Unayo takwimu ya waisrael waliokufa kwenye huu mzozo?Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz.
Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa kuvutia, ukiwa na utendaji bora kuliko ilivyotarajiwa ikilinganishwa na nchi zilizoendelea.
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linakadiria kuwa uchumi wa Israeli utakua kwa 3.5% mwaka huu, ikilinganishwa na 2.3% nchini Marekani na 1.3% katika Umoja wa Ulaya. Hii ina maana kwamba Pato la Taifa la Israeli (GDP) linatarajiwa kufanya vyema kuliko nchi zote za G7 mwaka wa 2026. Mwaka ujao, kulingana na utabiri wa IMF, Israeli inatarajiwa kukua kwa 4.4%, ikiendelea kuzipita nchi nyingi kubwa zilizoendelea.
Data muhimu za kiuchumi:
● Ukuaji: Benki kuu (Benki ya Israeli) inakadiria ukuaji wa 3.8% mwaka wa 2026 (baada ya kupunguzwa kwa 1.4% kutoka kwa utabiri uliopita). Ikiwa migogoro itatatuliwa, ukuaji unaweza kupanda hadi 5.5%.
● Ukosefu wa ajira: Imeongezeka kidogo hadi 3.2% (Machi 2026), lakini bado iko chini ikilinganishwa na Marekani (4.3%) na Ulaya (6.2%).
● Mfumuko wa bei: Imetulia kwa 1.9%, ndani ya kiwango cha lengo la Benki ya Israeli (1%-3%), licha ya kupanda kwa bei za mafuta.
• Uwiano wa deni-kwa-GDP: Chini kiasi - 69.8%, ikilinganishwa na wastani wa 123.7% katika nchi za G7.
Masoko ya mitaji na sarafu:
● Kielezo cha Tel Aviv 35: Imepanda kwa takriban 20% tangu mwanzo wa 2026 (baada ya ongezeko la 51.6% mwaka wa 2025).
● Kielezo cha Tel Aviv 125: Imeongezeka zaidi ya 17% tangu mwanzo wa mwaka.
● Shekeli: Imeimarishwa kwa 7% dhidi ya dola tangu mwanzo wa 2026, ikiwa ni pamoja na 4% wakati wa miezi ya vita na Iran kutokana na mapato makubwa ya mitaji ya kigeni - hasa katika sekta za teknolojia, fedha, na ulinzi.
Sababu kuu:
● Sekta za teknolojia ya juu na binafsi ni imara na imara.
● Uwekezaji mkubwa wa kigeni, hasa katika mtandao.
● Idadi chanya ya watu - ukuaji wa idadi ya watu wa takriban 2% kwa mwaka huku idadi ya watu ikiwa changa.
● Mauzo makubwa ya nje katika sekta za teknolojia, gesi asilia, na ulinzi.
● Masoko ya mitaji tayari "yana bei katika" uboreshaji wa kijiografia na kisiasa na kusitisha mapigano ya baadaye.
Jibu swali Mzee.Tumia vizuri akili zako ulizopewa na Mungu bure!!!
Uzi huu unaongelea kukua kwa Uchumi wa Israel hauongelei Madhara ya vita!!
Kwa akili yako ukiandika kiingereza ndiyo utaficha ujinga wako?Mzee wa Uharo endelea kiwalosha mapunguani wenzako
Uharo wa propanganda za mabasha zako.
Israel's economy has lost $57 billion since the start of its genocidal war on Gaza, according to its central bank, with debt nearing 70% of GDP and exports declining. Wars with Iran and Lebanon are rising military costs and further damaging an already battered economy.24 Mar 2026
Source - masjid ubwabwa Tandika kwa Mchambia Chupa.Mzee wa Uharo endelea kiwalosha mapunguani wenzako
Uharo wa propanganda za mabasha zako.
Israel's economy has lost $57 billion since the start of its genocidal war on Gaza, according to its central bank, with debt nearing 70% of GDP and exports declining. Wars with Iran and Lebanon are rising military costs and further damaging an already battered economy.24 Mar 2026
We jamaa ni kilaza sana, unavyolinganisha hapa unatakiwa uweke GDP per capita ya Israel vs USA na EU. Ambacho hujui OECD countries uchumi unakua kidogo sana sababu umeshafika viwango vya juu sana. Hiyo 1.3% ya USA ni kwenye GDP ya Dola 32 Trillion ila 4.4% ya Israel ni kwenye uchumi wa Dola 789 Bilion. Yaani Israel inaingia zaidi ya mara 40 kwa US kiuchumi.Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linakadiria kuwa uchumi wa Israeli utakua kwa 3.5% mwaka huu, ikilinganishwa na 2.3% nchini Marekani na 1.3% katika Umoja wa Ulaya. Hii ina maana kwamba Pato la Taifa la Israeli (GDP) linatarajiwa kufanya vyema kuliko nchi zote za G7 mwaka wa 2026. Mwaka ujao, kulingana na utabiri wa IMF, Israeli inatarajiwa kukua kwa 4.4%, ikiendelea kuzipita nchi nyingi kubwa zilizoendelea.
Mauzo ya silaha yanaibeba Sana nchi ya Israel.
Technology ya iron beam imewapa faida Sana
Mzee wa Uharo tumia akili ulizopewa na Mungu kama Israel ana uchumi unakuwa halafu Baba yake hali tete😂😂 amsaidie basi Baba yake.Kwa akili yako ukiandika kiingereza ndiyo utaficha ujinga wako?
Uharo ni uharo tu hata kama utauandika kiingereza!!
Hou UHARO uliouandika ni kwa mjibu wa Aljazeera?
Kwa taarifa yako tu huko Gaza hakujawahi kutokea Genocide yoyote!!!
Wewe hata ukiambiwa kula mavi ya Netanyahu unakula hata pipaSource - masjid ubwabwa Tandika kwa Mchambia Chupa.
Hahaha😀😀We jamaa ni kilaza sana, unavyolinganisha hapa unatakiwa uweke GDP per capita ya Israel vs USA na EU. Ambacho hujui OECD countries uchumi unakua kidogo sana sababu umeshafika viwango vya juu sana. Hiyo 1.3% ya USA ni kwenye GDP ya Dola 32 Trillion ila 4.4% ya Israel ni kwenye uchumi wa Dola 789 Bilion. Yaani Israel inaingia zaidi ya mara 40 kwa US kiuchumi.
Hauna elimu ndio maana unashabikia ujinga
Source - masjid ubwabwa Tandika kwa Mchambia Chupa.
Mkuu unapoteza muda wako kuwapata darasa hawa Wayahudi weusi uwa hawasikii lolote kuhusu Israel😀The (Calculable) Costs of Israel’s Wars | SAPIR Journal
By its nature, war imposes incalculable costs. There is no way to put a price on the tragic loss of a son, a daughter, a parent, or a spous...sapirjournal.org
Actually ni zaidi ya USD 68 Million ukihesabu tokea October 7 2023. Almost 10% ya GDP!! Kumbuka hapo wanapewa msaada na US.
Kwa IMF na World Bank deni la taifa likizidi 60% ya pato la taifa (GDP) ni hatari. So hapa wameperform vibayaUwiano wa deni-kwa-GDP: Chini kiasi - 69.8%, ikilinganishwa na wastani wa 123.7% katika nchi za G7.
Wajuaji sana alafu data hawataki, watajibu matusi maana hoja wamezidiwa.Mkuu unapoteza muda wako kuwapata darasa hawa Wayahudi weusi uwa hawasikii lolote kuhusu Israel😀
Mzee wa kupika data ina maana unapinga kuwa Uchumi wa Israel haupai kama nilivyosema?We jamaa ni kilaza sana, unavyolinganisha hapa unatakiwa uweke GDP per capita ya Israel vs USA na EU. Ambacho hujui OECD countries uchumi unakua kidogo sana sababu umeshafika viwango vya juu sana. Hiyo 1.3% ya USA ni kwenye GDP ya Dola 32 Trillion ila 4.4% ya Israel ni kwenye uchumi wa Dola 789 Bilion. Yaani Israel inaingia zaidi ya mara 40 kwa US kiuchumi.
Hauna elimu ndio maana unashabikia ujinga