Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

Mbona huwa inasemwa itakuwa mlikuwa tu hamfatilii na kuchambua hotuba naona hata mleta mada ndo leo anaskia wakati hata samia alipokuwa anahutubia bunge alisema
Korona haikuanza mwaka huu , korona ilikuwepo tangu mwaka jana lkn jiwe alitutangazia kuwa uchumi wetu umesimama imara maana corona haikutugusa.
 
Mungu wenu Jiwe aliwapotosha watu . Ohh uchumi wa kati, oohh sijui vita vya uchumi, oohhh Tanzania tumeishinda Corona !!! Yako wapi ?! Zaidi ya kuishia kumzoa na yeye .

Mungu ni fundi, tena fundi mkuu
Mungu hapendi kujaribiwa
 
Wewe jamaa famba kishenzi. Hivi unajua hata maana ya uchumi? Hivi unajua vigezo au viashiria vya uchumi kupanda au kushuka? Hivi inakuaje mtu unaongelea jambo ilihali hujui unachokiongea? Hivi unadhani hakuna wachumi hapa JF hadi uongee huu ugoro?

ungekua timamu ungetumiaga mda wako kusoma uchumi, yaaani nyie ni nyumbu na hamuelewi vitu kwa undan wake! mkiambiwa 1+1=3 sawa twende, konyagi + mbowe = chadema, ivo ivo twende
 
Nafikiri hujaelewa tu ninachosema. Ukisema uchumi umepungua kutoa 6.9% kwenda 4.9%, haina maana yoyote (kiuchumi). Maana nitakuuliza uchumi wa 6.9% ipoje? Uchumi unapimwa kwa GDP (say, TZS 150 trillion). Hiyo anayosema mama naamini ni "ukuaji" wa hiyo GDP ....kwa maana kwamba uchumi ulikuwa unakua kwa 6.9% lakini "kasi" hiyo sasa imepungua mpaka 4.7%. Hii maana yake ni kuwa uchumi bado unakua lakini kwa kasi ndogo kuliko mwanzo. Ukisema uchumi umepungua au kushuka ni dhana tofauti ....hapo unazungumzia contraction.....(labda useme kutoka TZS 150tr mpaka TZS 140tr).

NB: Huyo ,'mungu wa chattle' ana mitume wake waaminifu sana. Mimi sio mmoja wao!

tatizo watu wakiskia uchumi umedumaa basi wanawazaga mishahara yao tu
 
Hivi mwaka jana kuna nchi gani Africa ambayo uchumi wake ulikuwa kushinda Tanzania? Chumi zote duniani mwaka jana hadi mwaka huu bado zimekuwa affected by covid 19, Tanzania katika nchi za Africa ndio nchi pekee uchumi wake mwaka jana 2020 Q3 ulikuwa kwa 4.8% na hapa kwa sababu ya ubishi wa Magufuli wa kutokubali lockdown, lasivyo tungekuwa na hali mbaya, sasa haya mambo hata Dk Mpango aliyaeleza bungeni kuhusu kushuka kwa uchumi juzi juzi alipokuwa anatoa taarifa uchumi nchini na kujadili mpango wa serikali wa miaka mitano mitano, hii nilifikiri walau tuipongeze serikali kwa ukuaji chanya sio hasi ambao tungekuwa nao kama tungekubali lock down.

Tanzania ina wingi wa walalamikaji tu; hata facts za kutoke Benki kama Citi hawazikubali, wattasema takwimu zimepikwa!. Kwa post yako hii, hakuna atakayekupa "like"
 
Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani

Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa mshahara baada ya Uchumi wa nchi kuporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%

Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi viongozi wa Tanzania wakiwemo Rais wa zamani pamoja na Mawaziri kadhaa mmojawapo akiwa Mwigulu Nchemba hawakuamini uwepo wa corona wala athari zake .
Hao wanunuzi wa nje wako wapi. India kwenyewe kuna corona balaa hata WHO wamesalimu amri.
Marekani na ulaya wamekufa mamilioni yavwatu. Na watu wamefunga viwanda sababu ya lockdowns huko kwako.
No exports.
 
Na waliodanganya walifanya hivo ili iweje?

ukuaji wa uchumi varies, na pia haimaanishi uchumi wa tanzania umeacha kukua the diffrence ni kwamba now its 4.7% but its still growing, its safe to say uchumi wa tanzania unakua mpaka sasa
 
Back
Top Bottom