"Uchumi wa kati" hapa mjini. Akina dada ni wewe na akili yako tu

"Uchumi wa kati" hapa mjini. Akina dada ni wewe na akili yako tu

Mkuu unataka, kuniambia gest za kigoma, zinalaza wageni tu, kama wageni, hakuna anae andika anakotoka Kigoma na anakoelekea Kigoma.
Mapenzi Kigoma mpaka baada ya ndoa, fanya uje Kunduchi oune alafu uniambie hawa wanao nyanduliwa waha wa wapi.
Kunduchi maeneo gani
 
Wanaouza nyapu Tegeta ni wazaramo na makabila mengine lkn siyo waha
Mzaramo hauzi k acha ujinga.

Waliwakaribisha wahaya wao wakaendelea na mdundiko/mkinda

Wakawakaribisha watoto wa kinyaturu/kinyisanzu/kinyiramba/warangi/Wataturu wenyewe wakakomaa na segere

Wakawaribisha watoto wa Kaskazini kitambo hicho wenyewe wakakomaa na mchiriku

Wakawakaribisha watoto wa kimakonde na kusini hadi songea wenyewe wakakomaa na mnanda.

Kuna tofauti ya kuopoa Malaya na kuopoa mtu kwenye rusha roho/ kigodoro
 
Dada unatembea na kitega uchumi, halafu unalalamika maisha magumu ? Unakwama wapi?

Ili kuyakabili maisha na kuwa na uchumi wa kati jirembe, jibebishe na uwe mtu wa kukaa maeneo ya mawindo.

Anyway. Kuna mwenzenu siku kama ya leo ametengeneza 1M. Asubuhi aliitwa na mshefa wakutane sehemu wapate breakfast na kucheza ile game ya kikubwa, akapewa 400k (siyo wewe unalipwa 40k).

Mida ya lunch kakutana na mjanja kampiga 100k kwa kumpatia namba ya simu tu.

Hivi navyoongea kaingiziwa 500k kwenye simu na mjanja mwingine ili wakale bata usiku huu.

Wewe unakwama wapi na sikukuu zote hizi?
Ila wewe dada ni malaya sana aisee!

Na kuna uzi humu ulisema pesa kwanza mapenzi baadae
 
Kwa akili hizo ndo maana hamuolewi, mashimo ya barabarani yanakuwaaga madogo lakini kadiri yanavyokanyagwa na magari tofauti tofauti yanaongezeka ukubwa. Hamkawii kusingizia hoo wanaume wasiku hizi wanavibamia sio nyie mnakuwa mmeshatumika Sana mpaka yamkuwa mahandaki kisaunatafuta pesa
Mahandaki ya Hamas pale Gaza.
 
Back
Top Bottom