Uwiiiii hii ni ukweli,, kuna siku nilikutana shemu anafanya jambo moja hivi ndio niliamini. alishawahi kuniambia ili ndoa yake iwe na amani na furaha yeye atimize majukumu yake kama mwanaume,, yeye mama hela zake ataamua kutoa au la! akijisikia! niishie hapa nisije kusutwa maana shoga angu yupo humu.Unaweza kushangaa huyo bibi anacheza Kaole Sanaa Group tu hapo ili wote mkae mguu sawa.
Kwa takwimu zisizo rasmi wanawake wengi sana wanalea familia zao kwa sasa, wanaime wengi wamepigika sio poa....
kwa dalili zipi ulizoziona dokta?Watu kama nyie mnakuwaga Wazuri Sana kwenye kutoa Ile huduma yetu tunayopenda Sisi Wanaume🤣🤣
Wapo tena wengi sana, kuna wanawake wanawahurumia na kuwajali sana wanaume zao.kwa akili yako kuna mwanamke anaye muhurumia mwanaume????
mimi msela wangu ananijua vizuri mnoo kiasi kwamba hana neno
Jamaa anaweza hata kujitia kitanzi aiseeHuo Uwezo Hana jamaa kashakamatika
Unachosema ni kweli, mwanaume asimame kwenye nafasi yake na mwanamke asimame kwake.Uwiiiii hii ni ukweli,, kuna siku nilikutana shemu anafanya jambo moja hivi ndio niliamini. alishawahi kuniambia ili ndoa yake iwe na amani na furaha yeye atimize majukumu yake kama mwanaume,, yeye mama hela zake ataamua kutoa au la! akijisikia! niishie hapa nisije kusutwa maana shoga angu yupo humu.
Kiufupi mwanaume yoyote yule asitegemee hela au kipato cha mwanamke maana sisi akili zetu tunazijuwa wenyewe na hatukawii kuchoka.
Sijakulaumu boss, And it is very possible fedha za waziri zinarudi kwenye miradi yao ya familia, lazima wakili atamspoil maana ni win-win.Nimesema nilichoona na kusikia mengineyo hayanihusu.
ninachojua wanapendana
Wapo wengi na Mimi ni shahidi namba 1 kama wewe sio miongoni mwao ni sawa wala hakuna shida hata kidogokwa akili yako kuna mwanamke anaye muhurumia mwanaume????
mimi msela wangu ananijua vizuri mnoo kiasi kwamba hana neno
Ukioa mwanamke anawekeza kwenye mji wake, sio nje ya mji wake. Haijalishi ni msomi, mwenye kazi au hana kazi. Kazi ya mume na mke ni kutengeneza empire yao sio mmoja amsaidie mwingine maisha.Kama ulijichanganya kwamba ukioa Msomi mwenye kazi nzuri atakusaidia kwenye maisha hapa ndipo watu wanakimbia nyumba zao kwa stress
Kwaiyo hamtaki kutusaidia ili tusibakiwe na pesa ya kuwaonga watoto 2000 acheni wivu😂Yes! paragraph ya pili uko sahihi kabisa.
wanakuwa ungrateful na kuanza kufanya kama ni wajibu sasa wa mke.
Na ndio maana sisi wanawake tukiwapunguzia mzigo nyie mnabweteka kabisa na kuanza kuhonga ovyo huko nje.
na si kwamba hela hatutoi au hatuwahurumii ni kwamba tunatoa kimkakati.
Kama hapa kenge wangu kuna kitu kilikuwa kinamsumbua yaani kwa fundi kaenda sana nikaamuwa ku bless nikampatia kitu kipya kabisa tena anachopenda hakuamini.
Sasa hiyo huruma niliyompa yaani kuiona hela yangu nimetoa sio leo wala kesho labda aumwe tena awe hoi taabani.
kiufupi sisi huruma tunafanya na tunazihesabu 😂 😆 😂
Tatizo mnajitutumuwa kimya kimya poleniUnachosema ni kweli, mwanaume asimame kwenye nafasi yake na mwanamke asimame kwake.
Ila wanaume wengi tumefulia tu, tuna life la kawaida sana tu. Bila backup wengi hatuendi amini naķwambia. Kwenye forum wengi tunajitutumua ila kwa ground things are different.
Hii ndio sababu ndoa nyingi zinagugumia chini kwa chini kwa maumivuUwiiiii hii ni ukweli,, kuna siku nilikutana shemu anafanya jambo moja hivi ndio niliamini. alishawahi kuniambia ili ndoa yake iwe na amani na furaha yeye atimize majukumu yake kama mwanaume,, yeye mama hela zake ataamua kutoa au la! akijisikia! niishie hapa nisije kusutwa maana shoga angu yupo humu.
Kiufupi mwanaume yoyote yule asitegemee hela au kipato cha mwanamke maana sisi akili zetu tunazijuwa wenyewe na hatukawii kuchoka.
Kabisa fikiria umekopa ili umwinue, kapata faida hataki kupunguza hata deni, na zaidi ya hapo unakuta nakutamkia na maneno ya Kashfa, Mwanaume gani, unategemea pesa za mkeo, Tafuta Hela🤣🤣Jamaa anaweza hata kujitia kitanzi aisee
Kwaiyo hamtaki kutusaidia ili tusibakiwe na pesa ya kuwaonga watoto 2000 acheni wivu😂
Sio iwe ya familia biashara unatakiwa iwe yako Mwanaume, yeye awe kama mwajiriwa tuKama mke ni mwajiliwa hapo sawa, kumkontroo kiuchumi ni kazi.
Lakini mke unampa mtaji, halafu unamwacha ajichunge kama mbuzi wa kiangazi!!!
Yeye asimamie tu ila biashara iwe ya familia.
Hii ndio sababu ndoa nyingi zinagugumia chini kwa chini kwa maumivu
Sasa Leo dada mtu kaamka asubuhi saa 12 kaenda kazini, anarudi saa 11 jioni, hayo majukumu Mwanamke anafanya saa ngapi? Akarudi amechokaHapana, ndani ya ndoa kila mmoja asimame na majukumu yake mbona ndoa raha tu!.
Anamwambia sio type yakeKabisa fikiria umekopa ili umwinue, kapata faida hataki kupunguza hata deni, na zaidi ya hapo unakuta nakutamkia na maneno ya Kashfa, Mwanaume gani, unategemea pesa za mkeo, Tafuta Hela🤣🤣
Lazima atafute sumu ya panya