Najua kabisa Umeumia sana!!Hizo propaganda unazozileta niza kitoto sana hata mtu ambaye hajaenda shule anakushangaa
Tuchambulie basi na ya Iran pia tuone ilivyo kwa sasa.Acha kuchukua taarifa chat GPT hao IMF waliodai Israel uchumi unakua kwa 4.4 ndio wamesema 70% debt to Gdp ratio sio sustainable. So chat gpt haiwezi kuwa source ya mambo ya uchumi
Akili zako hazina akili soma hapa chini.Acha kuchukua taarifa chat GPT hao IMF waliodai Israel uchumi unakua kwa 4.4 ndio wamesema 70% debt to Gdp ratio sio sustainable. So chat gpt haiwezi kuwa source ya mambo ya uchumi
Hauwezi nipa somo lolote kwenye uchumi maana hauna elimu hiyo. Hoja ni kwamba ukuaji wa uchumi haumaanishi uchumi ni mkubwa au tajiri bali inaweza kuwa kwa vitu vichache mfano Israel imepata misaada mingi ya silaha, imenunua silaha nyingi, imeongeza matumizi kwa ajili ya kivita n.k so hayo yanachochea pato la taifa kukua ila sio indicator ya economic resilience.
Kwahiyo kwa elimu yako ndogo Tanzania ina uchumi imara kuliko Israel na USA kisa tumekua kwa 5.5% ambayo ni kubwa kuliko ukuaji uchumi wa israel na USA??
Nenda shule kijana, kwenye uchumi we ni mtupu sana.
Uchumi unapimwa kwa GDP na per capita GDP au GDP PPP. Hizo growth ni indicator tu lakini hazionyeshi ukubwa kwa uchumi.
Nikupe mfano Tanzania uchumi unakua kwa 5.5% Je ina maana uchumi wa Tanzania unakua kuliko wa Israel na USA?? Kwahiyo tuseme Tanzania ina uchumi bora kuliko USA, EU na Israel?