UCHUNGUZI BINAFSI: Mitandao ya Simu inadai wateja wao wengi sana Januari hii

UCHUNGUZI BINAFSI: Mitandao ya Simu inadai wateja wao wengi sana Januari hii

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Salam za Jumatatu.

Iwe Voda, Tigo, Airtel nk, kuna madeni ya kukopa iwe songesha, nk.

Kwa bahati njema wateja waaminifu hukopeshwa fedha nyingi sana. Kwa kuwa kimsingi chip ya mteja ndio ya biashara zake Hana budi kulipa deni. Na Kwa kweli hakuna namna.

Mwezi Januari ni wa malipo mengi, hata wele kina sisi watoto wetu wanatakiwa viatu vizuri, nguo nk. Lazima tukope tulipe. Huduma ya lipa kwa, tena unassongesha basi balaa kubwa kwenye deni.
 
Ni kweli laini Ina majina na ndg marafiki wengi kuitupa inakuwa soo
 
Back
Top Bottom