Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

Mbona huwa inasemwa itakuwa mlikuwa tu hamfatilii na kuchambua hotuba naona hata mleta mada ndo leo anaskia wakati hata samia alipokuwa anahutubia bunge alisema
Korona haikuanza mwaka huu , korona ilikuwepo tangu mwaka jana lkn jiwe alitutangazia kuwa uchumi wetu umesimama imara maana corona haikutugusa.
 
Mungu wenu Jiwe aliwapotosha watu . Ohh uchumi wa kati, oohh sijui vita vya uchumi, oohhh Tanzania tumeishinda Corona !!! Yako wapi ?! Zaidi ya kuishia kumzoa na yeye .

Mungu ni fundi, tena fundi mkuu
Mungu hapendi kujaribiwa
 
Wewe jamaa famba kishenzi. Hivi unajua hata maana ya uchumi? Hivi unajua vigezo au viashiria vya uchumi kupanda au kushuka? Hivi inakuaje mtu unaongelea jambo ilihali hujui unachokiongea? Hivi unadhani hakuna wachumi hapa JF hadi uongee huu ugoro?

ungekua timamu ungetumiaga mda wako kusoma uchumi, yaaani nyie ni nyumbu na hamuelewi vitu kwa undan wake! mkiambiwa 1+1=3 sawa twende, konyagi + mbowe = chadema, ivo ivo twende
 

tatizo watu wakiskia uchumi umedumaa basi wanawazaga mishahara yao tu
 
Tanzania ina wingi wa walalamikaji tu; hata facts za kutoke Benki kama Citi hawazikubali, wattasema takwimu zimepikwa!. Kwa post yako hii, hakuna atakayekupa "like"
 
we unaumia wap wakati hauna msaada wowote katika GDP? unauza nje ya nchi? hapana! una dollars umeweka nje ya nchi? Hapana! sasa wewe uchumi wa nchi haukuhusu mpaka apo
Serikali ni nini?
 
Hao wanunuzi wa nje wako wapi. India kwenyewe kuna corona balaa hata WHO wamesalimu amri.
Marekani na ulaya wamekufa mamilioni yavwatu. Na watu wamefunga viwanda sababu ya lockdowns huko kwako.
No exports.
 
Na waliodanganya walifanya hivo ili iweje?

ukuaji wa uchumi varies, na pia haimaanishi uchumi wa tanzania umeacha kukua the diffrence ni kwamba now its 4.7% but its still growing, its safe to say uchumi wa tanzania unakua mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…