Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

1. Nani aliyekudanganya kuwa TUNDU kibaka ndiye kipimo cha uzalendo kwa tanzania?

2. huyo ***** tapeli wa kisiasa ana uzalendo gani?(au neno uzalendo limebadilka maana?)

3. hata walioenda kumuona huyo kibaka hosp si mliwageuka kuwa wanajikomba?

acheni upumbavu nyie pokeeni shujaa mwingine huyo, naona manoo noo hamuyaimbi siku hz.
 
Kati ya Lissu na wewe nani mpumbavu??
 
Kati ya Lissu na wewe nani mpumbavu??
Mpumbavu ni yule anayeamini katika uasi na kukinukisha dhidi ya mifumo ile ile aliyoiishi na akala kodi za Wananchi na hana rekodi hata ya kujenga choo tu ndani ya jimbo lake kwa muda wa miaka 10.
mpumbavu ni yule anayetaka watoto na akinamama wateseke kila kukicha wakati wa kwake wapo nje wanasoma, kula na kulala bila mateso.
mpumbavu ni yule anayeamini kuwa wazungu wanatupenda sana.
mpumbavu ni yule aliyewekeza kumfikiria mhaini kibaka mmoja hvi.
 
Kwa chuki hizi, huenda sababu ni kumuona Lissu akitoka chumbani kwa mama yako na taulo.
 
Principal no.1 inasema adui wa adui yako ni rafiki yako. Rafiki wa adui yako ni adui yako. Rafiki yako ambaye ni rafiki wa adui yako naye ni adui yako.

Principal no. 2 Inasema Hakuna rafiki wala adui wa kudumu, kila kitu ni situational.
 
Hivi karibuni ndugu Polepole baada ya kujiuzuru ubalozi ame-trend sana na kujipatia maujiko (umaarufu) kuwa ni mpigania haki, demokrasia na utawala Bora.

Swali la kujiuliza ni kweli Polepole ana uchungu na mpigania haki, demokrasia na utawala Bora???.

Hebu tujiulize maswali mengine haya tena.
1. Tundu Lissu alipopigwa risasi akipigania haki, Demokrasia na utawala Bora, ndugu Polepole aliwahi kumpa pole Lissu au hata kwenda kumsalimia akiwa hospitali kama ishara ya kumuunga mkono ??

2. Polepole akiwa kama mwenezi wa CCM mwaka 2017 wakati Tundu Lissu alipopigwa risasi, aliwahi kulaani kitendo hicho cha kinyama??? kuonyesha kuwa anakerwa na uvunjifu wa wazi wa haki, demokrasia na utawala Bora.

3. Wakati wa utawala wa kikatiri wa mwendazake, ambao haukuzingatia haki, demokrasia na utawala Bora, huku yeye Polepole akiwa mwenezi wa CCM, mbona hakuwahi kupinga au kulaani utawala ule wa kidikteta na mabavu uliokuwa unavunja haki, demokrasia na utawala Bora ????

4. Wakati wa utawala wa mwendazake mambo ya utekaji, kutesa na kuwaua watu ulishamiri, huku Polepole akiwa Mwenezi, mbona hatujasikia anayakemea kwa nguvu matendo hayo maovu ya kikatiri na kishenzi????. Na hata yalipoendelezwa na utawala wa sasa hadi yakazidi vipimo mbona alikuwa kimya siku zote hatukusikia kuyakemea???

5. Baadhi ya Mbuga za wanyama wamepewa waarabu, bandari kubwa wakapewa waarabu, mapori wakapewa waarabu, viwanja vya ndege wakapewa waarabu. Mbona hatujasikia polepole anapinga mambo haya ya hovyo na ya kuiangamiza taifa.???

6. N.k

Tuendelee kujiuliza maswali ni kweli Polepole ni mzalendo na mwenye uchungu wa nchi yake kama anavyojaribu kujinasibu????

Wakati tunaendelea kujiuliza maswali mengi haya haina maana kwamba mtawala wa sasa anafuata misingi ya haki, demokrasia na utawala Bora, bali yeye kamzidi hata mtangulizi wake kwa mambo ya hovyo tunayoyahoji. Pengine ni kwa sababu alikuwa ni sehemu ya uasisi wa matendo hayo maovu labda ndo sasa anaya-practice vizuri zaidi.
Tuanzie na wewe uliyejificha ktk ID feki, we una uchungu? Unatuthibitishiaje ingali umejificha km msukule tu. Au uchungu ulionao ni huo uzushi kuwa mapori, viwanja vya ndege na bandari wamepewa waarabu ukijua ni uwongo? We ni mkuda na mnafki sawa tu na huyo Polepole. Ni kwamba tu uko mbali na fursa ndio maana unalialia humu.
 
Lazima utakuwa unaliwa tako si bure
 
Back
Top Bottom