Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Inawezekana hata hizo asilimia za kukua huo Uchumi hatukufika huko ndio kwanza unapanda hapo ulipo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Consultant hata tukiwekwa kundi la USA wakati ni wachimba chumvi inasaidia nini watuweke sehemu yetu tuu...Sasa sijui kwenye ile class ya “uchumi wa kati” watatutoa?😊
Aibu yao wenyewe. You can fool some people some time but you can't fool all the people all the timeHayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani
Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa mshahara baada ya Uchumi wa nchi kuporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi viongozi wa Tanzania wakiwemo Rais wa zamani pamoja na Mawaziri kadhaa mmojawapo akiwa Mwigulu Nchemba hawakuamini uwepo wa corona wala athari zake .
Mbona rais kawaambia leo kwenye mei mosi unataka uambiwe na Nani?Uchumi wetu umeshuka kimyakimya bila hata kuambiwia, tungeambiwa Wala tusingeomba piza Wala baga kwenye mei mosi. Lakini shujaa amejitokeza adharani kwa kutumia maneno ya kiungwana kutuambia Hali ya uchumi si nzuri kwa Sasa.
Lakini pia uchumi kushuka si shida Kama ambavyo tulizoe kuaminishwa kuwa uchumi unakua, uchumi umeshuka kwa matatizo yaliyoikumba Dunia. Kwanini tulikuwa tunadanganywa?
Kama kwa Sasa tupo 4.8% from 6.7% mana yake tulipaswa kuambiwa kwa muda mrefu ili tujiandae ila haikuwa hivyo.
Sasa nijukumu letu wananchi kuipokea taarifa hii nakujipanga upya namna yakuiishi kwenye uchumi huu mpya uliokuja ambao yamkini ndio ulioondoa fedha kwenye mzunguko nakutusababishia makasiriko ya mara kwa mara.
Huu ndio ukweli na ukweli siku zote hauhitaji kurudiwa rudiwa.....
Kwani nyalandu hakuwa anajua hili la kushuka uchumi? Mbona hakuwaambieni huko ufipa?Hatari sana na hapo ndiyo mjue kuwa kuna umuhimu wa kufyekelea mbali team jiwe yoote
Acha kujitoa ufaham, huu uchumi wetu kipindi cha jiwe tulikua tunapigwa changa la macho , hata leo kama angekuwepo lažima angesema uchumi unakua , huu uchumi Wa kati hauna uhalisia wowote na maisha Ya watu , Sasa kuna maana Gani Ya kujiita tajili wakati huna pesa
Mataga wewe ..mburumundu nchi imefirisika mbongo tehhkwahio uchumi wa nchi ukipanda na mfuko pia unakua mkubwa? ivi elimu yenu mmesomea wap?
Mataga wewe ..mburumundu nchi imefirisika mbongo tehh
MATAGA bana!🤣 Kwa hiyo uchumi ukitetereka mwananchi haumii?
Umeshuka vipi tena so tulikubaliana umepanda na Sasa tupo uchumi wa Kati?
Juzi tu tumeambiwa uchumi umepanda...Sasa umeshuka lini?kwahio na marekani nao hawapo uchumi wa juu kwa sababu uchumi wao umesinyaa? ivi mtaacha kuiba pombe ya mbowe lini
Marehemu aliabudu uwongo, hila na hadaa. Alizyia watu kusema ili wabakie na ujinga aliowalisha.
Kushuka kwa uchumi wa Tanzania ni kutokana na kunyanganya wafanya biashara pesa zao.Shida ya kushuka kwa uchumi inaweza kutambulika kwa uwezo wa serikali kutekeleza majukumu yake, kupitia kiasi cha bajeti ya nchi kinachopitishwa, huathiri wafanya biashara na wawekezaji ambao kimsingi ndio chanzo cha mzunguko wa pesa, kisha wananchi.
Kilichoshuka ni kasi ya ukuaji wa uchumi, sio lile daraja la nchi kutambulika kama ipo uchumi wa chini wa kati...Umeshuka vipi tena si tulikubaliana umepanda na Sasa tupo uchumi wa Kati?....I
Kwani corona ilikuwepo Tz? Si shujaa aliitawanya juu kwa juuHata duniani huko pia uchumi umeshuka kutokana na janga la corona. acheni kutafuta pakuanzia .