mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Tytajuaje, je kama ilikuwa ni kazi ya huyu? Mbona mkavu sana usoniNdo mana kila mtu anakashangaa haka ka bwana mdogo.
Tytajuaje, je kama ilikuwa ni kazi ya huyu? Mbona mkavu sana usoniNdo mana kila mtu anakashangaa haka ka bwana mdogo.
Hii ni ujinga wa hali ya juu. Kujaribu kuhalalisha makosa ya sasa kwa sababu anayekosoa hakufanya hivyo kipindi kilichopita. Asilimia 90 ya viongozi wa sasa walikuwepo wakati wa Magufuli, mbona hawakuhoji? Samia alikuwa namba mbili, na kila kitu kinamangukia. Kuna viongozi wa dini na watanzania wengi tu hawakuhoji... huoni kuwa mmoja akiona enough is enough ni jambo zuri?Ndo mana kila mtu anakashangaa haka ka bwana mdogo.
Wokovu umeanza kuwaingia,atafikiwa hadi m.kiti.Ndo mana kila mtu anakashangaa haka ka bwana mdogo.
Na bado mtatajana sana wauaji wakubwa nyie.Kwani siyo kweli? Sisi tunamuona kama sungura aliyekosa zabibu tu. Kuna kitu nyuma ya kuacha huo Ubalozi ambacho kitakuja kuibuka tu.
Naona ametumia njia ya kujihami mapema.
Hapo kwanza ameshakiri kwamba kuna mtu anaua ! Anajua huyu , police wangekua serious angebanwa mbupu amtaje kwa hiyo kauli yake🤔Hapo sasa
Uwezo huo ninao. I am a soothsayerHuwezi kuishi kwenye akili yangu
Table mannersAsingeweza kuoongea akiwa na chakula kinywani.
Hili jiti alilowasokomezea Polepole limezama haswa mtatoa kila aina ya milio mwaka huu dadeq ze
Na watabweka sanaHili jiti alilowasokomezea Polepole limezama haswa mtatoa kila aina ya milio mwaka huu dadeq zenu.
Ametema chakula sasa anasema,tena kweli kweli.Asingeweza kuoongea akiwa na chakula kinywani.
Aliahidi,wahuni wote na hata majoka yaliyojichimbia mapangoni lazima yatoke.Inawezekana yameshaanzaNa watabweka sana
Jesca ni mbunge sasaNdo mana kila mtu anakashangaa haka ka bwana mdogo.
Bunge linalokuja mpaka 2030 ni la ndugu , jamaaa na marafiki wa VIGOGOBunge linalokuja mpaka 2030 ni la ndugu , jamaaa na marafiki.
Achaneni na huyo mpuuzi,hana jipya na ana haha hovyoNdo mana kila mtu anakashangaa haka ka bwana mdogo.