Uchumi wa Israel wazidi kupaa licha ya Vita vyake na Iran

Ahsante Malkia Zumaridi Mke wa NETANYAHU, kawadanganye machoko wenzio, yaani nchi ipokee kichapo cha mbwa koko halafu utuambie uchumi wao umepaaa
Utajua nini wewe? Endelea tu kutukana maana ndiyo kipaji chako!!
 
Israel wako takriban milioni 10 hivi na Tanzania tuko takriban milioni 70 hivi, sasa kwa maana hiyo GDP ya Israel inaizidi ya Tanzania zaidi ya mara tisa.

Pili, Tanzania ina eneo la kilomita za mraba 945,000 wakati Israel eneo lake ni kilomita za mraba 22,145 hivyo ina maana Israel inaingia kwa Tanzania kama mara 43 hivi.

Ina maana kuwa na watu wengi na nchi kubwa sio suluhisho kama hamna sera nzuri, teknolojia na uongozi bora vitu ambavyo kwa bahati mbaya Tanzania hatuna kabisa ila tuna machawa na mafisadi kibao.
 
As of December 2025, Israel's gross external (foreign) debt stood at approximately $165 billion USD, according to CEIC Data and Trading Economics. This represents about 26.9% of the country's GDP for 2025, with around $56 billion of that total being short-term debt.

Key Details on Israel's External Debt (as of 2025-2026):

Total Gross External Debt:

~164.98 billion USD (Dec 2025).Short-Term External Debt: ~55.96 billion USD (Dec 2025).

Context:
The debt has seen an upward trend due to financing needs, including costs associated with ongoing military conflicts, with CEIC Data identifying this as a record high.

Trend:
The debt increased from approximately 160.4 USD billion in the previous quarter (Q3 2025), notes CEIC Data.

Definition:
This includes the total debt of public and private borrowers held by non-residents. Data on Israel's external debt is provided by the Bank of Israel and analyzed by CEIC and Trading Economics.
 
Waarabu-koko hawataki kuambiwa ukweli!!
 
Wewe hata ukiambiwa kula mavi ya Netanyahu unakula hata pipa
Zima.
To some other religious bigots trading insults often forms part of a prayer and perpendicular to that this also is a recipe for the religious kindergarten curriculum.
 
Hata niwe darasa la Kwanza Ukweli utabaki palepale Uchumi wa Israel unapaa kuliko wa shoga yenu Iran
Data zipi kenge unazo ongelea Israel yupo hoi sijui hizi data zako unazitolea Wapi hizo data unazo ongelea ni dreams wanazo zitegemea wao wakati haziwezekani. Soma Lemonde wanasema nini Israel wao wanadai wamekuwa affected kidogo lakini ukweli utajulikana karibuni. Wanaficha aibu zao nyingi sana

 
Israel wako takriban milioni 10 hivi na Tanzania tuko takriban milioni 70 hivi, sasa kwa maana hiyo GDP ya Israel inaizidi ya Tanzania zaidi ya mara tisa.
Acha story hizo zingine, huyo mjinga kasema Israel ina uchumi imara kuliko G7 wote kwa sababu tu ina ongezeko la 4.4 ndio nikatoa hoja kuwa Tanzania ina ongezeko la 5.4 je nayo ni bora kuliko G7 wote? Na yeye hajaandika kuwa USA ina uchumi mara 30 zaidi ya Israel.
 
Unaficha ukweli, deni la taifa ni karibu na 70% ya GDP maana yake deni sio himilivu kulingana na IMF na World Bank. Sasa uchumi unaoendeshwa kwa madeni ni uchumi mbovu sana.
 
Acha kubwabwaja ovyo ukweli ndiyo huo na nimeeleza nyanja zilizosaidia kuupaisha Uchimi wa Israel juu!!

Ni ujinga kulinganisha uchimi wa Tanzania na Israel!!
 
Unaficha ukweli, deni la taifa ni karibu na 70% ya GDP maana yake deni sio himilivu kulingana na IMF na World Bank. Sasa uchumi unaoendeshwa kwa madeni ni uchumi mbovu sana.
Data ziko wazi hakuna cha kuficha labda tu ujitoe ufahamu wewe mwenyewe!!

Hakuna asiyejua Uchumi wa Israel unapaa sana!! Wafuga midevu na majini tu ndiyo wanajitoa ufahamu kwa kukataa ukweli!!
 
Unaficha ukweli, deni la taifa ni karibu na 70% ya GDP maana yake deni sio himilivu kulingana na IMF na World Bank. Sasa uchumi unaoendeshwa kwa madeni ni uchumi mbovu sana.
Israel's debt is considered manageable but under growing pressure, with the debt-to-GDP ratio rising to 68.6% in 2025 due to war-related spending. While credit agencies have downgraded the rating, outlook remains stable with a forecast of ~70-71% debt-to-GDP by 2026-2027, viewed as sustainable due to a strong economy and favorable debt structure, though long-term risks are elevated.

Key Aspects of Israel's Debt Sustainability (as of early 2026):

Rising Debt Levels: Public debt-to-GDP rose to 68.6% in 2025, up from 67.7% in 2024, driven by security expenses and war-related economic support. Debt is projected to rise to around 71.4% by 2026 and continue a moderate increase.

Favorable Debt Structure:
Israel's debt structure is a key strength, with high average maturity (\(>8\) years) and a large portion held domestically in local currency, reducing exposure to immediate foreign exchange shocks.

Credit Rating Impact:
Major agencies like Fitch Ratings have affirmed Israel at 'A' but maintained a negative outlook, reflecting risks that the deficit remains high.

Key Risks:
Persistent Conflicts:

Prolonged warfare continues to strain the budget, with high defense spending expected to keep the deficit elevated through 2027.

Economic Impact:
The INSS notes that rising, non-productive war spending threatens long-term growth and could lead to further economic instability.Regional Risks: Further regional escalation could significantly increase debt-to-GDP beyond current projections.

Overall, despite the increased debt-to-GDP ratio to 68.6% in 2025, the economy's underlying strength is generally seen as able to manage the current trajectory, provided there is a path back to lower deficits.
 
Tatizo Wafuga Midevu na Majini hawataki kuelewa!!
 
Acha kuchukua taarifa chat GPT hao IMF waliodai Israel uchumi unakua kwa 4.4 ndio wamesema 70% debt to Gdp ratio sio sustainable. So chat gpt haiwezi kuwa source ya mambo ya uchumi
 
Data ziko wazi hakuna cha kuficha labda tu ujitoe ufahamu wewe mwenyewe!!

Hakuna asiyejua Uchumi wa Israel unapaa sana!! Wafuga midevu na majini tu ndiyo wanajitoa ufahamu kwa kukataa ukweli!!
Uchumi wa Israel unakua kivipi wakati unazidiwa kukua na DRC na Tanzania pamoja na nchi zingine zaidi ya 50!! Mbona haujaisifi Tanzania kwa kuizidi uchumi Israel?
 
Acha kuchukua taarifa chat GPT hao IMF waliodai Israel uchumi unakua kwa 4.4 ndio wamesema 70% debt to Gdp ratio sio sustainable. So chat gpt haiwezi kuwa source ya mambo ya uchumi
Kwa akili kiduchu Source ya mambo ya uchumi ni wewe na mkeo?.

Tunajua unaumia sana ukisikia uchimi wa Israel unapaa yaani unatamani ujinyonge kwa chuki zako dhidi ya Israel!!

Pamoja na yote hayo endelea kuumia tu maana Uchumi wa Israel unaendelea kupaa kinyume na matarajio yako. Ujinga ulivyokuzidi unajifanya una akili kuzidi Google na Chat Gpt. Unajifanya unajua hesabu kuzidi Calculator wakati ni zero-brain,
 
Hizo propaganda unazozileta niza kitoto sana hata mtu ambaye hajaenda shule anakushangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…