Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

Hili jiti alilowasokomezea Polepole limezama haswa mtatoa kila aina ya milio mwaka huu dadeq zenu.
Kwani siyo kweli? Sisi tunamuona kama sungura aliyekosa zabibu tu. Kuna kitu nyuma ya kuacha huo Ubalozi ambacho kitakuja kuibuka tu.
Naona ametumia njia ya kujihami mapema.
 
Kuna watu wameua watu zaidi ya watu hamsini na wakatubu wakaokoka.

Kuna majambazi washafanya ujambazi miaka ya kutosha na wakaacha ilo nalo ni kosa?
 
Back
Top Bottom