Uchumi wa Frame Tanzania

Hivi ushirikiano ungekuapo apo awali situngegoma wapangaji ili haki zetu zilindwe sasa walivyokua waoga ukipewa notice mtu hajui kuisimamia haki yake sasa cjajua pale lugalo maana hawanaga masiala mwendo wa Sheria tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hata hapo lugalo utafanya biashara Gani ili upate faida maana ukitembea kidogo unafika kawe kule Kuna Kila biashara na maduka. I think tuna ubunifu ni zero
 
Frame zinapunguza biashara barabarani.
 
Tuite franomics🤣
 
...
Mkuu hebu anzisha uzi kuhusu frem za pale lugalo... Zivunjwa mara moja.. Na ule uoto wa asili urejeshwe... Ni aibu ya karne..

RAis tunaomba ingilias kati... Kambi za jeshi zimegeuzwa mabaaa na makumbi ya starehe...
......kuna muda hadi unaona aibu kuwa Mtanzania, unaamua kusema ni mkimbizi.....
 
Bongo sijui hata nianzie wapi ngazi za juu zinazotakiwa kuhamasisha uzalishaji na kuongeza thamani za bidhaa zetu zinapinga jitihada zozote watu wanazozionesha mfano mtu akikutwa anazalisha pombe ya kienyeji anafungiwa badala ya kuendelezwa ili aboreshe viwe viwango kama ya Gin ya scotland. Kuna tatizo kubwa la ajira linakuja badala ya kufikiria kuwekeza kwenye vyanzo vya kukuza ajira wanafikiria kubana middle income earners kwa kupitia kodi muda si mrefu hawa middle income earners hawatakuwepo tena.
 
Tatizo lenu ni ujuaji.
Lile eneo kwa sehemu kubwa liko kwenye makazi ya wanajeshi.

Hadi uone limefanyika vile lazima walipata baraka zote kutokea Ikulu.

Hakuna kinachojificha zama hizi za tech.

Inaonesha wengi mmekosa frame pale ndo maana mwapiga kelele
 
Ni sawa sasa kwanini hazikujengwa katika mpangilio mzuri?

Nyingine zimekaa kama zile nyumba za Tembe, nyingine zimebomoka...Hapana aisee

AU ndiyo kila Mwanajeshi alikuwa anajenga Frame yake akimaliza apangishe au auze mwenyewe?
 
Wife ana plot yake binafsi? Ila plot yako ni ya wote? Vijana kataeni ndoa ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…