Uchungu wa Polepole kuhusu Haki, Demokrasia na Utawala bora unatoka wapi?

Kwani siyo kweli? Sisi tunamuona kama sungura aliyekosa zabibu tu. Kuna kitu nyuma ya kuacha huo Ubalozi ambacho kitakuja kuibuka tu.
Naona ametumia njia ya kujihami mapema.
Kilichopo nyuma yake ndo tunakisubiria. Zingine ni drama tu.
 
Kuna watu wameua watu zaidi ya watu hamsini na wakatubu wakaokoka.

Kuna majambazi washafanya ujambazi miaka ya kutosha na wakaacha ilo nalo ni kosa?
Kwa hiyo Polepole kaokoka au umesikia wapi kuwa katubu uchafu wao na mwendazake pamoja na aliyeko madarakani.
 
Sisi tunaomba waendelee kupopoana mawe hadi watawanyike.
 
Kwamba unataka kubariki anaeua sasa kisa huko nyuma polepole hakusema.
Hakuna sehemu ambapo Polepole kakemea mauaji, utekaji na uteswaji wa watu unaondelea. Yeye anapambania madaraka tu na kikundi chake.
 
Leo Kiroboto atakua Club House
Mwambie Kiroboto kama anajiamini aitishe press mlimani city. Wanaume huwa hawajifichi. Umemuona Lissu, pamoja a Madhira yote lakini anapigania haki za watu.
 
Tuliosomea Cuba tunajua. Polepole ameishi Cuba ufahamu wake umerudi na amejitambua na kukumbuka yeye ni nani. Watanzania wengi zaidi ya asilimia tisini ( 90%) wamesahau utambulisho wao kabisa na huo ndio mtaji mkubwa wa CCM.
 
Kwa mfano mm sio chadema ila anachofanya polepole ss hv kiasi fulani naunga mkono mawazo yake
 
Mwambie Kiroboto kama anajiamini aitishe press mlimani city. Wanaume huwa hawajifichi. Umemuona Lissu, pamoja a Madhira yote lakini anapigania haki za watu.
Wewe mbona umejificha nyuma ya keyboard hapa 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…