Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

Huo ni mwanzo tu wa kuporomoka kwa uchumi kama hakutakuwa na maamuzi muafaka ya kuondoa sheria kandamizi dhidi ya Wakulima, Wafanyabishara na Wafanyakazi basi anguko la uchumi litaendelea kwa kasi ya kutisha.
 
Chini ya Jiwe alifanya sana mambo ya kukurupuka bila kufuata ushauri wa wataalam.

Mfano kwenye biashara ya korosho aliingia akaondoa baadhi ya mambo ambayo kimsingi yalikuwa yanaingiza fedha kwa serikali na wanunuzi walisha kubaliana na hiyo hali.
 
Korosho pia imeanguka kwa asilimia kubwa. KUKURUPUKA kwa mwendazake wakati ule wa msimu wa ununuzi wa mavuno.
Chini ya Jiwe alifanya sana mambo ya kukurupuka bila kufuata ushauri wa wataalam.

Mfano kwenye biashara ya korosho aliingia akaondoa baadhi ya mambo ambayo kimsingi yalikuwa yanaingiza fedha kwa serikali na wanunuzi walisha kubaliana na hiyo hali.
 
MWIGULU na genge lake wajiuzulu kwa kudanganya waTanzania kwa muda mrefu.
Eti hakuna Corona wala hakuna adhari za koona.
WTF
 
Kushuka kwa uchumi Tanzania kutoka asilimia 6.9% hadi asilimia 4.7% ni bora kuliko Kenya, Uganda, Rwanda nk ambazo ziko chini ya asilimia 3.

Sijui umeandika ukiwa na lengo gani takataka kama hizi? Kwa hiyo unamaanisha Mh Rais Samia alichokisema ndio unakiamini kuliko alivyokuwa akisema hayati kwa sababu kama hizi?
Ndio maana mnaitwa nyumbu mnatumbukia popote hata ukiwaunaona kuna hatari ya kuliwa na mamba

Kifupi unachokitaka nchi iwekwe 'lockdown' ili uchumi upande ndio mantiki ya ya bango lako hapa lakini pia ni kuonesha chuki binafsi dhidi ya utwala wa hayati JPM kwa sababu za kisiasa maslahi binafsi.
 
Halafu Mpango alikuwa ana tuambia uchumi umekua.
Mh. Rais Samia alifanya makosa makubwa sana kumpendekeza huyu mzee.
Ndio maana Msukuma huwatukana bungeni hawa maprofesa.
 
Jiwe alikuwa anataka kusifiwa tu na kina polepole wakawa wanapiga makofi tu
 
Corona gani tena jamani? [emoji2][emoji2][emoji2] si sisi ni wateule wa Mungu na uchumi wetu unakua zaidi bara zima la Afrika?
Eniwei mambo ni yaleyale tu - hata msipate stress [emoji1423] sema hatutukanwi kama enzi za Shujaa wakati alikuwa anatunanga [emoji1787]
Ila watu ni walewale, mfumo ni uleule - kuna aliyetarajia tofauti? Poleni if so!
Kumbe corona ilikuwepo?
Jpm alikuwa muongo hadi akapitiliza. Huenda hata hii kifo kadanganya.
 
Mpango si wa kumuamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…