waislam katika kupambana
na ukoloni.

Hakuna historia kubwa ya Tanganyika ambayo ilikuwa haijulikani.
Historia ambayo ilikuwa haikulikani ni hiyo niliyoandika mimi.

Ndiyo maana nadhani Ritz akaniita ''bingwa.''
Mzee wangu Mohamed Said, sina ubishi na unayoyasema, kinacho nitatiza ni ujumla alioutumia ndugu yangu Ritz kwamba wewe ndiye bingwa wa historia ya Tanganyika!hilo mimi siliafiki naningekuomba na wewe usiliafiki kwani historia ya Tanganyika ni pana sana. Wewe umeandika sehemu ndogo tu inayohusu ushiriki wa baadhi ya wazee wetu katika mapambano ya kudai uhuru kutoka kwa mkoloni wa kiingereza. Hata hao wazee ni wale wa Dar es salaam tu, wale wa mikoani umewataja wachache tu hasa wale wa Lindi. Tanganyika inaanzia baada ya vita kuu ya kwanza na kwa hiyo inamambo mengi sana ambayo wewe hujayaandika. Na mengi hayajafanyiwa utafiti. Wewe mwenyewe umekuwa ukiwahimiza watu wanaopingana na wewe waandike historia za wazee wao kama ulivyofanya wewe! Kwa hiyo kauri hii ya ndugu yangu Ritz sio sahihi;
Mdondoaji,

ukweli unabaki Mohamed Said ndiyo bingwa wa historia ya Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Ritz,
Kwa bahati mbaya sana hawa ndugu zetu wazee wao na kwa hakika si kosa
lao kwa kuwa harakati za uhuru zilikuwa Dar es Salaam hii iliwanyima wazee
wao kuwa na historia.

.
Mkuu wangu Mzee Mohamed Saidi, naona unataka kupuuza juhudi za kupambana na wakoloni zilizofanywa na watu wengine! Je, mapambano yaliyofanywa na Wameru wakiongozwa na akina Kililo huyajui?
 
Nguruvi3,

Naona umepanic hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kuandika mpaka mishipa ya kichwa imekusimama tulizana kunywa fundo tatu za sharbati munkari utashuka kisha jitulize.

Waislam tunautambua mchango wa Mufti Sheikh Hassan Bin Amir katika siasa na katika Uislam. Soma historia ya TAA katika Political Subcommittee utamkuta humo pamoja na Dr Kyaruzi, John Rupia, Stephen Mhando, Mwapachu, Said Chaurembo, kamati hii ilikuwa inashughulikia maswala yote ya siasa Tanganyika mwaka 1951. Bado kazi za TANU alizofanya.

Kafundisha Masheikh wengi sana kaacha athari kubwa, wewe unaweza kumuita upendavyo katiba inakuruhusu pamoja na imani yako ukamsingizia kila kila ukipendacho lakini Sheikh Hassan Bin Amir atabaki kuwa shujaa wa Waislam Tanganyika.

Tunajisikia fahari sana mnavyowaita masheikh wetu mnasaidia kuwaamsha Waislam waliolala, yoyote anayepinga na Nyerere kwenu nyie Wakirsto mnamuita mnafiki, mfitini, kila aina ya matusi yamekutoka...ha haaa haa

Karibu ndizi mkono wa tembo na samaki jodari.

gombesugu,

Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Ni kweli nahisi ndugu yetu Nguruvi3 amepatwa na jazba na munkari kiduchu. La muhimu tumwache atulizane japo kiduchu na arejee katika hali yake ya kistaarabu.

Hiyo paper ya Dr. ziddy,anayosomewa na yeye ku-justify zile kashfa na tashtit zake dhidi ya Sheikh Hassan Bin Amir,ni vizuri Sheikh Mohammed Said amewafafanulia japo kiduchu.

Pia anajisahau pale anapodai yakuwa Mufti Sheikh Hassan Bin Ameir ati alikuwa si MTanganyika khalis!?...Je huyo Nyerere ambae kwa kuanzia alikua si mtoto wa Chief Burito(Chief Burito alikua ni Baba yake wa kufikia tu), je alikua ni Mtanganyika khalis!?
Au kwa sababu yeye Nyerere alibahatika hakuna alomrejesha kwao RwandaUrundi!? Inalazim "afunike kombe...."

Sheikh Hassan Bin Ameir
alikua ni Mtanganyika khalis na kushinda Nyerere na Sabodo!Kama italazim tutoke kabisa nje ya mada na kuwekeana darsa hili la nani ni "Mtanganyika khalis",mimi binafsi ni tayari.

Nitamwandikia hivi karibuni ndugu yangu Nguruvi3,maana nahisi anasahau "colourful language" atumiayo ni kinyume cha maadili ya mada hii;"uchochezi na dhihaka".

Nipa fursa nipitie baadhi ya vitu hapa kiduchu.

Ahsanta.
 
Mzee wangu Mohamed Said, sina ubishi na unayoyasema, kinacho nitatiza ni ujumla alioutumia ndugu yangu Ritz kwamba wewe ndiye bingwa wa historia ya Tanganyika!hilo mimi siliafiki naningekuomba na wewe usiliafiki kwani historia ya Tanganyika ni pana sana. Wewe umeandika sehemu ndogo tu inayohusu ushiriki wa baadhi ya wazee wetu katika mapambano ya kudai uhuru kutoka kwa mkoloni wa kiingereza. Hata hao wazee ni wale wa Dar es salaam tu, wale wa mikoani umewataja wachache tu hasa wale wa Lindi. Tanganyika inaanzia baada ya vita kuu ya kwanza na kwa hiyo inamambo mengi sana ambayo wewe hujayaandika. Na mengi hayajafanyiwa utafiti. Wewe mwenyewe umekuwa ukiwahimiza watu wanaopingana na wewe waandike historia za wazee wao kama ulivyofanya wewe! Kwa hiyo kauri hii ya ndugu yangu Ritz sio sahihi;

Maulaga,

Hapo kinachotatiza ni utumiaji wa lugha tu. Ni ukweli usofichika yakuwa Sheikh Mohammed Said ni bingwa wa Historia Tanzania.

Ingekua ni kosa kama Shariff Ritz angalisema yakuwa Sheikh Mohammed ndo bingwa pekee wa Historia Tanzania.

Lakini kama wapo wengine tafadhali tujuze,uwanja uwazi hapa. Nafikiri hata Sheikh Mohammed mwenyewe atafurahika kukutana na kujumuika na hao manguli wenzie, kuliko kushinda hapa kutwa kucha na akina "pasua kichwa" kama sisi.

Shukran.
 
Shariff Ritz,

Salaam Al Akhiy.

Ni kweli nahisi ndugu yetu Nguruvi3 amepatwa na jazba na munkari kiduchu. La muhimu tumwache atulizane japo kiduchu na arejee katika hali yake ya kistaarabu.

Hiyo paper ya Dr. ziddy,anayosomewa na yeye ku-justify zile kashfa na tashtit zake dhidi ya Sheikh Hassan Bin Amir,ni vizuri Sheikh Mohammed Said amewafafanulia japo kiduchu.

Pia anajisahau pale anapodai yakuwa Mufti Sheikh Hassan Bin Ameir ati alikuwa si MTanganyika khalis!?...Je huyo Nyerere ambae kwa kuanzia alikua si mtoto wa Chief Burito(Chief Burito alikua ni Baba yake wa kufikia tu), je alikua ni Mtanganyika khalis!?
Au kwa sababu yeye Nyerere alibahatika hakuna alomrejesha kwao RwandaUrundi!? Inalazim "afunike kombe...."

Sheikh Hassan Bin Ameir
alikua ni Mtanganyika khalis na kushinda Nyerere na Sabodo!Kama italazim tutoke kabisa nje ya mada na kuwekeana darsa hili la nani ni "Mtanganyika khalis",mimi binafsi ni tayari.

Nitamwandikia hivi karibuni ndugu yangu Nguruvi3,maana nahisi anasahau "colourful language" atumiayo ni kinyume cha maadili ya mada hii;"uchochezi na dhihaka".

Nipa fursa nipitie baadhi ya vitu hapa kiduchu.

Ahsanta.

Daaaaah,

Hahaaahaa kwakweli inabidi nicheke tu,

Kuna watu na viatu!

Kweli unapata ujasiri wakusema Chifu Burito sio baba halali wa Julius Kambarage Nyerere????

Eti ni wakufikia?

Kwakweli mnakasha huu umenikutanisha na binadamu wa ajabu sana tena waswahili wenzangu!

Daaha inakera sana, sihitaji hata kuelezea zaidi juu ya hili!
 
gombesugu, sitaweza kutoa majibu kwa maswali yote uliyoniuliza kwa sababu tu ya muda; wakati mwingine majukumu mengine yanatutinga. Usione ajabu Mag3 kuonekana yuko "on line" ukafikiri nipo muda wote, hapana, wakati mwingine sihangaiki hata ku"sign out" kwa sababau sitaki taabu ya ku"log in and out" ninapopata kamuda ka kuchungulia humu.
gombesugu, labda huna muda mrefu ndani ya jukwaa hili lakini hayo mambo ya kukashifiana katika imani zetu please count me out. Ninao ndugu na marafiki wa karibu sana ambao si wa imani yangu na nisingependa kujiingiza katika malumbano yanayoweza kuathiri mahusiano yetu. Hata hivyo nafurahi sana kwamba katika huu mjadala pamoja na kujua msimamo wangu na kuyasoma maandishi yangu, wananiunga mkono kwa kupinga upotoshaji unaofanywa na baadhi ya Watanzania wakisukumwa zaidi na chuki zao walizorithi kutoka kwa wazee wao. Wanatambua kwamba hujuma na ufisadi uliotamalaki nchini na unaotudidimiza kama taifa hauna rangi, dini, ukabila wala jinsia. Bahati mbaya wapo wenzetu ambao wameamua kutumia kalamu zao kupandikiza mbegu za chuki miongoni mwetu kwa mgongo wa dini...hawa lazima wapigwe vita bila kujali ni wa dini gani, Al Akhiy Mohamed Said akiwa ni mmoja katika watu hao hatari.

Mimi ni mtu wa kwanza humu jamvini kumwita Mohamed Said mpuuzi kwani pamoja na kujua hatari ya mbegu anayojaribu kuipandikiza, anashindwa kutambua madhara yake. Kwa sasa tunaanza kuona hizo mbegu zikichipua...kwa mfano, ukipata muda ukasikiliza mahubiri ya Sheikh Ilunga au Sheikh Ponda, utadhani wanasoma neno kwa neno aloandika huyo Al Akhiy. Mimi pia ni mtu wa kwanza humu jamvini kumwita Mohamed Said mchochezi na muongo kwani pamoja na kuhubiri chuki, hata siku moja hajawahi kushiriki wanafunzi wake wanapotekeleza kwa vitendo hizo sera zake za chuki.

Bahati mbaya watetezi wakubwa wa mahubiri yake ya uongo, wanakesha humu wakitudhihaki wengine eti mbona hatuandiki vitabu? Pamoja na kutoa data kuonesha kuwa maandishi yake siyo sahihi, utetezi unaotolewa ni wa kunukuu hayo hayo maandishi yake tunayoyapinga. Wapo ambao wako humu wakidai wanafyonza ilmu, lakini cha ajabu ni kama vile wamejifungia ndani ya box na elimu tunayoitoa kwa maandishi kupinga madai potofu ya mwalimu wao, je hawayaoni na kuyasoma?
gombesugu, mimi ni mmoja wa watu waliokukaribisha ulipojiunga na JF tarehe 4th April 2013, hadi sasa unatimiza mwezi moja na nusu, kwa kuamini kuwa ungesimamia ukweli na kuutetea bila woga. Nadhani wakati huo hukufahamu kuwa iko dhana imepadikizwa humu kwamba asiyekubaliana na Al Akhiy Mohamed Said bado hajakamilika kiimani. Nina ushahidi wa Waislaam tena safi tu ambao badala ya kutulia na kufyonza ilmu anayotoa mwalimu wakajaribu kuyakosoa, looo! Eti wanaoiendesha serikali wanatekeleza maagizo ya Kanisa, BAKWATA inaendeshwa kwa mfumo Kristo, wakuu wote wa idara nyeti za serikali wana utii kwa mfumo Kristo...! gombesugu, hata mara moja wewe hujawahi kumpinga huyu bwana, je si kweli? Huo uthubutu huna Al Akhiy!
gombesugu, baada ya kudumu humu jamvini kwa muda mrefu wengi wetu hivi sasa, pamoja na kutokukutana wala kufahamiana, lakini tunaelewana kwa misimamo yetu. Mimi, Mag3, hata ukipitia post zangu zote (na sasa zinafikia zaidi ya elfu tatu) msimamo wangu ni kuwa adui nambari wani wa taifa hili ni CCM, period. Naamini kuwa CCM ilipofikia haiwezi ikabadilika na kama kungekuwa na uwezekano taifa hili, chini ya utawala wa CCM, lingezidi kudidimia ila tumegota chini kabisa, We are at the very bottom na CCM imeamua kupiga kambi hapo hapo!

CCM imetuzalia akina Mohamed Said, ZeMarcopolo, bunge, polisi, mahakama, shule za kata, Sheikh Ilunga, the Chenges, TANESCO, kung'oana kucha na vidole ...wewe acha tu, hata nataka kulia! Mtu yeyote ambaye katika hali kama hii ana jeuri ya kukitetea hiki chama cha Maovu, hastahili heshima yoyote ile kutoka kwangu. Sasa ZeMarcopolo kutuita eti vijana wa BAVICHA na wewe ukampa "like"!...hiyo BAVICHA ndio nini na ina uhusiano upi na tusoipenda CCM! Aah, ni vijana wa Chadema! Kweli gombesugu, na wewe unaamini mimi ni Chadema? FYI Al Akhiy hata Ritz, ni mkereketwa na mtetezi mkuu wa CCM inayoendeshwa kwa mfumo Kristo, upo?

Hapo umeongea na hayo ndiyo maneno, siyo kudai source! Tunapompinga Al Akhiy Mohamed Said tunaweka kwa maandishi what should be, hatuombi source;

Muheshimiwa Mag3,

Nashukuru mno kwa bayana yako na yoote ulonena nimeyasikia.

Pole saana kwa madhila uyapatayo na kukusibu kutokana na hiyo CCM. Mimi binafsi ufahamu wangu wa mambo hayo ni kiduchu mno. Ama kwa hakika siyajui asilan.

Nimejisikia vibaya yakuwa mpaka watamani hata kulia kwa yayo.

Lakini nina imani Shariff Ritz ameupata ujumbe wako.

Ushauri wangu kwako,jaribu kuwaona hao CCM kama ni nduguzo walopotoka kiduchu tu(kama hizo shutuma ulonena dhidi yao ni kweli!?). Na muhimu zaidi tafadhali usiwaone kama ni maadui zako,wachukulie kama ni wapinzani wako wa kisiasa tu. Nafikiri hiyo itakua ndo njia nzuri kumaliza hizo tafauti za kisiasa na khitilafu mlonazo kati yenu.

Takuandikia hivi karibuni kuendeleza mnakasha wetu.

Shukran.

Cc;@Ritz
 
Daaaaah,

Hahaaahaa kwakweli inabidi nicheke tu,

Kuna watu na viatu!

Kweli unapata ujasiri wakusema Chifu Burito sio baba halali wa Julius Kambarage Nyerere????

Eti ni wakufikia?

Kwakweli mnakasha huu umenikutanisha na binadamu wa ajabu sana tena waswahili wenzangu!

Daaha inakera sana, sihitaji hata kuelezea zaidi juu ya hili!

Yericko,

Sina haja ya kuzungumza na wewe kuhusu haya. Kawaite watoto halali wa Nyerere waje hapa. Si wamo humu jamvini!?

Usipende kuingilia vitu hivi,nilishakukanya kitambo...kwa kifupi unazidi kumdhalilisha Nyerere kila unapotaka watu "wafunguke" zaidi ok!

Ahsanta.
 
Tanzania bara ni Tanganyika. Nawashangaa wanaodai Tanganyika irudi. Irudi kutoka wapi?

Jasusi,

Irudi kutoka pale "ilipofutika" 1964 baada ya kujiunga na Zanzibar.

Hapa kuna legal technicalities nyingi zinatumika....

  • The Articles of Union 1965

  • Interim Constitution 1965

  • The Constitution of United Republic of Tanzania 1977

  • The Constitution of Zanzibar 1984
  • Vienna Convention Treaty
  • Union of Tanganyika and Zanzibar Act 1964.

Cc;JokaKuu,Ritz,Nguruvi3,The Big Show,Mag3,Sheikh Mohammed Said,Kadogoo,Barubaru
 
Mkuu wangu Mzee Mohamed Saidi, naona unataka kupuuza juhudi za kupambana na wakoloni zilizofanywa na watu wengine! Je, mapambano yaliyofanywa na Wameru wakiongozwa na akina Kililo huyajui?

Maulaga,
Siwezi kupuuza juhudi za akkina Sablak na Kirilo wakisaidiwa na Earle Seaton
katika dhulma ile ya ardhi ya Meru.

Mkasa huu nimeuleza kwa kirefu katika kitabu changu hadi kusema kuwa ni
Abdu Sykes ndiye aliyemtaka Earle Seaton awawakilishe Wameru katika mgogoro
ule.

Zipo nyaraka nyingi Tanzani National Archives barua kati ya Abdul Sykes na Sablak
wa Meru Citizens Union.

Hata Wakoloni walipotaka kumnyima Kirilo pasi ya kusafiria kwenda UNO kwenda kueleza
yale madhila mbele ya Baraza la Udhamini ni Abdu ndiye aliyesimama na Kirilo hapa
Dar es Salaam kwenda kuwaona watu wa uhamiaji hadi Kirilo akapewa pasi.

Mambo hayakuishia hapo tu na ilitengenezwa kamati ambayo ilizunguka nchi nzima
kuwaeleza watu dhulma ile na kudokeza kuwa wakae tayari TANU iko njiani.

Kamati ile ilikuwa na Saadan Abdu Kandoro, Japhet Kirilo na Abbas Sykes.

Na kwa hakika haya fedha za kumwezesha Kirilo kuzunguka Tanganyika nzima akiwa
ndani ya ile kamati zilipekwa Posta ndogo USA River na Mhasibu Msaidizi wa TAA Ally
Sykes.

Yako mengi lakini haya kwa mukhtasari ndiyo niliyokokoteza katika nyaraka za Sykes.
Ndiyo mie husema nyinyi historia ya uhuru mnasoma sisi wazee wetu waliishi ndani ya
historia hiyo.
 
Brilliant! thank you.

Kwahiyo sasa tuna ushahidi kuwa alikuwa anaendesha mikutano ya kisiasa ambayo ilikuwa nje ya TANU.
Mtu huyu haiyumkiniki alikuwa anaandaa mapinduzi. Sasa kufukuzwa tu ilikuwa heshima maana hakuna kiongozi duniani ambaye angekaa kimya kuona dini inatumika kuchochea vurugu.

Ingekuwa kwingine angeshtakiwa au kupotea kirahisi tu. Lakini Nyerere kwa kumuheshimu na kuheshimu wazee wa Dar aliona ni idhara kumfunga pingu mzee huyu ambaye hakuwa Mtanganyika to begin with. Akamuondoa kwa ustaarabu.

Huu uzi una mengi, miaka 15 watu wamekuwa wakimeza ngano, sasa inatafunwa! lahaulaa

Ngoja niendelee kukusanya ng'ongo za Gombesugu hapa Magila!

Muheshimiwa Nguruvi,

Nakusoma kwa makini ndugu yangu.

Lakini tahadhari japo kiduchu na lugha yako utumiayo. Jikumbushe kidogo "ustaarabu" wa kwenu Kicheba na Magila.

Ile khabari ya Alhaj Rukara sikutaka kuirejesha kwa makusudio...nafikiri tulishamalizana pale nami nilipoleta ile ya yule muhuni na msaliti Prof. Lwakabamba na vitimbi vyake. Kwa kifupi ile "pact"/"miadi" yetu inaendelea.

Naona una jazba na hamaki ya kutaka kuvunja huo Muungano na kwamba ati Zanzibar haina uwezo na inafaidika kupita kiasi na huo Muuungano.

Yawezekana pana ukweli japo kiduchu ndani yake.....lakini pia Tanganyika/Nyerere ndo alokuwa mtetezi mkubwa mno wa Muungano ule. Nafikiri anajua faida zake nyingi na zisizo mipaka khasa kwa upande wa Tanganyika.

Mimi nitakurejea tena tumalizie ile Race Issue japo kiduchu. Kwa hivi sasa napitia hizi Links alotuletea ndugu yetu JokaKuu.

Naomba nawe uzitafute na kupitia kwa utuvu mwingi hizo documents na makabrasha ya kisharia. Maana nahisi kuna vitu vingi mno unavi-over look khasa legality ya huo Muungano wenyewe kwa kuanzia.Nimeku-Cc kwenye msg nilomtumia Jasusi.

International Conflict Resolutions,
itakapokua tayari kufanya masuala yake ,nina imani ndipo utakapokuja juta kwa kilio kingi kama radi iso mvua! Tanganyika ndio watakaotakiwa kuilipa fidia Serikali na Wananchi wa Zanzibar.

Nakukumbusha tu,hizo purukushani zako za kudharau na kukebehi Zanzibar,nahisi unazichukulia kiwepesi mno. Tafadhali wewe ni Mzee wa Chadema...jaribu kuwa mkweli kwa WaTanganyika wenzenu,Muungano ukivunjika kama mnavyotamani basi WaTanzania soote tutaathirika mno. Lakini Tanganyika ndo itaathirika zaidi kwa kulipa fidia iso kifani kwa Zanzibary.

Naomba niishie hapa ndugu yangu. Kwa sasa majambo yamenitinga.

Lakini tuendelee na mnakasha.

Shukran.

Cc;@Ritz
 
Yericko,

Sina haja ya kuzungumza na wewe kuhusu haya. Kawaite watoto halali wa Nyerere waje hapa. Si wamo humu jamvini!?

Usipende kuingilia vitu hivi,nilishakukanya kitambo...kwa kifupi unazidi kumdhalilisha Nyerere kila unapotaka watu "wafunguke" zaidi ok!

Ahsanta.
Cool Runnings hakukosea alivyokuita d..k head,you are just a petty attention seeker,kwanza jiulize huyo unayemuita baba ni baba yako kweli kabla ujauliza wengine- laanabuk
 
Last edited by a moderator:
Yericko,

Sina haja ya kuzungumza na wewe kuhusu haya. Kawaite watoto halali wa Nyerere waje hapa. Si wamo humu jamvini!?

Usipende kuingilia vitu hivi,nilishakukanya kitambo...kwa kifupi unazidi kumdhalilisha Nyerere kila unapotaka watu "wafunguke" zaidi ok!

Ahsanta.

Wahenga walinena kuwa ukubwa wa pua si wingi wa kamasi,

Msemo huo hautazamwi kwa urefu wa maandishi tu bali husimamia mantiki,

Mada iliyopo haihusiani na unakodandia/kuokoteza hoja!

Ikiwa upo hapa kwaajili ya kubishana na familia ya Mwalimu Nyerere ningekuomba uje hapa na jina lako halisi "verified" bila shaka naamini wakuu wa familia wakiona unahoja zinazostahili kujibiwa watakujibu, lakini wakiona una viroja kama mimi nikuonavyo basi watakupuuza kama nifanyavyo mimi,

Laki huko mimi sitaingia katika hili, ndio, sitaingia kwa miiko na maadili niliyofunzwa!

Mimi ni muumini wa hoja, huwa siamini katika "vijineno/umbeya" hata siku moja!

Nguvu hiyo (umbeya/udaku) ungetumia katika kukihimiza kizazi cha familia za kiislamu zijikite zaidi katika elimu ya (dunia) maarifa badala ya elimu ya (ahera)madrasa ungeokoa vijana wengi sana wanaoangamia kwa uchochezi wenu!
 
gombesugu,

..hebu tueleze Tanzania Visiwani[zanzibar] wanadai nini toka kwa Tanzania Bara[tanganyika].

..kila nyaraka niliopitia, na utafiti uliofanyika, kinachoonekana ni mapesa toka Tanganyika kwenda Zanzibar.

..majuzi kuna mtumishi wa tra kasema makusanyo ya zanzibar hubaki na kutumika hukohuko, hakuna kinachowasilishwa makao makuu. zaidi, tukasikia Dr.Bilali katengewa mabilioni ya mapesa kwa ajili ya maendeleo ya zanzibar. madeni ya tanesco ndiyo hayo hamuwezi/hamtaki kulipa. Do u really believe kuna kitu mnaidai Tanganyika??

..kwa mtizamo wangu sidhani kama kutakuwa na athari yoyote ile kwa Tanganyika ikiwa muungano utavunjikwa. kama ni kuilipa fidia Zanzibar, basi hata sasa hivi tunafanya hivyo kwa kuwapa mapesa yasiyo na maelezo.

..wakati mwingine najiuliza, hivi anayetakiwa kumlaani Nyerere kwa madhila yaliyoletwa na muungano ni sisi wa-Tanganyika au nyinyi wa-Zanzibar??

cc: Nguruvi3, Wickama, Ritz, THE BIG SHOW, Mag3, SHEIKH FARID, Yericko Nyerere, Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Maulaga,
Yako mengi lakini haya kwa mukhtasari ndiyo niliyokokoteza katika nyaraka za Sykes.
Ndiyo mie husema nyinyi historia ya uhuru mnasoma sisi wazee wetu waliishi ndani ya
historia hiyo.
Mkuu mzee wangu Mohamed, unamaana gani unaposema nyinyi?
 
Muheshimiwa Nguruvi,

Nakusoma kwa makini ndugu yangu.

Lakini tahadhari japo kiduchu na lugha yako utumiayo. Jikumbushe kidogo "ustaarabu" wa kwenu Kicheba na Magila.

Ile khabari ya Alhaj Rukara sikutaka kuirejesha kwa makusudio...nafikiri tulishamalizana pale nami nilipoleta ile ya yule muhuni na msaliti Prof. Lwakabamba na vitimbi vyake. Kwa kifupi ile "pact"/"miadi" yetu inaendelea.

Naona una jazba na hamaki ya kutaka kuvunja huo Muungano na kwamba ati Zanzibar haina uwezo na inafaidika kupita kiasi na huo Muuungano.

Yawezekana pana ukweli japo kiduchu ndani yake.....lakini pia Tanganyika/Nyerere ndo alokuwa mtetezi mkubwa mno wa Muungano ule. Nafikiri anajua faida zake nyingi na zisizo mipaka khasa kwa upande wa Tanganyika.

Mimi nitakurejea tena tumalizie ile Race Issue japo kiduchu. Kwa hivi sasa napitia hizi Links alotuletea ndugu yetu JokaKuu.

Naomba nawe uzitafute na kupitia kwa utuvu mwingi hizo documents na makabrasha ya kisharia. Maana nahisi kuna vitu vingi mno unavi-over look khasa legality ya huo Muungano wenyewe kwa kuanzia.Nimeku-Cc kwenye msg nilomtumia Jasusi.

International Conflict Resolutions,
itakapokua tayari kufanya masuala yake ,nina imani ndipo utakapokuja juta kwa kilio kingi kama radi iso mvua! Tanganyika ndio watakaotakiwa kuilipa fidia Serikali na Wananchi wa Zanzibar.

Nakukumbusha tu,hizo purukushani zako za kudharau na kukebehi Zanzibar,nahisi unazichukulia kiwepesi mno. Tafadhali wewe ni Mzee wa Chadema...jaribu kuwa mkweli kwa WaTanganyika wenzenu,Muungano ukivunjika kama mnavyotamani basi WaTanzania soote tutaathirika mno. Lakini Tanganyika ndo itaathirika zaidi kwa kulipa fidia iso kifani kwa Zanzibary.

Naomba niishie hapa ndugu yangu. Kwa sasa majambo yamenitinga.

Lakini tuendelee na mnakasha.

Shukran.Cc;@Ritz
Unamkumbuka Dr Victor Umbrich!

Waambie wazanzibar ukweli kuwa muungano unafaida kwao.
Mbona ninaweka mambo hamjibu nukta kwa nukta mnajibu general?

Mathalan, hivi znz ilishawahi kuwa na bajeti ya ulinzi na usalama tangu mwakwa 1964?
Kama hapana nani analipa gharama hizo.
Hivi si kweli kuwa mapato na bajeti yana nakisi kubwa, je nani analipia nakisi hiyo?

Anyway hiyo cc kwa Jasusi sijaipata. Link ya Mkuu Jokakuu nimeipitia kwa taarifa.
Barubaru alishaieleza tukaipitia siku nyingi, alichokuwa anaogopa ni kuweka hadharani kuwa Zanzibar inachangia billioni 24 katika muungano, hata kabla ya huduma nyingine za bure, znz inapewa bilioni 32 kupitia ofisi ya makamu wa Rais ! yaani inapewa nyingi kuliko inachoweka.

Ndio maana huwa nasema znz inachangia zero! sifuri! haina msaada ni tegemezi tu katika Tanganyika.

Mkuu Jokakuu amesema kuwa jitihada za kuwaamsha Watanganyika zinaendelea.
Mdomo wa wznz unawatokea puani sasa.

Muungano ukivunjika Tanganyika haina hasara Gombesugu.
EAC ilivunjika tukabaki uchi, leo sisi ni sehemu muhimu sana ya EAC, seuse znz, I mean Unguja!
Zile sababu za cold war hakuna tena!

Hebu tueleze Mtanganyika anafaidika nini na uwepo wa znz

Juzi Tanganyika wamejenga chuo znz kwa bilion 3.6 badala ya kujenga Mwanza au Mtwara
Leo znz haina hata eneo la kuchomea ngano(chakula si hii ya mzee), sasa unafikiri hao watu 350,000 wakirudi wataishi wapi kwa uchumi gani.

Muungano ukivunjika znz itakuwa mshindani, hivyo biashara kama ya utalii itakuwa na ushindani.
Saadan na Bagamoyo zikiendelezwa, Tanga ikawa bandari huru, znz itafanya nini!
Sasa hivi kuna kuonea haya kuwa ni sehemu yetu kwahiyo hakuna sababu za ushindani, nje ya hapo maumivu.

Gombesugu kwani umeshasikia tena zile kelele na midomo ya wzn kuhusu muungano baada ya kuambiwa let them go!
Mtanganyika ndiye mwenye muungano anaulipia, mzanz ni tegemezi tu hana msaada wa aina yoyote!

cc Jokakuu, Jasusi, Barubaru, Mag3,Mwanakijiji, Shariff Ritz, Akhyi wote na Makafir wa Tanganyika
 
Mkuu mzee wangu Mohamed, unamaana gani unaposema nyinyi?

Maulaga,
''Nyinyi'' nawakusudia wale ambao asili zao si hapa Dar es Salaam
kwa hiyo wazee wao hawakushuhudia zile harakati za kudai uhuru
pale New Street na Mnazi Mmoja.
 
Nguruvi3,

..nadhani wa-Znz wanafikiri bado tuko ktk zile zama za utumwa.

..wanafikiri Tanganyika, na wa-Tanganyika ni mali yao.

..nimesoma ile thread ya faida za gesi kusini, na misaada inayotolewa na makampuni ya utafiti wa mafuta kwa wananchi wa kusini.

..hebu tulinganishe mapesa yanayochotwa Tanganyika kwenda Zanzibar, na kile wanachopewa wananchi wa kusini na makampuni ya gesi na mafuta.

..Wananchi wa kusini wanataabika wakati serikali yao inachota mapesa na kuwapelekea wa-Zanzibari. Bilioni 32 alizopewa Dr.Bilali kwa ajili ya maendeleo ya Zanzibar zingepelekwa kusini wananchi wa huko wasingekuwa wanalalamika kwamba serikali yao imewatupa.

cc: THE BIG SHOW, gombesugu, Kadogoo, Jasusi
 
Last edited by a moderator:
Maulaga,
Siwezi kupuuza juhudi za akkina Sablak na Kirilo wakisaidiwa na Earle Seaton
katika dhulma ile ya ardhi ya Meru.

Mkasa huu nimeuleza kwa kirefu katika kitabu changu hadi kusema kuwa ni
Abdu Sykes ndiye aliyemtaka Earle Seaton awawakilishe Wameru katika mgogoro
ule.

Zipo nyaraka nyingi Tanzani National Archives barua kati ya Abdul Sykes na Sablak
wa Meru Citizens Union.

Hata Wakoloni walipotaka kumnyima Kirilo pasi ya kusafiria kwenda UNO kwenda kueleza
yale madhila mbele ya Baraza la Udhamini ni Abdu ndiye aliyesimama na Kirilo hapa
Dar es Salaam kwenda kuwaona watu wa uhamiaji hadi Kirilo akapewa pasi.

Mambo hayakuishia hapo tu na ilitengenezwa kamati ambayo ilizunguka nchi nzima
kuwaeleza watu dhulma ile na kudokeza kuwa wakae tayari TANU iko njiani.

Kamati ile ilikuwa na Saadan Abdu Kandoro, Japhet Kirilo na Abbas Sykes.

Na kwa hakika haya fedha za kumwezesha Kirilo kuzunguka Tanganyika nzima akiwa
ndani ya ile kamati zilipelwa USA River na Mhasibu Msaidizi wa TAA Ally Sykes.

Yako mengi lakini haya kwa mukhtasari ndiyo niliyokokoteza katika nyaraka za Sykes.
Ndiyo mie husema nyinyi historia ya uhuru mnasoma sisi wazee wetu waliishi ndani ya
historia hiyo.

Wanajamvi,
Gazeti la The Citizen kuanzia leo litakuwa linafanya serialisation
matoleo matatu ya kitabu cha Ally Sykes (hakijachapwa) ''Under
The Shadow of British Colonialism,''

Kitabu hiki ni maisha ya Ally Sykes alichokiandika akisaidiwa na
Mohamed Said
 
Shariff Ritz na Gombesugu,
Ninafahamu wazi kuwa lugha inayowaudhi ni ile ya kusema Sheikh Amir ni mnafiki mkubwa na msaliti.
Ninasimama na lugha hiyo nikiwa na sababu zile zile.

Huyu ni msaliti wa waislam kwasababu alipewa nafasi ya kuwa ndani ya system ili atoe mchango wake.
Uwepo wake ndani ya system pengine unegeweza kuzuia madhwila yanayosemwa ambayo tunajua ni majungu lakini kwa sababu ya mnakasha tuyakubali ''cosmetically'' ili tujenge hoja.

Badala ya kuingia na kuutetea uislam usidhulumiwe(kama inavyodaiwa), yeye aliamua kwenda vichochoroni na kuanza siasa za kujificha. Huyu anasema alikuwa hataki siasa lakini inabainika kuwa alikuwa katika political sub commitee kama alivyobainisha Akhyi Mohamed.

Sijui kwanini mnashindwa kuiona point hapo,nini kimeziba macho yenu?
Ni baadhi ya waislam akiwemo Mohamed wanaosema Nyerere aliwatupa wazee baada ya uhuru.
Sasa huyu alipewa fursa akaikataa, kwanini tuamini kuwa aliwatupa wazee? Je, aliwatupa au walijitupa!

Halafu tunaaminishwa kuwa aliondolewa kwasababu ya uislam wake na EAMWS! sasa ni wazi kuwa alikuwa na mikutano ya njama haramu katika nyumba za ibada akiwa na wanafunzi wake. Haikuwa mikutano ya TANU au chama kingine.

Nadhani tukimweka katika mizani na Bibi Titi Mohamed, Bibi Titi ni shujaa kwasababu alisimama na kusema EAMWS isiuawe kwa muijibu wa Mohamed. Alisema akiwa ndani ya system kama ilitokea hivyo, hakujificha vichochoroni kama sheikh Amir kuendeleza fitna, majungu na unafiki.

Suala la usaliti lipo wazi kabisa na linawakera lakini huo ndio ukweli.
Huyu si shujaa ni msaliti mkubwa.

Niwaulize kitu kimoja, kwanini mnajisikia vibaya sheik Amir akiitwa mnafiki, mzandiki na msaliti wakati huo huo mkipiga makofi kwa nderemo na vifijo Nyerere akiitwa mnafiki, habithi lanaatatullah!

Msumeno unakata mbele na nyuma. Kisu kikigonga mfupa mwanaume anagumia, hapigi mayowe.
 
Nguruvi3,

..nadhani wa-Znz wanafikiri bado tuko ktk zile zama za utumwa.

..wanafikiri Tanganyika, na wa-Tanganyika ni mali yao.

..nimesoma ile thread ya faida za gesi kusini, na misaada inayotolewa na makampuni ya utafiti wa mafuta kwa wananchi wa kusini.

..hebu tulinganishe mapesa yanayochotwa Tanganyika kwenda Zanzibar, na kile wanachopewa wananchi wa kusini na makampuni ya gesi na mafuta.

..Wananchi wa kusini wanataabika wakati serikali yao inachota mapesa na kuwapelekea wa-Zanzibari. Bilioni 32 alizopewa Dr.Bilali kwa ajili ya maendeleo ya Zanzibar zingepelekwa kusini wananchi wa huko wasingekuwa wanalalamika kwamba serikali yao imewatupa.

cc: THE BIG SHOW, gombesugu, Kadogoo, Jasusi
Wanatia katika chungu bilioni 24, wanachota bilioni 32 haraka haraka.

Hapo hawana bill ya elimu ya juu, ulinzi na usalama, mishahara na hata wastaafu, umeme hawawezi kulipa halafu wanasema wanaidai Tanganyika. Somo la hesabu lipo katika mtaala huko kwa wenzetu kweli.

Juzi wamejengewa chuo kwa bilioni 3.6 pesa ambazo zingekiendeleza chuo cha Naliendele Mtwara kuwa college university ya SUA.

Watanganyika wengi hawakujua kuwa wakati wanataabika kutafuta ada za watoto wao huko eleimu ya juu, kodi zao zinasomesha raia wa kigeni bure kutoka nchi ya neema znz!

Halafu wznz kama Barubaru wanasema Nyerere alitumia hela nyingi kwa ukombozi wa kusini mwa Afrika wanasahau kuwa kuna pesa zinatirirka kila asubuhi kwenda kuhudumia Zanzibar!

Point yako kuwa nani wa kumlaumu Nyerere ni muhimu sana.
 
Back
Top Bottom