barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Naona jamaa bado kakaza kibunzi mahali pake mpaka humsahauUsilie , jiwe katokomeza nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona jamaa bado kakaza kibunzi mahali pake mpaka humsahauUsilie , jiwe katokomeza nchi
MkuuMama naye kaanza kuchapia! Uchumi unapimwa kwa GDP. Anaposema umeshuka kutoka 6.9% kwenda 4.7% ana maanisha nini hasa? Au alikusudia kasi ya "ukuaji wa uchumi" wetu imepungua? Contraction (kushuka) kwa uchumi ingalikuwa negative rate. Ama?
Vipi uchumi wa ufipa kamanda?Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani
Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa mshahara baada ya Uchumi wa nchi kuporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi viongozi wa Tanzania wakiwemo Rais wa zamani pamoja na Mawaziri kadhaa mmojawapo akiwa Mwigulu Nchemba hawakuamini uwepo wa corona wala athari zake .
Kuanzia tarehe 17 March Naona mataga mna hasira Nini tatizo?sasa uchumi ukishuka ndo mnashuka pia kwenye level ya uchumi wa kati? kwahio marekani pia naona wapo uchumi wa chini saaahv au sio? kwann msiache tabia ya kuiba kinywaji cha mbowe maaana mnakua mzigo sasa kwenye hii nchi
Unaniuliza mimi? Hiyo kauli ya nani?"NCHI HII NI TAJIRI " Kauli hii ya uongo iliishia wapi ?
Uchumi ulishuka kabla ya 2020hoja yako haina mashikoWewe unaongea vitu tofauti kabisa; hii tabia inaitwa confirmation bias. Tanzania iwe na korona aua isiwe nayo haikuwa sababu ya uchumi kushuka bali uchmia wa dunia nzima ulishuka kutoka na korona kuzikumba nchi nyinge na kusababaisha kusimama kwa biashara baina ya Tanzania na nchi hizo. Watalaii wakawa hawaji, ndege zikafungiwa airport tu, watanzania wanao fanya biashaza za kuuaza nje mazaoa wakawa hawawezi kufanya tena kwa vile kuna lockdowna huko. Sasa wewe unakurupuka na kuja na hitimishoa la kitoto sana. Hata nchi ambazo hazikuwa na corona zilitikisika kiuchumi; kwa mfano New Zealand haikuwa na korona, lakini uchumi wake ulitikisika pia
Kama nchi haina uwezo wa kulipa mishahara au kuagiza chanjo, au kutoa madawati, huko ndo uchumi kupotmokaUchumi wa nchi umeporomoka au makadirio ya kiwango cha ukuwaji wa uchumi ndicho kimeshuka? Ni vyema ikaeleweka, kushuka kwa kasi ya ukuwaji wa uchumi hakumaanishi uchumi umeporomoka bali uchumi utakuwa ila si kwa kiwango kilichokadiriwa awali.
Magufuli hakuwahi kukuza u humi kwa wastani wa 6..9 na hata hiyo 4.7% yenyewe si kweli bali ni kuficha aibu. Ukuaji wa uchumi umeporomoka hadi 2%.Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani
Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa mshahara baada ya Uchumi wa nchi kuporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7%
Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi viongozi wa Tanzania wakiwemo Rais wa zamani pamoja na Mawaziri kadhaa mmojawapo akiwa Mwigulu Nchemba hawakuamini uwepo wa corona wala athari zake .
Hivi adui hasa wa chadema ni Magufuli, Polepole na Bashiru au ccm?
pole sana kaka.Usilie , jiwe katokomeza nchi
Hapana kijana. Magufuli alifanya mambo mengi kwa kuzingatia maoni ya watu hasa CHADEMA kama ifuatavyo.Chini ya Jiwe alifanya sana mambo ya kukurupuka bila kufuata ushauri wa wataalam.
Mfano kwenye biashara ya korosho aliingia akaondoa baadhi ya mambo ambayo kimsingi yalikuwa yanaingiza fedha kwa serikali na wanunuzi walisha kubaliana na hiyo hali.
Wachumia tumbo meishafika tena baada ya maombolezo , sasa kitengo cha buku 7 kashika Hamdu ShakaVipi uchumi wa ufipa kamanda?
KaribuShukrani kwa ufafanuzi
Kilichoshuka ni kasi ya ukuajiMama naye kaanza kuchapia! Uchumi unapimwa kwa GDP. Anaposema umeshuka kutoka 6.9% kwenda 4.7% ana maanisha nini hasa? Au alikusudia kasi ya "ukuaji wa uchumi" wetu imepungua? Contraction (kushuka) kwa uchumi ingalikuwa negative rate. Ama?
Kwa matumshi hayo anayoyasema je kama mwakani.corona itaendelea kuwepo maana yake watumishi.wawndelee kufunga mikandaHayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani