Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu,
Kuna haja gani ya kutukana kiasi hicho?
Hoja zipo wazi anaetakiwa kuzijibu ni Mohamed Said, lakini ikiwa unaweza kuzijibu waweza kujibu hoja tu na sio kumjadili mleta hoja!
Ndio,wewe si unajifanya unazijua sana sheria za JF zaid ya watu wote humu?wewe si ndie kinara wa kukimbilia kwa mods na kuwareport watu wapigwe ban??
Haya sasa Kimbilia kwa Invisible kamwambie THE BIG SHOW kakutukana kakuita mpumbavu,na uombe nipwewe BAN then jibu atalpkupatia uje hapa utujulishe,,
Yericko,let me give you a piece of an advice,Dont Try to be A Hero...!!,we ni mweupe sana,na wala huna unalolijua na usipatwe na kiburi ukadhani watu wapo hapa kukusoma wewe,
Labda kuhusu hilo la kuacha hoja na kukujadili ni wewe mwenyewe umekaribisha kujadiliwa,
1.Uchochez wa Moh Said haujauonesha,zaid ya upumbavu tu ulioweka pale,,
2.Kuikimbila nasaba isiyo yako na kuja nayo hapa jukwaani bila haya,bila aibu,tukakuhoji uhalali huo umeutoa wapi??
Ukaja na majibu yako ya kichefu chefu eti ya kwamba hawa wote ni wazee wako,ya kwamba Nyerere,kingunge,warioba,butiku.Ally sykes n,k n,k,hawa wote ni wazee wako,,,
Tukakuuliza tena,sasa kama hao wote ni wazee wako ikawaje sasa ukachukua jina la mzee mmoja tuh Nyerere kuja nae jukwani kujiverify nae kwamba ni nasaba yako??
Kwa maana hata wanafamilia wa nyerere wanakanusha kukufaham,tukakuhoji sasa wewe ni yericko bin nani??
Yericko nin BUTIKU??,,kimyaaa,,
Yericko bin Ally sykes??,Kimyaaa,,
Yericko bin Kingunge ngombale mwiru??,,kimyaa,,
Umeng'ang'na yericko nyerere,yericko nyerere na haitoshi upo hapa 24/7 kumtetea kwa hoja zisizo na mashiko,,,
Yericko status haiwez patikana kwa style hiyo hata siku moja,
Kaa ukijua ya kwamba umejidhalilisha sana,na umeushusha sana utu wako,
Sisi tunakupa pole sana....
The Big Show bado hujamuelewa huyu jamaa "UBONDIA ANAUTAKA LAKINI ANAOGOPA MANUNDU" sasa sijui ataupataje ushindi!
Wickama.
Mimi naona umeninukuu vibaya.
napenda kukufahamisha kuwa kuna mengi sana ya kashfa ameyatoa Yericko ukisoma post yake ya kwanza.
la kwanza mpaka sasa ameshinda kutudhibitishia kuwa MS ni gaidi, muongo na mfitini. Kwani kama angeweza kuthibitisha haya kwa mujibu wa sharia za Tanzania alitakiwa afikishwe mahakamani na kushitakiwa kwayo.
Kwani MS anasimamia vitabu vyake ambavyo ameandika na rukhsa kwa kila mtu kusoma.
Kwa kauli hizo tu na kushindwa kuthibitisha maneno yake ya kumwita mtu mrongo, gaidi, mnafiki anaipasa aombe radhi kwa kuthibitisha.
lakin yote tunamezea na kuendelea kupeana darsa hapo na kujifunza mengi sana.
hakuna mchele uso na chuya lakin tunamezea na kusameheana ili mnakasha uzidi kutupa darsa kwani kune mengi sana tunajifunza hapo.
lakin la mwisho hakuna dhambi mbaya kama kuiba kauli ya mtu.
pole sana
Jee, wewe ni mgala? au?
Ndio,wewe si unajifanya unazijua sana sheria za JF zaid ya watu wote humu?wewe si ndie kinara wa kukimbilia kwa mods na kuwareport watu wapigwe ban??
Haya sasa Kimbilia kwa Invisible kamwambie THE BIG SHOW kakutukana kakuita mpumbavu,na uombe nipwewe BAN then jibu atalpkupatia uje hapa utujulishe,,
Yericko,let me give you a piece of an advice,Dont Try to be A Hero...!!,we ni mweupe sana,na wala huna unalolijua na usipatwe na kiburi ukadhani watu wapo hapa kukusoma wewe,
Labda kuhusu hilo la kuacha hoja na kukujadili ni wewe mwenyewe umekaribisha kujadiliwa,
1.Uchochez wa Moh Said haujauonesha,zaid ya upumbavu tu ulioweka pale,,
2.Kuikimbila nasaba isiyo yako na kuja nayo hapa jukwaani bila haya,bila aibu,tukakuhoji uhalali huo umeutoa wapi??
Ukaja na majibu yako ya kichefu chefu eti ya kwamba hawa wote ni wazee wako,ya kwamba Nyerere,kingunge,warioba,butiku.Ally sykes n,k n,k,hawa wote ni wazee wako,,,
Tukakuuliza tena,sasa kama hao wote ni wazee wako ikawaje sasa ukachukua jina la mzee mmoja tuh Nyerere kuja nae jukwani kujiverify nae kwamba ni nasaba yako??
Kwa maana hata wanafamilia wa nyerere wanakanusha kukufaham,tukakuhoji sasa wewe ni yericko bin nani??
Yericko bin BUTIKU??,,kimyaaa,,
Yericko bin Ally sykes??,Kimyaaa,,
Yericko bin Kingunge ngombale mwiru??,,kimyaa,,
Umeng'ang'na yericko nyerere,yericko nyerere na haitoshi upo hapa 24/7 kumtetea kwa hoja zisizo na mashiko,,,
Yericko status haiwez patikana kwa style hiyo hata siku moja,
Kaa ukijua ya kwamba umejidhalilisha sana,na umeushusha sana utu wako,
Sisi tunakupa pole sana....
Haitoshi kumuita mtu mpumbavu bila kuonesha upumbavu huo kwa hoja, nyie mnamwita mpumbavu mtoa mada kwa ushabiki wenu tu, lakini hamuoneshi upumbavu huo uko wapi! soma tena haya mapovu ya jamaa yako na utuoneshe hoja iko wapi;Mbona amekueleza vizuri kama upumbavu ni tusi basi ban ianzie kwa invisible kapate kwanza glass 3 za maji upunguze jazba.
Huo ni upumbavu tuh ulioumwaga hapo,Too low,
Mkuu Invisible anatoa ushauri murua kabisa wa kuficha upumbavu wako na kuonesha werevu wako,
Upumbavu wa hali ya juu sana huo uliouleza.,hayo yote yamejibiwa na kufafanuliwa kwa kina sana,
Ule upumbavu wako mwingine wa ugaid umeutupilia wapi?
Fuata busara za wenye busara,
Ficha Upumbavu wako,
cc Invisible...
Hoja inayo jadiliwa hapa ni uchochezi wa maandiko ya Mohamed Said. Wewe unatokwa povu juu ya jina na nasaba ya Yericko Nyerere! na bado unataka tukuite wewe ni msomi na Great Thinker wa JF! unaonaje ukibaki msomaji tu na ukaendelea kufyonza ilm na sumu ya ustaadh Mohamed Said?Ndio,wewe si unajifanya unazijua sana sheria za JF zaid ya watu wote humu?wewe si ndie kinara wa kukimbilia kwa mods na kuwareport watu wapigwe ban??
Haya sasa Kimbilia kwa Invisible kamwambie THE BIG SHOW kakutukana kakuita mpumbavu,na uombe nipwewe BAN then jibu atalpkupatia uje hapa utujulishe,,
Yericko,let me give you a piece of an advice,Dont Try to be A Hero...!!,we ni mweupe sana,na wala huna unalolijua na usipatwe na kiburi ukadhani watu wapo hapa kukusoma wewe,
Labda kuhusu hilo la kuacha hoja na kukujadili ni wewe mwenyewe umekaribisha kujadiliwa,
1.Uchochez wa Moh Said haujauonesha,zaid ya upumbavu tu ulioweka pale,,
2.Kuikimbila nasaba isiyo yako na kuja nayo hapa jukwaani bila haya,bila aibu,tukakuhoji uhalali huo umeutoa wapi??
Ukaja na majibu yako ya kichefu chefu eti ya kwamba hawa wote ni wazee wako,ya kwamba Nyerere,kingunge,warioba,butiku.Ally sykes n,k n,k,hawa wote ni wazee wako,,,
Tukakuuliza tena,sasa kama hao wote ni wazee wako ikawaje sasa ukachukua jina la mzee mmoja tuh Nyerere kuja nae jukwani kujiverify nae kwamba ni nasaba yako??
Kwa maana hata wanafamilia wa nyerere wanakanusha kukufaham,tukakuhoji sasa wewe ni yericko bin nani??
Yericko bin BUTIKU??,,kimyaaa,,
Yericko bin Ally sykes??,Kimyaaa,,
Yericko bin Kingunge ngombale mwiru??,,kimyaa,,
Umeng'ang'na yericko nyerere,yericko nyerere na haitoshi upo hapa 24/7 kumtetea kwa hoja zisizo na mashiko,,,
Yericko status haiwez patikana kwa style hiyo hata siku moja,
Kaa ukijua ya kwamba umejidhalilisha sana,na umeushusha sana utu wako,
Sisi tunakupa pole sana....
Hoja inayo jadiliwa hapa ni uchochezi wa maandiko ya Mohamed Said. Wewe unatokwa povu juu ya jina na nasaba ya Yericko Nyerere! na bado unataka tukuite wewe ni msomi na Great Thinker wa JF! unaonaje ukibaki msomaji tu na ukaendelea kufyonza ilm na sumu ya ustaadh Mohamed Said?
Ndugu zangu wanajamvi,
Kwanini nimemuita Mohamed Said ni MCHOCHEZI?
Nitaeleza yanayoakisi uchochezi huo!
Issue ni kuwa;
1. Wote hapa jamvini na duniani tunakubaliana kuwa Mohamed Said ameandika kitabu cha Maisha na nyakati za Abdul Sykes!
2.Kitabu hicho mimi nakikosoa kuwa kinamapungufu mengi,
Mifano ya mapungufu hayo ni kama,
A) Malima kuanzisha Namba za mitihani (get exact dates when the Ministry started this) utakuta ina -predate Malima kuwa pale ministry (this is easy)
Kwaujumla hakuna ushahidi wa wazi au wamazingira kuthibitisha madai yake,
Hivyo huu ni UCHOCHEZI wa wazi!
B) Madai mengine katika maandishi ya Mohamed Said juu ya elimu nchini nikuwa hata hatua ya Mwalimu Nyerere kutaifisha shule za kidini ili kila mtanzania asome (analysis yake) analaumu kuwa hatua hiyo haimkumsaidia mtoto wa kiislamu
Lakini Mohamed Said hasemi/hapendekezi/hashauri nini kifanyike kuondoa hali hiyo, amebaki kuwahubiria watu kuchukia hali hiyo na kumchukia Mwalimu Nyerere tu,
Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!
C) Mohamed Said anailaumu serikali ya Mwalimu Nyerere kuhusu numbers of muslim professionals in places across the civil service,
Wanajamvi, wote tunatambua kuwa mtumishi wa umma katika nchi hii hupatikana kwa taratibu zilizowekwa kwa mjibu wa sheria,na sio kwa kufuata kigezo cha DINI,
Lakini anashindwa kushauri nini kifanyike kuondoa hali hiyo, na badala yake amebaki kupandikiza chuki kwa jamii tu,
Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!
D) Mohamed Said fails to acknowledge politicization of the EAMWS at the hand of sheikh Hassan in support of opposition elements to TANU.
Katika hili la kifo cha EAMWS Mohamed Said madai yake mengi kama siyo yote aliyoyaelekeza kwa Mwalimu Nyerere nikuwa kila mahali utakuta anasema,
"Ilisemekana","Niliambiwa","Nilisikia",
Katika madai ya aina hiyo hayana mantiki ya kiushahidi!
Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!
E) Mohamed Said is ambigious when it comes to the Zanzibar revolution. He spends efforts in belittling those who risked their lives to overthrow the sultan regime (wamakonde)
Katika hili Mohamed haleti ushahidi zaid yakusema nilisimuliwa na wazee wangu,
Huu sio ushahidi wakuweza kuhalalisha madai yake,
Ushahidi kama huu unakuwa batili kwakuwa ulichukuliwa upande mmoja bila kuangalia upande wapili,
Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!
F) Mohamed Said amesema Mwalimu Julius Nyerere katika hotuba ya kuwaaga wazee wa Dar alisema "hakumbuki Abdu Sykes alikuwa na cheo gani katika TANU"
Kinyume chake Mwalimu Nyerere amesema wazi katika hotuba hiyo ambayo ipo hapo juu kwenye post ya kwanza kabisa kuwa aliporudi kutoka masomoni aliwauliza wenzake kuwa nani wanakiongoza chama kwa sasa? akaambiwa "jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes"
Hivyo huo ni UCHOCHEZI wa wazi kwa jamii!
G) Mohamed Said does not offer suggestions as to what should be done to alleviate the problem.
Wanajamvi wenzangu,
Nimeeleza UCHOCHEZI wa Mohamed Said,
Kisha baadae nitaangaza Dhihaka za Mohamed Said
Wanaukumbi haya maandishi aliyoandika Yericko hayamo kabisa kwenye kitabu cha Mohamed Said, kwa faida ya wanaukumbi hawaambie ni ukurasa wa ngapi kuna hiyo habari ya Kigoma Malima...ninacho-quote ni maneno yake baadae wasije kusema nafanya spinning.2.Kitabu hicho mimi nakikosoa kuwa kinamapungufu mengi,
Mifano ya mapungufu hayo ni kama,
A) Malima kuanzisha Namba za mitihani (get exact dates when the Ministry started this) utakuta ina -predate Malima kuwa pale ministry (this is easy)
Wanaukumbi huu nu muendelezo wa uongo na uzushi haya maneno hayamo kwenye kitabu cha Mohamed Said, kwa faida ya wanaukumbi wafaamishe ni ukurasa wa ngapi hayo maneno yapo.B) Madai mengine katika maandishi ya Mohamed Said juu ya elimu nchini nikuwa hata hatua ya Mwalimu Nyerere kutaifisha shule za kidini ili kila mtanzania asome (analysis yake) analaumu kuwa hatua hiyo haimkumsaidia mtoto wa kiislamu
Wanaukumbi hebu hapa chini tumsome Nyerere mwenyewe halafu tutafakari kidogo kweli mtu ulikuwa kiongozi wa TAA Tabora lakini humjui Katibu wa Taifa jina lake, kwani wakati Nyerere anaondoka kwenda kusoma aliwaacha kina nani viongozi wa TAA.F) Mohamed Said amesema Mwalimu Julius Nyerere katika hotuba ya kuwaaga wazee wa Dar alisema "hakumbuki Abdu Sykes alikuwa na cheo gani katika TANU"
Kinyume chake Mwalimu Nyerere amesema wazi katika hotuba hiyo ambayo ipo hapo juu kwenye post ya kwanza kabisa kuwa aliporudi kutoka masomoni aliwauliza wenzake kuwa nani wanakiongoza chama kwa sasa? akaambiwa "jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes"
Wanaukumbi mpaka hapo nadhani mmeona uongo wa Yericko Nyerere, naendelea kudadavua bayana zake.Hivyo ndivyo tulivyofanya. Kwa hiyo mimi nikawa katibu wa katawi ka TAA hapo Makerere. Niliporudi Tabora na kuanza kufundisha pale St. Marys (sasa inaitwa Sekondari ya Milambo), nikachaguliwa katibu wa TAA wa jimbo ambalo makao yake makuu yalikuwa Tabora. Ulipofanyika mkutano wa TAA mjini Dar es Salaam, nilihudhuria nikiwa mjumbe kutoka Tabora.
Kwa hiyo nilikuwa naijua Tanganyika African Association. Nilipokuwa ninaondoka kwenda Ulaya kusoma, nilikuwa nimeishaonja shughuli za TAA. Sasa niliporudi, baada ya kukaa Pugu siku chache, nikaja mjini Dar es Salaam. Nikauliza nani wanaongoza TAA? Nikaambiwa kuna jamaa mmoja anaitwa Abdul Sykes. Sasa ni marehemu. Abdul ndiye alikuwa katibu wakati huo.
Tumeleta balua ya mechi tumeupenda mchezo wenu, msitambe tambe Temeke mje mtambe na Kaliakoo!
Hiyo ni kauli ya mtemi mmoja wa zamani Kariakoo akijulikana kwa jina la kijiweni kama "Costa MM-bademm-bade"Kauli hii inamaana gani mkuu?
Wanaukumbi watu wana haki ya kuhoji kutokana na maneno ya Yericko, yeye anajinasibisha na Juius Kambarage hebu hapo chini msomeni Yericko.Nielewe mkuu, nimesema alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere sio TANU.
Ndugu sio kila kitu utakifahamu katika historia ya nchi hii,
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)
Alimnunulia gari, suti, na nauli alimpa ya kwenda umoja wa mataifa.
Si kila kitu kitawekwa katika simulizi.
Mimi Mwalimu Nyerere kama Baba yangu mzazi, nakufahamisha tangu sasa kuwa Chifu Marealle alikuwa mfadhiri wa Mwalimu Nyerere (kiuchumi)
Lete hapa zote nitakujibu na kukufunda kiutu uzima, ila usifanye kamchezo kako kaku spinning tu
Ndugu yangu Gwalihenzi
Ni jambo la kushangaza sana ikiwa hawa ndugu zetu wanajiita ni Great Thinker
Badala yakujibu hoja wao wanashambulia watu,
Lakini ndio hivyo tutafika tu na historia itabaki huru bila kuchafuliwa!