Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

Korona haikuanza mwaka huu , korona ilikuwepo tangu mwaka jana lkn jiwe alitutangazia kuwa uchumi wetu umesimama imara maana corona haikutugusa.

yes na mpaka sasahv uchumi wetu ni imara! its even much better than most countries affected by covid, uchumi haujafa but unakua much slower but still unakua
 

where do you work?
 
yes na mpaka sasahv uchumi wetu ni imara! its even much better than most countries affected by covid, uchumi haujafa but unakua much slower but still unakua
Uchumi umepukutika kutoka 7 hadi 4
 
Uchumi umepukutika kutoka 7 hadi 4

but still ni postive growth ukilinganisha na nchi zingine, na pia hata uchumi ungekua uankua kwa asilimia 40% haimaanishi lazima utakua tajiri, uchumi wa nchi upo based na GDP, kwa simple words au very simple , nchi inatoa exports kwa kiasi gan au uzalishaji, kwa tanzania key players ni tourism, Minerals, Agriculture and alittle bit of services mfano telecom! hawa ndo key players, If you are an employee wewe unatakiwa kua worried na kitu kinaitwa (PPP) not much but alittle, ukuaji wa uchumi kwa tanzania una little to no effects kwa employees hata ungekua unakua kwa asilimia 70, ukiwa na status ya employee you wont notice much of change!
 
yes na mpaka sasahv uchumi wetu ni imara! its even much better than most countries affected by covid, uchumi haujafa but unakua much slower but still unakua
Kwahiyo unakuwa kwa kwenda chini siyo ?
 
Team ufipa pateni elimu maaana hamuelewi uchumi, hakikishen mbowe na team yake wanasoma wapte view nzuri ya uchumi pamoja na wewe
Kwani leo haupo zamu ya kulinda kaburi?
 
Ndani ya ccm hakuwezi kuwa pasafi maana uchafu ndiyo ilani yao
 
Kama hivyo ndivyo ilikuwaje Imf na WB watangaze tupo uchumi wa Kati nahisi no mbinu tu inamaana hili kilikuwa halijulikani acheni uongo aisee
 
Kwahiyo unakuwa kwa kwenda chini siyo ?

dogo! mwaka jana ulikua unakunywa chupa kumi za kvant, mwaka huu unakunywa 4, Je umeacha kunywa?

- IMF walinconfirm wenyewe uchumi wa tz unakua at 6% leo uchumi unakua at 4%, zote ni growth na tena postive growth! kukua kwa 4% yenyewe hiki kipindi cha corona isnt a joke, kenya yenyewe tu GDP yao ni $100B , lakini saaahv wamekopa 80% with respect to the GDP!
 
sijawahi kunywa vinywaji vya bei rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…