Unataka tujibu nini sasa hapo wakati hakuna cha kujibu!!Wajuaji sana alafu data hawataki, watajibu matusi maana hoja wamezidiwa.
Chuki zako kwa Israel zitakutoa Roho bure!!!Kwa IMF na World Bank deni la taifa likizidi 60% ya pato la taifa (GDP) ni hatari. So hapa wameperform vibaya
Pia unakosea kulinganisha na EU na USA maana deni lao kubwa ni la ndani tofauti na Israel ambalo zaidi ya 50% ya deni la taifa ni la NJE.
Nilitarajia wewe mwenye unge-Flow ukaonyesha Elimu yako na mimi nikaonekana sijui kitu!!We jamaa ni kilaza sana, unavyolinganisha hapa unatakiwa uweke GDP per capita ya Israel vs USA na EU. Ambacho hujui OECD countries uchumi unakua kidogo sana sababu umeshafika viwango vya juu sana. Hiyo 1.3% ya USA ni kwenye GDP ya Dola 32 Trillion ila 4.4% ya Israel ni kwenye uchumi wa Dola 789 Bilion. Yaani Israel inaingia zaidi ya mara 40 kwa US kiuchumi.
Hauna elimu ndio maana unashabikia ujinga
Uchumi unapimwa kwa GDP na per capita GDP au GDP PPP. Hizo growth ni indicator tu lakini hazionyeshi ukubwa kwa uchumi.Mzee wa kupika data ina maana unapinga kuwa Uchumi wa Israel haupai kama nilivyosema?
Au uchumi wa Israel unashuka?
Jibu hayo ili nije nikuumbue uongo wako mjinga wewe!!
Nimebwabwaja nini? Nimeweka rekodi sawa kuwa deni la taifa ni 60% ya pato la taifa kwahiyo ni sawa na nchi masikini kama Tanzania tu maana wadeni wakitaka pesa zao si uchumi utaporomoka. Na deni kubwa la Israel ni la nje kwa mikopo yenye ribaChuki zako kwa Israel zitakutoa Roho bure!!!
Nilitarajia utakuja hapa kupinga kwa Matinki sasa unapokuja hapa kubwabwaja tu itakusaidia nini?
Hauwezi nipa somo lolote kwenye uchumi maana hauna elimu hiyo. Hoja ni kwamba ukuaji wa uchumi haumaanishi uchumi ni mkubwa au tajiri bali inaweza kuwa kwa vitu vichache mfano Israel imepata misaada mingi ya silaha, imenunua silaha nyingi, imeongeza matumizi kwa ajili ya kivita n.k so hayo yanachochea pato la taifa kukua ila sio indicator ya economic resilience.Hapa hujatoa Challenge yoyote kwangu na hujapinga Bandiko langu kwa hoja!!
Nataka tena nikupe somo ili ujue uchumi wa Israel unapaa kuliko mashoga zako Iran na nchi zingine
Hahahaha dah kwahiyo Israel ina uchumi mkubwa kuliko nchi za G7? Kwa logic hii basi Tanzania ime perform vizuri kuliko nchi zote za G7!!na kufanya vizuri zaidi kuliko nchi zote za G7,
Porojo jingi hamna chanzo chochote, uchumi unakuwa vipi nchi iliyopigwa mabomu kwenye vyanzo vyake vyote mpaka viwanda vya kusafishia mafuta mpaka wamelazimika kuomba msaada kutoka US kupambana na Iran na pia wakashindwa wakalazimika kusitisha vita.Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz.
Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa kuvutia, ukiwa na utendaji bora kuliko ilivyotarajiwa ikilinganishwa na nchi zilizoendelea.
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linakadiria kuwa uchumi wa Israeli utakua kwa 3.5% mwaka huu, ikilinganishwa na 2.3% nchini Marekani na 1.3% katika Umoja wa Ulaya. Hii ina maana kwamba Pato la Taifa la Israeli (GDP) linatarajiwa kufanya vyema kuliko nchi zote za G7 mwaka wa 2026. Mwaka ujao, kulingana na utabiri wa IMF, Israeli inatarajiwa kukua kwa 4.4%, ikiendelea kuzipita nchi nyingi kubwa zilizoendelea.
Data muhimu za kiuchumi:
ā Ukuaji: Benki kuu (Benki ya Israeli) inakadiria ukuaji wa 3.8% mwaka wa 2026 (baada ya kupunguzwa kwa 1.4% kutoka kwa utabiri uliopita). Ikiwa migogoro itatatuliwa, ukuaji unaweza kupanda hadi 5.5%.
ā Ukosefu wa ajira: Imeongezeka kidogo hadi 3.2% (Machi 2026), lakini bado iko chini ikilinganishwa na Marekani (4.3%) na Ulaya (6.2%).
ā Mfumuko wa bei: Imetulia kwa 1.9%, ndani ya kiwango cha lengo la Benki ya Israeli (1%-3%), licha ya kupanda kwa bei za mafuta.
⢠Uwiano wa deni-kwa-GDP: Chini kiasi - 69.8%, ikilinganishwa na wastani wa 123.7% katika nchi za G7.
Masoko ya mitaji na sarafu:
ā Kielezo cha Tel Aviv 35: Imepanda kwa takriban 20% tangu mwanzo wa 2026 (baada ya ongezeko la 51.6% mwaka wa 2025).
ā Kielezo cha Tel Aviv 125: Imeongezeka zaidi ya 17% tangu mwanzo wa mwaka.
ā Shekeli: Imeimarishwa kwa 7% dhidi ya dola tangu mwanzo wa 2026, ikiwa ni pamoja na 4% wakati wa miezi ya vita na Iran kutokana na mapato makubwa ya mitaji ya kigeni - hasa katika sekta za teknolojia, fedha, na ulinzi.
Sababu kuu:
ā Sekta za teknolojia ya juu na binafsi ni imara na imara.
ā Uwekezaji mkubwa wa kigeni, hasa katika mtandao.
ā Idadi chanya ya watu - ukuaji wa idadi ya watu wa takriban 2% kwa mwaka huku idadi ya watu ikiwa changa.
ā Mauzo makubwa ya nje katika sekta za teknolojia, gesi asilia, na ulinzi.
ā Masoko ya mitaji tayari "yana bei katika" uboreshaji wa kijiografia na kisiasa na kusitisha mapigano ya baadaye.
Kwanza hii umetoa chat gpt so taarifa za uongo nyingi sana hujaweka indicator za kiuchumi za maana mfano Net exports au balance of payment, HDI n.kKwa maneno hayo yote usipoelewa basi wewe utakuwa Muha na huna maana kabisa!!!
Tanzania imekua kiuchumi kuzidi Israel!! Una maoni gani? Tanzania imeizidi taifa teule?Uchumi wa Israel unazidi kupaa mtake mistake endeleeni tu kuushusha kihisia kama mlivyomuua kwa hisia Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Ahsante Malkia Zumaridi Mke wa NETANYAHU, kawadanganye machoko wenzio, yaani nchi ipokee kichapo cha mbwa koko halafu utuambie uchumi wao umepaaaHabari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz.
Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa kuvutia, ukiwa na utendaji bora kuliko ilivyotarajiwa ikilinganishwa na nchi zilizoendelea.
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linakadiria kuwa uchumi wa Israeli utakua kwa 3.5% mwaka huu, ikilinganishwa na 2.3% nchini Marekani na 1.3% katika Umoja wa Ulaya. Hii ina maana kwamba Pato la Taifa la Israeli (GDP) linatarajiwa kufanya vyema kuliko nchi zote za G7 mwaka wa 2026. Mwaka ujao, kulingana na utabiri wa IMF, Israeli inatarajiwa kukua kwa 4.4%, ikiendelea kuzipita nchi nyingi kubwa zilizoendelea.
Data muhimu za kiuchumi:
ā Ukuaji: Benki kuu (Benki ya Israeli) inakadiria ukuaji wa 3.8% mwaka wa 2026 (baada ya kupunguzwa kwa 1.4% kutoka kwa utabiri uliopita). Ikiwa migogoro itatatuliwa, ukuaji unaweza kupanda hadi 5.5%.
ā Ukosefu wa ajira: Imeongezeka kidogo hadi 3.2% (Machi 2026), lakini bado iko chini ikilinganishwa na Marekani (4.3%) na Ulaya (6.2%).
ā Mfumuko wa bei: Imetulia kwa 1.9%, ndani ya kiwango cha lengo la Benki ya Israeli (1%-3%), licha ya kupanda kwa bei za mafuta.
⢠Uwiano wa deni-kwa-GDP: Chini kiasi - 69.8%, ikilinganishwa na wastani wa 123.7% katika nchi za G7.
Masoko ya mitaji na sarafu:
ā Kielezo cha Tel Aviv 35: Imepanda kwa takriban 20% tangu mwanzo wa 2026 (baada ya ongezeko la 51.6% mwaka wa 2025).
ā Kielezo cha Tel Aviv 125: Imeongezeka zaidi ya 17% tangu mwanzo wa mwaka.
ā Shekeli: Imeimarishwa kwa 7% dhidi ya dola tangu mwanzo wa 2026, ikiwa ni pamoja na 4% wakati wa miezi ya vita na Iran kutokana na mapato makubwa ya mitaji ya kigeni - hasa katika sekta za teknolojia, fedha, na ulinzi.
Sababu kuu:
ā Sekta za teknolojia ya juu na binafsi ni imara na imara.
ā Uwekezaji mkubwa wa kigeni, hasa katika mtandao.
ā Idadi chanya ya watu - ukuaji wa idadi ya watu wa takriban 2% kwa mwaka huku idadi ya watu ikiwa changa.
ā Mauzo makubwa ya nje katika sekta za teknolojia, gesi asilia, na ulinzi.
ā Masoko ya mitaji tayari "yana bei katika" uboreshaji wa kijiografia na kisiasa na kusitisha mapigano ya baadaye.
Hahaha wajinga tu ndio watamini hayo niambie umepaa vipi? Kipi walicho fanya mpaa upae nchi hio miaka inapoteza mabillions kwenye vita afe aje msafisha vyoo atuambie uchumi umepaaHabari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz.
Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro unaoendelea tangu Oktoba 2023, uchumi wa Israeli na masoko ya fedha yanastawi na kuonyesha ustahimilivu wa kuvutia, ukiwa na utendaji bora kuliko ilivyotarajiwa ikilinganishwa na nchi zilizoendelea.
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) linakadiria kuwa uchumi wa Israeli utakua kwa 3.5% mwaka huu, ikilinganishwa na 2.3% nchini Marekani na 1.3% katika Umoja wa Ulaya. Hii ina maana kwamba Pato la Taifa la Israeli (GDP) linatarajiwa kufanya vyema kuliko nchi zote za G7 mwaka wa 2026. Mwaka ujao, kulingana na utabiri wa IMF, Israeli inatarajiwa kukua kwa 4.4%, ikiendelea kuzipita nchi nyingi kubwa zilizoendelea.
Data muhimu za kiuchumi:
ā Ukuaji: Benki kuu (Benki ya Israeli) inakadiria ukuaji wa 3.8% mwaka wa 2026 (baada ya kupunguzwa kwa 1.4% kutoka kwa utabiri uliopita). Ikiwa migogoro itatatuliwa, ukuaji unaweza kupanda hadi 5.5%.
ā Ukosefu wa ajira: Imeongezeka kidogo hadi 3.2% (Machi 2026), lakini bado iko chini ikilinganishwa na Marekani (4.3%) na Ulaya (6.2%).
ā Mfumuko wa bei: Imetulia kwa 1.9%, ndani ya kiwango cha lengo la Benki ya Israeli (1%-3%), licha ya kupanda kwa bei za mafuta.
⢠Uwiano wa deni-kwa-GDP: Chini kiasi - 69.8%, ikilinganishwa na wastani wa 123.7% katika nchi za G7.
Masoko ya mitaji na sarafu:
ā Kielezo cha Tel Aviv 35: Imepanda kwa takriban 20% tangu mwanzo wa 2026 (baada ya ongezeko la 51.6% mwaka wa 2025).
ā Kielezo cha Tel Aviv 125: Imeongezeka zaidi ya 17% tangu mwanzo wa mwaka.
ā Shekeli: Imeimarishwa kwa 7% dhidi ya dola tangu mwanzo wa 2026, ikiwa ni pamoja na 4% wakati wa miezi ya vita na Iran kutokana na mapato makubwa ya mitaji ya kigeni - hasa katika sekta za teknolojia, fedha, na ulinzi.
Sababu kuu:
ā Sekta za teknolojia ya juu na binafsi ni imara na imara.
ā Uwekezaji mkubwa wa kigeni, hasa katika mtandao.
ā Idadi chanya ya watu - ukuaji wa idadi ya watu wa takriban 2% kwa mwaka huku idadi ya watu ikiwa changa.
ā Mauzo makubwa ya nje katika sekta za teknolojia, gesi asilia, na ulinzi.
ā Masoko ya mitaji tayari "yana bei katika" uboreshaji wa kijiografia na kisiasa na kusitisha mapigano ya baadaye.
Wamemuzia nani silaha katika miaka mitatu wakati wao walikuwa wanalia USA alipo wacha kuwapelekea silaha mda wa miezi miwili tu.Mauzo ya silaha yanaibeba Sana nchi ya Israel.
Technology ya iron beam imewapa faida Sana
Huyo ni muosha vyoo elimu ataipata wapi kachukuliwa kibosho ana lamba makamasi yake bado kapelekwa Tela Aviv akasafishe vyoo wajato yupo darasa la nneWe jamaa ni kilaza sana, unavyolinganisha hapa unatakiwa uweke GDP per capita ya Israel vs USA na EU. Ambacho hujui OECD countries uchumi unakua kidogo sana sababu umeshafika viwango vya juu sana. Hiyo 1.3% ya USA ni kwenye GDP ya Dola 32 Trillion ila 4.4% ya Israel ni kwenye uchumi wa Dola 789 Bilion. Yaani Israel inaingia zaidi ya mara 40 kwa US kiuchumi.
Hauna elimu ndio maana unashabikia ujinga
Kwa hiyo kwa akili yako Matope unapinga Uchumi wa Israeli haupai kama nilivyosema?Uchumi unapimwa kwa GDP na per capita GDP au GDP PPP. Hizo growth ni indicator tu lakini hazionyeshi ukubwa kwa uchumi.
Nikupe mfano Tanzania uchumi unakua kwa 5.5% Je ina maana uchumi wa Tanzania unakua kuliko wa Israel na USA?? Kwahiyo tuseme Tanzania ina uchumi bora kuliko USA, EU na Israel?
Na kuna dhambi gani nikiitoa Google?Kwanza hii umetoa chat gpt so taarifa za uongo nyingi sana hujaweka indicator za kiuchumi za maana mfano Net exports au balance of payment, HDI n.k
Hata niwe darasa la Kwanza Ukweli utabaki palepale Uchumi wa Israel unapaa kuliko wa shoga yenu IranHuyo ni muosha vyoo elimu ataipata wapi kachukuliwa kibosho ana lamba makamasi yake bado kapelekwa Tela Aviv akasafishe vyoo wajato yupo darasa la nne
Huyu mzee wa Uharo nilikuambia mwanzo hajui lolote kaingia chaka kwenye uchumi kutetea Israel wakati hajui lolote anapewa darasa la uchumi anakuwa mkali na kutukana ninecheka sana anakuambia kwa hiyo unabisha uchumi wa Israel haukuiš analeta porojo bila data.Kwanza hii umetoa chat gpt so taarifa za uongo nyingi sana hujaweka indicator za kiuchumi za maana mfano Net exports au balance of payment, HDI n.k
Wewe punguani sana mzee wa Uharo hujui vitu vingi sana unajua deni la Tanzania analodaiwa na Iran?Hata niwe darasa la Kwanza Ukweli utabaki palepale Uchumi wa Israel unapaa kuliko wa shoga yenu Iran
Data nilizotoa huzielewi au inapifikia Israel unajitoa ufahamu?Huyu mzee wa Uharo nilikuambia mwanzo hajui lolote kaingia chaka kwenye uchumi kutetea Israel wakati hajui lolote anapewa darasa la uchumi anakuwa mkali na kutukana ninecheka sana anakuambia kwa hiyo unabisha uchumi wa Israel haukuiš analeta porojo bila data.
Wewe unaleta story mumi nimekupa datta na kama unajitoa ufahamu nenda kwenye vyanzo vingine utaona au nikushauli nenda Google ukaangalieWewe punguani sana mzee wa Uharo hujui vitu vingi sana unajua deni la Tanzania analodaiwa na Iran?
Soma hiiā¦
"The upward trend in the debt-to-GDP ratio stems from the security spending required following the war," Finance Minister Bezalel Smotrich said.
Israel's public debt-to-GDP ratio rose to 68.6% in 2025, up from 67.7% in 2024, the Finance Ministry said on Sunday.
"The upward trend in the debt-to-GDP ratio stems from the security spending required following the war and the efforts to rebuild and support Israeli society," Finance Minister Bezalel Smotrich said.
Israelās debt-to-GDP ratio rose to 68.6% in 2025 due to war, rebuilding expenses - Finance Min.
"The upward trend in the debt-to-GDP ratio stems from the security spending required following the war," Finance Minister Bezalel Smotrich said. Israel's public debt-to-GDP ratio rose to 68.finance.yahoo.com