Uchumi wa mwanamke unapoimarika waweza hatarisha ndoa?

Sasa Leo dada mtu kaamka asubuhi saa 12 kaenda kazini, anarudi saa 11 jioni, hayo majukumu Mwanamke anafanya saa ngapi? Akarudi amechoka

Kwa mfano mimi.
Wikiend mfanyakazi haji, ananisaidia siku za kazi tu.
Sasa kumtengea mume na kuhakikisha anavaa nini nalo nishindwe jamani.
mi kenge wangu huwa anaondoka na breakfast na mchana msosi unamkuta eneo husika hivyo navyo nishindwe kisa kazi?????
na chakula pendwa nampa kila akitaka na muda mwingine naomba mimi na suprize za kubadili mechi za ugenini namfanyia hivyo navyo nishindwe kisa kazi???

Ukiingia kwenye ndoa ili uifurahie hutakiwi kuweka vikwazo au visingizio kuhalalisha au kushindwa jambo fulani.
 
Majukumu yapi? Mwenzio analipa deni ambalo mtaji wake amekupa wewe? Kwanini msisaidiane kumaliza deni ili mwenzio naye apate pa kuanzia?

Tusimuhukumu dada. makubaliano ya mwanzo kabisa ilikuwa yapi?
Biashara ni ya mke au familia????
mikakati ya kusimamia na kuendeleza anayo Nani???
Faida itumike vipi?? akiba iwekwe vp? waliyapanga haya toka mwanzo??
Au mwanaume baada ya kunyonywa boro lake likuwa halija lala vizuri akaweka mpango kazi mapenzi yakiwa mbele
 
Iwe ni mwanaume au mwanake kumpa mtu mtaji ambaye sio ndugu yako unayemjua toka utotoni huo ni uzembe wa hali ya juu
Yaani ukope hela umpe mke mtaji wa biashara
Kwanini hiyo biashara isiwe kwa umiliki wako yeye ukampa kusimamia tu
Pia usiamini story za kusimuliwa mara nyingi wanaongelea upande wa kuonekana wao hawana makosa
 
Kuna kuchungulia fursa ukaona mke anaweza kuifanya vizuri kuliko wewe. Mfano biashara ya nguo za wanawake, vipodozi nk. Kweli jamaa alitakiwa aandike mkataba kuanisha namna madeni yatakavyolipwa. Ni big mistake upande wa mwanaume.
 
Kuna kuchungulia fursa ukaona mke anaweza kuifanya vizuri kuliko wewe. Mfano biashara ya nguo za wanawake, vipodozi nk. Kweli jamaa alitakiwa aandike mkataba kuanisha namna madeni yatakavyolipwa. Ni big mistake upande mwa mwanaume.
Issue ya pesa huwezi kumkabidhi mtu kizembe maana hicho ndo kipimo cha mwisho cha uaminifu
 
Kiuhalisia Ke 70% duniani wakianza tu kuinuka kiuchumi hufikiria kujitenga na Me ili wawe huru kula bata na watoto na ukijichanganya utatangulizwa kabisa usipopenda kwenda.

Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
 
Swadaqta
 
Mume wangu hana hasara hiyo.
Nimeolewa na mwanaume na si mvulana........
Mwanaume anayetimiza majukumu yake ya kiume na mimi niko kutimiza majukumu yangu kama mke katika ndoa.
Nature huhitaji Ke kupigwa mipwipwi tu, kuzaa na kulea watoto akimshauri Me, shida kuna marioo wasiojielewa nakati hata maumbile ya mwili hudhihirisha Ke ni mpokeaji tu si mtoaji.
Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…