Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

Issue inakuja nani asiyekula mbususu mwenye mafanikio yanayoweza tushawishi ???
 
Naomba ufafanuzi hapo uliposema mwanamke akishiriki zinaa anakuwa mchafu kwa siku 14 na mwanaume kwa siku 7.

Unamaanisha kama ni mwanaume baada ya siku 7 mambo yako yatakuwa safi, kwamba wale pepo wachafu uliowapata baada ya uzinzi wataondoka?

ROBERT HERIEL
 
Does rhis only apply to africans? Mbona wazungu wanazini sana na uasherati kuoitiliza na bado wao ndio wenye mihela hapa duniani? Mwengine juzi juzi tuu hapa kawa mfalme pamoja na roho mbaya ya mama yake lakini wapi, jamaa kaula.
Mkuu, Wazungu watasubiri sana kwa weusi kwa mambo ya uzinzi..
Clinton alidaiwa kutafuna yule intern, Monica Lewinsky, ikawa kashfa kubwa, dunia yote ikajua, na aliponea chupuchupu kuachia urais!
Kwa nchi za Afrika jambo kama hilo hata lisingekuwa na Uzito wowote!
 
Mkuu utatuua kwa mawe yako
 
Huyo Malaya ambaye alikuwa akitembea tu nawe basi nyota yako inang'aa ilikuwa ni danganya toto ya shetani ili akuteke akili mazima ilihali kiuhalisia hakuna kabisa kitu kama hicho.

Usisahau muasisi Mkuu wa uwongo ni shetani pale bustanini Eden.
 
kwahyo Gwajiboy master hana hela syo au nae kaenda kwa mganga?
Huwa unakuwa naye huyo Jamaa 24/7 kila mwaka?

Kibiblia "Si kila aniitaye BWANA BWANA ataurithi ufalme wa milele"

Kidunia "Si kila king'aacho ni dhahabu"

Manabii wa uwongo wapo, na mpaka uwe na karama ya macho ya rohoni ndipo utawatambua.

SOMA BIBLIA [emoji116][emoji116]

MATHAYO 7:16-21.
MATHAYO 24.
1 YOHANA 4:1-5.
2 WAKORINTHO 11:14-15.
ISAYA 8:19-21.
 
Nachakata mbususu vizuri tu na hata waganga siwajui ila michongo ipo vizuri mno sasa labda uzinzi huo unachagua
 
Hili chapisho limenilenga kabisa Taikon...Nimenasa kwenye huu ujinga aisee nipe mwanga mhenga ili nijinasue
 
Kuish na mke/mme na hata kuzaa huo ni uzinzi kwa mujibu wa maandko,je wote wenye keshi wame funga ndoa? Halafu Ibrahim,Isaka na mitume kibao mbna hatukuona ndoa zao zikifungwa?
Mkuu ulitaka ushuhudie matangazo ya ndoa na sherehe zao kwenye Maandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…