Uchumi wa mwanamke unapoimarika waweza hatarisha ndoa?

Nature huhitaji Ke kupigwa mipwipwi tu, kuzaa na kulea watoto akimshauri Me, shida kuna marioo wasiojielewa nakati hata maumbile ya mwili hudhihirisha Ke ni mpokeaji tu si mtoaji.
Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.

Umesema jambo zuri sana,, natamani me na ke wote tujitambue na kujua wajibu wetu.
 
Mwanaume tumia sheria hizi 7 zitakusaidia

1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu)

2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza sh ngapi. Timiza wajibu wako wa kuacha calculated budget kwa siku mf.mimi huwa naacha 10000 kwa siku

3.Mkeo hatakiwi kujua namba ya siri ya kadi yako bora ukawaambia hata wadogo zako wa damu

4.Ni marafuku kumwambia mkeo mipango yako bora ukafanya halafu ukaja kumsurprise

5.Ni marafuku asset kama nyumba na kiwanja kuandika jina la mkeo. Jina lake lionekane kwenye asset za kijinga tu kama biashara na gari.
6.Kabla hujamfungulia mkeo biashara uwe umeshafungua ya kwako tayari faida inayopatikana ndo umpe mtaji. Kwenye hiyo biashara wewe jiweke boss na jifanye unajua kila kitu usiishi kinyonge.
7.Kwenye kusomesha gawaneni miaka au watoto mwambie watoto ni wetu sote. Akilipia term hii we lipia term inayofuata.

Kabla hujajitia kitanzi cha ndoa ni vema ukampa conditions mapema ili siku moja asije kukulaumu. In reality man was born to rule the world. Mwanamke asikupangie cha kufanya asikutishie kukuua ishi kama kachero(TISS/FBI)
 
Ukiwaangalia sura zao kama wanatia huruma hivi,jichanganye ndio utajua hujui...
 
Hiyo sio Ndoa bali ni Uwanja wa vita ya kuoneshana makali😀
 
Siku zinavyozidi kwenda tatizo hili linazidi kuwa kubwa. KE Wana mali za urithi, Biashara na bado wameajiriwa. Kazi ipo hapo.
 
Sidhani kama umeeleza vizuri hii.

Tunavumilia kwa sababu ya ubinadamu na tabia zetu sio kwa sababu ya kukosa option
Ninachosema ni “mara nyingi”, sio “kila mara”. Ni kweli kuna watu huvumilia kwa sababu ya upendo, ubinadamu na tabia zao. Lakini pia kuna watu wanaovumilia mazingira mabaya kwa sababu hawana option ya kuondoka hasa pale ambapo utegemezi wa kifedha unahusika.
Kwa hiyo kusema kuna wanaovumilia kwa sababu ya ubinadamu hakupingani na point yangu. Mimi nazungumzia upande mwingine pia, kwamba wakati mwingine mtu habaki kwa sababu anataka kuvumilia, bali kwa sababu mazingira yake hayampi option salama ya kuondoka.
 
Wanawake wana roho mbaya , yaani kazini wanataka mishahara sawa ila pesa zao wanachanga wala hawatumii kwa ajili ya familia kama akitoa basi anatoa kama deni ..Kwa nn wanapewa mishahra mikubwa ? wengi kama wala laana pesa hazionekani zinaenda wapi ?
 
Nina uhakika wewe hujaoa na kama umeoa basi mkeo ni mshika dini sana, ila kwa hawa wengine lazima ulie machozi tu chake chake,chako chake...
 
Penzi kitovu cha uzembe - Ngoswe 😁
Ubinadamu ni kazi - the humanity is work.
 
Unayosema yote hayo ni sawa.
Lakini ukiingia kwenye ndoa na ukaleta hayo mambo ndoa utabaki kuishangaa na kutoa milio.
na mwanamke ni mwepesi sana kuchoka huo usawa kwenye kuhudumia familia labda huko ulaya huku bongo utaishia kutukana ndoa
Hujaelewa kabisa nilichoandika, soma tena.
 
Sasa kama wewe ni waziri na mimi ni wakili na ninakuhudumia kwa kila kitu, pesa zako unapeleka wapi? Unless zinarudi kwenye miradi ya familia it's OK otherwise hiyo ndoa ivunjike tu shubamiit.
Exactly ndo maana familia nyingi za kiafrika hata kama mwanaume umesimamisha biashara au miradi au kampuni, ukifa wewe mwanaume na miradi yako inakufa kwa sababu ya ubinafsi wa wanawake lakini kama wote mpo kwa ajili ya kujenga familia basi mtatengeneza generational wealth....ndo maana wenzetu ngozi nyeupe na waarabu wanabaki na generational wealth vizazi na vizazi maana surplus inayopatikana wana invest kwenye miradi ya familia sio miradi ya upande mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…