Uchumi wa Israel wazidi kupaa licha ya Vita vyake na Iran

Wajuaji sana alafu data hawataki, watajibu matusi maana hoja wamezidiwa.
Unataka tujibu nini sasa hapo wakati hakuna cha kujibu!!

Mtu mwenyewe anajilizaliza tu hana Point yoyote!!

Uchumi wa Israel unazidi kupaa mtake mistake endeleeni tu kuushusha kihisia kama mlivyomuua kwa hisia Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Jitahidi sana kupika data ili ionekane Israel uchumi wake Unashuka na Uchumi wa Mashoga zako Iran unapanda hapo ndipo tutajua una Elimu kubwa!!
 
Kwa IMF na World Bank deni la taifa likizidi 60% ya pato la taifa (GDP) ni hatari. So hapa wameperform vibaya

Pia unakosea kulinganisha na EU na USA maana deni lao kubwa ni la ndani tofauti na Israel ambalo zaidi ya 50% ya deni la taifa ni la NJE.
Chuki zako kwa Israel zitakutoa Roho bure!!!

Nilitarajia utakuja hapa kupinga kwa Matinki sasa unapokuja hapa kubwabwaja tu itakusaidia nini?
 
We jamaa ni kilaza sana, unavyolinganisha hapa unatakiwa uweke GDP per capita ya Israel vs USA na EU. Ambacho hujui OECD countries uchumi unakua kidogo sana sababu umeshafika viwango vya juu sana. Hiyo 1.3% ya USA ni kwenye GDP ya Dola 32 Trillion ila 4.4% ya Israel ni kwenye uchumi wa Dola 789 Bilion. Yaani Israel inaingia zaidi ya mara 40 kwa US kiuchumi.

Hauna elimu ndio maana unashabikia ujinga
Nilitarajia wewe mwenye unge-Flow ukaonyesha Elimu yako na mimi nikaonekana sijui kitu!!

Hapa hujatoa Challenge yoyote kwangu na hujapinga Bandiko langu kwa hoja!!

Nataka tena nikupe somo ili ujue uchumi wa Israel unapaa kuliko mashoga zako Iran na nchi zingine

Uchumi wa Israeli unaonyesha uthabiti wa ajabu na unastawi sana mwaka wa 2026, huku Pato la Taifa likitarajiwa kukua kwa 3.5% na kufanya vizuri zaidi kuliko nchi zote za G7, licha ya migogoro inayoendelea ya kikanda. Uchumi unaendeshwa na sekta imara ya teknolojia (20% ya Pato la Taifa), uwekezaji mkubwa wa kigeni, ukosefu wa ajira mdogo (3.2%), na shekeli inayoimarika.

Vichocheo Muhimu vya Kiuchumi na Mitindo:

Kuongezeka kwa Sekta ya Teknolojia ya hali ya Juu: Teknolojia inachangia zaidi ya 20% ya Pato la Taifa na 14% ya ajira, ikiwa na zaidi ya makampuni mapya 9,000 yanayofanya kazi kila iitwapo leo!!

Masoko ya Fedha Yanayostahimili: Fahirisi ya Tel Aviv 35 iliongezeka mapema mwaka wa 2026, ikijengwa juu ya ongezeko la 51.6% mwaka wa 2025, huku shekeli ikiimarika kwa takriban 7% dhidi ya dola ya Marekani.

Utabiri wa Ukuaji: IMF inakadiria ukuaji wa uchumi wa 4.4% kwa mwaka wa 2027, ikiangazia nguvu inayoendelea.

Viwanda Muhimu: Zaidi ya teknolojia, viwanda kama vile usalama wa mtandao( Cyber Security)usafirishaji wa ulinzi, na sekta za dawa vinasalia kuwa nguzo muhimu za ukuaji.

Changamoto na Muktadha:

Gharama za Migogoro: Bajeti ya ulinzi imeongezeka kwa kiasi kikubwa, na nchi inakabiliwa na nakisi kubwa ya fedha.

Kutokuwa na uhakika wa kikanda: Wakati uchumi unakua, kutokuwa na utulivu wa kikanda kunasababisha tete katika nishati na biashara, na kulazimisha uchumi kufanya kazi chini ya shinikizo la usalama.

Licha ya changamoto hizi, uchumi umeendelea kukua, ukichochewa na uvumbuzi wa teknolojia na uwekezaji mkubwa wa kigeni.

Kwa maneno hayo yote usipoelewa basi wewe utakuwa Muha na huna maana kabisa!!!
 
Mzee wa kupika data ina maana unapinga kuwa Uchumi wa Israel haupai kama nilivyosema?

Au uchumi wa Israel unashuka?

Jibu hayo ili nije nikuumbue uongo wako mjinga wewe!!
Uchumi unapimwa kwa GDP na per capita GDP au GDP PPP. Hizo growth ni indicator tu lakini hazionyeshi ukubwa kwa uchumi.

Nikupe mfano Tanzania uchumi unakua kwa 5.5% Je ina maana uchumi wa Tanzania unakua kuliko wa Israel na USA?? Kwahiyo tuseme Tanzania ina uchumi bora kuliko USA, EU na Israel?
 
Chuki zako kwa Israel zitakutoa Roho bure!!!

Nilitarajia utakuja hapa kupinga kwa Matinki sasa unapokuja hapa kubwabwaja tu itakusaidia nini?
Nimebwabwaja nini? Nimeweka rekodi sawa kuwa deni la taifa ni 60% ya pato la taifa kwahiyo ni sawa na nchi masikini kama Tanzania tu maana wadeni wakitaka pesa zao si uchumi utaporomoka. Na deni kubwa la Israel ni la nje kwa mikopo yenye riba
 
Hapa hujatoa Challenge yoyote kwangu na hujapinga Bandiko langu kwa hoja!!

Nataka tena nikupe somo ili ujue uchumi wa Israel unapaa kuliko mashoga zako Iran na nchi zingine
Hauwezi nipa somo lolote kwenye uchumi maana hauna elimu hiyo. Hoja ni kwamba ukuaji wa uchumi haumaanishi uchumi ni mkubwa au tajiri bali inaweza kuwa kwa vitu vichache mfano Israel imepata misaada mingi ya silaha, imenunua silaha nyingi, imeongeza matumizi kwa ajili ya kivita n.k so hayo yanachochea pato la taifa kukua ila sio indicator ya economic resilience.

Kwahiyo kwa elimu yako ndogo Tanzania ina uchumi imara kuliko Israel na USA kisa tumekua kwa 5.5% ambayo ni kubwa kuliko ukuaji uchumi wa israel na USA??

Nenda shule kijana, kwenye uchumi we ni mtupu sana.
 
na kufanya vizuri zaidi kuliko nchi zote za G7,
Hahahaha dah kwahiyo Israel ina uchumi mkubwa kuliko nchi za G7? Kwa logic hii basi Tanzania ime perform vizuri kuliko nchi zote za G7!!

Dogo ni hivi, nchi zote za OECD tayari zimesha peak kwahiyo ukuaji uchumi huwa 1-3% pekee hazizidi hapo. Kwahiyo haya sio mafanikio maana kuna nchi zaidi ya 50 zinakua kiuchumi kuliko nchi zilizoendelea (OECD).
 
Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz.

Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa kuvutia, ukiwa na utendaji bora kuliko ilivyotarajiwa ikilinganishwa na nchi zilizoendelea.

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linakadiria kuwa uchumi wa Israeli utakua kwa 3.5% mwaka huu, ikilinganishwa na 2.3% nchini Marekani na 1.3% katika Umoja wa Ulaya. Hii ina maana kwamba Pato la Taifa la Israeli (GDP) linatarajiwa kufanya vyema kuliko nchi zote za G7 mwaka wa 2026. Mwaka ujao, kulingana na utabiri wa IMF, Israeli inatarajiwa kukua kwa 4.4%, ikiendelea kuzipita nchi nyingi kubwa zilizoendelea.

Data muhimu za kiuchumi:

● Ukuaji: Benki kuu (Benki ya Israeli) inakadiria ukuaji wa 3.8% mwaka wa 2026 (baada ya kupunguzwa kwa 1.4% kutoka kwa utabiri uliopita). Ikiwa migogoro itatatuliwa, ukuaji unaweza kupanda hadi 5.5%.

● Ukosefu wa ajira: Imeongezeka kidogo hadi 3.2% (Machi 2026), lakini bado iko chini ikilinganishwa na Marekani (4.3%) na Ulaya (6.2%).

● Mfumuko wa bei: Imetulia kwa 1.9%, ndani ya kiwango cha lengo la Benki ya Israeli (1%-3%), licha ya kupanda kwa bei za mafuta.

• Uwiano wa deni-kwa-GDP: Chini kiasi - 69.8%, ikilinganishwa na wastani wa 123.7% katika nchi za G7.

Masoko ya mitaji na sarafu:

● Kielezo cha Tel Aviv 35: Imepanda kwa takriban 20% tangu mwanzo wa 2026 (baada ya ongezeko la 51.6% mwaka wa 2025).

● Kielezo cha Tel Aviv 125: Imeongezeka zaidi ya 17% tangu mwanzo wa mwaka.

● Shekeli: Imeimarishwa kwa 7% dhidi ya dola tangu mwanzo wa 2026, ikiwa ni pamoja na 4% wakati wa miezi ya vita na Iran kutokana na mapato makubwa ya mitaji ya kigeni - hasa katika sekta za teknolojia, fedha, na ulinzi.

Sababu kuu:

● Sekta za teknolojia ya juu na binafsi ni imara na imara.

● Uwekezaji mkubwa wa kigeni, hasa katika mtandao.

● Idadi chanya ya watu - ukuaji wa idadi ya watu wa takriban 2% kwa mwaka huku idadi ya watu ikiwa changa.

● Mauzo makubwa ya nje katika sekta za teknolojia, gesi asilia, na ulinzi.

● Masoko ya mitaji tayari "yana bei katika" uboreshaji wa kijiografia na kisiasa na kusitisha mapigano ya baadaye.
Porojo jingi hamna chanzo chochote, uchumi unakuwa vipi nchi iliyopigwa mabomu kwenye vyanzo vyake vyote mpaka viwanda vya kusafishia mafuta mpaka wamelazimika kuomba msaada kutoka US kupambana na Iran na pia wakashindwa wakalazimika kusitisha vita.

Vita ingeendelea huko uyahidini sasa ingekuwa ni vumbi tupu lakini wakaufyata, US wenyewe wameingia hasara dola bilion 25 trump hana pa-kuzirejesha na sasa amepigwa stop kuendelea na vita, meli za Israel na US zote zimepigwa ban na Iran kukatisha Hormuz
 
Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz.

Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa kuvutia, ukiwa na utendaji bora kuliko ilivyotarajiwa ikilinganishwa na nchi zilizoendelea.

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linakadiria kuwa uchumi wa Israeli utakua kwa 3.5% mwaka huu, ikilinganishwa na 2.3% nchini Marekani na 1.3% katika Umoja wa Ulaya. Hii ina maana kwamba Pato la Taifa la Israeli (GDP) linatarajiwa kufanya vyema kuliko nchi zote za G7 mwaka wa 2026. Mwaka ujao, kulingana na utabiri wa IMF, Israeli inatarajiwa kukua kwa 4.4%, ikiendelea kuzipita nchi nyingi kubwa zilizoendelea.

Data muhimu za kiuchumi:

● Ukuaji: Benki kuu (Benki ya Israeli) inakadiria ukuaji wa 3.8% mwaka wa 2026 (baada ya kupunguzwa kwa 1.4% kutoka kwa utabiri uliopita). Ikiwa migogoro itatatuliwa, ukuaji unaweza kupanda hadi 5.5%.

● Ukosefu wa ajira: Imeongezeka kidogo hadi 3.2% (Machi 2026), lakini bado iko chini ikilinganishwa na Marekani (4.3%) na Ulaya (6.2%).

● Mfumuko wa bei: Imetulia kwa 1.9%, ndani ya kiwango cha lengo la Benki ya Israeli (1%-3%), licha ya kupanda kwa bei za mafuta.

• Uwiano wa deni-kwa-GDP: Chini kiasi - 69.8%, ikilinganishwa na wastani wa 123.7% katika nchi za G7.

Masoko ya mitaji na sarafu:

● Kielezo cha Tel Aviv 35: Imepanda kwa takriban 20% tangu mwanzo wa 2026 (baada ya ongezeko la 51.6% mwaka wa 2025).

● Kielezo cha Tel Aviv 125: Imeongezeka zaidi ya 17% tangu mwanzo wa mwaka.

● Shekeli: Imeimarishwa kwa 7% dhidi ya dola tangu mwanzo wa 2026, ikiwa ni pamoja na 4% wakati wa miezi ya vita na Iran kutokana na mapato makubwa ya mitaji ya kigeni - hasa katika sekta za teknolojia, fedha, na ulinzi.

Sababu kuu:

● Sekta za teknolojia ya juu na binafsi ni imara na imara.

● Uwekezaji mkubwa wa kigeni, hasa katika mtandao.

● Idadi chanya ya watu - ukuaji wa idadi ya watu wa takriban 2% kwa mwaka huku idadi ya watu ikiwa changa.

● Mauzo makubwa ya nje katika sekta za teknolojia, gesi asilia, na ulinzi.

● Masoko ya mitaji tayari "yana bei katika" uboreshaji wa kijiografia na kisiasa na kusitisha mapigano ya baadaye.
Ahsante Malkia Zumaridi Mke wa NETANYAHU, kawadanganye machoko wenzio, yaani nchi ipokee kichapo cha mbwa koko halafu utuambie uchumi wao umepaaa
 
Hahaha wajinga tu ndio watamini hayo niambie umepaa vipi? Kipi walicho fanya mpaa upae nchi hio miaka inapoteza mabillions kwenye vita afe aje msafisha vyoo atuambie uchumi umepaa

Hata yale mashoga miaka mitatu sasa hayafanyi ushogo huko Tela Aviv sa umepaa vipi.

Wakati hakuna, mashoga hakuna watalii, infrastructure nyingi zimeharibiwa afu utuambie uchumi umepaa

UAE alikuwa ni chi ya tatu yeye hazina duniani na haswa Abu dhabi peke yake ilikuwa na 2 5 Trillions kwenye hazina na ilikuwa karibu ya nne duniani kwa kuingiza pesa kwa utalii na investors wengi waliona ndio nchi safe leo wanaomba Bailout afu ***** kama wewe utuletee kanga za Tela Aviv eti uchumi wao umepaa nchi yenyewe omba omba hio
 
We jamaa ni kilaza sana, unavyolinganisha hapa unatakiwa uweke GDP per capita ya Israel vs USA na EU. Ambacho hujui OECD countries uchumi unakua kidogo sana sababu umeshafika viwango vya juu sana. Hiyo 1.3% ya USA ni kwenye GDP ya Dola 32 Trillion ila 4.4% ya Israel ni kwenye uchumi wa Dola 789 Bilion. Yaani Israel inaingia zaidi ya mara 40 kwa US kiuchumi.

Hauna elimu ndio maana unashabikia ujinga
Huyo ni muosha vyoo elimu ataipata wapi kachukuliwa kibosho ana lamba makamasi yake bado kapelekwa Tela Aviv akasafishe vyoo wajato yupo darasa la nne
 
Uchumi unapimwa kwa GDP na per capita GDP au GDP PPP. Hizo growth ni indicator tu lakini hazionyeshi ukubwa kwa uchumi.

Nikupe mfano Tanzania uchumi unakua kwa 5.5% Je ina maana uchumi wa Tanzania unakua kuliko wa Israel na USA?? Kwahiyo tuseme Tanzania ina uchumi bora kuliko USA, EU na Israel?
Kwa hiyo kwa akili yako Matope unapinga Uchumi wa Israeli haupai kama nilivyosema?

Au unapinga tu kwa sababu tu huipendi Israel.?
Kwanza hii umetoa chat gpt so taarifa za uongo nyingi sana hujaweka indicator za kiuchumi za maana mfano Net exports au balance of payment, HDI n.k
Na kuna dhambi gani nikiitoa Google?

Maana najua na wewe umeenda huko kuhakiki!!
 
Huyo ni muosha vyoo elimu ataipata wapi kachukuliwa kibosho ana lamba makamasi yake bado kapelekwa Tela Aviv akasafishe vyoo wajato yupo darasa la nne
Hata niwe darasa la Kwanza Ukweli utabaki palepale Uchumi wa Israel unapaa kuliko wa shoga yenu Iran
 
Kwanza hii umetoa chat gpt so taarifa za uongo nyingi sana hujaweka indicator za kiuchumi za maana mfano Net exports au balance of payment, HDI n.k
Huyu mzee wa Uharo nilikuambia mwanzo hajui lolote kaingia chaka kwenye uchumi kutetea Israel wakati hajui lolote anapewa darasa la uchumi anakuwa mkali na kutukana ninecheka sana anakuambia kwa hiyo unabisha uchumi wa Israel haukui😄 analeta porojo bila data.
 
Hata niwe darasa la Kwanza Ukweli utabaki palepale Uchumi wa Israel unapaa kuliko wa shoga yenu Iran
Wewe punguani sana mzee wa Uharo hujui vitu vingi sana unajua deni la Tanzania analodaiwa na Iran?

Soma hii…
"The upward trend in the debt-to-GDP ratio stems from the security spending required following the war," Finance Minister Bezalel Smotrich said.

Israel's public debt-to-GDP ratio rose to 68.6% in 2025, up from 67.7% in 2024, the Finance Ministry said on Sunday.

"The upward trend in the debt-to-GDP ratio stems from the security spending required following the war and the efforts to rebuild and support Israeli society," Finance Minister Bezalel Smotrich said.

Huyu mzee wa Uharo nilikuambia mwanzo hajui lolote kaingia chaka kwenye uchumi kutetea Israel wakati hajui lolote anapewa darasa la uchumi anakuwa mkali na kutukana ninecheka sana anakuambia kwa hiyo unabisha uchumi wa Israel haukui😄 analeta porojo bila data.
Data nilizotoa huzielewi au inapifikia Israel unajitoa ufahamu?
 
Wewe punguani sana mzee wa Uharo hujui vitu vingi sana unajua deni la Tanzania analodaiwa na Iran?

Soma hii…
"The upward trend in the debt-to-GDP ratio stems from the security spending required following the war," Finance Minister Bezalel Smotrich said.

Israel's public debt-to-GDP ratio rose to 68.6% in 2025, up from 67.7% in 2024, the Finance Ministry said on Sunday.

"The upward trend in the debt-to-GDP ratio stems from the security spending required following the war and the efforts to rebuild and support Israeli society," Finance Minister Bezalel Smotrich said.

Wewe unaleta story mumi nimekupa datta na kama unajitoa ufahamu nenda kwenye vyanzo vingine utaona au nikushauli nenda Google ukaangalie
 
Back
Top Bottom