Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
- Thread starter
- #61
Najua kabisa Umeumia sana!!Hizo propaganda unazozileta niza kitoto sana hata mtu ambaye hajaenda shule anakushangaa
Na umepandisha Majini nakushauli tu mtafute Mchungaji aliye karibu nawe akuombee au kesho asubuhi Jumapili nenda kanisani ukaombewe maana hayo majini yatakutesa sana!!!
Nakyshauli pia achana na biashara ya kufuga Midevu na Majini anza kufuga Ng'ombe wa naziwa na kuku wa Mayai!!
Mwisho kabisa soma hapa chini ujinga ukutoke